UAMUZI WA VIONGOZI WA DINI BAADA YA KUISIKILIZA SERIKALI JUU YA MKATABA WA UWEKEZAJI BANDARINI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2023
  • Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
    INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
    FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
    Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
    Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @imma_billy
    @imma_billy ปีที่แล้ว +24

    Padre huyu anafaa sana kutuongelea wananchi. Mungu ampe ujasili wa kuendelea kupenda kutenda haki.

    • @ayubungimba8292
      @ayubungimba8292 ปีที่แล้ว

      Inapendeza sana kama viongozi wetu wa kiroho inafika wakati wanaingilia kati maswala mazito mazito yenye maslai kwa kwa kwa jamii yanapoonekana kuleta utata pale selikali inapo taka kuyatekeleza bila wananchi kuelimishwa vya kutosha .katiba yetu inaonyesha kuwa wabunge ndo wawakilishi wetu.dhana hii si sahihi sana.kunahaja ya marekebisho ya katiba.

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 ปีที่แล้ว

      Anakufaa wewe fe

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 ปีที่แล้ว +16

    Charles Kitima wewe ni mtu makini sana

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 ปีที่แล้ว

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-19).

  • @zainabumohamed8541
    @zainabumohamed8541 ปีที่แล้ว +1

    Usipuuze hili jambo ni kubwa sana juweni ni nyinyi ni watu wa mungu msiende kinyume Cha mungu muwe na msimamo wa kidini sababu serikali hii Kwa awamu hii ya 6 haimjui mungu kabisa Bali wako kimaslahi Yao zaidi kibinafsi hawajui haya ni ya duniani tu lkn Kuna kesho Kwa mungu

  • @revocatusnsubile1696
    @revocatusnsubile1696 ปีที่แล้ว +70

    Viongozi wetu wa dini zote, Tunawashukuru kwa kuendelea kuonesha mshikamano kwenye suala hili. Hakika Mungu awape nguvu zaidi katika kazi hii ya kutetea na kuungana na wananchi katika sintofahamu hii

    • @josephinewangwe1154
      @josephinewangwe1154 ปีที่แล้ว

      AMENA

    • @josephkmarwa7425
      @josephkmarwa7425 ปีที่แล้ว +3

      Wachungaji tusaidiani nchi ni watanzania wabunge wanawakilisha ccm tuwakilishwe kutetea wanainchi na mali ya watanzania😭😭😭😭😭😭🤔🤔

    • @user-gr2ec5uj1s
      @user-gr2ec5uj1s ปีที่แล้ว +4

      Mungu awabariki viongoz wote keshen mkiomba dunia tunaisha watanzaania tunauzwa

    • @maribaisack2097
      @maribaisack2097 ปีที่แล้ว +1

      Tunawategemea sana viongozi wetu wa dini.....simamieni haki kwa sababu ninyi na viongozi wa serikali wote mnatutegemea sisi kama rasilimali watu...

    • @chamzurykashamba1134
      @chamzurykashamba1134 ปีที่แล้ว +1

      Viongozi wetu wako timamu san

  • @erestizacharia4758
    @erestizacharia4758 ปีที่แล้ว +4

    Watu wa mungu mnastahili kuwa wabunge wetu sio wale wanaolipwa kwa fedha zetu af wanafanya kazi ya kuharakisha kupitisha mikataba ya ovyo bila tahadhari Wala kuwaza future ya vizazi vya tz vijavyo, our almighty God help our country.

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 ปีที่แล้ว

    Asante Baba Askofu kama kweli serikali ya ccm ina watu wenye hekima huu mkataba hautakiwi waufute kwa maslahi ya nchi na vizazi vijavyo wasijiangalie wao wakumbuke wapo hapo kwaajili ya wananchi bila ridhaa ya wananchi wao siyo viongozi wamuogope Mungu sasa hapo ndipo linapokuja suala la mchakato wa katiba mpya ili viongozi wawajibike kwa wananchi Mungu ibariki Tanzania

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 ปีที่แล้ว +1

    Akili ya Mkristo mmoja ni waislam 100,000 ahsante Sana 🙏

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 ปีที่แล้ว +17

    Umenena vema sana unatusemea wanainchi,wengine wanatetea tu ugali wao tu mbalikiwe wakuu wadini tunawategemeea.❤

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 ปีที่แล้ว +11

    Now Tanzania we are speaking, Viongozi wa Dini mmeonesha mfano mzuri sana..mmeonesha kwanini tunatakiwa kuwaamini..Safi sana.

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 ปีที่แล้ว

    Safari hii viongozi wa Dini mmetutendea haki, Wabunge wameshindwa kabisa kusimamia maslahi ya Umma, Hongereni sana

  • @salymusuleymanbloger9962
    @salymusuleymanbloger9962 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana viongozi wa dini ila ya kikristo kwa upande wa pili sie waisalamu mungu ndo Shahid kwa tunayoongelea kuhusu ili swala

  • @mussakulanga9513
    @mussakulanga9513 ปีที่แล้ว +10

    tunataka sisi kama wananchi tumeamua bunge letu liwe viongozi wetu wa dini.maana hawa ndio wameielekeza vzr serikali

  • @happynesstillya881
    @happynesstillya881 ปีที่แล้ว +18

    Pamoja na mjadala kuendelea,ushauri wangu kwa serikali ya muungano wa Tanzania..... MIKATABA YOYOTE ITAKAYOFANYIKA IFANYIKE NDANI YA KIPINDI CHA MUHULA WA UONGOZI HUSIKA USIVUKE HAPO NA KWA MUHULA MWINGINE UHUISHWE KWA UPYA IKIWA UTATAKIWA KUENDELEA.....Na hili lingetungiwa sheria ya kulinda.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      Kila mwenye mdomo aseme lakini mikataba ya kimataifa huwezi kufanya kwa miaka 10 na muda wa Rais Tanzania ni miaka 10. Angalau mkataba huu umeonekana kuna mikataba mingapi ilipitishwa kimya kimya au kwa kuwa Rais Samia au kwa kuwa anatokea Zanzibar? Muungano huu haufiki miaka 10 utavunjika ikiwa anaemdhulumu mwenzake sasa nae analalamika.

    • @DollelaMtemachechee-he5gw
      @DollelaMtemachechee-he5gw ปีที่แล้ว

      Asanteni sana watumishi waa mungu tutauzwa vita hatujazoea tuteteeni huko jamani kwaa Nini asipeleke bandali Yaa Zanzibar huyu raise nawabungewake hovyo

  • @samwelcharles1349
    @samwelcharles1349 ปีที่แล้ว

    Watumishi wa Mungu mnatumia nguvu nyingi sana kujieleza, kiufupi hapa tumepigwa, ukiingia katika maswala ya ulinzi bandari nisehem kubwa sana ya adui anaweza kuingiza vitu vya kuhatarisha usalama wa nchi nanakuja kugundua tiyar umeshaisha, mwenye navyo ataongezewa acha wajinufaishe

  • @sabasmorice1226
    @sabasmorice1226 ปีที่แล้ว +1

    Wazanzibari wamepania kuuza na kugawana rasilimali na aridhi ya Tanganyika.
    Hakika tukubaliane kwamba uongozi wa wazanzibari sio Mzuri. Ni kwelikwamba popote wananchi wanapo-lazimishwa Duniani hakuna Amani. Viongozi Wetu sasa hawatufai.

  • @brunotarimo7691
    @brunotarimo7691 ปีที่แล้ว +20

    Hongereni sana Viongozi wa dini... Mungu Awabariki kwa kusimamia haki ya Watanzania wote sio. Na mmetoa tahadhari nzuri ya kua wawakilishi wa wananchi, walio wengi sio wazalendo. Kwaiyo Maoni yao hayawezi kubeba uhalisia kile wananch8 wanataka kiwe...

  • @ShadhiliSwalehe-le6dh
    @ShadhiliSwalehe-le6dh ปีที่แล้ว +15

    Daaaa tanzania nchi yangu,asanteni sana kwa hekima ninyi ni zaidi ya viongozi wa serikali

  • @onesmomlinga2739
    @onesmomlinga2739 ปีที่แล้ว

    Wewe padre kitima upo perfect sana haumung'unyi maneno

  • @athanasiomburuma5959
    @athanasiomburuma5959 ปีที่แล้ว

    Mungu Aliumba Mbingu na kuamuru iwe mali yake; Aliumba Ardhi na kuamuru iwe mali yetu (Tanzania). Agizo la Neno la Mungu la kulizingatia (Mithali 22:28) na (Mithali 23:10-11)

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 ปีที่แล้ว +25

    Padri Kitima hakika ww ni Mtumishi wa Mungu.Umenena vyema sana tena sana.Akili yako ni kubwa sana.Mwenyezi Mungu azidi kukulinda.

  • @mountoftransfigurationchur2879
    @mountoftransfigurationchur2879 ปีที่แล้ว +13

    Huyu Padre Tumsifu Yesu kristo.

    • @peterdaimon-ug6fd
      @peterdaimon-ug6fd ปีที่แล้ว

      Yaani Tanzania tuwe watumwa Tena Mambo gani haya Kama sisi tumeshindwa kusimamia Mali vizazi vijavyo wataweza

  • @iddrashid7054
    @iddrashid7054 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana viongozi kwa kuliona hilo na kutaka kujua kwa undani msingi wa hayo makubaliano kabla ya kutoa tamko.Huku mtaani tumegawanyika kuna wananufaika na bandari kwa sasa na kuna wenzangu na mimi hawajui chochote mradi fulani kalalamika na mimi hivyohivyo halafu kuna wale wanatarajia DP aje wao wanufaike.

  • @devidmvungi288
    @devidmvungi288 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde kiongozi naona viongozi wadini ndio mnauchungu na wananchi kweli kutoka moyoni viongozi wa serekali wanatetea tu matumbo yao

  • @berthatz
    @berthatz ปีที่แล้ว +32

    Asanteni viongozi wa dini..Ingekuwa vyema muwajulishe hao viongozi kuwa wananchi imani nao imekufa..Wangejiuzulu tu tuchague tunao waamini..😡💔

  • @ombenianton3611
    @ombenianton3611 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Padre ni mfafanuzi mzuri sana, ila pia pia anaonekana wazi kuwa ni peoples power, safi sana

  • @bettermkyando372
    @bettermkyando372 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki viyongozi wadini tuko nyuma yenu mungu atawaripa

  • @EdwinArobogast-uw7lu
    @EdwinArobogast-uw7lu ปีที่แล้ว

    Good speech padre Charles ni vema bunge lituwakilishe vema kama watategemea kuchaguliwa kwa haki Asante

  • @lusungungimbudzi4265
    @lusungungimbudzi4265 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sana Rev. Dr. Charles Kitima always huwa hutuangushi endelea kupigania Jiji la Mungu hili kwa manufaa ya Sasa na vizazi vijavyo

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 ปีที่แล้ว +11

    Bravo viongozi wa dini kwa juhudi mlizofanya.

  • @YohanaWanday-ye2mo
    @YohanaWanday-ye2mo ปีที่แล้ว

    Ahsante padri wetu kwa kusema hivyo kwani uliteuliwa na mungu kuwakilisha jamii ya binadamu

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว

    Baba Askofu uko vizuri, Viongozi wa dini mko vizuri, aiwezekani Nnchi inaongozwa na wahuni wachache wanafanya mambo kwa maslai yao, co ya Taifa, ao wabunge wengi wameiba kura enzi ya Magu akuna mwananchi alio wachagua

  • @jumadinya3796
    @jumadinya3796 ปีที่แล้ว +9

    Nakushukuru Sana mchungaji kwa. Maneno mazuri juu ya mkataba huo tusiwe sisi kazi yetu kutuambia tuwapigie kura hata mikataba tunatakiwa tujue wasifanye kama mali zao hii in hi mbona tunaenda wapi kweli unajua kusimamia mali za Uma au ni kusimamia kutuumiza hata. Ajira kwa watanzania haitakuepo tena hapo bandarini mkae mkijua makubwa yanakuja lazima fikiri Sana kama unaona mbali huo mkataba haufai MWL. JK walisema watu wawili wakiwa kwenye in hi yako hiyo inchi itabaki masikini na watu wake watakua masikini sasa yanakuja hata kazi makosa

  • @idrissaallybakule2484
    @idrissaallybakule2484 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mchungaji Nimekuelewa sana upo vizur sana

  • @henrydege378
    @henrydege378 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana viongozi wadini kwani maono yenu niyawatanzania wanyonge kwani maono yenu yameonyesha utayari wakulijali taifa letu ila wabunge kwakweli kama niwawakilishi wetu pale hatuna watu kabisa.

  • @zimammbaruk4231
    @zimammbaruk4231 ปีที่แล้ว

    Udini unatutafuna sana Tanzania, Utawala wa Mkapa hatukuwasikia viongozi wa Dini,

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni viongozi wetu wa kiroho Mungu awabariki Mungu uibariki Tanzania

  • @JosephineElias-xz7ge
    @JosephineElias-xz7ge ปีที่แล้ว +12

    Watumishi naomba kwa Mungu azidi kuwatetea katika kazi zenu na maisha yenu. Mnamchango mkubwa sana katika Taifa hili. Mbarikiwe.❤

  • @JumanneJohn-ls8jc
    @JumanneJohn-ls8jc ปีที่แล้ว +2

    Baba M/Mungu azidi kukulinda na kukutunza Hakika wewe ni tunu ya Taifa na Kanisa kwa wachache walioamua kuwa sauti yetu sisi tusio na sauti. Naamini wengine wataendelea kukuiga, ahsante sana Baba Kitima

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 ปีที่แล้ว

    VIONGOZI WETU WA DINI YEYOTE ATAYEWATISHIA MAISHA AMA KUWATEKA AMA KUPUUZIA HILI MLILOLISEMA MWENYEZI MUNGU APAMBANE NAO NA HIYO MIPANGO YAO ISIFANIKIWA. MAY LORD JESUS STAND FOR YOU CONGRAGATION LEADERS AND MY COUTRY PEOPLE AT LARGE.🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 ปีที่แล้ว +11

    Ahsante sana viongozi wetu wa dini. Huu ni mwanzo na iwe mwendelezo Kwan SS wanch tuna Iman na nyiny kuliko wale wawakilishi wetu na watunga Sheria,huku tukishudia mambo mengi waliopitisha yakiwa yakiiweka nchi katk Hali isiyoridhisha.

    • @amenmushi5945
      @amenmushi5945 ปีที่แล้ว +1

      Hawa wanasiasa hawajui kama kuna. Kifo ,Wataaviacha hapa duniani

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 ปีที่แล้ว +9

    Am crying for motherland 😢😢😢

  • @bigbrightentertainment9498
    @bigbrightentertainment9498 ปีที่แล้ว

    Hatimae Tumaini kuu laonekana hapa.. NAMSHUKULU MUNGU

  • @josephkilongo1154
    @josephkilongo1154 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awape hekima Zaid na kuwaongezea miaka ya kuishi

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว +5

    Wao ndo wapo kwenye position na wao ni wazuri sana wa siasa. Labda viongozi wa dini km mlivyokaa hapo mwe wawakilishi wa wananchi, wabunge waachie madaraka maana ni wao wamesababisha hadi viongozi wa dini muishauri serikali, kwa maana nyingine wao wameshindwa kutetea hizo nafasi zao.Hiyo mikataba iwe inaandikwa kwa kiswahili, baba askofu uko vzr Mungu akulinde.

    • @Globalpeace123
      @Globalpeace123 ปีที่แล้ว

      Tatizo wabunge wanajali tu matumbo yao yaani ni wabunge uchwara

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 ปีที่แล้ว +5

    Wabunge wanachojali ni maslahi yao tu
    Hawajali wanaichi
    Wanasemaje asanteni sana viongozi wa dini kwa kutetea nchi yetu

  • @maclucky4149
    @maclucky4149 ปีที่แล้ว +2

    Huyu PADRE awekewe ulinzi.
    Ameongea vitu vikubwa sana ambavyo hawa walamba asali hata hawawezi kuvisema wala kuvifikiria...
    BRAVO

  • @VitarisSogomba-dv1ij
    @VitarisSogomba-dv1ij ปีที่แล้ว

    Taifa linapo elekea Mungu tu ndiye anaye juaa , viongozi wetu hawana marifa na hekima ya kufikili kwa kina .

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 ปีที่แล้ว +8

    Tunawashukuru viongozi wetu wa dini Mungu awabariki na kuwapa hekima na busara kila iitwapo leo.

  • @paulpastory8267
    @paulpastory8267 ปีที่แล้ว +10

    Hakika Mungu awabariki viongozi wote wa dini

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 ปีที่แล้ว

    Jambo zuri sana na la msingi ni Kabla ya Mkataba huu kusainiwa ni vyema Elimu itolewe..Vinginevyo hili litawapiganisha Vichwa wananchi

  • @user-mc9rk1lv6l
    @user-mc9rk1lv6l ปีที่แล้ว

    Tunawashukuru cn viongoz wadin Kwan mungu yupo

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr ปีที่แล้ว +5

    TumepigwA Sana yatosha watoto.wenu wanazunguka na vyeti vyao.

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 ปีที่แล้ว +3

    Amezungumza vizuri sana na kutufunua kama Mali zetu zinapangishwa bila ya kujua

  • @boniphacepastory9898
    @boniphacepastory9898 ปีที่แล้ว

    Umeonesha Moyo wa kiungu father Kitima Mungu akulinde but Mkataba ufutwe tu

  • @mwakondoyakub2444
    @mwakondoyakub2444 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri mikataba IPO mwingi Sana elfu mbili IPO na huu marehem magufuli alisema macontena 60yailiingia bila kurekodiwa marehemu magufuli kaleta kipimo kimeImwa

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 ปีที่แล้ว +3

    Huu mkataba una walakini Jamani taratibu Samia atatukimbia kwenda kwao zbar wakati watz na wazbr wametengana na pale wazungu wanatuharasi yaan binafsi na elimu yangu siufurahii huu mkataba yaan tutalia mweee😭😭

  • @FulbertFisoo
    @FulbertFisoo ปีที่แล้ว +4

    Asanteee sanaaa viongozi wa nchi kwa busara zenu ❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA..VIONGOZI WA DINI NDIO MNASAUTI YA MWISHO SISI HATUKUBALIANI MCHUNGAJI

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว

    MNAENDESHA NCHI KIUSHENZI BUSTADS HELL FIRE WAITING FOR TANGANYIKA 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @israelherman4984
    @israelherman4984 ปีที่แล้ว +4

    Watumishi wa Mungu mbarikiwe sana ni kweli walioingia bungeni bila kupingwa ni hatari kwa taifa letu maana hawawezi kuwa na uchungu maana hakuna anayemwakikisha

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 ปีที่แล้ว +15

    Tusiridhike tujitahidi kuomba hekima ya Mungu katika nchi yetu maana mikataba ya uwekezaji Tanzania imezidi nachelea siku nchi ikabinafsishwa kwann tunashindwa tz kwann tunawekeza sana Mali zetu😭😭😭

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว +1

      R.I.P magufuli hapo hakuna haki wala amani kwa watanzania 😭😭😭😭

    • @orgenesslema8768
      @orgenesslema8768 ปีที่แล้ว +1

      Hivi mwenye chakula na mpishi nani mwenye amri au mamlaka ni yupi? Bandari yetu ije Kampuni iwe ndo say! Mbona tunauzwa tukiangalia! Viongozi wa dini hongereni sana ila msipakwe mafuta kwa mgongo wa chupa jamani

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +1

      Nchi yetu ime laaniwa kwa kweli😢

  • @StephenLetta
    @StephenLetta ปีที่แล้ว

    Umejieleza vizuri sana. Haya ndiyo tumekuwa tukiyatarajia kutoka kwa viongozi wa dini kwa muda mrefu. Msogope kusema mnapoona mambo hayaendi vizuri

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 ปีที่แล้ว

    Wabunge wetu sio wazuri, hawana uzalendo hata kidogo. Watanzania wenzangu, uchaguzi ujao tuwe makini sana kuwapeleka wabunge wetu wanaotuwakilisha majimboni wazuri. Sio ilimladi tu kuangalia chama. Tubadilike watanzania.

    • @aidanmgimwa5459
      @aidanmgimwa5459 ปีที่แล้ว

      Pesa inaondoa Hata mawazo ya kujali utu najiuliza Hawa wabunge Kama wamerogwa MWENYEZI MUNGU ATUPIGANIE TAIFA LETU

  • @user-ff3cb1lj6r
    @user-ff3cb1lj6r ปีที่แล้ว +10

    We do appreciate for the initiative of TEC on this disturbing issue. Dr. Slaa too has expounded extensively on the same in his press conference with the journalists! Tanzanian citizens over 50 million have the right to know how such agreement can come about - they consent cannot be disregarded. NO SINGLE Citizen has absolute right to decide for the rest without their consent!!!

    • @nakanjemfaume3839
      @nakanjemfaume3839 ปีที่แล้ว +1

      It's a mad, and disrespect to our leaders otherwise it's a sign of discrimination

  • @malickabrahams7541
    @malickabrahams7541 ปีที่แล้ว +46

    I’ve never seen such a brave group of individuals in pursuit of truth.

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 ปีที่แล้ว

      Makanisa yanapinga waislamu kuchukua hio Tenda

    • @victoriarwerengera4831
      @victoriarwerengera4831 ปีที่แล้ว

      Abuu..Toa uislamu na ukrito hapa...yanajadiriwa ya maana...kwa mustakbali wa watz wote...

    • @annakyande5790
      @annakyande5790 ปีที่แล้ว

      @@victoriarwerengera4831 w

  • @monicamwita7865
    @monicamwita7865 ปีที่แล้ว

    Asante sana kiongozi dini kuwakilisha vizuri. Wabunge wengi waliingia bungeni waliingia bungeni pasipo kuchaguliwa, ndiyo maana hawana uchungu na maslahi ya wananchi kwani Wana uhakika na goli la mkono,watapita kwa kishindo

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 ปีที่แล้ว +4

    Numekuelewa sana Padre Kitime mungu akulinde sisi kama watanzania tunasema twende taratibu aina aja ya haraka kweny huu mkataba

  • @rashidimaeda4505
    @rashidimaeda4505 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana Askofu Kitima, huo ndio ukweli halisi.

    • @renaldasilvery110
      @renaldasilvery110 ปีที่แล้ว

      Sio Askofi huyo ni padre

    • @tatoo0098
      @tatoo0098 ปีที่แล้ว

      Tunakushkur sana jaman padri

    • @yyprint8263
      @yyprint8263 ปีที่แล้ว

      Hamjajua kitu kinachotengenezwa kupitia haya mazungumzo

  • @user-bi1gx5ss2u
    @user-bi1gx5ss2u ปีที่แล้ว

    Asanteh sana fr watanzania tuliowengi hatuna tunachojua tunashukuru umetufungua masikio weli wamasai wale jmn mungu tusaidie

  • @emmanuelkasoga8194
    @emmanuelkasoga8194 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa dini tunashukuru kwa kutimiza majukumu haya mliyoyafanya, najua mmepanda mbegu ambayo haitakufa hata kama viongozi wa serikali wakishupaza shingo kama ya luthu hukumu ii juu yao. daima Mungu hadhihakiwi

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว +5

    Lipokuja swala la nchi uwa tunaweka mbali mambo ya udhehebu wala udini tunasimama kama nchi kama watanzania one love Tanzania

  • @FaustinaWarioba-zq2tx
    @FaustinaWarioba-zq2tx ปีที่แล้ว +3

    Ameeen! Mtumishi barikiwa sana, Bwana Yesu aingilie kati.

  • @richardjohn8020
    @richardjohn8020 ปีที่แล้ว

    Daaaah kama mzee magufuri na mzee nyerere na mkapa wanayaona haya yanayofanywa na huyu mama watakuwa wanalia machozi ya damu inauma sana

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwaweka na kuwapa afya njema viongozi wetu wa dini kwani nyie ndio watetezi wetu mlio bakia inshallah

  • @anithashembilu7732
    @anithashembilu7732 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana viongozi wetu wa dini zote. Bunge letu ni dhaifu sana.

    • @milkabelias448
      @milkabelias448 ปีที่แล้ว

      Mmeona hayo Ni macho ya wengi hapo vip

    • @milkabelias448
      @milkabelias448 ปีที่แล้ว

      Haya wengine roho zao zawasuta Ila tamaa tu

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 ปีที่แล้ว +4

    TEC nawaamini sana ..... Hawa ndio waliomlea DR Slaa ....

  • @charlesmwita4245
    @charlesmwita4245 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu tazama ktk ardhi yetu wenyewe tunakosa faida nayo lakni wanafaidishwa wasio Jua maumivu yetu tunawachagua viongozi lakni hayo ndo malipo ya Kula zetu

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 ปีที่แล้ว +1

    Tunawaamini sana Mapadri wetu na ndio maana Kila sehemu ilipo Roman Catholic ni ngome (Ni lazima pawe na maendeleo), pia kwa nafasi ya pekee tunawashukuru sana viongozi wa dini zote kwa kusimama katika kweli na haki. Mungu awabariki sana kwa kusimamia maslahi ya Taifa. TUMSIFU YESU KRISTO

  • @isamony58
    @isamony58 ปีที่แล้ว +3

    HATUTAKII HUUU MKATABAA WATANZANIYA TUMEONEWA SANA MAMA SAMIYA MDA MFUPI UTATUKIMBIYA WW TUWACHIY UMASIKINI WETUU

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 ปีที่แล้ว +7

    Mungu hakuumba nchi yetu ya Tanzania kwaajili ya waarabu

  • @muddyso1953
    @muddyso1953 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu atusimamie Daima na Atusimamie Daima

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE SANA PADRE CHARLES KITIMA

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 ปีที่แล้ว +6

    Padri kutuma barikiwa kwa kuonyesha ukomavu wa kisheria Taifa linaangamia kwa kukosa maarifa maana tuliowapa dhamana wapo kimaslahi binafsi na sio taifa kwanza , hivyo ni jambo jema umefikisha ujumbe wakidharau watumishi kama wanavyodharau watanzania malipo watapata muda si mrefu

  • @paulopaulo3349
    @paulopaulo3349 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania tumwombe Mungu serikali yetu ivunje mkataba huu.

  • @justinwangi4912
    @justinwangi4912 ปีที่แล้ว

    Safi sana father bunge letu linafanya mambo kihuni huni adi mambo ya msingi wanafanya kiuhuni hili bunge limepoteza uwaminifu kwa wananchi wake bola spika ajiuzulu tu

  • @tumainindunda1033
    @tumainindunda1033 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kiongozi

  • @josephngweta7033
    @josephngweta7033 ปีที่แล้ว +17

    Powerful speech ✊🏿

  • @annambossa9202
    @annambossa9202 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana inatia moyo sana ,hongereni sana kwa hatua hii

  • @seraphinengowi3187
    @seraphinengowi3187 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana viongozi wetu wa dini kwa kutusemea wananchi

  • @ramadhanimmana3829
    @ramadhanimmana3829 ปีที่แล้ว +15

    Hii nchi sauti yetu naona imekua ni viongoz wa dini sio bunge tena 😢😢😢😢😢😢😢 daaah my country 😢😢😢😢😢

  • @godlovengonde6636
    @godlovengonde6636 ปีที่แล้ว +4

    Hakika nina imani na viongozi wa Dini kuliko wabunge wetu. Nakumbuka vzr uchaguzi wa mwaka 2020, daaah.........!!

  • @user-nc2ii4ne5s
    @user-nc2ii4ne5s ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa mbinguni akubariki Mtumishi kwa hekima hii na Maarifa aliyokupa tutumie Hekima.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +1

    Dr.Kitima sisi wananchi tunawashukuru, Mungu azidi kutukuzwa kwa jinsi mlivyo simama zamu yenu kututetea Mungu awabariki. Hawa wabunge wanajijua kwamba kiwatokacho ndicho kilichomo mioyoni mwao lakini wajue wakifurahi wakati wengine wanalia, ipo siku nao watalia kuliko kawaida,na viongozi wa serikali wasimamie kweli na haki kama walivyoapa. Mungu ibariki Tanzania.

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 ปีที่แล้ว +5

    Viongozi wetu wa dini asanten saana kwa hatua mlochukua. Tuko nyuma yetu tukiomba jambo hili liweze kupata utatuzi mzuri na kuiacha nchi yetu ktk amani na utulivu.
    Tunaomba mshauri pia serikali wahusishe wanasheria.
    May the God continue to inspire you all and show the way to lead his people in the right direction 🙏

  • @shadrackmasokola3810
    @shadrackmasokola3810 ปีที่แล้ว +6

    Well said ,,,,,for our land we are strong and together

  • @Frank-sx7hn
    @Frank-sx7hn 11 หลายเดือนก่อน

    Tunawashukuru viongozi wetu wa dini

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah viongoz wadin tunawashukr pia kufatilia kinachoendelwa tunashukr sana hongeren sana

  • @mcdoubleatv306
    @mcdoubleatv306 ปีที่แล้ว +38

    This priest is very brave

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Bcoz our govts made us to be worried too much and we find him very brave..infact its our right to enquire to the govt in such issues....

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 ปีที่แล้ว +128

    Napendekeza Tulia na bunge lake wajiuzuru kabisa kwani wameonyesha kabisa hawaitakii mema nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿.
    Wameshakula kiasi cha kutosha na matumbo yao kamwe hayatashiba kwa ajili ya ulafi wao
    Wabunge wa Tanzania shame on them.

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 ปีที่แล้ว +5

      Kabisa yaani

    • @josephpetro2968
      @josephpetro2968 ปีที่แล้ว +6

      Hata hao wabunge wanaotuwakilisha huwa hawatushilikishi wanatumia mawazo yao huwa hawarudi kutuuliza ina maana tukimchagua mbunge awe anaenda kuamua vyovyote anavyoona hiyo siyo sawasawa wawe wanarudi jimboni na kuchukua mawazo yetu wakatuwakilishe hayo wanayopitisha niyao kwa tamaa zao.

    • @mariej6962
      @mariej6962 ปีที่แล้ว +9

      Hawafai duniani wala mbinguni

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 ปีที่แล้ว +5

      Tanzania ni nchi inayoongozwa na kanisa,maamuzi makubwa yote ya nchi hii yanaongozwa wakristo,Mikoa ya pwani inakandamizwa katika maendeleo,viongozi wa makanisa isiwe ndio muongozo wa wananchi wote,Magufuli alipopoteza mabilioni kujenga uwanja chato bila ya idhini ya bunge,hatukuona kanisa ikikemea hilo,kwa nini?,wakristo hawapendelei mikoa ya pwani kidini,ikija katika principally likuhusu Uislamu linaekewa ngumu,Bagamoyo ni lazima gati ijengwe,kampuni za wazungu zipo mpaka leo,zinachimba migodi,na kubabaisha,waislamu wataendelea milele nchi,mkoloni mzungu wadachi na waingereza walitawala kwa mateso,wamisionari walichangia kwa kiasi wao wakiwa wakoloni wakubwa ,waliopita mateso makubwa kwa watanzania wa wakati huo,lakini hilo limefunikwa,kwa kuwa linahusika na kanisa na ukristo,ifike iwe kikomo ya haya,kuna kila aina ishara zinaOonyesha suala limeingizwa kidini.

    • @stephenndagalla8183
      @stephenndagalla8183 ปีที่แล้ว +3

      @@sabraham5308 POLE SAANA.