Pt2_USHUHUDA WA MCH.SALAMBA ALIYEKUWA MSAIDIZI WA JAMBAZI SUGU JAKO PIO AKAPEWA KAZI AKIWA GEREZANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz  7 หลายเดือนก่อน +2

    Kutazama sehemu ya kwanza bonyeza link hii th-cam.com/video/GmbDSucwFnA/w-d-xo.html
    Kutazama mahojiano yake katika kipindi cha wito wangu bonyeza th-cam.com/video/MJAHS79zhk8/w-d-xo.html

  • @SamsonSedekia
    @SamsonSedekia 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni mungu akubaliki baba

  • @owikesibonike
    @owikesibonike 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah Hallelujah Nimebarikiwa Sana Na Ushuhuda Huu MUNGU awabariki Promover Tv..

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 7 หลายเดือนก่อน +14

    Tunaangamia kwa kukosa maarifaa ya kumjua yesuu ,, lakini mimi nashuhuda ya kwamba mimi nilikuwa mkatoliki lakin dada angu alifariki kimazingaombwe kichawii akazikwa tarehe 9 mwezi wa 9, mwaka jana ,, kiukweli nilikataa tamaa na Mungu Yesu baada ya hapo nakumbuka nilisema Mungu anapendelea na pia nilikuwa na ugonjwa wa ajabu sana baada ya hapo nikabahatika kuongozwa na roho wa Mungu nikabahatika kusikia ushuhuda kupitia channel hii Babu Shido kutoka Singida aliyekuwa anapinga walokole na wengineo na yule mzee wa burundi na mch Katekela baada ya hapo nikasema nataka kuokoka kutoka kwenye ukatoliki kwenda kwa walokole ambao binafsi nilikuwa siwapendi nilipotangaza kuokoka majaribu yalikuja mengi siwezi andika yote lakini nashukuruu nilipona ugonjwa ambao sikutalajia kama ningepona,, nilikuwa nachanjwa chale usiku ikabakia story,,, nashuhudia haya nikisema kuokoka huwa ni neema na pia naomba mniombee pia niwe viwango vingine kanisa nimeokekea FPCT,, kwaiyo nashukuruu promover kwa kuwa kama ,,na imani huja kwa kusikia napia naomba namba ya huyu mtumishii

    • @mwambakibucheche1119
      @mwambakibucheche1119 4 หลายเดือนก่อน

      Hakika Yesu ni Bwana na anayo mamlaka juu ya mamlaka zote.

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sanaa ashukuliwe MUNGU atupae kushinda kwa BWANA WETU YESU KRISTO!!!!

  • @felixBenos
    @felixBenos 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nimwema kila wakati..Mungu azidi kukulinda ww na familia yako mtumishi.

  • @Jesusisaking1
    @Jesusisaking1 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.Hakika Yesu wetu ni Mkuu❤

  • @IsackIsaya-bi2hj
    @IsackIsaya-bi2hj หลายเดือนก่อน +1

    Jmn njoo mtumishi wa mungu na dodoma

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen🎉🎉🎉

  • @TEDYJOHN-lm5pl
    @TEDYJOHN-lm5pl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mungu akulinde mtumishi wa Mungu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeen

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 7 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe sanaa mtumishi wa Mungu

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumtumikia shetani ni mateso na aibu

  • @SamsonSedekia
    @SamsonSedekia 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni mungu akubaliki baba