Mimi sio mdogo. Asante Mungu Baba kunikumbuka leo na kunijilia ili kile ulichoweka ndani yangu kifanyike baraka. Barikiwa sana Mtu wa Mungu Sunbella kwa neno na huduma.
Amen amen ,this msg is for me ,am very greadful and hopeful that mahali wazazi hawakufika naenda kufika katika jina la yesu kristo,isay ii c ndoto yangu
MUNGU wangu mwema mkubwa sana, niliuugua nikapoteza ufahamu Wangu, nikawa ni mtu wa kuogopa tuu watu Hadi mwenyewe nilijiogopa MUNGU wa mbinguni namwamini sana
Amen.nimepambana sana ni miaka mitatu sasa nikiwa najitolea tu vishawishi vingi navipata kwa hichi kipindi naambiwa kutoa pesa ili nipate kazi lakini kunawakati mimi roho yangu na nafsi yangu haviko tayari
Kanisa lipo Dar es salaam lakini pia tuna ibada arusha na Dodoma, kwa arusha ibada ni jumanne kwenye ukumbi wa Carmatek njiro, na Dodoma ni ukumbi wa Dear mama.
Mimi sio mdogo. Asante Mungu Baba kunikumbuka leo na kunijilia ili kile ulichoweka ndani yangu kifanyike baraka. Barikiwa sana Mtu wa Mungu Sunbella kwa neno na huduma.
Naamin mm nimeibeba familia ila shetan anaizuia sana hatima yangu. Mungu mwaminifu anakwenda kuachilia ss kwa jina la Yesu🙏
MUNGU BABA nisaidie kujua kilicho ndani yangu kwa Jina la YESU.
Ahsante yesu ninakutukuzakwaajiliya mtumishi wakohuyu amekuanibarakasanakwangu,,,,
Ameni mimi sio mdogo nina iman ipo sku ntabadlisha historia ya maisha yangu na familia yangu
Amina, God has used you to deliver this message to me. Nimeinuliwa kiroho, blessings from Kenya 🇰🇪
Eeee Mungu wangu nionyeshe kilichoko ndani yangu,nikifanyie kazi.
Amen nakuelewa sana baba....Barikiwa tena na tena na tena......
Asante mtumish nmebarikiwa na hili Neno sitakata Tamaa Tena
Aiseeeee baba...🙌🙌🙌 I'm speechless.... be blessed man of God
Amen amen ,this msg is for me ,am very greadful and hopeful that mahali wazazi hawakufika naenda kufika katika jina la yesu kristo,isay ii c ndoto yangu
Mchungaji mungu akupe kuishii nakupenda saaana nanikuelewa
Amen mtumushi barikiwa sana
MUNGU wangu mwema mkubwa sana, niliuugua nikapoteza ufahamu Wangu, nikawa ni mtu wa kuogopa tuu watu Hadi mwenyewe nilijiogopa MUNGU wa mbinguni namwamini sana
Amen mtumishi hili nahis ni neno langu kabisa
Endelea kunikumbuka Baba na naahidi kuendelea kubaki na wewe😭😭
Hii Neema Yako mtumishi wa Mungu najiunganisha nao
Poverty is not my potion 🙏
From Burundi! Mungu ni Mwema sana! Njo wakati kabisa
Aman Amen mutumishiHii ni yangu nilikuwa nime give up kumbe ndio sababu.
Amina mtumishi Napokea kwa jina la Yesu 🙏🤍
Amen mtumishi wa Mungu
Amen
Amen.nimepambana sana ni miaka mitatu sasa nikiwa najitolea tu vishawishi vingi navipata kwa hichi kipindi naambiwa kutoa pesa ili nipate kazi lakini kunawakati mimi roho yangu na nafsi yangu haviko tayari
Great,,be blessed 🙏
Amina Baba mm ni zaidi ya bilionea Mungu usiniondoe kwenye ufahamu huu ili ukuu wako udhihirike kupitia mm.Asante mtumishi.
Pastor nimekuelewa sana!
Thanks MAN of GOD.....🙏🙏🙏
Mungu nisaidie kujikoboa
Amen amen amen!!!! Mungu nisaidie sana ili niwe lango la baraka ktk familia yangu!!
What a spiritual enlightment! I thank you God for this insights you placed in your servant for the dsliverance of our families.
Amen,najiunganisha na madhabahu hii ktk Jina la Yesu ,mim sio mdogo
Wish one day to visit this church
Barikiwa sana pastor you always makes me to understand where am coming from and where am going
Umasikini sio sehumu yangu in Jesus name amen
Mungu nipe tuuu neema nilijue neno lako 😭😭 nilijue tuu na niliishi🙏🙏
Ameni mtumishii
Ubarikiwe sana
Amen Amen Amen ❤
Pasta ubarikiwa sana
Mimi sio wa kawaida Amen 🙏🙏
Thank you man of God
Thank u man of God watching from saudi pam from kenya
Amen amen amen nampenda sana Yesu amenipa neno nimeimalika tenaaa
Amen, Amen and Amen. Hallelujah.
AMINA KUBWA Mimi nakwenda kubadilisha familia YANGU
Poverty is not my portion in JESUS name
Nimebarikiwa sana mtumishi, Mungu akubariki
I receive
Amen 🙌🙌
This is so powerful
Mungu atukuzwe sana mchungaji
Amen 🙏
Mungu akubariki pastor.
Ameen!! Ubarikiwe mutumishi wa mungu mwenye enzi.
Ubarikiwe mtumish wa mungu
Amen 🙏🙏
Nitaendelea kunyenyekea katika mkono mkuu wa Mungu
So powerful
Amen..
Umasikini sio Sehemu Yangu..
Mimi Ni Tajiri Kiroho na Kimwili Kwa Jina La YESU KRISTO WA NADHARETHI ALIYE HAI
Mungu Hutaniacha, All I have Is YOU LORD In Jesus' Holy Name Amen!
Mungu Akubariki saana mtumishi wa Mungu Aliye Hai Sunbella!
Amina ,wakati wa Bwana unakuja
Ubarikiwe sana mtumishi 🙏
Be blessed mtumishi 🙏🙏
Asante mtu wa mungu
Amen vita ni ya BWANA 😭🙏
Be blessed Man of God
Nimebarikiwa sana
Amen and amen
Mungu asifiwe sana
MIMI sio mdogo kwajina la yesu
Amen.
GOD have mercy on me
Amina mtumishi
Amen mtumishii
Ameena
Mimi siomdogo asante Yesu
Nisijidharau nimebeba kitu kikubwa sana kwenye maisha yangu
Poverty is not my portion in Jesus Mighty name, Amen🙏
Amen Amen 🙏
that is my message right now 🙏🙏
🙏👏🏻
Level's
Hapo sawa
Amen amen amen
AMEN
Nimebarikiwa sana na mahubiri ya mtumishi wa Mungu je! huduma hii inapatikana wapi?
Amen
Ameni
Ameen
Power
Ameeeeeen
Baba naomba namba yako nataka nifike kanisani kwako kesho
Poverty is not my portion
I see
The Devil IS a liar. Shetani ashindwe kanbisa.
🇹🇿🙏
ubarikiwe mutumishi unaongea ukweli kabisa
poverty isn't my portion
Pastor naomba namba yako nahitaji kuongea na wewe inbox.
0657173322
Nitaendelea kukaa nyumban mwa BWANA siku zote 🙌🙌
kanisa lipo wapi au mkoa gani
Kanisa lipo Dar es salaam lakini pia tuna ibada arusha na Dodoma, kwa arusha ibada ni jumanne kwenye ukumbi wa Carmatek njiro, na Dodoma ni ukumbi wa Dear mama.
dar es salaam sehemu gani