Unadhani Yesu hakusoma? Alizungumzwa hadi alipotimiza miaka 12,then biblia ikakaa kimya hadi alipofikisha miaka 30,je unajua miaka hyo 18 ya ukimya alikuwa wapi na alikuwa anafanya nn
Wamekufunga na Umisheni wa Taifa kidini, Mzee chomoka ! Hatukusikii uwanja wa lnjili.Ask wa kifremnson hawataki lnjili; tunaiga Joka dhidi yako. We are all to get her Ukerewe voice.Amen
Sijapenda hiyo Tittle ya hii clip, maana ilipaswa kuwa "Uamsho au Changamoto za Uomgozi katika Kanisa la Africa, Baba Mchungaji Magembe ni Muhubiri na Mwl mzuri sana na tunabarikiwa na mafundisho yake, hakuna sababu ya kuweka heading za ajabu ili watu wavutike kusikiliza, Mbarikiwe
Unasema kweli kabisaaa mtumishi tukonao huku mtaani. Lakini Ni biashara ya kuzimu kufungua makanisa ili kuua makanisa ya kweli. Na kuua nguvu ya maombi kwa wanamaombi. Wao Ndio wanapiga kelele mtaa mzima kwamba wanasifu na kuomba. Ni shetani yuko kazini sio watumishi wa MUNGU ni watumishi wa kuzimu
Kuna lugha ambazo Zina ukakasi unatumia jifunze zaidi kwa yesu example litoto wendawazimu ninakushauri usome mathayo 11:28 pia Kuna tofauti ya kusimamisha huduma ya kichungaji madhabahuni na taaalumu ya kichungaji madhabahuni
Umisheni Taifa wa kidini na Utume,huduma yako si ya dini ni ya Mungu na watu wake,hatukusikii tena as a remain of big three and five,where are you Man of God! Ukerewe voice.Amen
Kweli Askofu Maghembe unafikia mahali pa kuwaita waumini walioshudiwa injili wakampokea Yesu kuwa ni wendawazimu? Baba hili neno limenishtua sana. Pia ministry zikiwa nyingi kama zinamhubiri kristo na watu wanaokoka, Paul anasema Yadhuru nini ikiwa kristo anahubiriwa? Hapa mtaani kwangu tabata kuna bara na vibaar vidogo na vigrossary ambavyo havina hesabu na watoto wanavaa uchi kazi ni kulewa na kufanya uchafu wa kila namna. Lakini ministry na makanisa yaliyopo hapa na wachungaji hawajafika hata matatu. Hivyo tunamwomba Mungu kila siku atupe huduma na wachingaji wengi ili wazidi kuiharibu kuzimu. Lakini maghembe neno wendawazimu sio zuri ila nakuombea Mungu ili Roho wa Mungu akupe macho ya kuweza kuwatambua na kuwadhamini wachungaji na watumishi wenzako walioitwa na Mungu kama wewe. Pia uweze kuwatambua watu waliookoka hata wakiwa wawili watatu ni wakubwa sana katika ufalme wa mbinguni na ya kwamba Yesu aliwafia msalabani. Na sio wendawazimu. Asante sana Baba. Kama nimekukwaza au nimewakwaza waumini wako naombeni mnisamehe sana. Maranatha - Yesu anakuja.
Mchungaji hewa kabisa eti kuanziza kazi ya Mungu ukamsomee hee hio umetumwa na watu MUNGU akikutuma anakufundisha mwenyewe sijui unasoma wapi hayo unayoongea mzee ..sasa kanisa lako unawasema tu tangu umeanza ni kuwasema tuu masengenyoo ibada iko wapi hapo au wewe komedia
@@emmanuelymamba7594 shule anakufundisha mwenyewe sio unaenda kusomea kwa wazungu waliomkataa Mungu anakufundisha anaweka maaneno ya kusema ..mfano MUSA alipotumwa aliambiwa na cha kusema na cha kufanya
Maana ya huyo mzeee ni kwamba watu wengi wanaanzisha makanisa bila kujua maana ya kuongoza kanisa mbali na kwamba unasema roho atakuongoza sawa biblia unatakiwa kuielewa kwa sababu Kuna mafundisho unayo wafundisha waumini wako ni muhimu ukayajua
Majumba sita- Unashuka Njia panda ya segegerea (kwenye mataa)kama unatokea Airport, then unavuka upande wa pili njia ya lami unanyoshaaa, utakuta reli, mbele kidogo ni njia ya Vumbi ifate hiyo ukitembea hatua kidogo utaona geti la kanisa limeandikwa MAJUMBA SITA GOSPEL CAMPAIGN CENTER.
Huyu jamaa yupo kanisani au kwenye darasa la kidunia. Mbona hajataja jambo lolote la kumuweka mtu karibu na mungu hajataja mstari wowote wa kwenye biblia? Mbona wakristo mnachezewa sana kuna nini?
Yesu akasema,ole wenu mnao cheka sasa maana baadae mtalia nakuomboreza,Hapa aliwasema watu moja kwa moja.Namahuburi yoyote nilazima yaguse maisha ya watu moja kwa moja.
Sipendi kusema Neno juu ya hili? Ila maandiko yalisema wazi ili watu wapotoshe ukweli wa Neno la Mungu ambayo ni biblia ..watatumia migezo cha elimu zao kuuwa watu wa Mungu..huyu mzee anatukana makanisa madogo..kwa kiburi ya Elimu yake..ila hajui kuwa kanisa la kwanza lilianza kwenye nyumba za watu..roho mtakatifu alikuta watu wakiabudu ndani ya nyumba zao na kuwajaza roho..ila kwakua pesa inatangazwa sio Yesu kristo wacha tuone uko mwisho itajulikana..Maana Yesu alisema wanapokusanyika watu wawili or watatu yeye yupo nao..huyu mzee anawaita wenda wazimu..inamaana na Yesu ni mwenda wazimu sindio or? T.A.G ilianza watu wa ngapi mwanzo je? Walikuwa wendawazimu sio? Aisee Mungu yupo wacha tusubiri final
Mchungaji nkupa bigapu haya mafundisho yanahitajika sana kwa kanisa la leo
Barikiwa sana mtumishi wa mungu uko sawa kabisa
Ubarikiwe mchungajafundisho yko km umeona mtu akiwa na eneo kubwa kwake tayari anafungua kanisan hapa boda😊
Wachungaji hawa ni adimu. Wengi ni wababaishaji na wasaka Tonge. Mungu amekupa busara. Uzidi kutoa elimu baba
Jack sambaa
MUNGU akubariki sana naongea toka moyoni hii injili ni ngumu sana ila najishangaa nakuelewa sana na hii ndiyo inayotakiwa
Unafundisha vizuri Ila unaugonjwa wakujiinuwa!!! YESU alisomeya shule ya kibiblia wapi!??? Jikosoe hapo mchungaji na roho ya mungu akuongoze
Unadhani Yesu hakusoma?
Alizungumzwa hadi alipotimiza miaka 12,then biblia ikakaa kimya hadi alipofikisha miaka 30,je unajua miaka hyo 18 ya ukimya alikuwa wapi na alikuwa anafanya nn
Kwahy yesu alipokuwa anakaeti katikati ya walimu wa kiyahudi(ma rabi) unadhani alikaa kupiga stori??
Wewe jiheshimu basi
Unaacha kujifunza huu ukwel unaleta umwehu wako
Hakili mingi mzee@@GwakisaMwaisanga-th7uz
Wamekufunga na Umisheni wa Taifa kidini, Mzee chomoka ! Hatukusikii uwanja wa lnjili.Ask wa kifremnson hawataki lnjili; tunaiga Joka dhidi yako. We are all to get her Ukerewe voice.Amen
Sijapenda hiyo Tittle ya hii clip, maana ilipaswa kuwa "Uamsho au Changamoto za Uomgozi katika Kanisa la Africa, Baba Mchungaji Magembe ni Muhubiri na Mwl mzuri sana na tunabarikiwa na mafundisho yake, hakuna sababu ya kuweka heading za ajabu ili watu wavutike kusikiliza, Mbarikiwe
😂😂😂😂😂😂 mzee alikua anawapelekea moto mpaka wote wakahisi wanatukanwa
Amina mutumishi ukweliunao
Amina mchungaji injili iko vzr
Upo sahihi mchungaji wetu yaani dunia imeisha mwanadamu ananyenyekewa kama nani
Unasema kweli kabisaaa mtumishi tukonao huku mtaani. Lakini Ni biashara ya kuzimu kufungua makanisa ili kuua makanisa ya kweli. Na kuua nguvu ya maombi kwa wanamaombi. Wao Ndio wanapiga kelele mtaa mzima kwamba wanasifu na kuomba. Ni shetani yuko kazini sio watumishi wa MUNGU ni watumishi wa kuzimu
Amina injili kama hii inafungua watu.nakurejesha msimamo wa wakristo wa kileo
Nakuelewa wakala wa Yesu
Namkubali sana huyu mchungaji
Wewe ni mimi kabisaa🙌
Ubarikiwe mchungaji
SAFI SANA MCHUNGAJI NIMEBARIKIWA SANA SANA
🎉
Ubarikiwe Mchungaji.
Kuna lugha ambazo Zina ukakasi unatumia jifunze zaidi kwa yesu example litoto wendawazimu ninakushauri usome mathayo 11:28 pia Kuna tofauti ya kusimamisha huduma ya kichungaji madhabahuni na taaalumu ya kichungaji madhabahuni
Huna akili ya kumkosoa magembe .litoto ni litoto tu haliwezi kuitwa mtoto
Amina mchungaji ,ubarikiwe
Anababaika na wazungu nyuma yake kuokoka ni kumpokea Yesu kristo sio unacho jivunia nani Alie potoka ni yule Alie muacha Mungu.
Barikiwe. Pasta. Kwahudum
Usimkosoe mpakwa mafuta wa MUNGU,sikiliza acha
Mpakwa mafuta yupi sasa sijakuelewa mpendwa
Haha he is speaking the truth
Umisheni Taifa wa kidini na Utume,huduma yako si ya dini ni ya Mungu na watu wake,hatukusikii tena as a remain of big three and five,where are you Man of God! Ukerewe voice.Amen
nakuelewa Baba
Amina amina
Mbn unahubiri sometimes kwa Jazba sana
Wana damu wana uzi sana ndo maan lazima awe na jazb
Ni njema sana maana vitu hivi ni adimu,sana tuwekeni,karibu,na, Mungu
amen
Kama hauna roho mtakatifu hauwezi kuelewa kaombe kwanza neema ya roho mtakatifu alafu ndio uje usikilize
Safe ksbisa
Is leadership in connection with "Holliness?A dozen of spiritual leaders like "Moses,Jehoshuah,Elijah was from Oxford Dictionary?
🙏🙏
Kweli Askofu Maghembe unafikia mahali pa kuwaita waumini walioshudiwa injili wakampokea Yesu kuwa ni wendawazimu?
Baba hili neno limenishtua sana.
Pia ministry zikiwa nyingi kama zinamhubiri kristo na watu wanaokoka,
Paul anasema Yadhuru nini ikiwa kristo anahubiriwa?
Hapa mtaani kwangu tabata kuna bara na vibaar vidogo na vigrossary ambavyo havina hesabu na watoto wanavaa uchi kazi ni kulewa na kufanya uchafu wa kila namna. Lakini ministry na makanisa yaliyopo hapa na wachungaji hawajafika hata matatu.
Hivyo tunamwomba Mungu kila siku atupe huduma na wachingaji wengi ili wazidi kuiharibu kuzimu.
Lakini maghembe neno wendawazimu sio zuri ila nakuombea Mungu ili Roho wa Mungu akupe macho ya kuweza kuwatambua na kuwadhamini wachungaji na watumishi wenzako walioitwa na Mungu kama wewe. Pia uweze kuwatambua watu waliookoka hata wakiwa wawili watatu ni wakubwa sana katika ufalme wa mbinguni na ya kwamba Yesu aliwafia msalabani.
Na sio wendawazimu.
Asante sana Baba.
Kama nimekukwaza au nimewakwaza waumini wako naombeni mnisamehe sana.
Maranatha - Yesu anakuja.
Hapo unahubiri au unaponda, na wewe umefilisika huna cha kuhuburi.
👏🏼👏🏼😅😅
Kwani tag ilianzaje?
Mchungaji hewa kabisa eti kuanziza kazi ya Mungu ukamsomee hee hio umetumwa na watu MUNGU akikutuma anakufundisha mwenyewe sijui unasoma wapi hayo unayoongea mzee ..sasa kanisa lako unawasema tu tangu umeanza ni kuwasema tuu masengenyoo ibada iko wapi hapo au wewe komedia
Mungu akijuchagua kuwa mchungaji lazima atakuoeja shule ili uweze endana na mabadiliko yaliyopo
@@emmanuelymamba7594 shule anakufundisha mwenyewe sio unaenda kusomea kwa wazungu waliomkataa Mungu anakufundisha anaweka maaneno ya kusema ..mfano MUSA alipotumwa aliambiwa na cha kusema na cha kufanya
Maana ya huyo mzeee ni kwamba watu wengi wanaanzisha makanisa bila kujua maana ya kuongoza kanisa mbali na kwamba unasema roho atakuongoza sawa biblia unatakiwa kuielewa kwa sababu Kuna mafundisho unayo wafundisha waumini wako ni muhimu ukayajua
@@stephensandiko6049 sasa huyo mbona hana hekima ni ibada ya kuwasema tu watu huyo mungu aliemsomea mbona hamsaidii
@@stephensandiko6049 sasa huyo mbona hana hekima ni ibada ya kuwasema tu watu huyo mungu aliemsomea mbona hamsaidii
Kanisa liko wapi?
Majumba sita- Unashuka Njia panda ya segegerea (kwenye mataa)kama unatokea Airport, then unavuka upande wa pili njia ya lami unanyoshaaa, utakuta reli, mbele kidogo ni njia ya Vumbi ifate hiyo ukitembea hatua kidogo utaona geti la kanisa limeandikwa MAJUMBA SITA GOSPEL CAMPAIGN CENTER.
Wazamini wamekaa pale mbele wenye dini yao hahaha waoatoa misaada kusaidia kanisa ili liendelee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa yupo kanisani au kwenye darasa la kidunia. Mbona hajataja jambo lolote la kumuweka mtu karibu na mungu hajataja mstari wowote wa kwenye biblia? Mbona wakristo mnachezewa sana kuna nini?
We unajua ni nn? Kikichokuwa kunazungumziwa au kuropokwa, hata mpumbavu akinyamaza anahesabiwa hekima kama kitu huelewi nyamaza au uliza.
Wewe sio mkristo nandiomaana huelewi
Huwez kumuelewa Kama umeanza Leo kumuona
Kwani unajuaje Kama huyu unayemuita mama ni mama yako au baba ni baba yako ?
Kwani unajuaje Kama huyu unayemuita mama ni mama yako au baba ni baba yako ?
Kwa nn wahubiri wanahubiri vitu ambavyo havirelate na biblia??? Wanahubiri maisha binafsi ya watu
Yesu akasema,ole wenu mnao cheka sasa maana baadae mtalia nakuomboreza,Hapa aliwasema watu moja kwa moja.Namahuburi yoyote nilazima yaguse maisha ya watu moja kwa moja.
Sipendi kusema Neno juu ya hili?
Ila maandiko yalisema wazi ili watu wapotoshe ukweli wa Neno la Mungu ambayo ni biblia ..watatumia migezo cha elimu zao kuuwa watu wa Mungu..huyu mzee anatukana makanisa madogo..kwa kiburi ya Elimu yake..ila hajui kuwa kanisa la kwanza lilianza kwenye nyumba za watu..roho mtakatifu alikuta watu wakiabudu ndani ya nyumba zao na kuwajaza roho..ila kwakua pesa inatangazwa sio Yesu kristo wacha tuone uko mwisho itajulikana..Maana Yesu alisema wanapokusanyika watu wawili or watatu yeye yupo nao..huyu mzee anawaita wenda wazimu..inamaana na Yesu ni mwenda wazimu sindio or? T.A.G ilianza watu wa ngapi mwanzo je? Walikuwa wendawazimu sio? Aisee Mungu yupo wacha tusubiri final
@@selafinlisiely6009 sure thing, mahubiri ya siku hizi huwa siyaelewi especial muhubiri kama huyu, huwa namuelewa tu mwalimu Kristopher mwakasege.
@@selafinlisiely6009 na wendawazimu wawili watatu, yan huyu pastor huyu duu
ukiwq hujui huwez elewa ila hyu ni fire nenden kanisani kwake
🤣🤣🤣🤣🤣