ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Roho ya umaskini haikuzuii KUNENA kwa lugha, lakini itahakikisha kwenye eneo la fedha hausogei.
Kilichomfanya huyu mtu atoke kwenye makaburi ni kwa sababu ya uwepo wa Yesu, Ulimuhamisha kutoka sehemu ya mauti aliyokaa muda mrefu.
Kuna watu kwenye ulimwengu wa roho wamehamishwa na kuwekwa kwenye location(maeneo) ambapo wakiwa kwenye hayo maeneo chochote wanachokifanya KINAKUFA.
Shetani ili afanye uharibifu kwako huhakikisha kwanza amekuweka kwenye eneo ambalo anapata access na wewe wakati wowote akihitaji, vilevile huhakikisha wale ambao ni msaada kwako anakutenga nao.Ndio maana kuna aina fulani ya watu kila wakija karibu na wewe ndani yako kunainuka tabia ambazo hata hujui zimetoka wapi..kiburi, hasira iliyopitiliza,majivuno n.k na kipindi watu hawa wakiondoka unarudi katika hali yako ya kawaida.Na watu wengi jambo hili limewatesa sana kwa sababu hawajui chanzo ni nini.
Ukiwa kwenye eneo la namna hiyo kila atakaye kuja kwenye maisha yako ana tatizo kama lako,na ndio maana wewe na rafiki yako wote mnapitia changamoto zinazofanana.
#PastorSunbella#RohoYa#Umasikini
Amen naomba uniombee naishi karibu na makaburi naomba msaada wako mtumishi wa MUNGU
Amen naikataa.roho ya umaskini kwenye familia yangu roho ya kutofanikiwa kutojenga kutooa kutopata mtaji ofisi kko
Roho za umasikinii na ziachiee familia yangu kwa jina ls YESU KRISTO
Mimi ni mwislam ila nakufatilia sana pastor
Karibu Yesu anaweza na wala habagui mkiri tu na umwamini
Barikiwa Sana Yesu anakupenda sana
Mimi Salvatory A Rwechungura na family yangu nakataa roho ya umaskini Yesu fungua bishara yangu amen 🙏🙏🙏
Nakataa roho ya umaskini kwa jina la Yesu Amen.
Asante kwa mafundisho mazuri ya neno la mungu mtumishi
Katika Jina la Yesu Kristo mimi na uzao wangu ni uzao wa kitajiri nimepewa utajiri na Yesu na sitakuwa masikini kwa namna yeyote ktk jina la Yesu Kristo amina
Nimekataa roho ya umaskini kwa jina la yesu aliye hai
Yan somo hili ndio maisha ninayoyapitia kila nacho kifanya hakifiki mwisho
Kiuchumi na maisha
Mungu ajizihishe ndan ya maisha yangu
Naogopa Mimi naogopa niniii ndugu yangu Mungu atusaidie sana
hali inatisha sanaa 😢😢😢
Amen naikataa roho ya umaskini kwa mamlaka ya jina la yesu
Amen naikataa roho ya umaskini kwenye familia yangu
Nimeteseka sana na roho ya umasikini. Mungu anihurumie.
Amen nimekuwa nikipitia mapito magumu sana nasali sana natoa sana sadaka kuchangia injili lakini sioni mafanikio mpaka nimefikia kukataa tamas
Wewe ninabi wamungu waukweli kabisa mungu azidi kukupa maisha marefu
Kuanzia Sasa ninaikataa roho ya umasikini katika familia yangu ,Kwa jina la yesu na Kwa damu ya yesu
Kwa Familia yangu, tumeishi kwa nyumba zilizoachwa na wenyewe, Sai miaka 29 na bado hatujapata shamba letu ama mahali PA kuita nyumbani, 😢😢Sai niko Saudi Arabia miaka miwili naelekea ya Tatu lakini ukiniuliza nimefanya nini ntashindwa kujibu maana hakuna lolote na sio ATI sipewi pesa napewa mshahara, nikipata tu hivi, mtu akiniomba pesa Nampa na maybe wakati huo nilikua nimepanga nafanya hii na hii😢sijui shida iko wapi, nikipata mpenzi namtumia pesa na mwishowe ananiacha aki nimeshindwa ntajitoa aje kwa hii situation, nimeomba namlilia mungu lakini hakuna mabadiliko, 😭😭
Pole. Mtafute mchungaji aku guide maombi ya kufanya.
Wewe unahitaji maombi ya hatua kwa hatua.
Nitafute TikTok tuweze kusaidiana nawe kwa maombi....pope Benedict jina langu,,au ukifiatilia mahubiri ya huyu muhubiri kwa kweli utaona ushindi
Nimekuelewa sana mtumishi MUNGU akubariki mno, naona kama unayazungumzia maisha yangu hapo yaani MUNGU anisaidie
Roho ya umaskini niache Mimi na familia yangu kwa Damu ya Yesu na kwa Jina la Yesu
Mtumishi wa Mungu napenda sana mahubiri yako Mungu akubariki
roho ya Umaskini iachie familia yangu katika jina la YESU KRISTO WANAZARETI ALIYE HAI
Nawafuata 100%nikiwa Burundi Mubalikiwe sana pasta Sanbella nimesaidiwa sana
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, napenda sana masomo yako,mimi heaven nachukia sana umasikini,kwetu ni mimi peke yangu nimesoma,na MUNGU akanisaidia nikapata kazi,nikamshukuru MUNGU nitawasomesha wadogo zangu,lakini sasa huku kazini nimekua wa madeni,naweza hesabu laki 3,naweka juu ya meza ofisini kufumba na kufumbua sizioni, ntatafuta hadi kwenye viatu sizipati, nimekua mtumwa wa madeni na mimi ni cashier.
Nimebarikiwa Sana,
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri, Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya
Nakataa roho za umaskini katika maisha yangu kuanzia sasa ivi katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth minavunja kila kilisho shikilia hata uchumi wangu na kazi yangu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth minavunja Amen Amen Amen Amen
Amen sana 🙌 mimi niliaza kukufatilia leo pastor maumbiri yako naielewa sana na inatia moyo wakusonga mbele.
Asante kwa kunifungua
Muchungaji, ubarikiwe Sana, hili Somo limeniguza, naomba uniweke kwa maombi, ili Roho ya umasikini iniondokehe, na nipate location mpya nimeishi miaka mingi sana hapa , sioni nyuma Wala nyuma Mungu anifungulie kupitia kwa maombi yako na nitakushukuru,Amen
😭😭😭😭roho ya umaskini na mapooza hebu achilia familia yangu katika jina la yesu kristo wa nazareth aliye hai 😊
Asante mtumishi wa mungu.Umenifungua macho,napitia hayo naomba mungu anikomboe
Ninakataa roho ya umaskini kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏
Nakataa roho ya umaskini kwa jina la yesu kristu.
Eewee Roho ya umasikini skiaaa mimi na familia yangu kuanzia leoo Sasa ivi ni matajri Tena wakubwa wala syo masikini Tena katka Jina LA YESU KRISTO alie Hai eee MUNGU sikiaa maombi yangu na dua zangu nautoaa mwili na moyo wangu kuwa dhabihu Hai kwako nitumiee vile upendavyo ktka Jina LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU AMENI
your teachings bless me alot Mungu akupe kibali uje na Mbeya
Amina
Mafundisho yako ni mazuri mtumishi wa mungu na yanagusa Sana maisha yetu.Nataman sku moja nipate mda wa kufika kanisani kwako kujifunza na kupata maombi namuomba mungu ajalie Hilo litimie.
Baba naomba niombee mungu aniwezeshe kujenga nyumba hivi nina miaka hamsina tatu naishi kwenye nyumba ya kupanga We mungu nisaidie niondolee riho ya umaskini
Daddy 😪❣️Una nibariki sana😪😪Ahsante YESU WANGU
nimebarikiwa na ibada hii imenivusha mahali kwa hii elimu Mchungaji ubarikiwe
Jina la bw. Yesu lihimidiwe! Ni mfuatiliaji makini wa mafundisho yako! Mungu akubariki.
Asante sana mtumishi kwa somo ,amen nmepata somo kabisa
Ee mungu wangu isimamie famiria yangu itoke kwenye umasikin
Amina sana mtumishi nakuelewa
Amen mtumishi barikiwa sana
Mafundisho mazuri sana mtumishi na ni kweli ww ni mwalimu kweli kweli maana mwalimu sahihi lazima afundishe Kwa mafundisho yenye uhai ndani yake
Heee yesu unirehemu, kweli mkono wakuume umefunguliwa ila wa koshoto umefungwa
Barikiwa napokea kitu kipya kunamahali ananivusha
😢😢😢😢pastor Nataman unisaidie hilo mama Angu Ni mtumishi Anasaidia watu mapepo yanatoka ila bado kuusu uchumii sijui imeekaaje hapoo😢
Pasto mafundisho yanagusa maisha yangu kabisa
amen mtumish...mungu aniondolee roho ya umaskin kwa jina yesu
AMENI na roho ya umaskini initoke katika jina la YESU
Nakumbali Sanaa zaidi ya sanaaaa!!!!!!mtumishi
Roho ya umauti unitoke ndani ya kwa jina la Yesu
Asante Mungu
Asante nashukuru Kwa mafundisho yako pastor sanbela
Yesu fanya jambo
Amen
Nakuelewa vizuri sana mtumishi , ila Kuna jambo la kufanya hapa....ì
Ameeen Yesu niponye
Be bless pastor
Ameen Pastor
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
nimepend mafundisho yak nataman nije kanisan kwak sik moj kyando mwenzang
Hallelujah hallelujah
Be blessed Kyando
Amen Amen barikiwa sana man of God 🙏🙏
AMINA mtumishi wa mungu
Nikweli man of God
Amen Amen 🙏🙏
Nakataa umaskini mim na family yangu natoka kwa jina la yeau
Ndio mchungaji nakuelewa sana nipo simiyu naitwa Rachal
Amen 🙏🙏🙏
Iam being blessed.
Nakataa roho ya umaskini maishan mwanguu
Amen mchungaji😭🙏🏾
Hasee mafundisho mazuri Sana haya
Amen Amen
Amen and Amen Pastol ,ujumbe unabarikiii sanaa
Nakataa rohoya umasikin
Ameen
Ubarikiwe Mtumishi.
Nakata logo ya umasikini katika jina la Yesu
Hugoni kutoka tanga... Barikiwa Mtumishi
pastor karibu sana na Mbeya pia
Amina Mungu atusaidie Sana.
Asifiwe yesu mm Huwa sipati kazi nikipata napata za ndani lkni hizo za ndan pia siwezi kudumu zako mwanzoni au baada ya mda Fulani nitapendwa sana ila akiweka Nia ya kunisaidia ataanza kupigwa kiuchumi gafla anaanza kunichukia 😢nikijiajiri sifanikiwi nikikaa kwenye biashara ya mtu hata wale wateja wake wanamuhama pastor I really need help
Una roho ya kukataliwa
Weka namba yako hapa nitaiona ntakuombea kwa MUNGU wangu atakutoa kwenye ilo jambo amini na nitakupigià Mimi comment yako imeniuzunisha sana
🙏🙏
Ni kweli mtumishi
Roho ya umaskini initoke in Jesus Name
God bless you pastor
Wadada wa Tanzanian wanapendeza mno. Nywele zimeshukwa poa na wako smart. Mumebarikiwa
Amen, amen.
Amen 🙏😭
kama ukoo wetu hakuna mtu hata mmoja aliwahi fanikiwa...kama vile Mungu aishivyo nimekataa kuwa muhathiriwa kwa Jina La Yesu aliye hai
Sioni nyuma Wala mbele
Najifunza Sana hakika napata nguvu
Be blessed man of God
So touching
Amen
Roho ya umaskini inatesa wachungaji
🙌
GOD BLESS YOU TEACHERS
WAKATI SAHIHI KABISA NILIKUWA NAJIULIZA SANA MAISHA YANGU YATAKUWAJE
Amen mtumishi wa mungu.