Jinsi Ya Kujidhibiti Usitoke Nje Ya Ratiba Zako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Jinsi Ya Kujidhibiti Usitoke Nje Ya Ratiba Zako
    .
    NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    Bonyeza hapa: WhatsApp: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo: 10,000 TZS tu.
    .
    CHUKUA KOZI YA TH-cam BURE HAPA:
    Bonyeza hapa: / @youtubepesa255
    .
    NUNUA VITABU:
    Click hapa uje whatsapp moja kwa moja kisha andika neno VITABU
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    .
    OUR SPONSOR’S DETAILS:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.....
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entrepreneur | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    TikTok: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    EZDEN JUMANNE CHANNEL👇🏽
    / @ezdenjumanne8521
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    #Success #Path #Network

ความคิดเห็น • 44

  • @Margaret-t5y
    @Margaret-t5y 6 หลายเดือนก่อน +3

    If you want to be Different, Be Ready to do Something Different👍 (Hiki kitu kinanikumbusha kutokukata tamaa)
    Magreth kutoka Mwanza.

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhusu kuogopa kukosea happy pamenihu.Judith Zanzibar.

  • @mshanajunior8877
    @mshanajunior8877 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa Sana brother we need to change Mshana kutokea Dar es salaam ukonga Banana

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza zaidi kuhusu kutoogopa ninapokosea. Yaani napaswa kuzijua Kona zote kama ufagio wa zamani.💪🤣

  • @SalmaMsikiti-lu5eb
    @SalmaMsikiti-lu5eb 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam alaykum warahmatullaah wabarakatuh maashallaah unaongea vitu vilivyo hai nanindio uhalisia wasisi binadam tulio wengi allaah akupe umri mrefu kutokana na elim uliyonayo na hukutaka ibaki kwako ukaamua kuifanya swadakati jjaali swadaka yenye kuendrlea allaah akulipe duniani na akhera aamin aamin

  • @AbdulmarickIbrahimu
    @AbdulmarickIbrahimu 5 หลายเดือนก่อน +1

    nilichojifunza ni kwamba hatutakiwi kuyumba katika majambo yetu by abdulmarick wa udom

  • @SamweliLaizer-k4g
    @SamweliLaizer-k4g 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sam Madoller pande za chuga👍

  • @thauratSaid
    @thauratSaid หลายเดือนก่อน +1

    Asante

  • @musadismas9512
    @musadismas9512 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongela sana kaka ezdeni kwakutuelielimisha binafsi najifunza sana mengi kwako namungu azidi kukupigania nakukuinua juu kwa elimu bola katika jamii nipo temeke yombi vituka

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 หลายเดือนก่อน +1

    Naam

  • @suleim505
    @suleim505 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana mwalimu

  • @SarahThadey-bs4ey
    @SarahThadey-bs4ey 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Ezden kaka nmejifunza sana mpaka najiona mjinga

  • @YunusHassan-w7z
    @YunusHassan-w7z 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishie hekma kaka

  • @marceljosee8046
    @marceljosee8046 5 หลายเดือนก่อน

    Each one teach one. Nakubali kaka umekuwa nguzo kubwa kwetu mungu akutunze teundelee kujifunza❤❤❤❤❤

  • @rayaally5841
    @rayaally5841 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maoni yangu,naomba kushare na jamii niongezee ni kwamba jambo jingine ambalo unatakiwa kufanya usitoke katika ratiba zako ni kutochoka kujaribu Try and try mpaka utafanikiwa

  • @BALOGEENTERPRISES
    @BALOGEENTERPRISES 11 หลายเดือนก่อน

    ni kweli kaka.kujifunza lazima uwe umekosea. na mafanikio yanakuja kutokana nakuto ludia makosa uloyafanya.
    Big up sana kaka God bless you 🙏

  • @mrishosleoman
    @mrishosleoman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thnk broo

  • @mustafadjuma6504
    @mustafadjuma6504 11 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrain Sana kwa mafunzo haya I'm from Burundi 🇧🇮 but sahii nakuskilizeni nikiwa nnje na nchi yangu Sema video zenu muhimu San twaomba mfanye ujuzi ili tuwe twazipata in Tiktok maan apa TH-cam ningumu San kuu Downloader

  • @georgeelias2573
    @georgeelias2573 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ais hii ni yenyew kabisa EZDEN

  • @SwaibuBilali
    @SwaibuBilali 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana bro we need more like this one

  • @zainabuzainabu4160
    @zainabuzainabu4160 11 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi kaka Allah akuifadhi.

  • @selinakavishe6345
    @selinakavishe6345 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa msaada ni nzur sana

  • @norbertkauzeni1324
    @norbertkauzeni1324 11 หลายเดือนก่อน +1

    Iko vizuri

  • @zahrakitchen5880
    @zahrakitchen5880 11 หลายเดือนก่อน +1

    As salaam alaikum warahmatullah wabarakatuh.....Tunaomba utuwekea video zingine tunapenda kazi zako each one teach one❤

  • @AbdulrazaksuleimanMohd
    @AbdulrazaksuleimanMohd 9 วันที่ผ่านมา

    No comment

  • @mwanaishakama3381
    @mwanaishakama3381 11 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja kaka na kwa upande wangu nakuelewa sana

  • @saidmakamejanja3616
    @saidmakamejanja3616 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh kaka eznden naomba no y kupata vitabu

  • @selemaniselemani-r6o
    @selemaniselemani-r6o 11 หลายเดือนก่อน +1

    😢nimejifunza kusimamia latiba zangu mim nimekuwa nikipanga mambo mengine lakin kunamambo tu ambayo yanaingiliana nashidwa kwenda saw kwenye mambo yang.

  • @mohamedmashaka4599
    @mohamedmashaka4599 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Mohamed Mashaka nipo Zanzibar, nilijifunza ni kwamba makosa ni njia ya mafanikio, ulicho kikosea leo kesho kitakupigia alarm na utapita ukiwa pro

  • @sharifamsuri
    @sharifamsuri 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika kaka

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mr Ezden nmejifunza kujitolea muda nakuskiza nikiwa usa

  • @seifpembe5600
    @seifpembe5600 10 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @FordPeter
    @FordPeter 11 หลายเดือนก่อน

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @omeblvck3096
    @omeblvck3096 11 หลายเดือนก่อน +2

    brother i think ni wakati sahihi wa kuanzisha podcast

  • @MariamJuma-nj9fc
    @MariamJuma-nj9fc 5 หลายเดือนก่อน

    Mariam Niko Dubai, nimejifunza kutokukimbia changamoto.. kwamana pale nitakapo PATA wakat mgum ndio nipashikilie Ili kufikia lengo

  • @KhamisMohamed-fu4bc
    @KhamisMohamed-fu4bc 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo pamoja na wewe sikupingi kaka

  • @JOHNPAULO-bv8rd
    @JOHNPAULO-bv8rd 6 หลายเดือนก่อน

    kiukweli jambo kubwa nililojifunza ni kuto kuogopa kukosea