Barikiwa sana Jactan na team yako, Kazi nzuri - endeleeni na Mungu awatangulie mbele yenu kila wakati. Mtakeni sana huyo Roho naye ataendelea kuwaongoza katika kazi hii njema. ❤️🙏🏻
Kabsaaa..YESU azidi kukuinua na shetani azidi kukuogopa kama lango la mbinguni...Akili kichwani YESU KRISTO moyoni.YESU.....kweli nmeamin ndiye kila kitu kma amekuokoa wew basi ataokoa na ndugu zangu na familia yangu❤
Hapo kwa Roho mtakatifu sikubaliani na wewe. Hakuna andiko linasema Roho mtakatifu ni Mungu Roho, au ni Yesu. Roho mtakatifu ni roho wa Yesu, ambaye ndiye Roho wa Mungu. Yesu yu ndani yetu, nasi tu ndani ya Yesu, sisi siyo Yesu, na Yesu siyo Sisi. Vitu vyote vimeumbwa kupitia mwana, ambaye ni Yesu.
Yeshua anaweza Kubadili mtu awaye yote,hakuna asiloweza! Umenibariki sana Mtumishi wa Mungu na Kunitia Moyo sana!katika malaki biblia inasema Nitamtukuza bwana hata Mvua isiponyesha! hata asiponibariki kama ulivosema baraka za rohoni zinatosha
Naomba kuhuliza mtumishi hivi alipokuwa akienda kusimu aliendea nini na alikua anaenda kwa njia kani,alipo sema hapo kuwa ni giza,nikawa nimeota nikiwa mahali Giza alafu nimeshikilia taa kwa mkono Wangu alafu nikasikia sauti ya watoto wakisema utuokoe ewe mtumishi,sasa sikuelewa hiyo ndoto
Taa ni neno la MUNGU Biblia imeandika neno lako ni taa ya miguu yangu Watoto uwakoe Uwaokoe kwa maombi na kuwafundisha kuhusu neno la MUNGU na unaweza kuona kama ni watoto ila ni watu Maana katika ulimwengu wa roho sisi wote ni kama watoto kwa MUNGU
@@SelestinaHamis-dw1gs sana kaka yaan asilimia kubwa ya maisha ya mwanadamu ni ulimwengu wa roho ndio maana Yesu alisema enendeni kwa roho kamwe hamtatimiza tamaa ya mwili yaan jambo mpaka likatendeke katika maisha ya mtu kwa macho ya damu na nyama ujue limeanzia rohoni Kama mtu kaharibikiwa katika eneo lolote katika maisha ujue uharibifu huo umeanzia rohoni
@@magdalenapeter6106 Ni ukweli kabisa mtumishi wa Mungu, tusipo kesha na kuomba tutatekwa nyara na ulimwengu wa Roho ila nina Imani kwamba Mungu awesi tupa Mtu wake nimesoma sai katika maombolezo 3 V's 31_33 unapomngojea Bwana anakulinda na kukuepusha na maovu ya ulimwengu huu, Mimi nakaza mwendo nisimame katika neno na Roho mtakatifu anisaidie kusoma maandiko katika Roho na kweli
Jactan ilo swali lako kwamba mtu aombe Mungu aje Kabisa live aongee bae? Kwanza kabisa huwezi kumuona Mungu ukaendelea kuishi lazima ufe halafu hata wew imagine Mungu kabisa ashuke uongee nae wew unazani inawezeka? Mungu ni Mkuu na Mtakatifu Sana hasa kwa dunia Hii ya Saivi ilivyo chafukwa kama Mungu akishuka Inamaana inawezeka kukawa na machafuko dunia mzima
Nauliza Swali, Kuzimu inatawaliwa na Nani?mie nikajua aliyepaumba ni Mungu kwanini yanaishi mashetani na Ibilisi anatawwla huko?je kuzimu ndio Jehanamu?na Je alipoenda huko kuna watu anaowafahamu aliwaona huko??alipewa Mkataba Gani?nataka nijue pia vita ya Kiroho aliyokutana nayo alipotoka kwa shetani akaokoka!
Umezungumza neno kubwa sana Ev. Samson. Hata Yesu asipokubariki hutamwacha hilo neno kubwa mnooo...
Mungu zaidi kukutumia kwa ishara, na miujiza Mtumishi wa Mungu Samson
Amen endelea kuniombea Mungu ROHO MTAKATIFU azidishe neema yake zaidi
Barikiwa sana Jactan na team yako, Kazi nzuri - endeleeni na Mungu awatangulie mbele yenu kila wakati. Mtakeni sana huyo Roho naye ataendelea kuwaongoza katika kazi hii njema.
❤️🙏🏻
Ushuhuda mzuri sana wenye mafundisho mazuri na kutia moyo
Amen ushuhuda huu
Imeniimarisha sana
YESU atabaki kuwa Bwana wa mabwanaMfalme wa wafalme...mbabee. imenitia nguvu sana
Ameen,God bless promover tv.may God protect his true servants at all costs.🙏❤️
Ubarikiwe mtumishi
Amina asante kwa ushuhuda mtumishi na kaka Jack
Hongera sana pastor
Ev. Samson kama Samson mwenyewe na nguvu zake, mtumishi umeubariki moyo wangu ktk Roho mtakatifu. Ubarikiwe saana tu.
Amen endelea kuniombea
Kabsaaa..YESU azidi kukuinua na shetani azidi kukuogopa kama lango la mbinguni...Akili kichwani YESU KRISTO moyoni.YESU.....kweli nmeamin ndiye kila kitu kma amekuokoa wew basi ataokoa na ndugu zangu na familia yangu❤
Ameni Blessd kaka jacktan na Audax n promover tv n mtumishi wa MUNGU aliye hai..kweli YESU KRISTO. Anaweza yote❤
@@MaryMichaelMaryMichael-i7o 💪
Hapo kwa Roho mtakatifu sikubaliani na wewe. Hakuna andiko linasema Roho mtakatifu ni Mungu Roho, au ni Yesu. Roho mtakatifu ni roho wa Yesu, ambaye ndiye Roho wa Mungu. Yesu yu ndani yetu, nasi tu ndani ya Yesu, sisi siyo Yesu, na Yesu siyo Sisi.
Vitu vyote vimeumbwa kupitia mwana, ambaye ni Yesu.
Mungu awa bariki
Amen pst Samson be blessed
Amen
asante promover
Mungu awabariki sana
Ubarikiwe zaidi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ushuhuda umenigusa mnoo 😢😢
Amen utukufu kwa Bwana YESU...
Niombee mtumishi
Thank you promova TV, for this great evangelism, souls being really delivered. Asante mtumishi
Our pleasure!
Barikiwa kwa ushuhuda
Ev. Samson ubarikiwe sana sana. Warumi 8:11 ndivo roho uliyemtambulisha kwenye ushuhuda ndivo hutenda kazi hata sasa.
Amen amen
Amen
MTUMISHI BWANA YESU AKUBARIKI SANA NA AENDELEE KUKUTUMIA KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI,NABARIKIWA NA HUDUMA YAKO
Amen 🙏 utukufu kwa Bwana YESU...
Endelea kuniombea
Yeshua anaweza Kubadili mtu awaye yote,hakuna asiloweza! Umenibariki sana Mtumishi wa Mungu na Kunitia Moyo sana!katika malaki biblia inasema Nitamtukuza bwana hata Mvua isiponyesha! hata asiponibariki kama ulivosema baraka za rohoni zinatosha
Amen 🙏...
Endelea kumpenda Mungu
Ñaomba namba za mtumishi Samson sikuzipata vizuri. Tafadhali.
Tuwekee namba mtumishi
Naomba kuhuliza mtumishi hivi alipokuwa akienda kusimu aliendea nini na alikua anaenda kwa njia kani,alipo sema hapo kuwa ni giza,nikawa nimeota nikiwa mahali Giza alafu nimeshikilia taa kwa mkono Wangu alafu nikasikia sauti ya watoto wakisema utuokoe ewe mtumishi,sasa sikuelewa hiyo ndoto
Taa ni neno la MUNGU
Biblia imeandika neno lako ni taa ya miguu yangu
Watoto uwakoe
Uwaokoe kwa maombi na kuwafundisha kuhusu neno la MUNGU na unaweza kuona kama ni watoto ila ni watu
Maana katika ulimwengu wa roho sisi wote ni kama watoto kwa MUNGU
Dah ulimwengu wa roho Una machafuko Sana
@@SelestinaHamis-dw1gs sana kaka yaan asilimia kubwa ya maisha ya mwanadamu ni ulimwengu wa roho ndio maana Yesu alisema enendeni kwa roho kamwe hamtatimiza tamaa ya mwili yaan jambo mpaka likatendeke katika maisha ya mtu kwa macho ya damu na nyama ujue limeanzia rohoni
Kama mtu kaharibikiwa katika eneo lolote katika maisha ujue uharibifu huo umeanzia rohoni
@@magdalenapeter6106 Ni ukweli kabisa mtumishi wa Mungu, tusipo kesha na kuomba tutatekwa nyara na ulimwengu wa Roho ila nina Imani kwamba Mungu awesi tupa Mtu wake nimesoma sai katika maombolezo 3 V's 31_33 unapomngojea Bwana anakulinda na kukuepusha na maovu ya ulimwengu huu, Mimi nakaza mwendo nisimame katika neno na Roho mtakatifu anisaidie kusoma maandiko katika Roho na kweli
Jactan ilo swali lako kwamba mtu aombe Mungu aje Kabisa live aongee bae? Kwanza kabisa huwezi kumuona Mungu ukaendelea kuishi lazima ufe halafu hata wew imagine Mungu kabisa ashuke uongee nae wew unazani inawezeka? Mungu ni Mkuu na Mtakatifu Sana hasa kwa dunia Hii ya Saivi ilivyo chafukwa kama Mungu akishuka Inamaana inawezeka kukawa na machafuko dunia mzima
Amen, Yesu ni Mungu,anaweza kushuka kwa sura nyingi tu

AMEN