NEEMA YA MUNGU HUJA NA TAARIFA (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2022
  • Kabla ya tatizo lolote kutokea Mungu huachilia taarifa ndani ya mtu.Watu wengi wamekuwa wakiingia kwenye matatizo kwa sababu ya kutosikiliza sauti ya Mungu.Mungu huachilia neema yake ili janga linalotakiwa kutokea lisikupate na wewe unatakiwa ufanyie kazi maelekezo yote anayokupa.Favour(Kibali) bila information ni rahisi sana ukaishia kwenye mauti.
    Leo hii ukiuliza watu wengi waliopata ajali watakwambia kuwa kabla hawajaanza safari walisikia uzito ndani yao, Mungu aliwazuia lakini kwa sababu za kibinadamu wakalazimisha kwenda na matokeo yake wakapata ajali.Hata kama premature death sio sehemu yako lakini pia una nafasi yako ya kufanya.Hata pia walioingia kwenye ndoa zisizo sahihi watakwambia kabisa kuwa Mungu aliwaonya mapema kabisa.
    Nuhu baada ya kupewa maelekezo na Mungu ya kutengeneza safina alitii, Mungu hakuishia hapo akampa maelekezo juu ya nani na nini vinatakiwa kuingia kwenye hiyo safina na akamwambia kuwa kila wanyama,ndege,wadudu na kila kiumbe kitakachoingia kwenye safina ahakikishe ni dume na jike,kwanini? kwa sababu wakiwepo dume na jike kwenye safina kuna uhakika wa uzao(ongezeko) .Yaani ndio najua Nuhu tayari kuna maono unayo lakini kuwa makini sana na watu unaowaingiza kwenye safina yako,ingiza watu watakaoweza kuzalisha kile kitu kilicho ndani yako,watu watakaoleta ongezeko kwenye maono uliyonayo.Na kutokana na kutii kwa Nuhu leo hii vitu vyote,ndege na wanyama wote walitokana na wale ambao Mungu alimwambia Nuhu awahifadhi kwenye Safina.Utii wako kwa Mungu ndio ongezeko lako lilipo.

ความคิดเห็น • 71

  • @dorcahogeto1544
    @dorcahogeto1544 ปีที่แล้ว +2

    With this i agree, kuna jambo nilikuwa nataka kufanya ambalo sikujua lingenipeleka kwenye shida, Mungu kwa ukuu wake alinipa wazo ambalo lilijirudia kwa mda, nilitii, mwenzenu baada ya miezi 2, nilielewa. Nashukuru sikuingia shidani. Ashukuriwe Mungu atupendaye

  • @neemanyagawa9479
    @neemanyagawa9479 2 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe Sana Pastor, wewe ni Mwalimu uliyepakwa mafuta ya Roho Mtakatifu. Ninakuelewa kila ukifundisha

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu kwakutumia mtumishi wako kutulisha chakua hichi. ❤❤❤

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 2 ปีที่แล้ว +4

    Those people will add value to my vision Glory be to God👏🏾

  • @langolambinguni8653
    @langolambinguni8653 ปีที่แล้ว

    Mafuta ya Mungu yako ndani yako pastor,najiungamanisha na huu upako

  • @Empressever254
    @Empressever254 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed my preacher🙌🙌🙏God's always great🥂🙌

  • @happypatrick2807
    @happypatrick2807 ปีที่แล้ว

    Ameni postor MUNGU azidi kukupa ufunuo azid kutukuzwa kupitia wewe 🙏

  • @janetmusyoka4704
    @janetmusyoka4704 2 ปีที่แล้ว

    Niko Kenya naedelea kuinuliwa juu juu sana,Asante mtumishi wa mugu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว

    Blessed Bishop Sanbella 🙏🙏🙏 kunifundisha NENO 📖 la MUNGU limeokoa maisha yangu

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏🙏nashukuru Mungu huwa napata ishara kabla ya kitu chochote kutokea

  • @ashleighadam2442
    @ashleighadam2442 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa na mafundisho yako na yesu wangu akutunze

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilipata maelekezo kubadilisha biashara kutoka huduma za kibank kuuza nguo so nilianza kubadilisha taratibu na biashara ilikua inanilipa vizuri,really ukimsikiliza Mungu anaachilia information yenye kuvuka,If God give us favour there's information.

  • @agnesmapunda4412
    @agnesmapunda4412 2 ปีที่แล้ว

    What a revelation, Mungu anisaidie kukamata directives za Neema anazoziachilia kwangu 🙏Mungu Roho Mtakatifu azidi kukutumia kwa ukubwa kwaajili yetu

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa baba,
    I'm no gonna board a bus,, it's me with the ark to the end.
    Asante.

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @joycekiheka6071
    @joycekiheka6071 2 ปีที่แล้ว

    Amen Mtumishi , Information Huwa naziona lakini Leo Nimepata Neema zaidi ya kujuwa Maana yake.

  • @getrudahonest8266
    @getrudahonest8266 2 ปีที่แล้ว

    Thanks pastor you are blessed me I still in mwanza

  • @langolambinguni8653
    @langolambinguni8653 ปีที่แล้ว

    I receive it pastor,this is a biggest massage

  • @paulinahugolin4110
    @paulinahugolin4110 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi favors itutangulie kwa kila jambo

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you for Revelation knowledge man of God 👏👏

  • @marryemily8321
    @marryemily8321 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 2 ปีที่แล้ว

    asante baba tunabarikiwa na neno amen

  • @loveandnature2821
    @loveandnature2821 2 ปีที่แล้ว

    WENYE MANUFAA MAISHANI MWANGU WANIFUATE IN JESUS CHRIST NAME.AMEN

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 2 ปีที่แล้ว

    Pastor Mungu akubariki
    Umekuw baraka, .

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 2 ปีที่แล้ว

    You're a blessing to me man of God

  • @lucyshedrack189
    @lucyshedrack189 ปีที่แล้ว

    Wenye faida maishan mwangu wanifate kama wanyama walivomfata nuhu katika jina la Yesu

  • @PerisiperisiKingi
    @PerisiperisiKingi 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 2 ปีที่แล้ว

    Point taken..
    Thank you.

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 2 ปีที่แล้ว

    God bless You Pastor

  • @zachariashurura7226
    @zachariashurura7226 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa mtumishi, barikiwa sana maana chakula unachonipa huwa *nashiba vizuri kabisa* ila Kuna jambo kwenye ( )

    • @faustinetilya685
      @faustinetilya685 2 ปีที่แล้ว +1

      Lipi ilo

    • @zachariashurura7226
      @zachariashurura7226 2 ปีที่แล้ว

      @@faustinetilya685 ishu ya kuchukua hatua baada ya kupata taarifa ya jambo furani

  • @esthernambeye1953
    @esthernambeye1953 2 ปีที่แล้ว

    God bless you pastor

  • @patriciakanote5465
    @patriciakanote5465 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏

  • @adeusaugustino4851
    @adeusaugustino4851 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @suzysoraelw2062
    @suzysoraelw2062 9 หลายเดือนก่อน

    Pastor naomba kuonana nawe...naamini nikikutana nawe haya yanayonisibu miaka na miaka

  • @leonardsr8994
    @leonardsr8994 2 ปีที่แล้ว

    Powerful revelation

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 2 ปีที่แล้ว

    Powerful ✍️🙏

  • @carolinengondo2698
    @carolinengondo2698 2 ปีที่แล้ว

    Pastor am blessed. Pray for my marriage and family. I still reside in Kenya.I want to see God in my marriage.

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 ปีที่แล้ว

    Jamani hizo sauti uko zinakera. Hamuwezi toa maana mahibiri sio clear

  • @frankmshana1331
    @frankmshana1331 ปีที่แล้ว

    ameeeeeeeeeeeen

  • @mwamvuakayanda8730
    @mwamvuakayanda8730 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwaaa 🙏

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 ปีที่แล้ว +1

    emen emen..

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi ปีที่แล้ว

    Holy Spirit 🙏🔥

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 2 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @vedastogwido5311
    @vedastogwido5311 2 ปีที่แล้ว

    Amina👏👏

  • @prettybraids3079
    @prettybraids3079 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @rizikiebonge9631
    @rizikiebonge9631 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @nasrasewando7152
    @nasrasewando7152 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @hellenndekeja631
    @hellenndekeja631 2 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 2 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @endaelkamala8068
    @endaelkamala8068 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @judithshoo4323
    @judithshoo4323 2 ปีที่แล้ว

    Kwelii

  • @evelynjeremiah5354
    @evelynjeremiah5354 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN 👋👋👋 THANK YOU JESUS 🙏🙏🙏

  • @annwairimu2162
    @annwairimu2162 2 ปีที่แล้ว

    Waoo

  • @marryzubery2497
    @marryzubery2497 4 หลายเดือนก่อน

    Kanisa liko wapi na ibada ni lini na lini

  • @PerisiperisiKingi
    @PerisiperisiKingi 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Muhotani1
    @Muhotani1 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @victordaniellymwanjala3407
    @victordaniellymwanjala3407 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @youthtvtanzania01
    @youthtvtanzania01 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @heriethkitururu4401
    @heriethkitururu4401 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @elizabethmwachiti7987
    @elizabethmwachiti7987 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @johnpaul916
    @johnpaul916 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 2 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @upendojohnson1106
      @upendojohnson1106 2 ปีที่แล้ว

      Amen Mtumishi wa Mungu sisi tulio mikoani tunabarikiwa na masomo yako hivi kanisa Liko sehemu gani na siku za ibada ni Lini na lini