Thanks pastor aki that dream you have said that you found yourself back to school that's true aki mm hapa I dream every time but when I try to do something I can not make a step forward aki thanks for the message pastor God bless you sooooooo much 🙏 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana pr.mmbaga, Hakika Mungu anakutumia ili kutufikishia ujumbe,, Mungu akubariki sana,, kwa Iman Mungu ametatua shida yangu,kupitia kwako🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mchungaji yani napenda Sana maubiri yako mungu akubariki mm ni mtoto was kisilaam lakini nakufuatilia Sana maubiri yako na hata maombi yako na Niko kwenye maombi yako kwasababu nakuelewa mungu akubariki Sanaa🤝
Mungu azidi kukubariki Pastor unapotupa ujasiri, Hii ndoto ya kwanguka mtihani ilikua inanisumbua sana ,,na hata kazini sina amani changamoto zime kua mingi na mdozi wangu kila siku ugomvi tu.
PR,Mungu akubariki sana kuzungumzia hayo.kweli makanisani hayo hayafundishwi na hata ukiongea unaonekana eti unaleta ulokole.Kwa kweli ktk hilo la kutambua vita ya rohoni tupo nyuma sana.Barikiwa Pr
Asante mchungaji hii ndoto ya kurudi shule huwa inanisumbia sana Leo nimeelewa maana yake sasa lakini kabla ya kusikiliza mahubiri nilikuwa nahisi tu kuwa kunawatu wananifatilia kwa waganga ila Leo nimeaminin moja kwa moja nilichokuwa natafasiri ndivyo ilivyo
Kama mungu huzungumza nasi kwa ndoto na Kama hujamsikia atasema na ww kwa Mara nyingine Tena kwa ndoto ijirudie je shetani jee naye hutuma ndoto kwa Mara ngapi na mm huwa naota ndoto lkn naona kabisa si za mungu lkn huwa zinajirudia Sana je hiyo imekaaje
Mchungaji sasa nimekuekewa kuhusu ndoto ninaota Marakwa Mara niko shule na hii imejirudia sana ni miaka kadhaa sasa, sasa nimeelewa kuanzia sasa nachukua hatua, Mungu nisaidie
Nimekuelewa Paster, nikweli huwa naota Niko shule tena primary!! Aise kama unavyosema wiki mbili zilizopita ndipo pakatokea uharibifu dukani. Mungu atusasaidie
Najua ni Wengi wanakukosoa,lakini hakika ni MUNGU anayekutumia kufunua jumbe ambazo kiukwel zimefichwa na Mungu anataman tuzijue, jipe moyo Pastor,songa mbele,,hauwezi kueleweka kwa wengi ni wachache wenye akili ya kipekee wanaoweza kuelewa ni nini MUNGU anahitaji TUFAHAMU kwa kupitia mtumishi wake.
Kweli kabisa mchangiaji nakushukuru sana leo nimeleeewa maana lishawahi kuota ndoto nimeota naungua kwenye net mara mbili kilichokuja kutokea ni msiba mkubwa sana ....kosa nililofanya sikuomba Mungu anipe tafsiri
ungeomba tu kwa mungu...kama ni ya uharibifu mungu haipitishe mbali na kama ni ya heri basi mungu akaikamilishe..Mungu ni mwaminifu yeye atafanyia kazi maombi yako si lazima ujue tafsiri
Nikweli jamani pasta Mimi huwa naota nipo shule ya msingi nawaota had marafki zangu,Mara nyngine naota naokota Pesa wenzangu hawazion mm naziona na uchumi wangu upo ovyo,ee mungu wangu wa huruma Namba unifungue
Ha jamani kweli naelewa nimeona sana hizo ndoto hata sasa zinakuja mara mojamoja ila ni ileile ya kuwa darasani tena na ndugu zangu wengine marafiki sasa nafanya je mpaka hapo
Pr.Naamini kabisa yote hayo uliyoyasema juu ya wivu nilinunua kitu kikawauma mno!! Maadui zangu baadae sikujua kukiombea kikafa kila wakati nikawa nafanyia matengenezo mpaka nikaona nazidi kufiriska nikakitupila mbali baadae watu walifurahia kuona nimekiacha
Niliota nikiogelea na bwanangu bahari yenye mawe mengi tukishikana nikivalia net yaharusi baada yasiku chache tuliachana sijawai elewa maana yake...nakila mara nilikuwa naota nampata nawanawake kishanikimkaribia ananiambia hanitaki
Jifunike na damu ya Yesu na uvunje kila agano la ilo sehemu uachie malaika wa vita mikaeli akakate kate vichwa vya aho maadui...mimi nilikua naota shambani kwa baba angu kuna mti mkubwa basi kwenye ndoto kila nikifika pale nashindwa kuvuka nawaona watu wasio eleweka mala moto mala majini wachawi basi ikaendelea ivyo nikaja kugundua kumbe pale pana maagano ya nguvu za giza basi nikakemea kila siku zikaacha mpaka sasa so nikamuuliza mama kuusu lile shamba lile eneo nalo liona ndotoni mama akaniambia history ya pale ni sehemu ya wachawi lkn Yesu kristo amenisaidia kualibu madhabau yao pale kwenye mti.
Nafurahi mtumishi wa mungu kwa ibada hii ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu pasteur David
Bwana akubariki aendelee kukutumia, hakika tunafunuliwa neno la Mungu mno..
Barikiwa Sana mchungaji,.MUNGU aendelee kukutumia apendavyo..
Thanks pastor aki that dream you have said that you found yourself back to school that's true aki mm hapa I dream every time but when I try to do something I can not make a step forward aki thanks for the message pastor God bless you sooooooo much 🙏 🙏🙏🙏
Somo hili likawe mbaraka kwangu,nakwa wengine pia.Maana nimejifunza vitu vyakuniimarisha.Ubarikiwe pr.Mbaga
Mwanadamu atashindwa kukutetea lkn Mungu atakutetea, nimekwama hapo ,ubarikiwe sana pr Mmbaga amina kwa neno la kunipa nguvu siku baada ya siku
Mungu pokea sifa, kwa ajili yake pastor David, kwmaana anatubariki sana hadi naona nimebadilika sana.
Ubarikiwe sana mchungaji nimesikia najaribu kuelimika nashukuru sana Mungu akubariki sana akuongezee mengine
Kumpenda adui pr.ni kazi ngumu sanaaaa!!!!!!!!!! Mungu anisaidie.
Nakuelewa sana Pastor. Mungu akutunze. Na mfano uloutoa wa kuota ndoto za shule huwa inanitokea. Nielekeze namna ya kutoka Pastor.
Ubarikiwe mtumishi kwa somo
Somo zuri,amina 🙏
Asante mutumishi Wa mungu.kwa ufunuo juu Wa ndoto.Mimi niliota sana nikiwa shuleni secondari.mungu atukumbuke.
Amina pastor mungu akuinue
Ubarikiwe sana pr.mmbaga, Hakika Mungu anakutumia ili kutufikishia ujumbe,, Mungu akubariki sana,, kwa Iman Mungu ametatua shida yangu,kupitia kwako🙏🙏🙏🙏🙏
mungu akubariki na azidi kukuinua, maana wanibariki.
Somo nzuri sana.
ubalikiwe mtumishi wa mungu unatusaidia kwa vitu vingi kujua neno la mungu
Out of words God bless you pastor
Kabisaaaaaa mi nakuelewa nimeiota sana,sana,sana,nanimefeli,nimerudi nyuma,hadi kazi sifanyi na mtaji ninao
Asante mchungaji yani napenda Sana maubiri yako mungu akubariki mm ni mtoto was kisilaam lakini nakufuatilia Sana maubiri yako na hata maombi yako na Niko kwenye maombi yako kwasababu nakuelewa mungu akubariki Sanaa🤝
Kwasababu nayaerewa
😲😲🤔🤔 Ubarikiwa muchungaji amen amen glory to God am happy to hear good news.
Amen ubarikiwe sana PR mmbanga
Nimekuekewa sana mtumishi nifanyeje
Mungu azidi kukubariki Pastor unapotupa ujasiri, Hii ndoto ya kwanguka mtihani ilikua inanisumbua sana ,,na hata kazini sina amani changamoto zime kua mingi na mdozi wangu kila siku ugomvi tu.
👋👋👋AMEN AMEN ubarikiwa muchungaji
Umebarikiwa Pr. Mmbaga! Sema tupone..... umenigusa sna. Mrs Deborah Urio
Ama kwa hakika umesema vema, somo zuri sana, sikujua uko Ilula mtumishi ningehudhuria hiyo siku.
PR,Mungu akubariki sana kuzungumzia hayo.kweli makanisani hayo hayafundishwi na hata ukiongea unaonekana eti unaleta ulokole.Kwa kweli ktk hilo la kutambua vita ya rohoni tupo nyuma sana.Barikiwa Pr
Aminaaa
Hakika nabarikiwa saana Mungu akubariki saana
MUNGU akuzidishie nguvu pupate kuelewa zaidi
Asante mchungaji hii ndoto ya kurudi shule huwa inanisumbia sana Leo nimeelewa maana yake sasa lakini kabla ya kusikiliza mahubiri nilikuwa nahisi tu kuwa kunawatu wananifatilia kwa waganga ila Leo nimeaminin moja kwa moja nilichokuwa natafasiri ndivyo ilivyo
Kama mungu huzungumza nasi kwa ndoto na Kama hujamsikia atasema na ww kwa Mara nyingine Tena kwa ndoto ijirudie je shetani jee naye hutuma ndoto kwa Mara ngapi na mm huwa naota ndoto lkn naona kabisa si za mungu lkn huwa zinajirudia Sana je hiyo imekaaje
Waooooh barikiwa sana Pastor
May God bless you
Ninaahakikaa nimebarikiwaa leoo na MUNGU wa Mbinguni yu pamoja nam, ubarikiwee sanaa Pr. Mbaga
Kweli kabisaa mm naota nafanya mtihani tena wa hesabu shule nishamaliza
Nashukuru sana pastor leo nimejifumza mambo mengi👏👏👏
Amen,Mungu akubariki Pasror
Woow am so inspired 🙏🙏🙏hii ya Leo imenilenga God help me Amen
Amen Amen🙏🙏🙏
Ubarikiwe,ila hapo ndoto ya shule inanisumbuaga kila cku jmn asante
Asante sana Mch David kwa somo hili nisomo bora sana kwangu.Mungu azidi kukutumia.Amen
Mchungaji sasa nimekuekewa kuhusu ndoto ninaota Marakwa Mara niko shule na hii imejirudia sana ni miaka kadhaa sasa, sasa nimeelewa kuanzia sasa nachukua hatua, Mungu nisaidie
Thank God I came across this channel,it's feeding my sprit totally.
Ninaswali mtumishi kama barikugeuka utafanya je mimi mtumishi najitaidi lakini wapi vyote nachia mungu
Tunabarikiwa sana,tunaomba no yako PR tuweze kuuliza ambapo hatujaelewa.
Pr.Shetani kweli anazima ndoto zangu ktk maisha.Umenisaidia sana sikuwa naelewa namna ya kuficha mambo yangu.
A,haipikwi supu🙌🙌🙌
Asante baba ni shida kweli. Nimekuelewa mchungaji.
Mungu wa mbinguni akubariki na atukuzwe Mungu kwa ulivyofunua ukweli huu !
Amen
@@paulmlelwa2451 amen
Mungu akubariki sana
Mungu atukuzwe kwa somo la pekee
BARIKIWA MTUMISHI WA BWANA,ILULA HAPO.
Endelea tujue
Pastor umenigusa sana nahili somo, Mungu azidii kukubariki mtumishi
Mtoto wangu alijua akiota nyoka saa zote inamaanisha nini
Mimi naota na badaye inatokea
Mungu akubariki mchungaji umenifundisha aki
Nimekuelewa Paster, nikweli huwa naota Niko shule tena primary!! Aise kama unavyosema wiki mbili zilizopita ndipo pakatokea uharibifu dukani. Mungu atusasaidie
Ukweli kabisaa ,,lakini tufanyaje ndipo tujue n ya Mungu au shetani
Mchungaji vitabu vyako kwa Zanzibar ntapata kanisa gani,au kwa mwinjiristi gan
Nabarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi wa mungu natamani kupata nambari yako ya simu sijui nitapata aje. Mungu akubariki sana
Najua ni Wengi wanakukosoa,lakini hakika ni MUNGU anayekutumia kufunua jumbe ambazo kiukwel zimefichwa na Mungu anataman tuzijue, jipe moyo Pastor,songa mbele,,hauwezi kueleweka kwa wengi ni wachache wenye akili ya kipekee wanaoweza kuelewa ni nini MUNGU anahitaji TUFAHAMU kwa kupitia mtumishi wake.
Ubarikiwe
Naomba namba pastor kuna kitu sikielewi nataka unieleweshe
Nabarikiwa na kubadilika siku Hadi siku
Kweli kabisa mchangiaji nakushukuru sana leo nimeleeewa maana lishawahi kuota ndoto nimeota naungua kwenye net mara mbili kilichokuja kutokea ni msiba mkubwa sana ....kosa nililofanya sikuomba Mungu anipe tafsiri
ungeomba tu kwa mungu...kama ni ya uharibifu mungu haipitishe mbali na kama ni ya heri basi mungu akaikamilishe..Mungu ni mwaminifu yeye atafanyia kazi maombi yako si lazima ujue tafsiri
@@namid4284 hlw habar
Amen Amen God bless you
Bwana azidi kukubariki mchungaji kila iitwapo leo
Pastor nawezaje kupata kitabu chako Cha Siri ya maombi ,nipo kigoma Tanzanian
Jamani namba ya pastor pliiizi watu tunateseka kweli
Nikweli jamani pasta Mimi huwa naota nipo shule ya msingi nawaota had marafki zangu,Mara nyngine naota naokota Pesa wenzangu hawazion mm naziona na uchumi wangu upo ovyo,ee mungu wangu wa huruma Namba unifungue
I love your teachings.Regards from kenya
Sawa sawa
Ha jamani kweli naelewa nimeona sana hizo ndoto hata sasa zinakuja mara mojamoja ila ni ileile ya kuwa darasani tena na ndugu zangu wengine marafiki sasa nafanya je mpaka hapo
Nimekuelewa sana pst. Huu ugonjwa wa kuita kila mtu mchawi unaitwaje na unatibiwa aje?
AMEN AND AMEN
May God help us in every struggle we go through in Jesus name amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖😍🥰
Amen
Pr.Naamini kabisa yote hayo uliyoyasema juu ya wivu nilinunua kitu kikawauma mno!! Maadui zangu baadae sikujua kukiombea kikafa kila wakati nikawa nafanyia matengenezo mpaka nikaona nazidi kufiriska nikakitupila mbali baadae watu walifurahia kuona nimekiacha
Naomba number yako pastor...naitaji kuogea nawewe..niko kenya pilz
Mimi kilasiku naota nakula sikuzingine nyama mbichi sick zingine nyama zakupikwa yani mpaka najiskia vibaya sikuzingine ninaota nashika mavi sikunyingine nayaona kwapembeni mchungaji naomba unisaudie sielewi mpaka naona nataka kukata tamaa ndugu wananikatisha tamaa jinsi wanavo nifanyia tafadhali mchungaji nahitaji maombi yako tamka japo neno tu I'll niwe salama
Hiyo ya kuota nafany mtihani ilisha nitokea km mara 2-3 tena kwa mda mfupi mfupi, toka ndoto ya 1-2, nikiwa kweny mtihani na wale nilio soma nao, nikiwa sijui jibu ht moja nikiwaangalia wenzang wako busy kuandika, ile matokeo kutok nimefeli wakat nashtuka kweny ndoto moyo ukawa unauma san, sijawah kuizingatia
Mchungj huwa ninakuelew lkn Leo kuna sehem cijakuelew mim nitakupigia cm ili nielew vizur
I need prayers
Naitaji mambi ndoto za shule zinanisumbua sana na za ungovi na majini paka nilisha ota nataka kwenye usichana wangu kunawatu wsnaniludisha nyuma
Naona hii msg yngu kbs..
Swa
AMEN
Pastor ninataman kuongea na wewe,ninatatizo
Niliota nikiogelea na bwanangu bahari yenye mawe mengi tukishikana nikivalia net yaharusi baada yasiku chache tuliachana sijawai elewa maana yake...nakila mara nilikuwa naota nampata nawanawake kishanikimkaribia ananiambia hanitaki
Kama mfano unaotaga unachukuliwa.. unapelekwa sehem ya giza, nakuona vitu vya kutisha.. nawakati kabla ya kulala unaombaga.. Inamanagani?
Muulize Mungu kwa ndoto aliyokupa, atakufunulia maana yake. Pastor sio mtafsri ndoto
Jifunike na damu ya Yesu na uvunje kila agano la ilo sehemu uachie malaika wa vita mikaeli akakate kate vichwa vya aho maadui...mimi nilikua naota shambani kwa baba angu kuna mti mkubwa basi kwenye ndoto kila nikifika pale nashindwa kuvuka nawaona watu wasio eleweka mala moto mala majini wachawi basi ikaendelea ivyo nikaja kugundua kumbe pale pana maagano ya nguvu za giza basi nikakemea kila siku zikaacha mpaka sasa so nikamuuliza mama kuusu lile shamba lile eneo nalo liona ndotoni mama akaniambia history ya pale ni sehemu ya wachawi lkn Yesu kristo amenisaidia kualibu madhabau yao pale kwenye mti.
Glory be to God
Mungu akubark PST mmbaga.
Aminaa
Amina mchungaji napata nguvu kwa somo lako hakika nabarikiwa zaidi