Wacheni jakajaka zenu msopenda maulid...hakuna MTU ako uchi hapo....kama hampendi lazma mtakosoa......bi mwanajuma nyota Na wenzako Mungu awajazie mema mpaka yawmul mahshar tuingie peponi Na mtume wetu...pepo YA jannatul Firdaus
Yaani ninyi dada zangu nimetokea kuwapenda katika imani kwa kusimama katika misingi ya ALLAH na kumsifu bwana mtume Muhammad s a w M MUNGU awajaze taqwa
Mashaa Allah
Mwenyez Mungu awajaalie kila la kher wote mliohudhuria mazazi ya kipenz chetu Mohammad (swa).
Wacheni jakajaka zenu msopenda maulid...hakuna MTU ako uchi hapo....kama hampendi lazma mtakosoa......bi mwanajuma nyota Na wenzako Mungu awajazie mema mpaka yawmul mahshar tuingie peponi Na mtume wetu...pepo YA jannatul Firdaus
Mashaallah bi mwajuma nyota Allah azidi kukupa kheri sauti mashaallah
Wallah nmfurah Sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Allah akuhifadhi akujalie mwisho mwemaa❤❤❤nakupenda Kwa ajil ya Allah
Yaani ninyi dada zangu nimetokea kuwapenda katika imani kwa kusimama katika misingi ya ALLAH na kumsifu bwana mtume Muhammad s a w M MUNGU awajaze taqwa
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Allahumma Swalli Wassallim Wa Baarik Ala Habibina Muhammad Swala Allahu Alayhi Wasallam ❤
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
Mashaa Allah anasauti mzuri avyokua kijana ilikuje
Maashaallah Hajjat Mwajuma Nyota❤
ASANTE BIMWAJUMA. MASHALLAH. NATOA TAMBIHI ANGEJISTIRI MIKONO IPO WAZI BILA STARA WAMUONA WANAUME MITANDAONI HAIJUZU KTK DINI YETU.
Maashaaal jamani wamama Mungu awajalie
❤❤adi raha wallah tutazidi kumswalia mtume mpaka kiama kisimame in sha Allah ❤
Dada zangu nimewapenda saana kwa huko kumsifu mtume wetu
Mashaallah 😘😘👏
Allahumaswali salimu aleeeeee
Mashaallah tabarakala
Mashallah.... Allah awabarikie .
Mashaallah
Mashalah
❤❤❤mashaaallah❤
Swallu alaa Habibi...🎉
Mashalla
صلى الله عليه وآله وسلم
Mashaallah ❤❤
Maashaallaah
Wewe unayemkosoa bi Mwajuma Huna imani ya kweli illa una matamanio ya kimwili muache bi Mwajuma na mwezake watupe raha maulidi raha bwana
Masha Allah mamangu
Mashaaaalhaaa
Swalaa aala Mashallah
Mashaallah ❤
Masha Allah
Mashaallaahhh
Maa shaa Allah
MashaAllah
Mashallah
❤❤❤❤❤
Mashallah ❤️
❤❤❤
Allahuma maswali waswali male
Wanakaa uchi wala hamsemi kitu
Mikono wazi hajajistiri na mwashabikia Allah Akbar
Yupo na wanawake wenzie
Soma Dini acha mihemko!
Mashaallah@@sharifuburuhani1969 ..
Mikono ipi hapo , 1st Yuko na WA awake wenzake then sio kitu Cha kulwa sababu ya kwamba Yuko uchi
Bimkubwa anaondoka na siqa yake
Mi sijaelewa kwanini wanawake munapaza sauti hali mmeambiwa msijishaue kama majihilihilia
Wewe tena mtakatifu maria
Duh mtume karidhia wapi maulid yamekuja miaka mia nane baada ya kufarik
Wahabi povu
Acha kuleta tofauti mbele ya watu kak ishi na imani yako hawatokuwa radhi mayahudi na mananswara mpaka mfuate mila zao so kuwa makini ndugu yangu
Daaah sijawahi onaga hii kitu, yote ni uchache wa elimu na ufahamu
Weka hiyo elimu yako kubwa bc ionekane watu waondokane na ujinga kaka kwani hapo kilicho semwa ni kitu gani ambacho hujakielewa kaka
@@alwyabdallah3021 kaka hujui wana wake wanahitaji stara katk,wanawke hata sauti zao haztakiw kusikk, lakn hao wapo nani kabs huku wanamswlia mtum
Naombeni namba ya simu za bibi mwajuma
Wavaaji uchi hamuwaoni pumbavu
Maulid ni bidah kabisa
Hakuna siku hata moja maulid yatakuwa suna
Hhhhhh nyinyi taften kaz mufanye
Mashalah
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah
Mikono wazi hajajistiri na mwashabikia Allah Akbar
Inauch gan
Wako wanawake wenyew ha
@@ahmadsekule8887 sas sheikh alie chukua hii picture nae mwanamke??? Pia Mimi na wewe hatujaiona
mashaaallah