Pole Sana kwa yote Mwenyezi Mungu akulinde akunze akufunike akusingire kwa Damu ya Bwana wetu Yesu Kristo akupikanie akushindie akuweseshe akuimarishe akuponye vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen
Pole sana dada Mungu wetu ndie ajuaye hayo yote unayopitia kikubwa nakupenda Sana maana upo happy kama upo sawa jaman eeeh Mungu mkumbuke huyu dada faraja izidiyo yote Mpe hitaji la moyo wake mpe oooh God Mimi ni nani Leo hata niringe mkumbuke Jehova
Pole sn wakonta mungu atakupa afya nzr na utakaa sawa mm Niko korogwe ninafanya kazi magunga hospital ambapo ulipoanzia kupata huduma baada ya ajali pole mno bint uliekubali alichoruhusu mungu lkn naamini ipo siku mungu wetu atakuponya....
Way maker, Miracle worker, Promise keeper, my God thats who you are...... he will make a way. Keep smilling champion
Amen IJN 🙏🙏🙏
Pole Sana kwa yote Mwenyezi Mungu akulinde akunze akufunike akusingire kwa Damu ya Bwana wetu Yesu Kristo akupikanie akushindie akuweseshe akuimarishe akuponye vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen
Daaaah Mungu akupe nguvu usimame tena Dada
Mwenyezi mungu akupe subra katika nyakati zote mpendwa
Hii video ni ya mda kidogo ila nimelia.Najua Mungu anasababu nzuri na hili hamna haja ya kumlaumu.I know is our maker.
Pole sana mdogo iposiku utatembeya Inshaallah Nakupenda sana 👍👍👍
Pole Sana kipenzi,Mungu akupe subra .Nakuombea kipenzi
Pole mungu akutie nguvu siku zote
Pole sana dada.Mungu akufanyie wepesi
Mwenyezi Mungu mwenye Nguvu zisizopimika, akutunze dear,
❤❤Wakonta
Mungu akuponye dada nimekupenda mno kwa ucheshi wako safi kwa kujiamini
Pole sana ,tunakuombea upate nafuu.
Pole sana dada Mungu wetu ndie ajuaye hayo yote unayopitia kikubwa nakupenda Sana maana upo happy kama upo sawa jaman eeeh Mungu mkumbuke huyu dada faraja izidiyo yote Mpe hitaji la moyo wake mpe oooh God Mimi ni nani Leo hata niringe mkumbuke Jehova
Poleee xna Dada ... Mwenyezi Mungu azid kukupigania nakupenda 😍
Mungu ahusike
Naomba Mwenyezi Mungu Akuponye utembee wakonta jamn so sad😢😢
Pole sn Wakonta Mungu ana kusud na ww ipo ck atakutendea muujiza na tutashangaa, kuwa na subira ,na kupenda sn.
Utapona mumy.
Mungu ni mwema
Mungu mwema azidi kukupigania.Una ndugu wema sana wenye upendo 🙏🙏.. mshukuru Mungu kwa kila jambo
Kabisaa lkn ukutane nandg wa mnabii Yusuph mtihani
Pole Sana Mungu azidi kukulinda
Naamini ipo siku moja mungu atakuyanyua Tena
Pole sana Mungu yupo
Daa pole sana
Asante Mingi wetu kwakupa subra
Allah akufanyie wepesi
Pole sana dear
Pole sana dadangu wah 🙏🙏🙏
Daaaa mungu akukumbuke mdogo angu, ila nakuona unafuraha na mimi inanibidi tufurahi pamoja
Mungu akupe shifaa
❤❤❤
Pole sana Mungu anampa mtu jaribu ambalo ataliweza.
Laiti ningekuwa mimi kwa familia niliyonayo nahisi ningeshakufa hakuna wakunihudumia.
ASTAGHAFILULHAH.LAADHWIM...ANATISHA.MWENYEZI.UNGU...SUBHANALHA😭😭
Mungu mkubwa huyo kaka ana imani sana
Kwa kweli ndugu wenye imani ni wachache sana
Mungu yupo pamoja nawe mdog angu
Pole sana mpendwa wangu
Wakonta nakuombea Mungu azidi kuimarisha afya yako . Hii video imenipa fundisho kubwa lakini yote kwa yotetunamshukuru aliye juu.
Mm naamini bado ipo siku utatembea, kila nikiangalia video zako mpnz, ndani mwangu lipo tumaini.
Mungu atakuponya
Naamini siku moja utakuwa sawa😘😘
Pole sana
Pole Sana wakonta
Duh pole sana 😭
Pole mama
You never loose hope keep fighting dear, you a a conquerer
Pole sn wakonta mungu atakupa afya nzr na utakaa sawa mm Niko korogwe ninafanya kazi magunga hospital ambapo ulipoanzia kupata huduma baada ya ajali pole mno bint uliekubali alichoruhusu mungu lkn naamini ipo siku mungu wetu atakuponya....
@@pillymcharo9855 alipata ajali ?
Pole sana my dear
Yaaan mpnz mungu u pamoja nawe!!!
Ipo siku utasimama kwa miguu,mungu yupo.
Penda Sana dadangu
Hujafa hujaumbika
Pole sana mloko wangu naweza pata number?
Tunamuomba Mmungu akufanyie miujiza yake usimame na upone kabisa
Pole sana wakonta