Part5_Mapepo katika fomu ya kibinadamu,hawa waigizaji nao wamo|USHUHUDA WA RACHEL&ZIPPORAH MUSHALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 102

  • @otacyndula5491
    @otacyndula5491 2 ปีที่แล้ว +20

    Kwa hilo ni kweli,,,, hata wale wanaobadili jinsia wengi wao ni mapepo yanafanya hayo ili tuone ni jambo la kawaida, Bwana Yesu atuokoe

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 2 ปีที่แล้ว +22

    Huu ni ukweli Jaman! Mtu yeyote Asiupuuzie

  • @jamesmarema8590
    @jamesmarema8590 3 หลายเดือนก่อน +2

    Namuamini MWENYEZI MUNGU katika hili ataendelea kutulinda,yeye ni zaidi ya mlinzi kwetu...WE LOVE YOU OUR FAITHFUL GOD THANKS FOR REMINDING US...

  • @jamesmarema8590
    @jamesmarema8590 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi
    Mungu atukumbuke na awajalie zaidi maono kwa ni mwaminifu hatowaacha kamwe!!!

  • @AdolphMarenge-jd6vw
    @AdolphMarenge-jd6vw 4 หลายเดือนก่อน +2

    asante sana Mungu naomba umbariki sana mtumishi wako jacktani kwa kutuletea ujumbe wako mtakatifu

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 ปีที่แล้ว +11

    Waah,jameni bila kuongozwa na Roho Mtakatifu na kuishi kwa Maombi ya kila dakika hatutaweza haya Maisha,Mtumishi wa Mungu barikiwa sana,inuliwa kwa viwango vya juu

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 2 ปีที่แล้ว +7

    Kusikia hizi shuhuda ni Neema ya Mungu tu.

  • @LukasNdaji
    @LukasNdaji 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki sana

  • @mariachannelke9769
    @mariachannelke9769 2 ปีที่แล้ว +19

    I’m following following the testimony while in Cairo as a Kenyan 🇰🇪🇰🇪 jactan God will pay you too for educating us
    May the lord be my strength

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 2 ปีที่แล้ว +3

    We YESU niepushe na marafiki mapepo ya kujigeuza binadamu

  • @rhodalissu6953
    @rhodalissu6953 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na shuhuda hizi, Mungu aendelee kuwatumia zaidi

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 2 ปีที่แล้ว +8

    Kweli inabidi tupige injili ya YESU KRISTO bila kuchoka , BWANA YESU KRISTO anatupenda tumejua siri hii,

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni hatari Yesu uniokoe tembea nami na kizazi changu bwana wangu nilizipenda sana hizi filam za Nigeria nakili kuacha

  • @riccahcate8126
    @riccahcate8126 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Baba naomba rehema yako katika maisha yetu utupe macho na maskio ya rohoni tupate kuelewa kuwa ni Yesu tu ndiyo njia ya uzima wa milele

  • @penieliedward6768
    @penieliedward6768 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii itakuwa kweli kulingana na kitabu cha Danieli 2 _43 watajichanganya nafsi zao na binadamu lakini hawatachanganyikana kama udongo usivyo chakanyikana na chuma

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Yesu naomba unipe macho na masikio ya rohoni tuone na kuepuka usio penda

  • @piliechildofkingjesus4594
    @piliechildofkingjesus4594 2 ปีที่แล้ว +5

    Inatisha sana ila Bwana Yesu ni ngao yetu.

  • @MariaMwasyila-mq6yc
    @MariaMwasyila-mq6yc ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie pia atupe macho ya rohoni na masikio tuweze kuepukana na uongo wa shetani

  • @peninahkariuki1136
    @peninahkariuki1136 2 ปีที่แล้ว +4

    Ameen still following 'may God help us 🙏🇰🇪

  • @rebecafuraha8051
    @rebecafuraha8051 2 ปีที่แล้ว +4

    yesu utusaidiyee kweli bila WEWE hatuwezi kitu.nanjoomana muvi nyingi za Nigeria zinakuwa zakichawi😭😭😭

  • @rashidkayeke712
    @rashidkayeke712 2 ปีที่แล้ว +9

    YESU ni Mwema. anayafunua haya ili tusipotee. Hizi habari hata Moses Kulola alizihubiri .
    Jacktan naomba YESU akulinde uendelee kufanya injilii hii.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @daudijacob7377
      @daudijacob7377 ปีที่แล้ว

      Tuwe making ktk kuomba Hawa n wengi kuliko binadamu halis tuombeane kanisa

  • @mwanga3358
    @mwanga3358 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, naona sisi tuna Neema kufunuliwa hivi vitu, Mungu atunusuru kwasababu dunia kweli inatisha damu ya Yesu itufunike kila mahali tutajikuta

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimeshangaa hao waigizaji wa Nigeria! Patient ana kanisa pia na watu wanahudhuria wengi tu! Ahsante Yesu kwa mafunuo haya ya kushangaza!! Mungu akubariki sana Jacktan.

    • @kithia100
      @kithia100 2 ปีที่แล้ว +3

      Nilipenda saana filamu za patient but since my turning point roho yangu ilikataa kabisaa ku watch Tena hixo filamu

    • @kithia100
      @kithia100 2 ปีที่แล้ว +1

      Leo ndio nimejua kwa nini asante sana jktn

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 2 ปีที่แล้ว +1

      @@kithia100 hata mimi

    • @rmaryp6269
      @rmaryp6269 2 ปีที่แล้ว +2

      @@kithia100 Hata mimi! Pia ilitokea tu nikawa siangalii kbs movie zote za ki-Nigeria. Namshukuru Roho Mtakatifu kwa kunizuia; kumbe wahusika wenyewe ndo hao!!

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @lilianngushi1531
    @lilianngushi1531 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu tunusuru na hii falme ya ngiza/mapepo 😭😭😭😭😭

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 2 ปีที่แล้ว +3

    MUBARIKIWE WATUMISHI WA BWANA WETU YESU KRISTO.

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh yesu wangu🙏

  • @RadiyaHassan-m7g
    @RadiyaHassan-m7g 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi unanifungua ufahamu wangu kupitia maona aya

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu tusaidie

  • @gladnessvuzuka7756
    @gladnessvuzuka7756 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu tunaomba utusaidie

  • @daisymuthoni675
    @daisymuthoni675 2 ปีที่แล้ว +5

    Following n learning alot from🇰🇪

  • @josephmarwa7212
    @josephmarwa7212 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @kamwelameshack4795
    @kamwelameshack4795 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushuhuda ili tutengeneze maisha yetu kwa Bwana hakika Jacktan Mungu akubariki

  • @khwakasarah4582
    @khwakasarah4582 2 ปีที่แล้ว +1

    Leaning alot brother be blessed more grace and wisdom and protection of God Almighty in Jesus might name Amen

  • @josephmarwa7212
    @josephmarwa7212 2 ปีที่แล้ว +3

    Yesuuuu😭😭😭

  • @dominicgreyson3734
    @dominicgreyson3734 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtu wa mungu tupo pamoja

    • @josephmarwa7212
      @josephmarwa7212 2 ปีที่แล้ว +1

      Duh ulikua unasubiri kama Mimi🤣🤣

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 2 ปีที่แล้ว +1

    amen asante jacktan

  • @lilianngushi1531
    @lilianngushi1531 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mtumishi kwa huu ufunuo, Mwenyezi Mungu turehemu.

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu!

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu tutie nguvu maana wengi tunapotea bila ufahamu

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema Amina🙏❤️

  • @annamulenda6652
    @annamulenda6652 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mtumishi wa Mungu !! Nakubali .. Mungu lionyesha Obama and family ya George Washington Bush... J

  • @salomejames5892
    @salomejames5892 2 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU tusaidie, utuponye tunaitaji msaada wako bila wewe hatuwezi kushinda, tusaidie BWANA tupe macho ya kiroho.

  • @tabithajeremiah2657
    @tabithajeremiah2657 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ya mapepo kuwa katika mwonekano wa kibinadamu ni kweli tupu nilisikiluza ushuhuda wa binti kutoka kahama alioneshwa Duniani na aliona mfano wa watu na Yesu akamwambia hayo ni mapepo,lakini neema ya kristo inatutosha

  • @alexmayemba8606
    @alexmayemba8606 ปีที่แล้ว

    Barikiwe mtumishii

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 2 ปีที่แล้ว +2

    Maajabu dunian hayataisha

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu ni saidie 😭😭😭

  • @kennethogonda2947
    @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว +3

    Roho yangu haikatai kuangalia filamu nyingi za Nigeria. Lakini roho yangu haiwezi kuniruhusu nitazame filamu za Amerikani. Naamini hollywood ndo za kishetani zaidi. Hao watu wa maono pia hudanganya saa zingine. Tuombe ili Mungu atufunulie yeye mwenyewe na tusome Biblia. Tusidanganywe.

    • @daudijacob7377
      @daudijacob7377 ปีที่แล้ว +3

      Hakuna movie mzur movie ni za Shetan Wal haijalishi unatoka nchi Kam haimpi Mungu utukufu wowote bas inamtukuza Shetan vipnd ivi acha ndugu ni vya mapepo kuwa makin n runinga yako

  • @Sara-ne3xl
    @Sara-ne3xl 2 ปีที่แล้ว +1

    Without Jesus,we're nothing and we're finished.

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 2 ปีที่แล้ว +1

    Lord Jesus Christ,help us.

  • @bazuriyaido6616
    @bazuriyaido6616 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu nipena mimi ufunuo huu na mimi nijionee

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu,aiseee sasa hawa waigizaji,,,,,NIMECHOKA NA HII DUNIA.SASA TUTAJUAJE JAMANIII,TUNAHITAJI NEEMA YAKO KRISTU....

  • @evelyneedward373
    @evelyneedward373 2 ปีที่แล้ว +1

    Jactan msafiri
    Ushuhuda huu ingekuwa movie

  • @briannamwesh7165
    @briannamwesh7165 2 ปีที่แล้ว +1

    What! Yesu Christo nisaidie

  • @nkanabodastan7887
    @nkanabodastan7887 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kutuletea haya ili tusiangamie

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU NIMWEMA Atusaidye SANA jamaniii heeeeee

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭

  • @miria659
    @miria659 2 ปีที่แล้ว +3

    Oh my God this is shocking🤭

  • @davidndilanha4940
    @davidndilanha4940 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +1

    Yethuu

    • @concesafl
      @concesafl 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu sio Yethu

  • @ruthsamwel671
    @ruthsamwel671 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU tusaidie uwii

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +1

    Jactan ubarikiwe najifunza mengi tuletee mwendelezo

  • @linetjane9221
    @linetjane9221 2 ปีที่แล้ว +1

    Cant believe any of this

  • @justinaruzige3296
    @justinaruzige3296 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi nigependa kuuliza hapa kama MTU kaona ama kuolewa na Pepo akingundua na akakuta alishafunga nae ndoa anapaswa kumwacha ama achukue hatua gani? Maana viongozi watu wa makanisa kama hawako kiroho utawaelezaje ili watengue ndoa hiyo ya Pepo?

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 10 หลายเดือนก่อน

      Unauliza Au UNACHANGAMOTO ilee

    • @tumpedaudi6681
      @tumpedaudi6681 หลายเดือนก่อน

      Hii ni changamoto kubwa sana YESU KRISTO atusaidie ikiwa umefunga ndoa na pepo ufanyeje na kama umepata watoto hao watoto wanakuwa watu au mapepo..?

    • @tumpedaudi6681
      @tumpedaudi6681 2 วันที่ผ่านมา

      Jactan naomba utujibu hili swali

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 2 ปีที่แล้ว +2

    Lakini Niko na swali mbona wwako wawili kwani ilikuaje wake da wote mbinguni Kwa wakati mmoja ama iko vipi??

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +1

    Aseh kumechafuka

  • @maggyvictor471
    @maggyvictor471 2 ปีที่แล้ว +1

    Ng

  • @stellaelias8174
    @stellaelias8174 2 ปีที่แล้ว

    Hata KLiSTNA SHUSHO ndo walewale mavazi namapambo halafu anakanisa huwa simuelewi anafanana na hao

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii Yethuu tuokoe

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona unatumia yethuu

    • @salomejames5892
      @salomejames5892 2 ปีที่แล้ว

      Au na wew ni pepo mfano wa kibinadamu? Kwa nn una badili jina la YESU?

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusaidie