YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2021
- Ndugu wa Lazaro waliumizwa sana kwa kifo chake, Martha ndugu yake Lazaro ndiye alikua wa kwanza kupinga kupndolewa kwa jiwe kwasababu ya hali ya mwili wa Lazaro ndani ya kaburi.
Kuna nyakati Yesu hujitafutia mazingira ya kufufua vilivyokufa na vilivyo OZA.
Wakati mwingine unapopitia changamoto ngumu, unapaswa kufahamu Mungu anakuangalia kwa jicho la karibu sana. Kadri ambavyo mambo yanazidi kuwa magumu ndivyo ambavyo na yeye anazidi kuwa karibu zaidi. Anafanya kazi yake kimya kimya ndo maana ni rahisi kusema Mungu ameniacha.
#PastorSunbella#Kufufua#VilivyoKufa
Asante sana Bwana YESU kwa ajili ya mtumishi huyu. Nabarikiwa sanaa🙏
Amen Mtumishi wa Bwana. kumbe Tunahitaji tumaini tuu kwani Yesu anajichelewesha siku nyingine mbili mbele, Yes Bwana Tumekufa Yesu anasubiri tuoze . ametusikia maombi yetu ila anasubiri tuoze ili ajitwalie utukufu.
AsanteYesu kwani unajua yanayotokea leo unajua yaliyotokea jana pia unajua yatakayotokea kesho Ehe Yesu tupe uvumilivu. Pamoja naye Bwana tusaidie
Amina mchungaji napenda mahubiri yako naomba mungu afufue Maisha yangu afufue Maisha ya watoto wangu
Mahubiri yangu hayo mtumishi. Mungu ni in use tena.
Ameni napokea kufufuliwa na yesu
Amina ubarikiwe Sana mtumishi sunBella ...Kwa ujumbe huu ..
Kila kilichokufa kila.kilichooza Kwa Maisha ya watumishi Na kanisa la Mungu , Na hata kwa familia zao , VIKAFUFULIWE KWA JINA LA YESU ...
Amina bado mungu yupo pamoja na Mimi baba nimekufa Ila sijaoza ninaomba usiniabishe
Mungu hawezi kukusahau! Hawezi kuacha ujifie mwenyewe.. Barikiwa mtumishi
Najua utajibu mungu wangu najua bado unaniwazia naomba univushee
Mtumishi karibu, njoo pia Kigoma ufungue watu waliofungwa, nahitaji sana maombi yako.
Power of Holly Ghost at work.Thank you Jesus
Ubarikiwe sana mutumishi
Barikiwa san mtumishi kazi yako ni njema 🙏
HAKIKA nabalikiwa na mafundisho yako safiii kabsa
Amina maden hayatanimaliza mungu anaenda kunivusha
Aminaa mm nimkopeshaji mungu nisaidie
Barikiwa baba yetu
Mungu amekutuma kwa ajili yagu,touching message
Asante kwa ujumbe huu. Yesu fufua vilivyo kufa ndani Maisha yangu.
Ee mungu naomba ukanivushe kwa ushindi haya madeni yanataka kunitoa roho baba naomba univushe
Kuna kitu nimenoti roho mtakatifu yupo kwenye kanisa hili kabisa
Andika Roho Mtakatifu kwa herufi kubwa kumweshimu
Asante kwa neno la Mungu, Yesu naomba ufufue vyote vilivyokufa ndani yangu, ninaomba nikiamini kwa jina lako Amen
Asante past mimi ni bonheur Niko🇨🇩 ninakua nafatilia mafundisho Kila muda , past nalikua natamani nipate numéro Yako il nipate maombezi, kutoka kwako kwasababu ninapenda nifunguliwe kwa vita ya familia
Hallelujah hallelujah thank you lord Jesus amen 🙏🏼
Blessed pastor sunbella kyando 🙏
4days late, but HE is still on time. Very encouraging. Thank you🙏
This is a very touching theme be blessed
Hallelujah glooory be to God powerful great message of encouragement
Nakushukuru mungu kwa sababu umenisikia🙏🙏🙏
Niombee mtumishii nimechokaa mimi
Amina sana
And Groly be to God
Amen mtumishi barikiwa sana
AMINA 🎉
Amen Mtumishi
Yes do to me Lord
Amen Amen
Barikiwa
MUNGU atahakikisha anakupa nafasi ya kuishi hata Kama mazingira hayaruhusu
Hakika nimebarikiwa asante mtumishi mungu akurinde
Amen
Amen 🙏
Amina
Hallelujah
My word
Amina 👏
MUNGU fufua kilichokufa ndani yangu
Amen🙏🙏
Halelujah
Halelujah
Shule hii nikubwa sana.
Amina Amina
This is my msg thanks be to God
Ili uheshimiwe sana ni lazima udharaulike sana 🤲🤲🤲🤲🤲
Amen amen
AMEN
Kweli kabisaaaa ndio ubarikiwe unahaibika kweli kweli..
Eh yesu wewe ambaye uhangaliyi umbali, naja mbele zako, maombi yangu kwako Mungu wewe usiye shindwa na cho chote ufufu kile kile kilicho kufa ambacho hadi leo kina niacha na manunguniko.
Kwetu kenya..
Hakika ufunuo kupitia hii ujumbe ni kamilifu..
Asanti.
Eh Mungu fanya jambo moja tu kwangu kufufuwa kilicho kufa ili ujitwaliye utukufu watu wamataifa wa hikoke kipitiya muujiza
❤
Martha akaobdoe jiwe la madeni kwangu..
AMEN
AMEN
AMEN
Ameen🤲🤲🙏🙏
Amen ✊✊
Im blessed
Amen and amen🙏
Amen🙏🙏🙏
Ameeen
Nimechoshwa na madeni jamani..
Kila eneo nimejaa maden
Amen
AMEN
Eh yesu wewe ambaye uhangaliyi umbali, naja mbele zako, maombi yangu kwako Mungu wewe usiye shindwa na cho chote ufufu kile kile kilicho kufa ambacho hadi leo kina niacha na manunguniko.
Amen 🙏
Hallelujah
Amen🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
AMEN
Amen
AMEN