MAADUI TISA (9) WA MUDA WAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Mada hii inalenga kujadili mambo ambayo yanaweza kusababisha upotevu wa muda katika maisha yetu ya kila siku. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya mambo ambayo hayana umuhimu au athari yoyote kwenye maisha yetu.
    Pia tutaangalia mambo mbalimbali yanayoweza kutupotezea muda na kuchukua nafasi ya mambo muhimu zaidi ambayo tunaweza kufanya kwa mafanikio zaidi katika maisha yetu, pamoja na jinsi ya kutumia muda wetu kwa njia yenye ufanisi zaidi ili kufikia malengo yetu binafsi na kuishi maisha yenye maana.
    Jisikie huru kujiunga nami katika safari hii ya kujifunza jinsi ya kuwa makini na mambo yasiyo ya msingi na kufanya muda wetu uwe wa maana zaidi.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
    .
    OUR SPONSOR’S DETAILS:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.....
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    / @jewajua5506
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #maadui #wa #muda

ความคิดเห็น • 94

  • @BestiNasso
    @BestiNasso 11 หลายเดือนก่อน +2

    Naitwa Hamisi Yohana, kaka kuhusu suala la maadui wa muda ni sahihi kabisa unachotufundisha sisi kama vijana kwasababu vijana wengi tunatumia muda wetu vibaya sana. Mfano , vijana wengi hutumia muda wao kupita katika mitandao ya kijammii mfano , FACEBOOK na kadhalika hivyo basi nawashauri vijana wenzangu tuwe makini sana na matumizi ya hii mitandao ya kijamii maana inapoteza muda wetu mwingi tukiwa tunafuatilia virus visivyo na ulazima kuvifuatilia na hivyo kutumia muda wetu vibaya . Ahsante sana kaka EZDEN JUMANNE kwa somo zuri maana unatusaidia sisi vijana kutambua ni vitu gani tufanye ili tuutumie muda wetu vizuri na nyongeza ni kwamba matumizi mazuri ya muda ni chanzo cha mafanikio makubwa . Ubarikiwe sana kaka kwa somo zuri kuhusu maadui 9 wa muda .

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 ปีที่แล้ว +2

    Mimi umenigusia hapo kwenye simu sitoki salama na ajabu niko kwenye kazi ya ajira huwa najikuta nakurupuka kama mwehu hivi baada ya kuachwa namda sasa nimefahamu Alhamdulillah tangia Leo Naamka Yani smu atakuwa a nashida kabatini ili akome kuniibia mda wangu Wa mapumziko Asant sana

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 ปีที่แล้ว +4

    Asante kaka kiukweli mimi nimuhanga kuangalia mitandao naweza sema nataka nilale nashika simu nakaa masaa hata matatu ila kwa leo naamua kutumia muda wangu ipasavyo 🤝

  • @PaulChalress-ke9rq
    @PaulChalress-ke9rq ปีที่แล้ว +1

    Yani nilikuwa nikitumia mudawangu vibay kwakupatiliza mamba ambay kiukwel hayani husu, lakini najishukur nimepata maarifa kupitia video hii naamin mungu atatenda nitakuwa srias na muda Wang Asante San teachel

  • @gamariel5337
    @gamariel5337 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri linalo husu kutumia wakati vizuri. Mimi limenigusa sana KTK kipengere Cha SITA Cha kukosa kutokuwa na mpangilio wa vituo vyako, unapohitaji kitu unatumia muda mrefu kukipata kwa kuwa tuna utaratibu wa kuweka vituo vyako vya muhimu.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  3 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru sana kwa mrejesho, na ni kweli siku zote vile vitu vidogo ambavyo vyaweza kudharaulika mara nyingi vinakuwa na matokeo makubwa sana. Kwahiyo mpangilio maalum kwenye maisha ni kitu muhimu sana.

  • @ibrahimkapate7693
    @ibrahimkapate7693 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana brother, cha kuongezea hapo... Point hii especially kw vjana wa kiume... Huwa wengi wanapoteza muda kwenye mambo ya mabishano yasiyo na msingi, either vijiweni, ama hostel, na maeneo kama hayo... Utakuta wanabishana kuhusu mpira na katika hayo mabishano wanaweza chukua hata masaa 2 mpaka 3 kubishana mchezaji huyu ni bora kuliko huyu, ama timu hii ni bora kuliko hii, ikiwa kila mmoja anavutia upande wake... Instead.. huo muda wangetumia kufanya mambo yao ya msing ungekuwa na manufaa kwao hapo baadae...

  • @BekaCaston
    @BekaCaston 9 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani Naomba kununua vitabu nipo Zanzibar

  • @SwaumYasin-ld6xb
    @SwaumYasin-ld6xb ปีที่แล้ว +1

    Asanteh sana umenifungua sana kaka mimi tabia zote zinanihusuu ni mda wangu sasa wakubadilikaa

  • @changumachomaganga-gc3pd
    @changumachomaganga-gc3pd ปีที่แล้ว +2

    Mimi yote tu nipo niukweli nachokuahidi kuwa nitatumia ujuzi wangu wote ipasavyo ili kuachana na mambo yasiyo faa maana hayana faida kabisa, nashukuru mwalimu wangu

  • @awadhikiyanga308
    @awadhikiyanga308 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana Brother 🙏 nakushukuru kwa kuwa umekuwa mwenye kunielimisha ktk njia za kuboresha maisha yangu ....changamoto nyingi zilizo nikumba but kwa Mungu kuniktanisha na kukufwatilia Kwa muda mrefu tangu 2018 nikiwa advance so Mungu Akubariki sana 🙏

  • @ayoubmohamed5348
    @ayoubmohamed5348 ปีที่แล้ว +1

    Senk you brother

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Kaka Ujumbe Bola tupo Pamoja

  • @ThauratSaid-y5x
    @ThauratSaid-y5x ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kakangu kiukweli unatufunza mambo mazuri

  • @SuleimanRashid-xx5us
    @SuleimanRashid-xx5us 7 หลายเดือนก่อน +1

    Assee brother.... I was far about,zote ponts 9 zimenigusa mnoo mnoo... but from now najiwekea kubadilika thank u brother.

  • @NaomiMasanja-b8w
    @NaomiMasanja-b8w ปีที่แล้ว +2

    Kwel,mimi,pianinahilo,tatizo,lakutojal,mda,nashukuru,Sana,kaka,nimejifunza,pia,kutunza,mda

  • @estermalembwamalembwa1936
    @estermalembwamalembwa1936 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli kaka mafundisho Yako yamenitoa kwenye Giza na kuniweka kwenye Nuru nasasa ninainuka nakuangaza nakuombea kwa mungu akupe siku nyingi za kuishi

  • @kelvinmbeikya4520
    @kelvinmbeikya4520 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa mada nzuri. Me niwe mkweli jambo namba 6 lilikuwa linanipotezea mda wangu sana nikiamuka asubuh kwanza kutafuta mavazi changamoto navua hii navaa hii naona hazijakaa vizuri nikitoka uko naanza kutafta soksi mara funguo za pikipiki kama dakika 20 zinaisha nazunguka ndani tu

  • @HassanJumaa-p1u
    @HassanJumaa-p1u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka nimekupata vizuli

  • @leahmartine5620
    @leahmartine5620 ปีที่แล้ว +1

    Kuna topic uliongelea juu yakuandika Mambo utakayofanya kwa cku inayofata tangu nifate iyo ratiba nimebadilika nafanya kazi zangu vizur.asantw

  • @YedidiaHalifa
    @YedidiaHalifa ปีที่แล้ว +1

    Misina mengi yakusema ila ila saiz nimefanikiwa pakubwa na namshukulu mungu pia naendelea kujifunza mengi kwako so na zawadi yako brother

  • @OliverDaudi-lo7rx
    @OliverDaudi-lo7rx 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana kaka

  • @justingeorge-rs1ou
    @justingeorge-rs1ou ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kaka . Vijana tunapoteza muda vijiweni, ps game, pool table ,kutembea huku na kule na marafiki hasa tukijifariji kazi hatufanyi , unamwona mtoto wa mzee idy kibahati kafanikiwa muda ukifika tutafanikiwa tu. Tunasahau imeandikwa tutakula kwa jasho na uzee fainal.

  • @maulidipingika4452
    @maulidipingika4452 ปีที่แล้ว +1

    Asee umesaidia sana

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

    Mimi nimekubali kwamba kuweka vitu hovyo hovyo kunapoteza sana mda,huwanatafuta sana funguo zagar mpaka.

  • @gilbertmatambe2435
    @gilbertmatambe2435 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @allyalmasi-fi1uz
    @allyalmasi-fi1uz ปีที่แล้ว +1

    Mr ezden jumanne your a teacher hiyo point ya kuweka vitu shyagala bagala ishanitokea nilitoka kazini kisa nawahi tamthilia sikuweka funguo sehemu ntayoza kuiona kwa urahisi niliitafuta nusu saa

  • @romanasilvan2963
    @romanasilvan2963 ปีที่แล้ว +1

    Nimebadilika na kuacha kuingia Facebook, kwasababu ndo nilikuwa napoteza muda mwingi sana.

  • @SabrinaNassary
    @SabrinaNassary 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana nimejifunza kitu

  • @HassanJumaa-p1u
    @HassanJumaa-p1u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi kuhusu sm nikweli inanilia muda

  • @anordalexanior2906
    @anordalexanior2906 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa somo zur

  • @innodeculture8551
    @innodeculture8551 ปีที่แล้ว

    1. Ni kutumia sana mitandao ya jamii..
    Ichi kitu kinakula sana pesa zangu na muda..
    Sasa hapa kuanzia leo naweka data limit ili niweze kupangilia..
    2. Ni kukaa bila kufanya kazi..
    Huku ninazo kazi zakufanyaa..
    Hapa ntaweka mpango mathubuti

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah kaka Allah akulipe Inshaallah. Mm nimejfunza sana. Mda wa kupumzka mm naendelea na kazi na kuchukua cm kukusikiliza au kuckiliza mawaidha!!

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  7 หลายเดือนก่อน

      naam kujifunza na kufanyia kazi ndio mpango mzima

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n หลายเดือนก่อน

    Thanks bro

  • @reganmsellemselle4419
    @reganmsellemselle4419 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ezden umekuwa mkufunz wangu mzuri sna nakushuru Kwa elimu Yako ya Ziad 🙏

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 11 หลายเดือนก่อน +1

    Lingine lenye kupoteza muda kutokuwa na ratiba maalumu

  • @edwardminango8682
    @edwardminango8682 ปีที่แล้ว

    Daaah umenigusa sana kaka thanks broo

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vzr kk

  • @chrisskims597
    @chrisskims597 ปีที่แล้ว +1

    Kusoma jumbe bila mpangilio. Hiyo umenitoa tongotongo 🙏

    • @nsubilibanunu1765
      @nsubilibanunu1765 ปีที่แล้ว

      Nashukulu mim miongon mwakuailisha mambo muhimu adi najikuta jazi zinakuwa nyjngi umenikomboa mimi nafamilia yangu wataenjoy

  • @annachille7982
    @annachille7982 ปีที่แล้ว

    KWA kweli umenifundisha uliyoyasema mengi sana yananipitezea muda now nimejifunza

  • @mohammedymagania4647
    @mohammedymagania4647 8 วันที่ผ่านมา

    Kitabu kinaitwa kampuni ni dhahabu nakuitaji Tsh ngap

  • @bekammika7665
    @bekammika7665 ปีที่แล้ว

    Dua Nene kaka eziden jumanne 📚💰

  • @estermalembwamalembwa1936
    @estermalembwamalembwa1936 ปีที่แล้ว +1

    🌃

  • @bestinamaro7645
    @bestinamaro7645 ปีที่แล้ว +1

    Mtandao na kulala jamani nalala sana mimi naweza nikapanga vizuri ratiba zangu muda sasa ukifika yan nakua mvivu balaa😢😢

  • @mnugwaally4-xh4un
    @mnugwaally4-xh4un ปีที่แล้ว

    Kaka yote hayo yanakula.muda wangu,,najipanga kubadilika,,

  • @fadhlunsaggaf8240
    @fadhlunsaggaf8240 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo Longine ninaloliona linapoteza mda ni kufanya kitu bila malengo yani unafanya kazi ambayo sio katika malengo yako ambayo kwa kipindi kile utaona unamshahara mzuri kumbe kwa hadhi yako histahili na utakapo kuja kushtuka umefanya kitu sio sahihi utajikuta ushachelewa so kwa mm naona jambo linalopoteza mda nikutokuwa na malengo ya unachotaka kufanya katika kipindi maalumu na nyakati maalumu

  • @leahmartine5620
    @leahmartine5620 ปีที่แล้ว +1

    Yani Mimi nimejifunza ntabadilika swala la kuamka na kushika cm unapekua vitu ambavyo avipo kwenye utaratibu,kiukweli vijana tubadilikeni.

  • @Jake-gy7im
    @Jake-gy7im ปีที่แล้ว +1

    But bro kwny suala la kupanga vitu kwa umakini watu hapo ndo wanakuwa na tatizo hasa kwa wanafunz kma mimi .kupng madftr , vitab vya kujisomea na hata mavazi ndio yanawachelewesh kuwahi masomo shuleni

  • @saidesalimo1497
    @saidesalimo1497 ปีที่แล้ว +1

    Kaka we uko vzr sn

  • @teacherd
    @teacherd ปีที่แล้ว

    Niko naadika research haya yote yananikabili daaah.. let me change

  • @MeshackcaptainSemboko
    @MeshackcaptainSemboko ปีที่แล้ว +1

    Kuchelewa kulala

  • @JohariHassan-xm4nl
    @JohariHassan-xm4nl ปีที่แล้ว

    Kaka ezden nisaidie, imagine upo kweny mtihani then ukaona kun maswali magum then mengine je utaanza kufanya swali gani, swali gumu ama jepesi recalled from ''eat frog first''

  • @iizalaw6674
    @iizalaw6674 ปีที่แล้ว

    Mitandao ya kijamii shikamoo, imenipotezea muda kuanzia leo naamini nitapona katika hili

  • @ramadhanabdallahlibondo6709
    @ramadhanabdallahlibondo6709 10 หลายเดือนก่อน

    Jambo lingine ni kutoijali afya yako.Ukipata maradhi utapoteza muda mwingi na pesa' kujitibu.

  • @abshirohassen5
    @abshirohassen5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni issue ya simu ndo inakula mda wangu. I don't watch udaku, but series na education issue.

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana kaka nimejifunza mambo mengi niwakati wa kubadilisha lifestyle.
    Nahitaji vitabu naomba no ya wsp please

  • @fadhlunsaggaf8240
    @fadhlunsaggaf8240 11 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani naweza kupata namba yako nilikuwa nahitaji majina ya vitabu

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi apo kwenye mtandao Dah iyo siachi kbs siku yangu yote naipoteza kwenye mtandaoni 😢

  • @saidesalimo1497
    @saidesalimo1497 ปีที่แล้ว +1

    Kbs kamanda wadada wa miaka hii wao ni Whatsapp fesbook. Ndio manaaribika.

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m 5 หลายเดือนก่อน

    Sioni namb

  • @pezuzacreator7837
    @pezuzacreator7837 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Mimi simu na TV kwenye simu shida Ni game nikishika game tu simu haitoki mkononi

  • @alexikabakilwa2663
    @alexikabakilwa2663 ปีที่แล้ว

    Mimi ni games

  • @Nestoryshilinde-bb9ux
    @Nestoryshilinde-bb9ux 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba Kila ukitoa video mpya naomba unitumie

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 หลายเดือนก่อน

      Subscribe utaletewa taarifa kuwa nimetoa video mpya

  • @mfaumemkoma-ey2jd
    @mfaumemkoma-ey2jd 6 หลายเดือนก่อน

    Yaniapo kunakitu nime jifunza nipo kwenye ajila kwamda mlefu sasa na lengo langu nimeki ili nipate mtaji wa biashala nasasa nime fanikiwa kupata mtaji sasa kupitsha maamuzi ndo nina patawakati mgumu sasa mwaka huhu nianze basi ukifika naongeza mwaka mwingine naonamda una zidikwenda asate kunakitu mimejifunza apo

  • @AthmanKirowarowa
    @AthmanKirowarowa 4 หลายเดือนก่อน

    Vitabu

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE KWASOMO ZURI

  • @IssaAlly-wz2kj
    @IssaAlly-wz2kj 6 หลายเดือนก่อน

    Nawezaje kupata namba yako, ili tuwasiliane Whatsapp

  • @DerickProsper-h1s
    @DerickProsper-h1s 9 หลายเดือนก่อน

    Facebook

  • @tumainijastus326
    @tumainijastus326 ปีที่แล้ว

    Keep going on nigga

  • @JOBOYCLASSIC
    @JOBOYCLASSIC ปีที่แล้ว

    MTANDAONI BT HUWA NAFANYA MAMBO YANGU KAM CONTENT

  • @omarhamad9489
    @omarhamad9489 ปีที่แล้ว

    Mimi simu ! kwa kweli simu ina nipotezea sana muda😒😒😒😒

  • @sylvestercharles3325
    @sylvestercharles3325 ปีที่แล้ว +1

    Your whatsapp

  • @athumanipigo9295
    @athumanipigo9295 ปีที่แล้ว

    Vitabu

    • @christophermtigandi5614
      @christophermtigandi5614 ปีที่แล้ว +1

      Bih up sana kwa ubunifu upande wangu muda unapotea ktk kutekeleza kile nilichokipanga mf nimepaga nitasoma asubuhi baada ya kushukuru Mungu lkn napoteza muda na vitu vingine

    • @christophermtigandi5614
      @christophermtigandi5614 ปีที่แล้ว

      Ombi langu kwako J naomba ufundishe mbinu za kusoma kitabu na kumaliza km uliwahi kufundisha bc urudie kwa manufaa ya wengine