TUSIPOOMBA SANA,MAMBO HAYA YATATUKIA KATIKA SIKUKUU ZA KUFUNGA MWAKA HUU|Unabii wa Malendeja Makashi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2023
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 46

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 6 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed promover tv n mtumish wa MUNGU.kila mtu ageukie njia yake mwenyew

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ee YESUKRISTO karibu kwangu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😊

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina sana

  • @kalistokihwili
    @kalistokihwili 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo wengi wetu tumekuwa wasikiaji sana wa Neno,na sio watendaji wa Neno la Mungu.

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubarki san mtumishi kwa ujumbe mungu azidi kkupa neema ya kutuonya

  • @keziaranga6329
    @keziaranga6329 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi Wa Mungu kwa kutuletea ujumbe kutoka kwa baba yetu, wako wapi waombolezaji waomboleze kwa ajili ya nchi yetu, Yesu uturehrmu sana

  • @Werema3760
    @Werema3760 7 หลายเดือนก่อน +2

    ■Hakika nami naliona hili. Kanisa li ktk hali mbaya kiroho si kimajengo no. Mungu anakwenda kuipiga dunia. Naliona watu maelfu wakifa. Nalipo jaribu kutubu kwa ajili ya taifa haikukubalika.■HAKIKA IMEKUSUDIWA.😭. Nalisikia sauti hii "HAKIKA WENYE HAKI WANGU WAISHI"

  • @janetisaac1084
    @janetisaac1084 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu wangu naomba utuhurumie,asante promover, kwa huduma hii nzito

  • @janetisaac1084
    @janetisaac1084 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi nimeogopa kwa ujumbe huu ni mzito,asante,sio wakati wa kusheza na dunia,Mungu aturehemu ,Kila sikio lisikie Neno ambalo Roho aliambia kanisa

  • @leonidasbzzojoyhatung3118
    @leonidasbzzojoyhatung3118 7 หลายเดือนก่อน

    🙏Yesu aturehemu sisi na watoto wetu.hakuna msada mwingine isipokuwa Bwana wetu Yesu kristo.barikiwa mtumishi❤💐

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq 6 หลายเดือนก่อน

    Tuombe Neema Ya BWANA kwa kweli

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna wakati moyo wa mwanadamu hauwezi kutubu toba anayoitaka Mungu. Uwezo wa kutubu yaani kugeuka na kuacha njia mbaya uko mikononi mwa Mungu ,ndio huo mlango wa neema anaouzungumzia huyo mtumishi kuwa unafungwa. Unajikuta tu hauwezi kuiacha dhambi yako hata kama unaijua ni dhambi, unasikitika, unajililia lakini huwezi kuiacha mpaka hukumu ya Mungu inakukuta katika hali hiyo. Mlango wa neema haufungwi mtu anapokufa unaweza kufungwa hata ukiwa hai.

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona umezungumza jambo gumu sana jamaa

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 7 หลายเดือนก่อน

      Haueleweke hata kidogo.

    • @MaishaNaAnna
      @MaishaNaAnna 7 หลายเดือนก่อน +1

      Very true ulichokisema🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @christinaisanguisangu2974
      @christinaisanguisangu2974 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli Ee Mungu wangu

    • @michaelassam5789
      @michaelassam5789 6 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi, Ila cyo kwa mwanaadamu aliye tokana na asili ya adamu.

  • @felixmugambi2237
    @felixmugambi2237 6 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi manabii wauongo wanakunywa bangi mingi sana

  • @gracegasper6694
    @gracegasper6694 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu kwa zawadi pekee ya ujumbe huu,barikiwa mtumishi

  • @naomysamuel6799
    @naomysamuel6799 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ujumbe mtumishi
    Mungu akufunulie zaidi.Amen

  • @ester7689
    @ester7689 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa BWANA mungu atuokeoe na ghadhabu yake

  • @Senga.W
    @Senga.W 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-tz5xm2ey7f
    @user-tz5xm2ey7f 7 หลายเดือนก่อน

    Amena kubwa MUNGU akubariki mtumishi

  • @kalistokihwili
    @kalistokihwili 7 หลายเดือนก่อน

    AMINA.

  • @user-fq6ox8ck4p
    @user-fq6ox8ck4p 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mnooo nmekuelewa sana

  • @IdahNambelasiwala-qs3su
    @IdahNambelasiwala-qs3su 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bettyadhiambo9557
    @bettyadhiambo9557 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtu wa MUNGU

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu uturehemu Bwana

  • @user-fq6ox8ck4p
    @user-fq6ox8ck4p 7 หลายเดือนก่อน

    This is powerful

  • @user-fq6ox8ck4p
    @user-fq6ox8ck4p 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana 😊

  • @elizabethwairimu7089
    @elizabethwairimu7089 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 😢

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 7 หลายเดือนก่อน

    Ooh God have mercy on us 🙏🙏

  • @user-sk4mt4hd2b
    @user-sk4mt4hd2b 6 หลายเดือนก่อน

    We umechelewa kutuambia miezi 12 imeisha

  • @user-fq6ox8ck4p
    @user-fq6ox8ck4p 7 หลายเดือนก่อน

    Oh tunakuomba BABA 😢

  • @user-fq6ox8ck4p
    @user-fq6ox8ck4p 7 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mgum kwa ajil ya kanisa lkn ni lazima lisikie😊

  • @christianmulunga5504
    @christianmulunga5504 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mbarikiwe sana🙏

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika huu ni wakati wa kurudia kwa MUNGU kwa toba ili atusemehe

  • @estersamwel721
    @estersamwel721 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi tufanye nini ili turudi kwenye imani.

  • @maryharrisngagasy7689
    @maryharrisngagasy7689 7 หลายเดือนก่อน

    Yuko pamoja🙏🙏🙏

  • @annajotham9478
    @annajotham9478 7 หลายเดือนก่อน

    EeeYesu nisaidie unapo,Rudi uniokoe

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu naomba namba nataka kutubu

    • @CSMTZTV
      @CSMTZTV 7 หลายเดือนก่อน

      Namba ya MTUMISHI MALENDEJA MAKASHI 0683373997

  • @vedastogwido5311
    @vedastogwido5311 7 หลายเดือนก่อน

    Amina