Omo ana mfumo mgumu sana kama wa yanga gusa achia twende kwenye mada,ni dawa ya presha anojua elimu yake atakwambia ( wende vizuri na mada yako) turudi kwenye mada inasemaje nimesahau kuisoma nimeharakia kwenye mada AA watoto wetu ndiyo walimu wetu
Wewe omo sijui magadi baada ya kushirikiana na serikali iliyoko madarakani ili muipaishe zanzibar kimaendeleo kimapato huna ufanyalo zaidi ya mipasho tuu kili kukicha sii bora tujue moja tuu uingie kwenye taarab uimbe mipasho
Watu hawahitaji kuuliwa kila kipindi cha uchaguzi binafsi linaniudhi jambo hilo na ccm ndio chanzo cha mauaji ili waendelee kubaki madarakani .tufanye uchaguzi bila hadaa na wala yasitokee mauaji kwa sababu chama fulani kibaki madarakani .
Hayo maneno anayo zungumza yasikilize vizuri utaelewa nini anachokusudia ,au wewe watu wakipoteza maisha kwa sababu ya uchaguzi huumizwi na hilo ,kama unaumizwa basi ungemchukia anayefanya hadaa na dhulma katika chaguzi kwa sababu unajua kitakachotokea ikifanyika dhulma na hadaa.na huwezi kumchukia anayesisitiza haki itendeke na dhulma iondoke ili amani itamalaki.
👏🏻👏🏻👏🏻
Huyu jama hatari Bora upigwe na risasi unauwa haraka kuliko maneno ya mpemba huyu huyu Omo kiboko ya ya uchafu wote
Waambie hap
Waachambue chaambue hao mh omo
Huyu jamaa Ubaya Ubwela Sana
Omo ana mfumo mgumu sana kama wa yanga gusa achia twende kwenye mada,ni dawa ya presha anojua elimu yake atakwambia ( wende vizuri na mada yako) turudi kwenye mada inasemaje nimesahau kuisoma nimeharakia kwenye mada AA watoto wetu ndiyo walimu wetu
Omo waambie maana hawajitambui
Wewe omo sijui magadi baada ya kushirikiana na serikali iliyoko madarakani ili muipaishe zanzibar kimaendeleo kimapato huna ufanyalo zaidi ya mipasho tuu kili kukicha sii bora tujue moja tuu uingie kwenye taarab uimbe mipasho
Watu hawahitaji kuuliwa kila kipindi cha uchaguzi binafsi linaniudhi jambo hilo na ccm ndio chanzo cha mauaji ili waendelee kubaki madarakani .tufanye uchaguzi bila hadaa na wala yasitokee mauaji kwa sababu chama fulani kibaki madarakani .
Hayo maneno anayo zungumza yasikilize vizuri utaelewa nini anachokusudia ,au wewe watu wakipoteza maisha kwa sababu ya uchaguzi huumizwi na hilo ,kama unaumizwa basi ungemchukia anayefanya hadaa na dhulma katika chaguzi kwa sababu unajua kitakachotokea ikifanyika dhulma na hadaa.na huwezi kumchukia anayesisitiza haki itendeke na dhulma iondoke ili amani itamalaki.
Naona wewe akili zako zimeshikiliwa na mshipa wako wa haja kubwaaa!😂
Au wewe ni miongoni mwa Watanganyika muliopewa vitambulisho vya Uzanzibari na kutaka kupiga Kura?