ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MWAMPOSA "MUNGU alimuongoza Rais SAMIA kumleta MAKONDA Arusha, kazi anazozifanya sio bahat"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 28 วันที่ผ่านมา

    Kama kuna kosa kubwa ambalo mtumishi wetu anafanya ni hili la kujiingiza ktk siasa na wanasiasa, Mungu na amuepushe nao maana ndani ya siasa kuna dhambi kubwa, na sifa msifie Mungu tu,hawa wengine wafanyiwe maombi endelea na utumishi Mungu aliyokupa, ninahofia sana huyu mtumishi wetu kujiingiza katika mikono ya wanasiasa ambao hujui maisha yao , na kusihi wafanyiwe maombi tu nenda zako😮 Mungu anaona zaidi, tusaidie ss wenye shida kwa uponyaji

  • @adamumyala-js9fh
    @adamumyala-js9fh หลายเดือนก่อน

    Makonda unahatari mungu akulinde.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana. Pongezi kwa Mheshimiwa Makonda. Arusha mtafeli sana kama msipomuomba Makonda achukue fomu ya kugombea Jimbo la Arusha. Mimi natamani uingie Bungeni kisha Mungu akubariki uingie katika Baraza la Mawaziri

    • @MusaaMarwa
      @MusaaMarwa 29 วันที่ผ่านมา

      Makonda tunaomba mungu akubariki sana makonda siku moja uwe rais wa nchi hii by mumabho wa tarime

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 หลายเดือนก่อน

    Wadudu wamenyoosha mikono respect to God

  • @3leggedbird222
    @3leggedbird222 หลายเดือนก่อน

    Miamba si hiyo sasa love you sana kila mmoja anafit kwenye nafasi yake

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es หลายเดือนก่อน

    Ameen