Bwana Yesu tufungue kutoka kwa hii kifungo.Maisha yeti yamekwama kwa sababu ya minyororo....Bwana Yesu tumechoka tufungue kwa sababu wewe tu ndio unaweza! Asante Roho mtakatifu kwa masomo haya.....Asante sana Yesu Asante Yesu kwa sababu ya mwanzo mpya!Asante kwa sababu tumefunguliwa
I'm so blessed with this message, niombie Mtumishi wa Mungu nichomoke niende ng'ambo.Nimekataliwa mara mbili kwa embassy lakini ninaamini baada ya kusikia hili neno nitarudi na ushuhuda!!
Niombee mchungaj yaan uliyoongea yananihusu..yote nilifunguliwa mpka kwenda mpk nchi za nje nimerud maisha yngu ypo vile vile hpo kwenye Jerusalem nimeelewa sanaa..Eeh YESU mwana wa Mungu naomba uniokoe ktk jina la YESU halie hai🙏🙏Am Blessed 👏👏
Mtumishi wa MUNGU natamani sana nikuone ila sijui napita wapi hadi wapi nikuone, nafatilia sana mafundisho yako,vingi unavyofundisha na kutoa shuhuda ninavyo mimi,natamani kufunguliwa pastor
Baba MUNGU wako atukuzwa kila Leo, Hakika NENO hili limekuwa funguo kwangu , NGUVU za MUNGU zimenishikia hapa chumbani kwangu. Jina la Bwana YESU liimidiwe milele, aimen aimen.
Dah ! Resistance ! This is so deep , its so deep to be comprehended. The limits . So insightful . This is my message . I have such stories and patterns.
Bwana yesu asifiwe naitwa aderina naomba maombi yako pasita nisaidie mafanikio yanguu sivuki na fanya biashara mitaji ina haribika madeni mengi baba nisaidie nipokagera mafungu ra kumi natoa kwa uaminifu
Ili somo ni la mwaka 2019 April kwangu nimelipata leo naomba mungu akanivushe, kwenye mipaka ya kazi mipaka kwenye biashara mipaka kwenye familia Mungu naomba univushe. Amina.
Somo zuri sana,ubarikiwe sana mtu wa MUNGU, hayo yote unayosema ni kweli, nimelima shamba,tumemtafuta mteja,kesho tukavune ,Leo jioni wakaingia watu wakavuna,ni mzigo mkubwa sana,ni more than 9 million, tukalima tena,tukaibiwa na anaelinda shamba,nimejitaidi kumpeleka mchumba nyumbani, amerudi tu,mahusiano yakapungua,mara hanitambui,akaoa, sasa hivi nakaa kwenye relations, more than 3yrs mwisho nikauliza lini tunaishi, nikaambiwa bado my be after 2yrs .mtu wa MUNGU inaumiza.
Siku moja nimesafiri kutoka mkoani kwenda dar na sikuwah kusafiri kwenda mkoa wote Lakini nilipokuwa navuka kutoka mkoa wangu kwenda mwingine moyo ukianza kuniuma sana sana na sikuwa na tatizo lolote 😭
Faileur of my progress,,, marrige,, and busines,,, today am getting out of this trap in jesus name
Kila mipaka niliyowekewa katika ulimwengu wa roho ivunjike kwa jina la Yesu kristo
Mtumishi nimekuelewa,Hawa akina shimei ni wengi Sana ktk maisha yetu.
Bwana Yesu tufungue kutoka kwa hii kifungo.Maisha yeti yamekwama kwa sababu ya minyororo....Bwana Yesu tumechoka tufungue kwa sababu wewe tu ndio unaweza!
Asante Roho mtakatifu kwa masomo haya.....Asante sana Yesu Asante Yesu kwa sababu ya mwanzo mpya!Asante kwa sababu tumefunguliwa
Amina nami nimefunguliwa piyaaa
Am from Kenya be blessed dad keep on preaching so that we delivered
RM 8:36 Rehema za Mungu zahitajika sana Giza likawe nasi
Amen daddy much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
A m e e e n. Mtumishi. Mungu atusaidie true!!!!!!!!!!
Asante baba leo nimejua maana halisi ya kufunguliwa..umetisha baba Kuna kitu nimefunguliwa ghafla..nikupate wapi nije nikushuhudie baba.
Mimi naona huyu mtumishi ametumwa kwa ajili yangu. It's like he was talking about me! I thank God for him
I'm so blessed with this message, niombie Mtumishi wa Mungu nichomoke niende ng'ambo.Nimekataliwa mara mbili kwa embassy lakini ninaamini baada ya kusikia hili neno nitarudi na ushuhuda!!
Amen Amen ibelieve to b delivered from poverty,, and relationship,,
Amina Mungu namimi nifunguwe kwenye vifungo vyafamilia
Amina .... Neema ya Mungu izidi kuwa juu yako, mafundisho yako yanafunua.
Mtumishi wa Bwana niko Arusha nakukubaligi sana,,Nakuelewa sana
Niombee mchungaj yaan uliyoongea yananihusu..yote nilifunguliwa mpka kwenda mpk nchi za nje nimerud maisha yngu ypo vile vile hpo kwenye Jerusalem nimeelewa sanaa..Eeh YESU mwana wa Mungu naomba uniokoe ktk jina la YESU halie hai🙏🙏Am Blessed 👏👏
ubalikiwe sana pastor hakika neno hili nimefunguliwa kabisa
Loving your preaching from Kenya🙏. Am blessed
Babangu weee kanifungua macho kweli , barikiwa mtumishi wa Mungu....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MUNGU akubariki Mtumish
Ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana ❤❤
Yesu nisaidie niweze kutoka mahari hapa sipakwangu, Ee Mungu wangu nisaidi peke yangu siwezi.
Shalom naomba mnitag mwendelezo wa hii
Nabarikiwa Sana nawapata nikiwa Omani
Mungu anakutumia sana mtumishi na haya mafundisho yana pumzi ya uzima🙏
Barikiwa 🙏 sana mtumishi mungu akupe viwango vya juu zaidi.god bless you
Mungu, MUNGU, mungu
Neno hili ni funguo kweli Mungu atu vushe kabisa Mungu akuzidishiye baba
Amen pastor 🙏
Amen mtumishi, tunaomba upate kibali uje mbeya pia
Nakuelewa Sana mtumishi...
Amina nimeguswa nimeliA MUNGU ANIVUSHE
UBARIKIWE SANA MTUMISHI
Hallelujah hallelujah hallelujah nitafika tu kwa uwezo wa mwenyezi mungu
Muhubiri sunbella, Mungu akubariki sana nimekua nikifuatilia jumbe zako na zimenifunza mengi i thank God for you am from kenya, thnks
God bless you 🙏 pastor 🙏
Mtumishi wa MUNGU natamani sana nikuone ila sijui napita wapi hadi wapi nikuone, nafatilia sana mafundisho yako,vingi unavyofundisha na kutoa shuhuda ninavyo mimi,natamani kufunguliwa pastor
Baba ubarikiwe mahubiri yako yananigusa sana ,,,,na huwa naingia kwenye mahusiano ,yanavunjika,,na sasa nimeongea kwenye ndoa,,napo nika unasuasua
Much Love from kenya
Baba MUNGU wako atukuzwa kila Leo, Hakika NENO hili limekuwa funguo kwangu , NGUVU za MUNGU zimenishikia hapa chumbani kwangu. Jina la Bwana YESU liimidiwe milele, aimen aimen.
Amen asante sana mchungaji kweli neno
am blessed daddy.. mtumishi naomba uniombee nina miaka miwili sisave pesa mshara wote natuma kenya kwa wtt niombee
Mtumishi Mungu akubariki sana. Yaan ninashindwa nikubariki kwa baraka ya aina gani ili moyo wangu uridhike. Wewe ni mwalimu mzuri sana.
God bless you
Mungu wako awe Mungu wangu mzee!! Najisikiaga kwamba ninajaa kila ninaapo kuona nakukusikia!!
Dah ! Resistance ! This is so deep , its so deep to be comprehended. The limits . So insightful . This is my message . I have such stories and patterns.
Mungu wangu umeruhusu nisikilize ujumbe huu tena usiku. Nakuomba uingilie kati.Uondoe kila mpaka na ntakuja hapa kushuhudia.
Be blessed servant of God.
Great service with a lot of message of deliverance and courage to pray in FAITH. Be blessed Mcungaji.
am blessed this is my message
Ubarikiwe mtumishi kwaujumbe mzuri naamin kupitia neno hili ,nitavuka tena kwakishindo.
neno la Mungu liliko ndani yako linaponya moyo wangu
Mungu akubariki sana mchungaji for this message! Napenda sana mafundisho yako
Asante sana mchungaji Naoba uniobee jia zangu zifunguke hayo yote umehubiri diyo hunitedekea niko Kenya
Bwana yesu asifiwe naitwa aderina naomba maombi yako pasita nisaidie mafanikio yanguu sivuki na fanya biashara mitaji ina haribika madeni mengi baba nisaidie nipokagera mafungu ra kumi natoa kwa uaminifu
Be blessed man of God
Nashukuru Mungu Kwa mafundisho haya kupitia mtumishi wake
Amen mtumishi ninakuelewa vizuri hajawahi tokea kuelewa
Blessed
Bwana asifiwe mtumishi wa mungu, nisaidie.
Shalom Baba MUNGU wako atukuzwa, Leo ktk Somo hili umenifungua kiroho.
Ameeeeeeeeen, nabarikiwa toka Songea, mtumishi ubarikiwe na Bwana, navuka kiimani.
AMEN
Ili somo ni la mwaka 2019 April kwangu nimelipata leo naomba mungu akanivushe, kwenye mipaka ya kazi mipaka kwenye biashara mipaka kwenye familia Mungu naomba univushe. Amina.
Amina Amina Amina Amina
God bless you .neno limenigusa sana hakika mungu anaenda kunifungua
Amen pastor, through this word let God bless me and change my life
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu umenifunza kitu Cha muhimu Sana, Nehema ya Bwana yesu ikutoshe.
Amen and Amen!
Ur the best in teaching Man of Living God 🙏🙏 blessed.. though iam Shimel in Marriage n economic
Amen....a powerful message
Somo zuri sana,ubarikiwe sana mtu wa MUNGU, hayo yote unayosema ni kweli, nimelima shamba,tumemtafuta mteja,kesho tukavune ,Leo jioni wakaingia watu wakavuna,ni mzigo mkubwa sana,ni more than 9 million, tukalima tena,tukaibiwa na anaelinda shamba,nimejitaidi kumpeleka mchumba nyumbani, amerudi tu,mahusiano yakapungua,mara hanitambui,akaoa, sasa hivi nakaa kwenye relations, more than 3yrs mwisho nikauliza lini tunaishi, nikaambiwa bado my be after 2yrs .mtu wa MUNGU inaumiza.
Amin
Pole sana
@@renatusdeogratias2108 asante sana,
B blessed man of God more and more Grace 🙏🙏
Ili somo nilangu kabisa pastor, Mungu naomba kuanzia leo nifungue
Mungu nisaidie pls nakuomba kupitia maombii ayaaaa
Mungu akikupa mkate na pia anakupa mbegu upande ili ubalikiwe
Mtumishi Mungu akubariki sana kwa mafunuo hayo.
Ameen
Nina barikiwa sana na mafundisho yako mpakwa mafuta wa bwana somo hili linanigusa sana
Nipo kwenye mpaka wa kiuchumi
Barikiwa Sana mtumishi kuna mahali unanivusha
Nimebarikiwa sana
Amen pastor God bless u
Barikiwa mtumishi Mungu azidi kukuinua viwango na viwango
Ubarikiwe sana mtumishi Neno la ukweli
Nimeelewa kweli unanisaidiej sina msaad
So powerful,thank you Lord
Balikiwa
Amen Mtumishi, God bless you
Amen mtumishi barikiwa sana
Mtumishi, Mungu aendelee kukubariki naomba namimi Mungu anikumbuke katika eneo la uchumi na afya yangu
Hakika Mungu atafanya
Kweli Yesu Jina lako Limetukuka kuliko majina yote
Good message 👏at good time. Thankyou God am blessed
Ameni
Kila vikwazo maeneo ya uchumi ndoa kazi vunjika kwa jina la yesu kristo
Siku moja nimesafiri kutoka mkoani kwenda dar na sikuwah kusafiri kwenda mkoa wote Lakini nilipokuwa navuka kutoka mkoa wangu kwenda mwingine moyo ukianza kuniuma sana sana na sikuwa na tatizo lolote 😭
Barikiwa Mchungaji ujumbe huu ni yenye ukweli akina Shimei ni wengi katika kazi na kwa jamii.
Nafwata somo hili toka DRC
Mungu nisaidie mtumishi wako nateseka...
Amen in jesus name
🙇🏻♀️🙏
Tunashukur kwa somo paster. Ila nahitaji msaada wako peke yangu siwezi. Nina matatizo pastor
Asante Mtumishi wa Mungu
Umenigusa baba
Kweli poster. Nimejikuta nalia, Mungu aniwezeshe kutoka katika hiyo mipaka
Be blessed so much MOG for the great revelation you have revealed the hidden secret, May God continue to use you mightly
praise God man of God, I am based in kenya, if someone want to talk to you how can I get your contact?
@@clementinenyoks8854 kunakuaga namba hapo ya watsap yke