NYOTA YANGU SEMINA |DAY ONE | - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @SALMAramadhani-e3j
    @SALMAramadhani-e3j หลายเดือนก่อน +2

    Askofu siku nikikutana nawe nitashukuru Mungu😢😢

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen hallelujah baba, Mungu akubariki mnoo kwa huu ufunuo na ufahamu wa kiroho, kuna mengi nimejifunza baba.

  • @hyratnnno107
    @hyratnnno107 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ya tatu ni kama kanisemea Mimi mtumishi nilikuwaga nafeli Sana shule na nilikuwa nazarauliwa Hadi na wazazi walie nizaa Kaka zangu na wadogo zangu walikuwaga wakinipiga Ila saiv mm ndio tegemezi Kwa familia 😢Gorly to God 🙏

  • @MnyabiGang
    @MnyabiGang 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe sana

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli Mtumishi wewe ni mwalimu.Unayoeleza nimepata maarifa

  • @harryvice77
    @harryvice77 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @patriciammbando5870
    @patriciammbando5870 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah🙏Sifa na utukufu vyote namrudishia Bwana Yesu🙌mana ni yeye Peke yake anaestahili🙌 Asante sana Mtumishi kwa mafundisho yako!!!Mungu azidi kukubariki kwa Jina ka Yesu naomba Amen🙏🙏🙏

  • @ishmaelkadosh1160
    @ishmaelkadosh1160 4 หลายเดือนก่อน

    Nyota matunda ya Roho

  • @christinecredo7945
    @christinecredo7945 6 หลายเดือนก่อน +3

    God bless you papaa

  • @EvelynJeremiah
    @EvelynJeremiah 6 หลายเดือนก่อน

    🙏AMEN💞THANK YOU LORD JESUS💞GLORY TO GOD💞AMEN🙏

  • @abinelmelick596
    @abinelmelick596 6 หลายเดือนก่อน

    Amen namshukuru Mungu kwa ufunuo huu naendelea kuhudumiwa kwa viwango vya tofauti

  • @NgobokaJonas
    @NgobokaJonas 6 หลายเดือนก่อน

    Mucungaji niko Rwanda nakupenda bararikiwa sana

  • @elishaurio1172
    @elishaurio1172 6 หลายเดือนก่อน

    Amina amina

  • @janecolleter
    @janecolleter 6 หลายเดือนก่อน

    Stay blessed pastor

  • @marychepkwony9449
    @marychepkwony9449 6 หลายเดือนก่อน

    Part 2 of this message, please about prayer

  • @SemeKyavake
    @SemeKyavake 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu garisha nyota yangu

  • @sylviaisack8594
    @sylviaisack8594 หลายเดือนก่อน

    Nataman nipate namba y mtumishi au group huw napat aman san

  • @mom3d832
    @mom3d832 6 หลายเดือนก่อน +1

    I really wish to talk to you in person.😢

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @kevinambetsa7468
    @kevinambetsa7468 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe.Sijui simu yang ndio huwa shida.Ama ni mimi pekeangu hu experience hii shida.Sauti yako huwa chini sana shughulikia volume ya sauti

    • @williamsofia7372
      @williamsofia7372 6 หลายเดือนก่อน

      Simu akoo.. Mimi nampata vyemaa

    • @RobertGwelela-zq2fr
      @RobertGwelela-zq2fr 6 หลายเดือนก่อน

      Labda ni simu yako maana hata Mimi nampata vema kabisa.

    • @lucyshedrack189
      @lucyshedrack189 6 หลายเดือนก่อน

      Ni cm yko anasikika poa sana

  • @sarangelime
    @sarangelime 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @gloryfrancis9773
    @gloryfrancis9773 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni

  • @catherineayako693
    @catherineayako693 6 หลายเดือนก่อน

  • @obedidamasi3537
    @obedidamasi3537 6 หลายเดือนก่อน +1

    Leo pasta na challenge
    Moja kumvua kanzu lengo lilikuwa ni kupaka damu ili wakamdanganye baba yake kuwa amekufa.
    Pili kumtupa kwenye shimo halikuwa na maji, kama yalikuwemo na yakakauka kwa ajili ya Yusufu Biblia ingesema hivyo. Kwahiyo dungu walijua kidogo ila roho mbaya dhidi ya mafanikio ya mdogo wao ndiyo ilikuwa imewajaa

  • @muchauben
    @muchauben 6 หลายเดือนก่อน

    Pp

  • @irenepoul8961
    @irenepoul8961 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amen🙏