Asante kaka kwa nondo nzuri... from today naanza kufanyia kazi especially spiritual na map my day, pia ku delegate tasks from my home girls to office...be blessed brother
Nimependa zaid swala la kujikumbusha malengo yetu kila siku.Kiukwel kila kitu unakifanya kwa kuwa na motivation hata kujikumbusha malengo yako unajipa hamasa wew mwenyew
Broo kiukweli unanibariki sana kwa jinsi unavyotumia karama yako kwa ajili ya watu na vijana ili kupata mwanga ni nn cha kufanya katika kuyaishi malengo na ndoto. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana Joel
Wow, Wow!!! Asante sana Kaka Joel kwa kujadili swala hili, ni muhimu sana tena nitaongezea katika ratiba yangu nisicho kuwa nacho na ni *REVICING MY GOALS* God bless you greatly, you are part of my daily motivation and life coach 👏👍🙏
Yap pamoja sana Bro yani wanye kukosa kipindi chako wanakosa chakula cha Ubongo. Mbaya zaidi wabongo wanapenda sana Shilawadu ndiomana hata makazini watu wanakosa ufanisi kwakufuatilia Kiki za Wema & Diamond namagazeti ya Shigongo😅😢😧
Asante sana kka, nimegundua kumbe ni kwanini Sifanikiwi japo naona ninafanya kazi kwa bidii lakini sioni Mafanikio, haya yote ninayahitaji, nadhani Mungu amekuletea ujumbe huu ili mimi niupate, See you to the Top. Be blessed.
Namshukul mungu kwakukuleta dunian yaan nakula chakula cha ubongo
Asnte sana hiki ni zaidi ya chakula ,Mungu akupe maisha marefu ilituweze kuvuna yaliyomema kutoka kwako,devotional
Kwakweli bila kutenga muda wa kuzungumza na Mungu utaishi maisha ya kuchanganikiwa sana nguvu ya ndani ni kila kitu Asante kaka
"Mwili wa marehemu, marehemu mwenyewe hayupo" nimeipenda hii, asante mentor
Having you in Tanzania is a blessing in itself
wilharda ndaisaba bless you🙏🏻
@@joelnanauka very good brother kwa malifa unayo tupatia
Aseee ume nifanya kujiona nim2 muhim sana katika dunia
I do morning devotion for couple days and then I would stop. It's a on and off thing for me. I desire to be consistent if I could!
Asante kaka kwa nondo nzuri... from today naanza kufanyia kazi especially spiritual na map my day, pia ku delegate tasks from my home girls to office...be blessed brother
Nikua naitaji kitabu chako kaka
asante sana kaka Joel mungu akupe maisha malef sana ili tuweze kuinua taifa letu na dunia kwa ujumla
Jo nimependa hili somo maana umeanza kutueleza mambo ya mungu. Asante kaka. Hatuwez fanikiwa bila mungu
Ahsante brother kwa elimu nzuri.. nitafanyia kaz hili. Ubarikiwe sana
My real real real life COACH,,, i always appreciate you worthwhile brother of mine
Shukrani sana Joel.....kuhusu ratiba naona mafanikio makubwa
Ahsante sir.joel, ahsante sana.
Asante sana kitu kimenipanione mafanikio n ktk kupanga muda w saambili kipi nitafanua nakuaruhusu vitu vingine kuwapa wengine wafannye
Always you Make Me more Better, Be Blessed Brother
Nimependa zaid swala la kujikumbusha malengo yetu kila siku.Kiukwel kila kitu unakifanya kwa kuwa na motivation hata kujikumbusha malengo yako unajipa hamasa wew mwenyew
Broo kiukweli unanibariki sana kwa jinsi unavyotumia karama yako kwa ajili ya watu na vijana ili kupata mwanga ni nn cha kufanya katika kuyaishi malengo na ndoto.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana Joel
Waking up to this,thank you my brother.#seeyouatthetop
Asante kaka mungu akubariki sana video zako zinafundisha na kutujenga mungu aendelee kukuinua
Ahsante sana brother kwa kuendelea kutupa njia za kupambna kufikia malengo ,Mungu akubariki
Matatu kati ya hayo huwa nafanya uneniongezea 3, thanx a lot
Asante umenip majivuno sana na naiman nitafanikiwa sana
Nmeipenda sana hatua ya revise your major goal and feed your mind hiyoo itan saidia sana kutambua fursa Asante kaka joel kwa darasa lako
real munch interesting inasaidia sana Chief. God bless you and give more power and strength in educating people.
Goood nimejifunza jamboa la msingi saaana
Asante sna sana...darasa huru hili
Asante mungu azidi kutulinda kila wakati
Thaks god bleas u for you are work is better to teach othes in odear to buiding good society
Brother Joel uko vizuri sana
Asante sana mr joel nanauka
Shukran sana kaka tangia nimeanza kukusikiliza kweli naenjoy sana akili yangu inaingia madini mengi
Ameen jn umenipa somo zuri sana God bless you Joel
Kaka mi nakuelewa Sana mungu azidi kukuongoza na kukubariki utufundishe zaidi
Nimebarikiwa sana leo, somo lipo simple ila lina ujenzi wa kutosha katika ubongo hakika hiki ni chakula cha ubongo chakwanza nishafanya kusali
Umenijenga kwa kwel
Ayubu 7:14-16,33:14-16,38:12-13 Kutoka 23:20-27, Zaburi 118:1-29,23:1-6 & Ufunuo 12:7-16.EMMANUEL , EL-SHADDAI, JEHOVA JIRE, EL-OHIM, EL-ROI, EL-GIBBOR, LION OF YUDAH.JOEL NAKUPENDA SANA Zawadi yako Ni (WAFILIPI 4:1-23, ISAYA 45:1-25.Halleluyah
Wow, Wow!!! Asante sana Kaka Joel kwa kujadili swala hili, ni muhimu sana tena nitaongezea katika ratiba yangu nisicho kuwa nacho na ni *REVICING MY GOALS*
God bless you greatly, you are part of my daily motivation and life coach 👏👍🙏
Asantee kwa ujumbe mzur
@@jeremiamussa7910 my pleasure dear
Kutokana na funzo zake nimeweza jifunza hali halisi ya kuishi maisha ya sasa kwa ujasiri mwingi
Nayapenda❤❤
Asante kaka.kwanza ntaanza na Mungu
ubarikiwe brother
Leo ntk kuanza kuandika kila nilichokipata kwako na kukifanyia kazi shukran
Asante sana!
Asante Sana kaka Kwa somo lako zuri
Asante kaka.Mungu akujalie
Asante kaka ubarikiwe sana somo zuri mno
Asante sana kwa mafundisho mazuri sana. Mungu akubariki sana kaka Joel.
Barikiwa mnoo kakaangu
It is good to me ,I appreciate your speech
Asante sana kaka siku zote wewe ndio hamasa yangu
Asante sana brother
Asante sana kaka Joel Mungu akuongezee maarifa
Be blessed brother
hongera nakufuatilia na kufanyia kazi ushauri wako
Upo vzr sana kaka,big up Sana,najuta kutokukujua mapema maana nngejuw mbali sana an
BARIKIWA MR.JOEL
Nzur sanaa mwalimu
Asante kaka naendelea kuvuna vitu
ubarikiwe sana mwalimu bora
kaka Joel elimu yako inabadil maisha ya watanzania.
Like so much your your advise
Asante kwa topic hii.
Good advise Thank you
Thank you so much
Asante saana
Asante kaka joel
mungu aku baliki sana my brother.
thankx xan brother nimekua mpyaaa😘
Barkiwa sana rafk
Thank you brother
Asant my brother mi napenda kuanz na ratiba ya sik nzima
BARIKIWA SANA MTUMISHI KWA ELIMU NZURI
thanks bro you will see me at the top
Napenda nianze na jins ya kujenga siku yangu
Ahsante Sana Mtu wa Mungu
Yap pamoja sana Bro yani wanye kukosa kipindi chako wanakosa chakula cha Ubongo. Mbaya zaidi wabongo wanapenda sana Shilawadu ndiomana hata makazini watu wanakosa ufanisi kwakufuatilia Kiki za Wema & Diamond namagazeti ya Shigongo😅😢😧
Good
Fanya tafit ya Network marketing especially QNET , then naomba uje na majibu , kuwasaidia wa Tanzania walio wengi
thank you
Napenda sana jinsi nilivyo badili Tabia ya kuchelewa kuamkà mapema
Asante brother
Elimu zaidi ya elimu. Shukran kaka
Kumshukuru na kupangilia ck
Kujiunganisha na mungu
Asante sana kaka
The Miracle Morning ❤
Kaka J tarent uriyo nayo 💝
Asante Sana kwa maoni yako
Mungu akubariki
Huyu jamaa genius sana aseee
Spiritual Capital very important
Fact brother
Maarifa yaliyoandaliwa kwenye sauti zuri tu. !
hakika ww ni kipaji nimani siko nje ya mada nitajitaid kufanya hivyo zaid
Asalam alykum asante nimepata faida ktk kujipajga
Mungu akubariki🙏
Asante sana kka, nimegundua kumbe ni kwanini Sifanikiwi japo naona ninafanya kazi kwa bidii lakini sioni Mafanikio, haya yote ninayahitaji, nadhani Mungu amekuletea ujumbe huu ili mimi niupate, See you to the Top. Be blessed.
Thanks bro
Shukraan brother ubarikiwe 🙏🙏
Nakuelew bro
Good brother
thanks Sana bro!!!!!
Thanks
Nakukubali broo