KIFAHAMU KISIWA ADIMU ZAIDI TANZANIA (DOCUMENTARY)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 มี.ค. 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Mimi ni M'bara ila wapemba wakarimu sana ila wakaidi piaa
Siyu
Fazah
Lamu
Watamu
Vanga
Msabweni
Tanga
Mafia
Unguja
Pemba
Komoro,Mombasa, Zanziba.
Na visiwa venginevo ambavyo sikuvitaja wote wanaoshi kwenye visiwa hivyo ni watoto wa mjomba na shangazi lugha chakula tabia zao Dini mavazi wame shibana .
Tanzania Darsalam mzuri Sana kweli 💖
Nice ❤from Burundi🇧🇮 Lives in cape Town viva africa
Dah kikweli pemba ina vivutio vingi zaidi ila haina bahati ya uwekezaji
Apo umekosea sema Zanzibar ❤ sio ivo ulivo sema weye Tanzania
Hehehe sanaaaaa tuu kwetu iyo short video tumeona vingi ambavo ata wazaliwa hatujui kama vipo
Pemba ❤️❤️❤️
I love Zanzibar. I never been there, but Isha ALLAH I am coming to visit everywhere. I love my people. ❤❤❤❤❤
Welcome
MashaAllah ❤😢 I love Pemba I will visit my people in Pemba. Thank you Al FATAH TV online to show us around the world, especially Pemba is beautiful MashaAllah 🫡🫡🫡☕️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰♥️♥️🤲🤲🤲🤲
Wooow nice to se this place, one day I wl be there,
Kwa mara ya kwanza naona pemba kuna nini.Vizuri sana tangazeni nje ya nchi pia .Jengeni ma hotel.
Home sweet home. Its been almost 10 years since I left. Can wait for my first visit😍😍😍
Zanzibar ❤
ZANZIBAR ❤
Story nzuri
MashaAllah ❤
Je kuna hostel au nyumba za kulala wageni maana wengine hatuna jamaa wala rafiki pemba
Karibu zipo nyingi za kila bei
@@amournassorsaid7694nili uliza nikaambia zina bei kali sana
Mashaallaj
Mashaallah shukran ❤
Mashallah ❤❤❤
Interested to be a pemba Island in zanzibar about tourist destinations and antique place by me bausa tour guide from pemba Island I accept it
Hakika dunia ni mapito
Safi sana kiongozi wangu
Kitoweyo kwa nsheli sheli.
Inshallah 😢natmn kuiona pemba
Karibu
Hao popo wapo ata kwenye kisiwa cha Chole kule kisiwa cha Mafia,,,niliwahi peleka wageni kule
😂😂pemba ni zanzibar au Tanzania?
Hebu acheni ufala nyinyi,kuna Zanzibar na Tanganyika,na Zanzibar ni muunganyiko wa visiwa viwili pemba na unguja,na tanganyik nitofauti na Zanzibar,ikiwa kuna maraisi wawili kati ya tanganyik na Zanzibar basi Pemba na Unguja haipo tanganyika,sasa kwanini muitangaze TANGANYIKA nasio Zanzibar,😂Hebu wacheni unafiki mumeifany pemba mpk leo ipo nyuma kimaendeleo
Mshamba wewe.
Zanzibar sio muungano wa Pemba na Unguja.
Zanzibar ni "ZINJIBAR" amblyopia ni sehemu zote zilizokuwa chini ya utawala wa waarabu hasusan OMAN
Kama ingekuwa maana ya ZANZIBAR ni muungano wa Pemba na unguja isingekuwa ZANZIBAR
Tafuta history kamili usiwe mjinga dogo
Sio Tanzania ni Zanzibar
Sio Zanzibar ni Pemba
@@safarsafari68umemnyosha. 😅
sasa zanzibar ni ipi mana ukiacha pemba kuna unguja haya twambiye zanzinar iko wapi
@@Alkaburuamejidanganya
Iyo ni zanzibar na xio tanzania
Hiyo ni pemba sio zanzibar
@@Alkaburukwani pemba ipo wapi
@@topn6852 iko pemba
@@topn6852 pemba iko pemba.
@@Alkaburuzanzibar iko wapi mana ukiacha pemba kuna unguja
Ni Zanzibar sio Tanzania itangazeni Zanzibar sio muitangaze Tanzania I love ❤ Zanzibar
Zanzibar ni Tanzania
Baadaye mtaanza kusema sio Zanzibar ni Pemba.
Umekaa kimamruki sana jomba unaongea utumbo mpaka ulimi unakuwasha
Acha ubinafsi sisi tunajua nitanzania
Malimbukeni sasa sijui kwann huu muungano usivunjike maan umeme hamna chakula hakuna lkn Kila siku zenji zenji