Hi pasteur. Nimefurai sana na mahubiri yako, hasa new generation haitaki kujituma na kufumbua mengi. Mungu akulinde na uzidi kutulisha mambo ya wisdom.
Pastor kabla ya hiyo miaka 10,15,20 umeshanipata Mimi,Ni mmoja wa wadau wa elimu ambaye nimekuelewa na nimeazimia kuingiza maoni yako katika matendo(tuwafundishe watoto wetu namna ya kufikiri na si Cha kufikiri)
Ameeen barikiwa sana Pastor uzidi kuinuliwa na Mungu daima
Itoshe kusema nabarikiwa San pastor, 🤝
Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu.najifunza Sana kupitia vipindi vyako.
Nashukuru pastor nazid kubarikiwa tu
Amen
Somo nzuri pastor
Glory to God and may we practice what we learn. God bless you and your team.
Amen amen barikiwa
Tunaomba sehemu B,,Somo limenibariki sana Mungu azidi kuwabariki wote!
Ameen mchungaji mahubiri yako yamenijanua sana nakufatilia kutoka Kenya barikiwa sana
Kweli mungu akubariki hii Tanzania wakipata viongozi 10 Kama wewe njichi ingepaa Sana" God bless you" God bless Tanzania,God bless Africa.
Thanks pastor for imparting a very encouraging message that will make us to be creative,AMEN
Hi pasteur. Nimefurai sana na mahubiri yako, hasa new generation haitaki kujituma na kufumbua mengi. Mungu akulinde na uzidi kutulisha mambo ya wisdom.
Amen
Ameeeeen Asante sana kwa somo hili Mungu akubariki mchungaji 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼♥️😍🥰💓
Asante kwa elimu nzuli MUNGU akushindie
Haleluya, Mungu akuongoze
God bless you pastor your sermons became but of my life
Barikiwa sana pr
Ubariwe Sana pasta
Ubarikiwa kwa somo zuri mtumishi🙏🙏
Nakuekewa sana Pastor. Mungu akuzidishie.
Mungu akubariki sana Mchungaji make umekuwa mbaraka kwa watu wengi
Amen messge
Thanks alot my pastor.ithank God to now u pastor mbanga.mey God give u more wisdom & bless the work of ua hands..
Ubarikiwe xana pastor kwa somo zuri
Hua nabarikiwa sana na masomo yako pastor,Mungu awe nawe daima
Amina barikiwa sana mchungaji
God bless you
Baba tuma inayofuata uuhh is lit💥💥
Amina mchungj unanibarik sana
Nimebarikiwa na Neno hili.Barikiwa .
Keep up.,
Amen, ubarikiwe na Bwana 🙏
Pastor Nakuelewa sana, kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam hapa ,,UBARIKIWE
Amen pastor... Nimekuelewa sana
Mungu akubariki, mchungaji niunge kwenye kundi la maombi la telegram tafadhari
AMEN AMEN KWELI KABISA
Njoo musoma tena utuokoe mtu wa mungu
MADHARA YA KUFUNUA NDOTO AU MIPANGO YAKO KABLA YA WAKATI SEH.( A)
Inayofwata tunaomba,,,,Somo limenibariki sana
Nimekuelew mchungaji nazidi kubarikiwa kwa mahubiri yako barikiwa
Hili somo ni moto
Very very true
🔥🔥🔥🔥
Mtumushi nakupata
Mungu tusaidie,japo mie ninachoongea ndio natenda
MCHUNGAJI NIMEPENDA SANA UWEZO WAKO KITHIOLOJIA UNANIBARIKI KWA UTAMBUZZI I WAKO MKUBWA
Yani kwakipindi hiki chote uwezo wangu wa kufkiri ulikuwa n E
Ila kwa SoMo hili Naona kabisa nakuwa 4G
Kuku hutamia mayai yake siku 21 je kakuku sembuze mwanadamu?"God bless your people.
Hakika umenifungua akili
Kanisa limebarikiwa kuwa n.a. mwalimu /pr mwenye uelewa wa hali ya juu
NI KWELI FAMILIA ZETU JAMANI MMM
Pastor tunaomba utufundishe kitabu cha Enoch na mambo yaliyomo ndan yake kuusu ma giant's na malaika waasi.
Pastor kabla ya hiyo miaka 10,15,20 umeshanipata Mimi,Ni mmoja wa wadau wa elimu ambaye nimekuelewa na nimeazimia kuingiza maoni yako katika matendo(tuwafundishe watoto wetu namna ya kufikiri na si Cha kufikiri)
Amen
Jamani mkishasikia mahubiri ninawakaribisheni mpate wimbo wa injili th-cam.com/video/QJhwWhs-5Pw/w-d-xo.html Yesu kristo awe nanyi
Namba yangu ni 0746863184