🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2023
  • 🔴#LIVE: RAIS SAMIA - "HAKUNA ANAYEIMILIKI TANZANIA, NI YA KWETU WOTE"
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 176

  • @richardmvuyekule6300
    @richardmvuyekule6300 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno ya hekima kubwa sana iliyojazwa na Mwenyezi Mungu, ubarikiwe sanaaaa mama.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน +2

    VERY INCOMPETRNT!

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 10 หลายเดือนก่อน

      Tulio soma cuba tumeelewa

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ungemjua Mungu Usingesingizia Watu Magaidi, Wahaini na Usingeua Wamasai Loliondo na Kuuza Bandari na Misitu.

  • @AbdulkheyrMaulid
    @AbdulkheyrMaulid 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tunamshukuru Mungu kutupa Rais makini Mungu azidi kukubariki

  • @sadatirashidi3323
    @sadatirashidi3323 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mama ametunasihi wenye akili tumefaidika asante sana mama Mungu atuongoze sote katika Haki

  • @contempo_builders
    @contempo_builders 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mama keep moving forward.

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mama etu tunakpenda we kua makini 2 sie wengine atuna neno kama ni kheri bac Allah s.w akuongoze fanya kazi

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mama samia una kazi nzito sana hasa kuiongoza mijitu migumu kuelewa kama tundu lissu nakupa pole mama

  • @munic6686
    @munic6686 10 หลายเดือนก่อน +2

    Usirudi nyuma mama twende mbele kwa kasi tutafika in sha Allah

  • @hajisaid3024
    @hajisaid3024 10 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana piga kazi mama tuko pamoja na ww

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 10 หลายเดือนก่อน

    Message send and delivered for those who are unpatriotic and hiding behind the religious and racial image.
    Thumb up to you mama.
    Allah bless you

  • @juliusdaudi6459
    @juliusdaudi6459 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mungu akubariki sana

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mama tunakuelewa mama yetu hawa wafata mkumbo tupo nao tunaishinao wala usitetereke nakubali kusimamia amani yetu kikamilifi na kuondoa upuuzi wa ajabu ajabu Tanzania kisiwa cha amani

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน

    Na Maaskofu Wote wa Katoliki wote 37 Nao , Tibaijuka, Shivji etc Nao wamekuwa Kama Ng'ombe.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Unakiuka Vitabu vya Dini KWA KUUA WAMASAI LOLIONDO. ACHA UTAPELI

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 10 หลายเดือนก่อน

    Usipate presha. Tunakuunga mkono tunawadharau hao kwa matusi yao. Mama atakayekutikana mpeleke mahakamani halafu akulipe. Hizo pesa wape watoto yatima.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sheria Inasema Polisi Hawatoi Vibali vya Mikutano sheria na Katiba Zinasema Kila Mbunge Lazima Achaguliwe, Why una Covid 19 na Why Una Waziri Mkuu ambaye hajachaguliwa.
    PUMBA TUPU

  • @user-sk5om4ze9b
    @user-sk5om4ze9b 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Tunakuombea kwa Mungu ubunifu wako ni Maendeleo yetu.

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mama una akili nyingi mno kila unachoongea point.mungu akulinde .

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y 10 หลายเดือนก่อน

      Samia ni Rais wa ovyo anachojua ni mipasho tu CAG kasema shs karibu trilion 3 zimeibiwa mpk leo hakuna liyechukuliwa amebakia kusema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nakukubar tangia ukiwa makamu Rais umeongea fact sana mama umetoa nyongo

  • @Mikeallyradjubu
    @Mikeallyradjubu 3 หลายเดือนก่อน

    Mama mungu habariki❤❤❤❤

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 10 หลายเดือนก่อน

    MASHAALLAHU Khair, kumbe ww ni rais kweli. Ukiwa na Akili nyingi siku zote lazima ufaulu ktk mitihani migumu. Lakin hilo pia halijulikani isipokuwa Kwa wenye Akili vile vile.

  • @AsifiweChaula
    @AsifiweChaula 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwacheni mama afanye kazi,, wengine subiilini nafasi yenu nanyi mkaitumie mnavyotaka iwe.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 10 หลายเดือนก่อน +2

    Shikamoo mama!!!

  • @user-ep9ot1pe7x
    @user-ep9ot1pe7x 10 หลายเดือนก่อน +2

    Safi Sana mama

  • @remmymsakusy
    @remmymsakusy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndiyo maana MAMA NI zaidi ya RAIS. Vilevile elewa hata ukibadilisha hawatakuwa na HEKIMA Kama kama ulivyo wewe.

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 หลายเดือนก่อน +2

    Madam samia, leo umeongea maneno mazima kabisa, anaepinga ana lake moyoni ni kibaraka wa kutawaliwa akili yake

  • @user-tq7fo4tp2x
    @user-tq7fo4tp2x 10 หลายเดือนก่อน +1

    Raisi umeongea vizuli sana kama mtu mgumu wa kuelewa huyo hana akili ajielewi

  • @potiyowatz836
    @potiyowatz836 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nice speach 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wananchi wawaunge mkono wakati ulisema ambapo watarudisha kadi utamtimua mkuu wa wilaya🤔 au umesahau???😮

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน

    Ksma Umelelewa Kwa Dini , Dini yako Inakuambia Uue Wamasai

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama huna baya shida washauli wako wengi ni mijizi magufuli alikua na kauri yeye anawataka masikini ww matajili mbona hawatusaidii zaidi ya kututesa vitu bei juu sana.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Hujapata faili lake Tu! Nae jizi kweli, sikuamini nilipopata faili lake, mwanae WA kiume ndo mshika dau huoni alivyowaweka mijizi kina Kinana? Kazi ya wizi iendelee 😂😂😂.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani Ukifanya Upuuzi, Ukitaka Uchaguzi Ufanywe na Makada wa CCM. Kumbe Unajua hakuna Mmiliki wa Tanzwnia Mbona Unataka Kugawa Bandari na Loliondo na Misitu?

  • @JullyJully-vs8xi
    @JullyJully-vs8xi 7 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli umeongea maneno ya hekima bnafsi nimekupenda buuu MUNGU akulindee

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 10 หลายเดือนก่อน

    Mama wengine wamezeeka na utundu wao, watakusumbua, warioba alimbania wasira asigombee kwa miaka mitano

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 10 หลายเดือนก่อน

    Kama ktk myaka yote mmesahau kuwapa elimu wananchi juu ya sheria za nchi hilo ni kosa ndo maana watu wanatendewa bila kujua haki zao! 😮

  • @hassanfeiswal5454
    @hassanfeiswal5454 10 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kisiasa serikali ikifanya vizuri siyo sababu ya kutosemwa, lakini isemwe si kwa kupinga lililosawa bali kwa kuonyesha kile kisichofanywa, Hicho lazima kitakuwepo kwani hakuna serikali iliyokwisha fanya yote.
    Huko ndiyo kukosoa kistaarabu.
    Vyama vijizuie kuhamasisha fujo na uasi wa raia kwa serikali yao.

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 10 หลายเดือนก่อน +3

    Duh Mama anachamba huyuuu😂😂😂😂😂😂

    • @victoriarwerengera4831
      @victoriarwerengera4831 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe ! Ni akina nani walijiny......a?

    • @sadatirashidi3323
      @sadatirashidi3323 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 10 หลายเดือนก่อน

      @@victoriarwerengera4831
      😂😂😂😂😂😂 simoooo

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kumotoooooo🤣🤣🤣🤣Mama etu bhana

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน

    Tafakuri ya Katiba My Ass Hili Jizi Linajua Katiba Ilyopo Inaruhusu huu Ushenzi. Tangu Lini Mnachrza Ngumi, wakati refferee ni Baba wa Mmoja wapo.

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 10 หลายเดือนก่อน

    Dependency itawafikisha pabaya. Uvivu wa kufikiri pia ni ugonjwa. Watu hawana input yoyote. Wanasubiri mtu mwingine afikiri kwa niaba yao wao wanashangilia tu. Mna shida gani?

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 หลายเดือนก่อน

    Anaethubutu kumtukana Mama Samia. Ni sawa kamtukana Mama yake mzazi. Mjue hilo, sasa endeleeni kumtukana Mama samia na Mama zenu walowazaa.

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 10 หลายเดือนก่อน

    Uko.vizuri.bimkubwa.pambana.mpaka.kieleweke

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน

    Katiba mpya jamaani msikose kuiongelea kwa makini ? na tuipate kabla ya uchaguzi. ili tuende ngazi nyingine.

  • @husseinibrahim2929
    @husseinibrahim2929 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna uhuru wa maoni lakini uhuru wa maoni una mipaka yake siyo tu kisheria hata kibinadamu kama ulizaliwa ukalelewa vyema ukapitishwa kwenye masomo tunayosoma lakini ukapitishwa kwenye masomo ya dini ukaielewa vizuri kuna mambo huwezi kuyafanya. Mh rais umeongea thabit

  • @nuruabdallah809
    @nuruabdallah809 10 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Rais hakika ulistahili kuwepo hapo hakuna mkamilifu duniani isipokuwa mwenyezimungu peke yake hekima, busara na upendo ulionao vinaendelea kukupa thamani kwetu sisi wazalendo. Amani ya nchi yetu ni kitu kikubwa zaidi, wachache waskilizwe kama ulivyo sema ila kwenye swala la kutuvurugia amani yetu tunaomba uwe mkali na tunaomba viongozi wa vyma vya siasa wanavyo endelea kujadili walichukuwe hili na waliekee mapendekezo kwamba uhuru wa kufanya mikutano si uhuru wa kuvuruga amani yetu kuna makundi makubwa yasio na hatia yeyote kama wazee, wanawake, watoto na wenye ulemavu watakimbilia wapi kama amani ita toweka. Uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano utumiwe vyema na sio kuchochea vijana wafanye vurugu kwa masilahi ya watu wachache, tena sio waadilifu wenye uchu mkubwa wa madaraka!!!!🇹🇿

  • @user-qj1wz5hj4h
    @user-qj1wz5hj4h 7 หลายเดือนก่อน

    Heshima iwepo kwa viongozi

  • @user-pb5fp2ht7h
    @user-pb5fp2ht7h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye hekima huonywa na kuonyeka Kuna kitu kibaya kinakuja

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 10 หลายเดือนก่อน

      leo umehama tena

  • @allysinge7096
    @allysinge7096 10 หลายเดือนก่อน

    MAMA SAFARI HII ANDAA PESA YAMAANA KWNYE ULE MTINDO WA GOLI LA MAMA, MAANA WAMEMLETA MAXNZENGELI NA PACOME BASI MIGOLI MINGIMINGI, KUUSU BANDARI WE UZA TU

  • @hubman6780
    @hubman6780 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ulisema anaetukana usimjibu we kama muache atajajikuta anajitukana mwenyewe.Sasa umegeuka tena huwezi vumilia Kwa ni nini.Naomba nitoe ushauri Kwa naamini washauri wako wamekuwa wengi.Fanya mihadhara kule Loliondo sikiliza kero zao.Ile style ya mtangulizi wako

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Kashawapa waarabu na hajari lolote!

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 10 หลายเดือนก่อน

    Wanaotukana kamata wapewe adabu, usibembeleze wanazidi kuharibika piga, usiwanyime mpigo ili waondokewe ujinga

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hotuba Hii tutaikumbuka

  • @user-vm2xt4jr9g
    @user-vm2xt4jr9g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ondoa police ndo siasa isimame

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน

    MCHAKATO ULISHAPITA MAMAA, MULIZE WARYOBA ATAKUPA MPAKA TAREHE ILIYOANZISHWA MCHAKATO . BALI MNATAKA KUTUBURUZA KWA FAIDA ZENU TUU.

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Yessssdssssssssss

  • @BoniphaceYusuph-zx1th
    @BoniphaceYusuph-zx1th 10 หลายเดือนก่อน

    Vijana wa hovyo tumefikiwa from Twitter republic 😂🤣🙌

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 10 หลายเดือนก่อน

    Mmeruhusu kama Nani? KATIBA NDIO INAYORUHUSU. Pumbavu Tu.

  • @hamzakimbe967
    @hamzakimbe967 10 หลายเดือนก่อน

    Sisi wanainchi wa kawaida tutahusika Vipi na utoaji maoni kuhusu katiba mpya?

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 10 หลายเดือนก่อน

    Mmekataza watoto wasipige mnge furuhusuni tupige bakora

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ulivolelewa utakua nayo kias na wazazi wamesahau kulea watoto na maaadili ya dini tumeacha

  • @AmonMwakipesile-ub8rg
    @AmonMwakipesile-ub8rg 10 หลายเดือนก่อน

    Ni kweĺi kaɓisa ķuhusu katiba wanataka kituburuza wana wanchi hata sijawahi kuiona

  • @user-ez6ko4mm5d
    @user-ez6ko4mm5d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama pig kazi

  • @wahidsalum-jy6mf
    @wahidsalum-jy6mf 10 หลายเดือนก่อน

    TV ya mwanzo afrika ilianza znz mwaka 74

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 10 หลายเดือนก่อน

    Basi katiba ifundishwe toka shule ya msingi hadi chuo kikuu heheh

  • @wahidsalum-jy6mf
    @wahidsalum-jy6mf 10 หลายเดือนก่อน

    Nauwanja wa mapema kuonesha mipia usiku ulianza znz wka 74 unaitwa aman sd

  • @user-bx3em9jc6m
    @user-bx3em9jc6m 9 หลายเดือนก่อน

    Nyie mpambeni lakini idadi kubwa hawamkubali hasa wastafu kea dhulma yao mafao eti kikokotoo

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 10 หลายเดือนก่อน

    JPM alipokuwa hai pia mlikuwa mnampigia makofi eti JPM oyee. Leo hayupo mmebadilisha slogan na kuielekeza kwingine. Kweli unafiki ni ugonjwa mbaya kupita Ukoma.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama usiuze bandari zetu uchaguzi. Uwe huru msitutawale kwa lazima tumechoka

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Anajifanya haelewi 😂

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 หลายเดือนก่อน

      Nenda kwenu. Mwambie Lissu ukuchukue Ulaya

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 10 หลายเดือนก่อน

    Mama nalia na washauri wako...wanatuangusha...

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 10 หลายเดือนก่อน

    Namwona YUDA ESKARIOTA ZITO YUPO HAPO MNAFIKI SN

  • @KuntukumuSadam
    @KuntukumuSadam 9 หลายเดือนก่อน

    Ila TANZANIA 🇹🇿 bhana 😅😅😅😅😅

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 10 หลายเดือนก่อน

    Bc ondoa tamisemi uchaguzi,afu tuone kama hatujui vifungu vya katiba

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 10 หลายเดือนก่อน

    Hapana mama usilie lie Ankoli Magufuli hakua mjinga kuzui mikutano alijua fika Hawa wendawazimu watamzingua...ndio maana wote walikimbia Sasa Mama yetu umewarudisha na upambane nao Sasa🤣🤣🤣🤣

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 10 หลายเดือนก่อน

    Umeongea kwa hekima sana mama. NDIO MAANA MAGU ALIWAPIGA MARUFUKU HAWA WAJINGA KUFANYA SIASA KWENYE MAENDELEO

    • @KanyuKa
      @KanyuKa 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @sadamkuntukumu3672
      @sadamkuntukumu3672 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 10 หลายเดือนก่อน +1

    Usifiche fiche sema bandari inakodishwa kwa miaka mingapi hapo wa tanzani wa chini hatujui

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 10 หลายเดือนก่อน

      We hujielewi unacheza ngoma ya wakatoliki

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 หลายเดือนก่อน

      NDIO WALE MPUNGA UMEISHA BANDARINI 🤪🤪🤪🤪🤪

    • @OmegaNelson-ho1no
      @OmegaNelson-ho1no 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@mobilespecialschool4216wew chawa umelogwa nanani? Umeona tunasungumzia dini hapa?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@mobilespecialschool4216achana na wakatoriki! Hata Magu walikuwa wanamsema akifanya mabaya. Wakizidiwa hiyo serikali yao ndo inakuja majukwaani na kuwaomba watu WA dini wawasaidie ili nchi iende Sawa. Aseme mkataba huo Una ukomo WA miaka mingapi? Hilo ndo wakatoriki walisema hapo tatizo liko wapi.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน

    Ni lipi alilosema? Kutukana Lissu alitawadhwa kutukana watanganyika? Ili kuwafurahisha warabu hamtaweza hata mara moja mtajidai lakini walete waone watanganyika watakavyo wafanya hao warabu. Kamwe hawatuweka mateka tena. Wala watumwa wa hao maboss wenu

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 10 หลายเดือนก่อน

    Duh, what is this we are listening too?raisi na mipasho wapi na wapi? Bora ni miskize hadija kopa

  • @popperkuch669
    @popperkuch669 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mama Leo umenikosha sana mungu aendelee kukutunza

    • @kanoa645
      @kanoa645 10 หลายเดือนก่อน +1

      Naam

    • @kanoa645
      @kanoa645 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 10 หลายเดือนก่อน

      Mama etu ni hyu 2 ndo kusema nina Imani kubwa sana na hyu mama mungu amtunze❤

    • @KuntukumuSadam
      @KuntukumuSadam 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no 10 หลายเดือนก่อน

    Wanaokusapoti kuwa uko sawa ni wale waliofungwa kifikra tu yaan skupendiiii wew mama 😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      He jamani Kwa nini tena??

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 หลายเดือนก่อน

      Basi yeye anakupenda ndio maana anatafuta kila njia ya kukufanya uishi vizuri ndani ya nchi yako. Malaya weee

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      @@user-ki4sg8yz9j Nani anaishi vzr zaidi ya wao viongozi na watu wao WA karibu Afrika?

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 10 หลายเดือนก่อน

    mama jibu hoja za wapinzani katiba ni jambo muhimu sana katiba ndio uliokuwa urais mama

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani yeye mjinga? Anajua anachofanya, katiba mpaka uchaguzi upite, achaguliwe, akiondoka ndo ajaye analo hilo.......😂

    • @yahayagimbu4216
      @yahayagimbu4216 10 หลายเดือนก่อน

      Tunataka elimu kwanza katiba sio ya wapinza wlewa ww.

  • @user-mi8mb2hi2m
    @user-mi8mb2hi2m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tudumishe Amani ili nyie muendelee kula kwa amani.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana yake!!! Ukiwapa upinzani wanakimbilia amani huku wao wakiendelea kula nchi. Wajinga ndo waliwao 😭😭

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 10 หลายเดือนก่อน

    kama vile unamanisha

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie watawala ndo wakwanza kuivuruga amani ya nchi yetu TAFADHALI SN hatutaki mkataba wa bandari na tunataka wamasai waishi kwenye nchi yao hatutaki mkataba wa bandari elewa Hilo acha maneno mengi mno

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 10 หลายเดือนก่อน

      Hili kamwambie babu yako mkatoliki we😢

    • @bakarially253
      @bakarially253 10 หลายเดือนก่อน

      JARIBU KUWA MTU WA REASON NA KULETA UTATUZI USIKALILISHWE MATANGO POLI@@mobilespecialschool4216

    • @msabahaali758
      @msabahaali758 10 หลายเดือนก่อน

      uko sahihi kabisa

  • @godylyimo7471
    @godylyimo7471 10 หลายเดือนก่อน

    Damu ya wamasai itakurudia

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yetu anabusara kubwa sana,hao watu anaoongea matusi kwenye majukwaaa,hao ni kama mchicha wajalalani haufau hata kidogo japo mara nyingi hustawi sana

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea kwa tafakur kubwa maneno yenye mashiko hukurupuki .

    • @YahyaAbbas-kb3mj
      @YahyaAbbas-kb3mj 10 หลายเดือนก่อน

      hata twiga Haiti maeneo anayo ishi simba akipita kwabahatimbaya......

  • @user-dv9pq5sh7j
    @user-dv9pq5sh7j 9 หลายเดือนก่อน

    Tuachie bandari umeme umekuwa Ka kipindi chakikwete

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน

    SASA MSIPOVITOWA TUTAIONAJE?. HASA KWETU SISI TUSIO NA VYAMAA.

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 10 หลายเดือนก่อน

    The excellence President Mama, alisha semaga mapema macho yangu yamelegea lakini yanaona.

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 9 หลายเดือนก่อน

    Wakikosoa mnawakamata

  • @user-dv9pq5sh7j
    @user-dv9pq5sh7j 9 หลายเดือนก่อน

    Tunataka katiba

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 9 หลายเดือนก่อน

    Ng'ombe??

  • @user-xn5cz6ym7u
    @user-xn5cz6ym7u 10 หลายเดือนก่อน

    Usituletee vita Anglia saana

  • @user-ym9rj6bw7o
    @user-ym9rj6bw7o 10 หลายเดือนก่อน

    Wewenimwamba

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Tanzania watu wengi nihewa mihemko inawatesa sana, hivi unasapotije rais anasema, watu hawna lakusema eti wanaongea bandari na kusema katiba hivi vitu nividogo kweli? mbona mwisho wamkataba husemi, yani Mihemko ya udini nayaona sana, Mimi najiulizaga sana hivi Tanzania niyetu sote kweli? Walio iba mabilioni ya ndege mpka ukatukana hadharani kua nitakataka je sheria ipo chini yao au juu yao, Naona uoga tu sio maadili hapa wezi lipoti ya cag wanapeta tu, huku ripoti mafaili yanauzea kwenye makabati, ninachoona nchii hii kinywa kinanena moyo unajikunja.

    • @gessanabuu2099
      @gessanabuu2099 10 หลายเดือนก่อน

      Kwakua ww ni miongoni mwao ndomana.

    • @samoramussa5336
      @samoramussa5336 10 หลายเดือนก่อน

      @@gessanabuu2099 Simo mimi ndomana nashangaa mtu kusapoti kitu asichokijua, rais mwenyewe ameongea point kuhusu katiba huwezi pinga kitu bila kukijua, hua asili yangu sina mhemko wajambo ukikosea nitakusema ukipatia nakupongeza sana, ila usilazimishe kitu kibaya hata kama umepewa mamlaka nawananchi, ndomana hata wanasheria niliwapinga kwenda mahakamani, huyu mbinafisishaji amekaa akaona jambohili nisahihi kamtafuta mtu wake wakumbinafisishia mahakama haitaona kosa kwakua watu wamepatana.

    • @BenjaminZabron
      @BenjaminZabron 10 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana kama hakuna ubabaishaji. Au ndiyo biashara ya maneno na posho.

    • @BenjaminZabron
      @BenjaminZabron 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hayo maneno yatatekelezwa na kazi ifanyike yenye faida hapo sawa. Isiwe hayo maneno ni mtego.

    • @BenjaminZabron
      @BenjaminZabron 10 หลายเดือนก่อน

      Pamba mama onyesha hali yako.

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hutuba hovyo na yakipumbavu

  • @user-ys1ge5no8f
    @user-ys1ge5no8f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama tunaomba ingia kwenye point kashifa mtusi kejeri chanzo nn mbona unakwepa

    • @yahayagimbu4216
      @yahayagimbu4216 10 หลายเดือนก่อน

      chanzo ujalelewa vizur

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 10 หลายเดือนก่อน

    RAISI. SAMI. KWA. HIYO WATANZANIA SISI. WENGINE. NI NOMBE. WEWE. UPO. KUNDI. GANI? NDIYO. MAANA UMEWAPA. WAARABU. BANDARI. YETU. KWA MKATABA. WA HOVYO KWASABABU. SISI NI NGOMBE. WEWE. NI. MJANJA. SASA. NGOMBE. WANATAKA. KATIBA. MPYA.

  • @user-nf3dc9fb6v
    @user-nf3dc9fb6v 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa maoni yangu bila kuwa na upande wowote wa kisiasa naamini mh Samia unaweza kuwa kiongozi mzuri ila sio kwenye nafasi ya Urais kabisa, Rais wa nchi hapaswi kuwa na mipasho, vichambo na kuongoza kwa hisia ni hayo tuu..karibuni wale wazee wa Saudi Arabia muanze kunitukana kwa reply.