MASKIN RC KITWANA AMEJIKANYAGA BILA YA KUJUA UWEZO ALIONAO OTHMAN MASOUD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @KhamisHaji-q8f
    @KhamisHaji-q8f 28 วันที่ผ่านมา +1

    Munaumia sana kumbe nyinyi ACT ccm juuuuuuuuuu juu zaidi

  • @MaalimAli-i1i
    @MaalimAli-i1i หลายเดือนก่อน +3

    Kitwana, kitwana ana sijida kubwa utadhani ulamaa lakini ndo jitu lilosimamia dhulma 2015 baada ya jecha kufuta uchaguzi ndo likapewa zawadi hiyo ya ukuu wa mkoa, unadhani litakuwa na mawazo gani jitu kama hilo.

  • @KhamisHaji-q8f
    @KhamisHaji-q8f 28 วันที่ผ่านมา

    Munaumia sana kumbe nyinyi ACT ccm juuuuuuuuuu juu zaidi😮😢😢😢

  • @salyali7807
    @salyali7807 หลายเดือนก่อน +5

    Hilo Jina lishatosha "kitwana"

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb หลายเดือนก่อน +7

    Wewe kitwana penye wasomi Baki na mkeo nyumban hujawa msemaji

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر หลายเดือนก่อน +1

      @@HajiYussuf-bv5eb hahahha ni kweli

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน +1

      Jinga kubwa hili baba pumbavu kacheze huko

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x หลายเดือนก่อน +2

    KITWANA NENDA KWENU BARA HUKO HAUJASOMA KWANZA WEWE

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv หลายเดือนก่อน +6

    Sasa huyu jamaa mkuu wa mkoa mzima amejaa ujinga na uchawa ndo nini sasa kufanya kampeni apo na dharau juu😂😂umepatikana usiongee ujinga kwa wasomi

    • @divefumba8923
      @divefumba8923 หลายเดือนก่อน

      Yeye mwenyewe msomi sio mbumbumbu kama mimi na wewe (Mh Kitwana oyeeee)

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر หลายเดือนก่อน

      Ni mpumbavu sana,maana mwenye akili haongei ujinga

    • @aliabass5242
      @aliabass5242 หลายเดือนก่อน

      Alikua mwalimu wa IT SUZA sio mtu wa kawaid py

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر หลายเดือนก่อน +1

      @aliabass5242 unajua elimu si hoja unaweza kua na elimu ukawa mjinga

    • @aliabass5242
      @aliabass5242 หลายเดือนก่อน

      @نوفل-س5ر fact

  • @bombaali6304
    @bombaali6304 10 วันที่ผ่านมา

    Tatizo si bagorofa. Kama bagorofa Dubai wengelala. Kubwa maendeleo ya wananchi baade ndio mengine. Leo njaa tupu wizi kupita kiasi

  • @KibaSazaf
    @KibaSazaf หลายเดือนก่อน

    Kitwana kwan hapo ni sehemu ya kupiga pamben

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 หลายเดือนก่อน +1

    Even body language ,ya kitwana inaonyesha waz kua si mtu nzuri na hana hakima hata ccm wanamfahamu Mr,Othman M O Sharif, na watampa kura

  • @YussufAme-k8z
    @YussufAme-k8z หลายเดือนก่อน +1

    Daah!! Ukiutaka huuuu utaupata ulee kitwana kajbiwa kisomi kweli.

    • @divefumba8923
      @divefumba8923 หลายเดือนก่อน

      Kataa au kubali maendeleo yapo kama utaki ni wewe na shida zako za maisha yako binafsi

  • @HassanHassan-lc7gw
    @HassanHassan-lc7gw หลายเดือนก่อน +1

    Iyo ndo maana ya ubaya ubwela unapewa makavu live 😂😂😂😂

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x หลายเดือนก่อน +4

    Kitwana hamna Kitu Apo😊

  • @ahmadfauz5878
    @ahmadfauz5878 หลายเดือนก่อน +1

    Bora alivyo vaa miwani ya jua kwani alikuwa kama anakunya kwaaibu

  • @Abdul.auto-spare
    @Abdul.auto-spare หลายเดือนก่อน +1

    mie kila nikikaa naikilz mara kwa mara na majib ilio yapata ktk ili jambo,😆😆😆😆😆

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 หลายเดือนก่อน +1

    Khanisi kitwanga

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 10 วันที่ผ่านมา

    Mku wa mkow pmzi san

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน +1

    Magorofa. Wee kweli Mtwana

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 29 วันที่ผ่านมา

    Kitwana na wenzake ni washamba wa magorofa lkn unanjaa

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb หลายเดือนก่อน +1

    Kitwana au mtwana

    • @allybin08
      @allybin08 หลายเดือนก่อน

      Mtwana 😂😂😂😂

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud หลายเดือนก่อน

      Twana

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud หลายเดือนก่อน

    Katulizwa katulia tuli

  • @BarkeAliy
    @BarkeAliy หลายเดือนก่อน

    Usipige kampeni sehemu ya serikali,baba kitwana ,ukitaka kufanya kampeni subiri kwenye viriri vyenu vya vya siasa ndo upige kampeni

  • @hamadsoud7717
    @hamadsoud7717 หลายเดือนก่อน

    Hajielewi ndio maana Alisema mchukucha kua ccm wametawaliwa mpaka akili zao hawatafutishi baina ya ya shughuli za chama wala za serekali wao wapo tu.

  • @KhamisHaji-q8f
    @KhamisHaji-q8f 28 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahahah hamna ccm oyoooooooo

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU NI KITWANA AU KISHOGA

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 29 วันที่ผ่านมา

    Miwashamba wa magorofa mungetembea mukaona gorofa na ujinga wako kitwana nenda Dubai ukaone magorofa

  • @BarkeAliy
    @BarkeAliy หลายเดือนก่อน

    Da kitwana umepatikana ,na kuonea huruma sana kwa maji bu ya kisomi uliyojibiwa

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz หลายเดือนก่อน

    Kwani hapo panatajwa ilani au ni kitu gani huyu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwenyekiti wa CCM ilaani ilaani inahusu nini hapo kusoma kunasaidia sana hawa walioteuliwa kutoka maskani wanatabu sana hawa

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน +6

    Miaka 61 njaa oyeee na wizi oyeee

    • @divefumba8923
      @divefumba8923 หลายเดือนก่อน

      kazi ufanyi njaa itakuacha salama?wataka vya bure kwa serikali

    • @Ibrahimkhamis-m2o
      @Ibrahimkhamis-m2o หลายเดือนก่อน

      ​@@divefumba8923 tupo tunaefanya manispaa na halimashauri kila siku uchawa eti ss ivi ukiwa na biashara ulipe pango , pango gani tulipe . Mtu unamtaji wa laki leseni laki tatu halafu tufanye kazi eti kazi gani labda ufanye kazi ya mauzinde ndio utobowe

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo หลายเดือนก่อน +1

    CCM inakataliwa na Wazanzibari Kwa Wajinga kama Hawa akina Mtwana na wenzake bado wamelala usingizi wa fofoffoooo!wamebakia na Mapinduuuuziii!Daimaaaaa!CCM mileleeeee!hawana hoja ,busara wala hekimaaa!mawazo Yao ni kutaka utawala Kwa njia yeyote hata kuua watu!

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 29 วันที่ผ่านมา

    Omo wambie maana hawaelewi

  • @PiliHakimu
    @PiliHakimu หลายเดือนก่อน

    Wanatubabaisha slimy gains muelekekeo kila siku mabadiliko yasio na tija

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน

    Wee mtwana utofautishe mkutano wa chama na serikali. Mshamba sana huyu Mtwtwana Ovyooo

  • @FatawiSheha
    @FatawiSheha หลายเดือนก่อน

    Mm naona dakika zote huyo rc alikua na salamu tu sioni kitu

  • @Nassorcholo-b7e
    @Nassorcholo-b7e หลายเดือนก่อน

    Kila mtu na akili zake wengine wanajisahau

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mbele ya wasomi kaeni kimya ndo munaadhirika ivo

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk หลายเดือนก่อน

    Kitwana kasomeshe chekechea

  • @Ayubumohammed-s5e
    @Ayubumohammed-s5e หลายเดือนก่อน

    hahaha

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar หลายเดือนก่อน

    Mimi nashauri viongozi wetu wasiwe wavivu kusoma siasa wasikimbilie tu katikaumoja wa vijana halafu wakawa viongozi ambao hawajui siasa mana haya maneno aloongea kitwana Kwa hapa siopahalapake ila nashkuru kajibiwa kisomi ametulia kama anakunya katika mihogo ya bahamadi😂😂😂😂

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 หลายเดือนก่อน

    Mie nashangaa huyu kitwana alivyofanya hapo jukwaani .ikisha wanahimiza amani.

  • @YahyaMasoud-j4v
    @YahyaMasoud-j4v หลายเดือนก่อน

    Hhhhhhh hapooo vipiii 😂😂😂😂 msomi ndo msomiii tuuu

  • @IflahIssa
    @IflahIssa หลายเดือนก่อน

    Ikifika 62 ujuwe mambo yanajirejea

  • @WakaWaka-eu9ky
    @WakaWaka-eu9ky หลายเดือนก่อน

    Huyu kitwana au mtwaana naona hajielewi nn anaongea mpumbavu huyuu anpiga kampeni sehemu ambayo iliokua haistahiki kabisa chawa kweli atabaki kua chawa na elimu hana huyu mkuu wa mkoa kimeo

    • @divefumba8923
      @divefumba8923 หลายเดือนก่อน

      kitwana Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @MumusuSuley-iv5mi
    @MumusuSuley-iv5mi หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ana.cifa xaana!!!

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe ndio M.C

  • @Ayubumohammed-s5e
    @Ayubumohammed-s5e หลายเดือนก่อน

    hahahaah

  • @allybin08
    @allybin08 หลายเดือนก่อน

    Utumbo mtupu kitwana 😂😂😂

    • @divefumba8923
      @divefumba8923 หลายเดือนก่อน

      Kaa hivyo hivyo michongo ipo kama yote

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x หลายเดือนก่อน

    KITWANA NA WEWE UNASEMA NINI MBELE YA WASOMI ,KWANZA WEWE HAUJASOMA USICHEZE NA WASOMI

    • @SALUMKHALFAN-z4f
      @SALUMKHALFAN-z4f หลายเดือนก่อน

      SAMAHANI NIKUULIZE ILI MTU ASOME APATE SHAHADA GANI TUSAIDIE MKUU MAANA KITWANA ALIKUWA MWALIMU WA SKULI BAADAE AKASOMESHA VYUO ZA ZANZIBAR NA YEYE ANA MASTER DIPLOMA AMEIPITA NA DEGREE PIA AMEMALIZA SASA TUFAHAMISHE MKUU ILI MTU AWE KASOMA AWE NA SHAHADA GANI HALAFU PIA TWAMBIE NA YAKO PHD YAKO UMEFANYA WAPI

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar หลายเดือนก่อน +1

      ​@@SALUMKHALFAN-z4f hajui siasa kitwana hapa sio pahala pake pakutia siasa huu sio mkutano wa chama halafu ajue yeye ni mkuu wa mkowa anajihusishaje na siasa ila alipopata makavu yake siumemuona kama alishusha pumzi😂😂😂😂😂😂

    • @SaeedMohammad-sw7jq
      @SaeedMohammad-sw7jq หลายเดือนก่อน

      ​@@SALUMKHALFAN-z4fAzungumze maneno yatakayowathiri wasikilizaji kutokana na ubora wa hekima. Hivi alivyozungumza ndio usomi gani?

    • @SALUMKHALFAN-z4f
      @SALUMKHALFAN-z4f หลายเดือนก่อน

      @@KhalidiBakar UNASEMA ASITIE SIASA HUJAFAHAMU TARATIBU MKUU WA MKOA ANASIMAMA KICHAMA NA KISERIKALI PAMOJA NA HUYO MAKAMO WENU ANASIMAMA KISERIKALI NA KICHAMA HIZI KOFIA ZOTE HAKUNA HAPA KICHAMA WALA HAPA KISERIKALI NAKUKUMBUSHA KITU MAKAMO WENU ALISEMA KUWA SISI NDO WA MWANZO KUITAKA AMANI AMANI NA NDO MAANA TUKATAKA UMOJA WA KITAIFA KITENDO HICHI NI CHA SIASA SASA MREKEBISHE MAKAMO KUWA PALE PIA HAPATAKIWI SIASA MAANA MARIDHIANO YALIKUWA BADO HAMJAINGIA SERIKALINI HAAAAA

    • @zanzibarmethadoneclinic3605
      @zanzibarmethadoneclinic3605 28 วันที่ผ่านมา

      Pole​@@SaeedMohammad-sw7jq

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa limeenda mchomo

  • @MumusuSuley-iv5mi
    @MumusuSuley-iv5mi หลายเดือนก่อน

    Kwani ana elimu gn,huyu?,kwani RC kikatiba Anahubiri ciasa ha kadha!!!

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน

    Mjinga mkubwa hujui hata mkutano wa ccm au mahafali mengine pumbavu

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน

    Kumbe nyote wajinga kwani Hussein mwinyi kajenga kwa pesa

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน

    Mjinga kwani uko kwenye campaign

  • @NassirSaid-e4i
    @NassirSaid-e4i หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅