Pole sana Dada ushauri angalia Emmanuel TV kunamaombi utafunguliwa kupitia hayo maombi au kama unauwezo wakupeleke kanisani kwakwe pale Nigeria anaitwa TB Joshua
Mungu yupo kukutetea lakini jambo kubwa yakabidhi maisha yako kwa mponyaji YESU, yeye ni jibu pale wanadamu wanapokosa majibu, yeye ni mwanzo pale wanadamu tunapofika mwisho. Kabidhi maisha kwa Yesu, Nimemwona akiwaponya wengi na kuwafungua baada ya kumkabidhi Yesu maisha. Nakuombea pokea Uzima na Nguvu za kusonga mbele kimaisha katika Jina la Yesu. Amen.
Dah nimejikuta na bubu jikwa na machozi ee mwezi Mungu endelea kumpa faraja bint huyu nadhan kwako anaitaji uponyaji mponye baba sio tu kwa mapenz yangu bari yako yakapate kutimizwa Amina
Mungu Uliyeumba Mbingu na Nchi na vyote vilivyomo naomba binti huyu awe sawa kabisa yaani apone atembee vizuri, awe normal kabisa, kabla ya tarehe moja mwezi wa kwanza 2020, naamin Mungu Unaweza Amen!
Pole sana Dada ushauri angalia Emmanuel TV kunamaombi utafunguliwa kupitia hayo maombi au kama unauwezo wakupeleke kanisani kwakwe pale Nigeria anaitwa TB Joshua
TB ni mganga
hana uwezo wakufanya lolote
Mwizi tu,
Mshenzi2 yule
Dah!
Ooooh Mungu wangu wa mbinguni niseme nini mimi nimekupa nini mimi Mungu wangu ni neema na rehema tu,hebu msimamie huyu dada siku moja apone
elmas roj pole sana dada
Amina
Mungu wangu aliyenipigania mimi na kuniokoa akuponye katika jina la Yesu, Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Mungu atakuponya kwa jina la yesu
Kama Bwana aishivyo!! Akuponye wankonta wangu kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏🙏
Pole sana Bwana mwenye kuwaponya watu wengine akuponye nawe na kukuweka Hulu kwa utukufu wa jina lake.
Daaaah 2012..korogwe gilz wengi hatutaisahau nilitaka kuhama shule kwakwel ,,mungu akutunze Dada angu wa shule wakonta nakumic xna
Mungu wetu mwaminifu atakuponya kabisa utapona my Mungu atakuponya
Kwel Mw/MUNGU ni mkubwa yatupaswa tushukuru kwa kila jambo maana yeye ndyo apangayo maisha yetu,,,,,,, Asante MUNGU Baba
Mungu yupo kukutetea lakini jambo kubwa yakabidhi maisha yako kwa mponyaji YESU, yeye ni jibu pale wanadamu wanapokosa majibu, yeye ni mwanzo pale wanadamu tunapofika mwisho.
Kabidhi maisha kwa Yesu, Nimemwona akiwaponya wengi na kuwafungua baada ya kumkabidhi Yesu maisha.
Nakuombea pokea Uzima na Nguvu za kusonga mbele kimaisha katika Jina la Yesu. Amen.
Mungu wetu hachelew wala Hawai atakuponya kwa wakati wake dear wakonta I do love u super woman
She is soo cute ♥️..I believe in God of healing receive your portion in Jesus name.
Nimzuri Sana mungu akufanyie wepesi kipenzii
Pole. Sana wakonta mungu atakupigania💘
Mungu wangu Alie mwaga dam yake kwajili yangu naomba akuokoe kwajina la yesu kristo
Mungu akusaidie sanaa upone jamn!
Pole dada mungu ni mwema atakuponya
Mungu akupiganie mpendwa
Pole sana dada Mungu ni mwema atakuponya
Mungu atakupa nafuu zaidi
Mm Jamani Mungu Amtiee nguvu
Mungu akutie nguvu mdogo Wang wakonta siku moja utapona, Mimi nimependa jinsi unavyoweza kujieleza na unavyojikubali big up sanaa
Mungu mkubwa kwakweli mashallah anajuhudi kwakweli wapo wazima hawataki kujituma Mw/mungu azidi kkupa nguvu imani
Very beautiful! Mungu akufanikishe na ndoto zako zitimie. Hakika Mungu ana kusudi kubwa na ww .😍
Pole Sana dada mungu yupo atakusaidia Akuna kinacho shindikana mbele yke
Wakonta pole dada, Mungu mwema utapona, "Never give up"
Dah pole xn my dia pia wewe ni mwanamke shujaa mungu atafanya wepes inshallah utakaa Sawa
Dah nimejikuta na bubu jikwa na machozi ee mwezi Mungu endelea kumpa faraja bint huyu nadhan kwako anaitaji uponyaji mponye baba sio tu kwa mapenz yangu bari yako yakapate kutimizwa Amina
Haàaa kunawanaume mungu kawapa moyo wakupenda Big up Kaka mungu awajaliye muowane kweli
Nampendaga sana uyu dada... mwenyezi Mungu akutangulie dada
Mungu akutie nguvu, hakuna litakalo shindikana kwa Mungu, iko siku utakuwa mzima kabsa, amini tu (saimon
Pole na hongera...Sanah# Wewe ni Shujaa@" My Cister Mungu azidi kukupa kila, hitaji Lako...@
Poleeh Mungu akusaidie
Upokee uponyaji kwa damu ya yesu
Pole sana dadà ipo siku utainuka kwa uweza wa mungu
Mungu akujaalie upone na aika naye mungu ambariki kwakuwa bega kwa bega pamoja nawe tangu from school
Mashallah huyo kaka mungu ambariki azidi kukupenda
Mungu Uliyeumba Mbingu na Nchi na vyote vilivyomo naomba binti huyu awe sawa kabisa yaani apone atembee vizuri, awe normal kabisa, kabla ya tarehe moja mwezi wa kwanza 2020, naamin Mungu Unaweza Amen!
Amen
Amen
MashaAallah Dada,usijali utapona endelea tu kuomba mungu
Pole sana mpenzi, Allah atakufanyia wepesi utapona na kurudi hali yako ya kawaida.
Mungu atakupigania mamy utapona mungu anaweza yot
Wakonta she is the HUGE icon and Example to be followed.✌🏾
Mungu akupenda Sanaa
First to comment, Mungu akusaidie wakonta na akutilie wepesi
Allah atufanyie wepes juu ya mitihan yake, na mama ampe nguvu jmn kajitahid mama mwengine hawez pia
Mungu c mwanadam ,Anafanya njia pasipokuwa na njia Hakika mungu yupo!! Mungu Anakupenda dada Mwamini tu.
Jamaaa ana moyo wa huruma keep it up
Mungu akubariki dada
She is so beautiful 😍
Achat Mungu aitwe Mungu Siku zote Mungu ni mwema
Pole sana dadangu naamini mungu anakuponya mabadiliko yatakuja juu yako soon
Pole dada yangu.Yesu anaweza njoo Efatha hakika utapona.Nakupenda
Mungu wangu wa huruma umjalie Hutu dada afya take zirudi kama alivyokuwa mzima.
Ooooh mwenyezi mungu timiza ndoto za huyu dada najua hushindwi na jambo mungu wangu ulie juu
Daaa Mungu wangu wewe unajua, fanya jambo juu ya huyu dada
MOFET TANZANIA ameen
I see you sir moses kyando, we like your products! Keep it up brother! May God help this lovely and beautiful sister!
Amen brother, Cyrus
I pray God to be in control of her life in Jesus Christ name , amen .
Nakusihi Muhumba wangu na Mungu, utakapo tembeleya wagonjwa siku ya leo, mtembeleye na huyu dada naku mponya. Amen
Woow ur so wonderful,cheers from DRC CONGO
Nakupenda sana..Allah atakutendea maajabu
Mungu wetu hashindwi kitu utapona mdogo wangu
Mungu atakusimamia kwa kila hatua, endelea tu kumuomba na kumtegemea yeye inshallah utakua vyema kwa uwezo wake 🙏
Mrembo pole mungu atakuongoza
Mungu yupo nawe,atakutendea muujiza.
Pole sana Dada angu Mungu atakuponya amini
Daaaaaaah pole sanaa dada inauma sanaa kwa kweli nalikusikiliza claus fm kwenye njia panda hakika niliumia mno
pole dada angu mungu yuko na ww siku zote
Mungu hakupe uponyaji na furaha moyo be bless
pole sana mamy mungu akutie nguvu
Nilikuombea sana tangy ajali mpaka sasa mungu akubaliki
Mungu ni mwaminifu atakuponya tu
Pole sana dada yangu hamini mungu yupo hutapona kwa jina la mwenyez mungu nakupenda sana natamani sikumoja tuonane
Mungu Yuko pamoja nawe
Pole sana dear Mungu akuteee
Pole sana dada mwamini mungu yeye ndie jibu lako
Pole sana mamy mungu akutie nguvu
Pole dada utakua sawa mungu akusaidie
Mungu Wetu Bado anaishi atatenda kwa Namna yake kwa huyu Dada kwa kadiri ya Mapenzi yake..Amina
Mungu akutie nguvu
Mungu amsaidiee amfikishee mbalii
Mungu atakusimamia Dada😥😥😥😥😥
Mashallah mrembo mungu atakusaidia utakuwa sw2 endelea kumuomba atazid kukupa nafuu
Mwenyezi mungu akuponye wakonta
Dad njoo mbez kun mtumixhi wa mung utatembea mungu ni mwem karib
Mungu wangu uishie milele na milele naomba umponye dada huyu na arudie hali yake kama mwanzo 🙏🙏
Pole sana mungu azd kukutia nguvu
Bwana yesu akuponye dada
Mungu atende miujiza awe mkweli amina🙏
Pole sana Dada yng mungu atakufanyia wepes insha allah
Mungu awezi kukuacha hivyo ulivyo lazima akuletee mtu kwa ajili yako ili awe msaada kwako bila kuangalia ulivyo. Pole sana dada
Hongera mungu akufanyie wepesi
Inshaallah Allah atazidi kukuponya
Pole sana dada na hongera sana unaujasiri hatawanaotembea hawawezi kufanya hayo
I pray God to be in control of her life in Jesus Christ name, Amen.
Mungu akupe wepesi na Utakuwa sawa, Pia tunakuombea tunaguswa wengii na hiliii
Pole sana, Kwa ushauli wangu fatilia WRM itakufungua
Our God is alive,He will make a way.
Hallelujah
Pole sana dada mungu atakuponya
Mungu ni mwema akufanyie wepesi upone my Sister
Mungu akufanyie wepesi
Mungu ni mwaminifu utapona 😭😭😭
Kabisa nimwaminifu utapona
Mungu akujaalie wepesi nazaidi inshallah
Umejikubali kwa hali ulionayo mungu ukupiganie utimize ndoto zako
Mungu aliye juu akulinde
Mungu hashidwii dada
Mungu yupo naww dada cku zote
Pole mungu akuponye