Na hasa watu wakiwa walikuwa marekani, hujifanya wamemaliza dunia. Kama ulitumiwa na roho mtakatifu kwnn mtoto wa watu umrubuni na kujifanya rafiki kumbe mnafiki TU.
Unajua cc wabongo tuko na mambo meusi mno,wenzetu wa magharibi na walioishi nje ya Africa wapo wazi Sana kuhusu mapenzi na kule ukiwa mch haimaanishi kuwa hatakuwa na mahusiano kwa wenzetu wachungaji wana apply kazi km ilivyo kazi nyingine na kwa mkataba kabisa. Mkataba ukiisha ana apply kwingine.Mambo ni tofauti kwa wenzetu jmn tusimhukumu huyo kaka.
Sasa utasemaje anahitaji mtuu wa kumjali mbona weye ulio muingiza kwenye penzi huja endelea nae sasa itakuwaje asiye ujua uzuri wake naweye tena unasema weye ni mchungaji hiyi dunia
Hatujui nini kilitokea kati yao mpaka kuachana...lkn inshort I feel kama kuna kausanii hapa..imagine aliefundishwa kiswahili sijamuona hapa ila basi Mungu awasaidie nyote.
Jamani kujua Kiswahili mwaka mmoja unaonhpa vizuri hivi kweli??? Njoo uone wasiojua kiswahili mwaka wa 5 sasa. Alafu ulimfanyia go fund iingie kwako hukua unampa zote.
Help me to surprise, kwanza kiswahili cha watu wa njee sio kama chake once wakiongea unajua tu huyu sio wa hapa, sasa huyu mdigo kabisa kujifanya kafundishwa kiswahili.loooh hata mimi am better than him
Hapo mwisho ndio palipoonyesha unafiki pesa zilikuwa zinaingia kwenye account yake, kwahiyo alimtumia huyu binti kupata fedha za wafadhili kutoka Marekani 🤔
Jamaaa nilishamba na nilitapeli tapeli eti phrophet of God,ss mbaya zaidi linajikuata li marekani wakat hata mwaka alijamaliza marekani lkn lina jifanya alijui kiswahili wakati kingereza chenyewe alijui Cocroach mkubwa
Wakonta dada angu nakuomba usije ukamkubali huyu kaka atakuharibia mfumo wa maisha 🙌 anaonekan ujanja mwingi mno
Uhakika msanii
Connection za kupata misaada Ulaya kula fedha za wafadhili 😅
@@upendomsuya8961 Ahaa itakuwa alimfanya ngazi
@@upendomsuya8961 Kuna ka ukweli
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Siyo kwa mkaka huyu anakela Sana, wadada tuwe tunamuulza mungu kwanza kabra ya kuingia kwenye mahusiano
Tena waambie sister kwa saut maana ndoto zetu huishiaga hapo 😭
Kajisahau mwishoni anaongea kiswahili kimenyooka zaidi yako da Imelda duh wonders never end!!
Jaman mwandishi Hilo tapeli kbx mchungaji Gani wa hovyo
Kasema yeye ni prophet of God
Huyu kaka alienda tafuta umaarufu kwa wakonta, dhambi kubwa sana
We ni mshezi Mungu akupige laana
Inawezekana akwa anajuta. Maana kuna wanaume wengi siyo wakweli na ni watu wakijipendekeza Fulani.
Yaani unakeraaaaaa KUJIFANYAhujui kiswahili yaani Mungu akuongoze
Kweli hajui kiswahili me na mjua
@@salmakassim8316 si mbongo huyu, samata yuko ulaya akirudi kiswahili kama kawa hayaaaa
🤣🤣🤣prophet of God mashauzi wako wengi
Ogopa sana hawa watu wa hiviiii.....ni hatariiiiii ,
Huyu msanii Sana eti hajui kiswahili mjinga Sana Kingereza chake chenyewe cha kuungaunga
Jamani huyu Kaka ni mwongo Sana janani uwiiiiiii
Mbea huyu Malaya tu, huyo masanja pia sindio wote hao, muongo sana huyu mbwa amemtomba mremavu wa watu amemuwacha
Na hasa watu wakiwa walikuwa marekani, hujifanya wamemaliza dunia. Kama ulitumiwa na roho mtakatifu kwnn mtoto wa watu umrubuni na kujifanya rafiki kumbe mnafiki TU.
Hahahha ety ni kama wamemaliza dunia
Marekani ni jina akuna kitu uku kaka
Daaah nataman na mimi nifike huko Marekani maana naona kila kitu huko au🤭
@@Billgetmwayeka mwasakyeni
@@claudiabakisa8052 Sijakuelewa
Mmhh mbona Kama anajua kiswahili long time ago mmhh
Amefundishwa Kiswahili na Wankonta, hapo mmeelewaje?
Huyu alijua wakonta hana mahusiano akaona atumie nafasi alijua ni bikra mbeahuyu aliamua amuonje dadayetutu
Usikute kweli alifata bikra kwa ajili ya Mambo yao hawa ma prophet wa mchongo
Hatari mchungaji kiongozi anatangaza kuwa ni mzinifu
😂😂 mmarekani gan kiingereza chenyewe Kama mwanafunz anae present debate kwa Mara ya kwanza
Hahaha
Khaaa 😂😂
Kabisaaaaaaaaaa,ananiuzii eti
Hahahahhh
Mmh niliumia sana aaah..walipoachana
Huyu hakuna kitu tapeli tu 😅
🤣🤣🤣🤣🤣 eti kafungua kampuni marekani, uongo mtupu ndugu zanguuu hana hata kidogo
Mtihani wanaume kazi yao kuumiza wezao
Sio kuumiza na hata nyie kuvua bila utaratibu.
Mmarekani unajua kiswahili kuliko kingereza
Mkibosho wa hovyooo sijawai ona. ... Eti lugha ya kiswahili umefundishwa.. Duhhh
Sheeenzi sana
Mungu anamuona huyu kaka mie siit mchungaji
😂😂😂😂😂😂uyu kaka ni comedian wa lugha😂😂
Hahah
🤣🤣🤣🤣
@@devothamedia5177 acheni kaka watu wa marekani hahah
🤣🤣
Mimi mtu akimsumbua Wakonta nachukia sana, .we jamaa ucpite mbele yangu umekwisha
😂😂😂😂
🤣🤣😅😅🤣😅😅
Mawe yatamuhusu
@@mariamwakateba6321 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂jmn
kweli ni free church
Kiswahili hujui? acheni mambo ya ajabu... Hujui doubting kwa Kiswahili? Sipendi mimi actually... Interview imenikera sana...
🤣🤣🤣🧦jmn mbavu zangu actually.
Hahahhahaha jmn nimecheka
Actually 😂😂
mh ndo ww walitangaza kwamba wakonta apata mchumba kutoka dubai mh hata ukua marekani ulikua apa apa tz miyeyusho tu
Kabisaaa. Alafu anajifanya kiswahili ajuwi. Kafundishwa na wakonta. Pia Sasa yeye ni prophet of God. Kaaa
mchungaji wa mchongo uyo
Duh Kaka inamaana si mtanzania" na ujui kiswahili au??
Unajua cc wabongo tuko na mambo meusi mno,wenzetu wa magharibi na walioishi nje ya Africa wapo wazi Sana kuhusu mapenzi na kule ukiwa mch haimaanishi kuwa hatakuwa na mahusiano kwa wenzetu wachungaji wana apply kazi km ilivyo kazi nyingine na kwa mkataba kabisa. Mkataba ukiisha ana apply kwingine.Mambo ni tofauti kwa wenzetu jmn tusimhukumu huyo kaka.
😄😄😄
Mbona kiingereza chenyewe hajui
Wewe kaka acha zako jmniiii
Hii nchi inawatu watu wa hovyo sana!!
Wewe ni mmarekani?
Iti hajui kiswahiliii
Mmarekani kama mmarekani...hahaha kijana wa hovyo sana huyu.ka kaa kitapelitapeli
Hajielewi uyu alafu kama mountain kucheka ovyo
Kasema yeye ni prophet of God
Zis is gads taimu
Mchungaj kweli hakika acha Mungu tu akar mbali watu wawe wanamuona tu kiroho
Huyo anawadanganya nimkongo haswa tumetokanaye kambini inchini Rwanda hawo ndohivyo walivyo 😳🤣🤣🤣
Mamawa nakubaliana na wewe huyo jamaa sio mbongo ni mkongo hata mimi nilikuwa na wasi wasi nae upande wa rafudhi
Ongea vzr basi kaza ulimi unaboa
Sasa utasemaje anahitaji mtuu wa kumjali mbona weye ulio muingiza kwenye penzi huja endelea nae sasa itakuwaje asiye ujua uzuri wake naweye tena unasema weye ni mchungaji hiyi dunia
Hatujui nini kilitokea kati yao mpaka kuachana...lkn inshort I feel kama kuna kausanii hapa..imagine aliefundishwa kiswahili sijamuona hapa ila basi Mungu awasaidie nyote.
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza Kila kitu unamtaja mama yako,mh una tatizo tayari,,,,mtoto wa mama jirekebishe wewe
Huyu Mtoto anakera Kumsikiliza hahahah achana na hiyo story tu Shida mwogooo Mwongooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mchungaji wa mchongo
Wanajifanyaga wanaloho mtakatifu kumbe wanaloho mtaka vituu😅
Nimeamini kuna nabii alisema wanaume wanaochonga ndefu 0 ni waaribifu sana na waongo🧎♀️
Yani mwanaume ukishaongea hivi tu kwangu huna nafasi tena coz napata hasira kukuskiliza😀😀😀
Utadhani shoooga
😁😁sio wewe ni mimi masira kibao😁😁
Yaan ww ndio mimi kabisa
Hata mm nakasirikaga
Ananiuz anavyoongea km dem mashauz na actually nyingii 😏😏😏anakwaza huwez msikiliza umalize
Wenda akawa shoga
@@philemonmagesa5548 kasema yeye ni prophet of God
@@claudiabakisa8052 fara wa kawaida tu
@@claudiabakisa8052 hahahaaa mtume Wa mungu gani mzinifu na anatangaza live poleni ndugu zangu
@@philemonmagesa5548 🤣🤣🤣🤣🤣
Unaweza kumiombea Wakonta akapona?
Jamani kujua Kiswahili mwaka mmoja unaonhpa vizuri hivi kweli??? Njoo uone wasiojua kiswahili mwaka wa 5 sasa. Alafu ulimfanyia go fund iingie kwako hukua unampa zote.
Uyo mama Kwan kazi..apee..vijana miaka..yako..imekataa..
Ila bongo bwna🤣🤣🤣🤣🤣 Mchungaji anabana ulimiii
Mtoto wa mama huyu ni shida inaanzia hapo
yanii wee kaka usimtanie MUNGU, kuna siku hicho kiswahili utakinyooshaa
Halina hata haya eti wakonta ndio kanifundisha kiswahili 🤣🤦🤦wakati unamzidi hata mama kimbo kiswahili we ni tapeli tu
Kama amebeba vtu vingi umemwachaje na kutafuta mwanamke mwingine?.
Hapo sasa 😹
Wacha ninyamaze kimya nisije mkosea mungu wangu
Huyu kaka siwezi kumsikiliza mpk mwisho!
Anaongeaje jmn?
Anajiita mtumishi wa Bwana!? Like seriously 😳?? Hakuna mtumishi hapa
Huyu kaka muongo jmn!
Tukafly tukawa friends tukawa marafiki nfuuu hivi mijinga hii haiwezi kuongea lugha moja inao ileweka .
Mtu mzima na hujui kuongea...
Wanaume wenzangu njoon hapa tumjadili jamaetu mbona kama sio mwenzetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyuuu siooo mwenzenuuu kabisaaaaaaaa
Kijana amejieleza vizuri sasa hapo ni sisi na uelewa wetu....
Mbona km huyu kaka ni comedian 🤣🤣
Nimesikia alibvyojitambulish a tu kichef chef, kileo wa wapi? Mpuuzi yu kabla sjakuskiliza zaidi...
Fala kweli uyu
Mbona kaongea vizur tu ,utapeli wake ni nini?
Mbna Me sion kibaya alichokiongea jaman...Kuachana ni kawaida haijalish maumbile...Kingereza chake kinawauma nn walimwengu
Yah hakuna kibaya ..kakulia state ...ndo maana anaongea hivo..otherwise nadhani hakuna baya lolote
Ni mtu wako nn mbona unamtetea huyu mwanaume mwenye Tabia za kike???
@@philemonmagesa5548 umeonaeeh???🏃🏃🏃
Mmmmh Kwa kingereza ganiii
Nimekutukana sana ww kaka ila acha utapeli mana ubaya hulipwa kwa ubaya
We kaka si uongee tu lugha ya Taifa 🤣🤣🤣mambo ya Actually mara uongee sauti ya kitanzania mara ya America unatuvuruga
Waongo wanatakiwa wawe na akili nyingi. Huyu hana kiasi kinachotakiwa kufuzu kwa tapeli muongo. Atakuja shirika vibaya
Kasema alikuwa hajuwi kiswahili kafundishwa na wakonta
Mmmmh huyu jamani cjui hata nachefukwa na nini mxiuuuu😏😏😏
Mhm huyo roho mtakatifu anae kutumia labda ni yule wa Morogoro 🤦🤣🤣🤣🤣
Umekulia mbande unakuja kutusumbua hapa
Hamna mwanaume hapa Daadeck 🙆🙆🙆🙆
Yaani Uwiiiii 🤸🤸🤸
Kasema yeye ni prophet of God
Mr popoow mie nmependa unavotamka hyo Actually 🤣🤣
Mr pawpaw🤣
@@neemamassawe8091 alaa kumbe pawpaw 😄🤣😂😆
Kafanya miujiza mtu katembea. Si angemfanyia wakonta atembeee
Yaaan huyu tapeli tapeliii halafu hana hata haya wala aibu kabisaaaaa hovyoooo ns vi actually vyake
Pia kasema ni prophet of God
Maake apo kwanza ncheke
Hahaha ila huyu Kaka ajaachaga drama tu...😂😂😂
Kumbe unamjua
We kaka umekwama kwa lugha
Yani ndio hapo hujui kiswahili chachachaaaa🤣🤣🤣duniaaaa🤣🤣
Help me to surprise, kwanza kiswahili cha watu wa njee sio kama chake once wakiongea unajua tu huyu sio wa hapa, sasa huyu mdigo kabisa kujifanya kafundishwa kiswahili.loooh hata mimi am better than him
@@amandasarah3558 😂😂😂sasa sifa amuachie nani
Mmarekani huyu kiboko😂😂😂🤣🤣
Kiingereza chake 0.001% kiswahili chake 100%then anasema kajifunza a year a go 😀😀😀
Anajifanya hajui kiswahili
Wameru waaajabuuu saaaana Awana mapenzi
Uyu sio mmeru nilichaga la Sia Tena kina kileo ni washamba ajabu
Haaaaah
@@GMD820 NDIO utujumuishe wasiha wote jomoni
@@GMD820 😹😹
Pumbavu Sana wewe kaka kesho yako huijuwi
Sisi tunaokujua ngoja tunyamaze, kama huwezi kuogopa watu muogope hata Mungu, wakonta hongera sana kuachana nae 😏
😂😂
🤭🙆♂️
Huyo siyo Mchungaji Ni mchunaji
@@maswamills3161 ni mchungaji
@@jayalain4609 ana washirika kabisa?
Sasa si amuombee wakonta jamani! Mbona mpka sasa yuko kwenye wheel chair?? @global
Me nnaangalia tu kichwa Cha mtangazaji kilivyopabwa
😁😁😁😁😁😁😁
😂🤣🤣🤣🤣🤣
Hili likaka linaitaji ndoige moja akili ikae sawa
Hapo mwisho ndio palipoonyesha unafiki pesa zilikuwa zinaingia kwenye account yake, kwahiyo alimtumia huyu binti kupata fedha za wafadhili kutoka Marekani 🤔
🤣🤣
Huyu jamaa kamuibia hela binti wa watu. Itakuwaje utume hela Marekani ifanye biashara hapo ipo
Mmmh hiyo actually ilivyosemwa kwa msisitizo duh
kwani huyo wakonta bado kilema
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️
Yaani kichefuchefu napata mm hahahahaha
kiruuuu cham de deeeee
Ili lijamaa liongo, kwa mamako kimbiji hapo, afu eti In America, nyooooo😏😏😏 ulitaka jina na umefanikiwa mana wakonta anafatiliwa na wengi
Hiki kiswahili kimenyooka ivi kiwe cha kufundishwa🤣🤣🤣🤣🤣
Mi mwenyewe nimeshangaa, swahili ya kufundishwa hii kweli?
Yaani mwenyewe nashangaa 😀😀😀
😀😀😀 .....anyway ngoja ninyamaze ili tusigawane dhambi zake...kila mtu abebe mzigo wake.😂😂
😂😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hajui kiswahili vizuri lakini akiongea kingereza anatafsiri mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aki wivu itawaywa🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂nimeanza na kucheka kabla sijasikiliza story
Ulikua marekani or kahama mjinga wee, na utalaaniwa. Time well tel
😹😹😹😹
Jamaaa nilishamba na nilitapeli tapeli eti phrophet of God,ss mbaya zaidi linajikuata li marekani wakat hata mwaka alijamaliza marekani lkn lina jifanya alijui kiswahili wakati kingereza chenyewe alijui Cocroach mkubwa
Wewe ongea kiswahili hata upendezi kabisa