Itakuliza Mbarikiwa alivyoongea kwa hisia MAHAKAMANI. Amuunga mkono Rostam Azizi. "NI KIUCHAWI"?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2023

ความคิดเห็น • 357

  • @mikbete
    @mikbete ปีที่แล้ว +23

    A man I have never seen before. A man from heaven, a real man from heaven, a man of God.

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 ปีที่แล้ว +3

      That's true, he's a man from heaven,a man of God himself, even me,i've never seen a man like this, it's miracle,may God bless him.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru ปีที่แล้ว

      Rubbish

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru ปีที่แล้ว

      Kichwa cha habari hakiendani na mzungumzaji

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 ปีที่แล้ว +1

      @@Kwelihukuwekahuru Inahitaji umakini na utulivu kumuelewa,ukimsikiliza juu kwa ju,kamwe huwezi kumuelewa hata kidogo,zaidi uta-coment matusi.

    • @mikbete
      @mikbete ปีที่แล้ว +1

      We probably only have him in this beautiful nation TZ God gave us for a reason, a man with brave soul like him. He is still firm regardless of the attack by the authority. He must be standing for what he believes. It's my conviction he is innocent, and only "time will tell" ( time is GOD).

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi ปีที่แล้ว +12

    Pole sana mchungaji. Hawa majoka wanaokusumbua ipo siku watalipia.

  • @methodjasson2159
    @methodjasson2159 ปีที่แล้ว +6

    Haki yako ipo mtumishi wa Mungu simama upande wa Kristo daima, maana mwenye haki hajawahi achwa.Amen

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +5

    Amina Nina nguvu kupitia mbarikiwa Mungu atuvushe nguvu ya wa ovu ni ya muda MUNGU NI WA MILELE AMINA

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq ปีที่แล้ว +7

    Mungu anatupenda wateule wenye haki tutaiona kesho yenye furaha baada ya taabu za dunia ahsante mungu kwa kumleta mbarikiwa

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว +9

    *AMEN* MTU WA *MUNGU* HAKUNA WAKUMUOGOPA, TUONYESHANE WEMA TUU NDIO NJIA YA KUSHAWISHIANA

  • @kimanidatch6096
    @kimanidatch6096 ปีที่แล้ว +2

    Yesu KRISTO,, atakutetea Pastor...Usikate tamaa.Simama Imara.

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 ปีที่แล้ว +5

    Mungu yu pamoja nawe mtumishi, tunaamini kwenye haki Mungu atakutetea pamoja na hao watesi nao Iko siku watakufa TU.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mpe nguvu za ajabu mtumishi wako mbarikiwa maana amechagua lililo jema Amina

  • @bartolomeuhenrique1574
    @bartolomeuhenrique1574 ปีที่แล้ว +8

    Leo kweli baba,akuna sapoth yeyote Hila kesho yesu yupo kwa magumu yetu

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 ปีที่แล้ว +10

    Inauma sana kutendeana mambo ya hovyo

  • @daudcharles264
    @daudcharles264 ปีที่แล้ว +8

    Hakika mungu yu upande wako mtumishi wa mungu Amen

  • @EmmyKanjanja-qi1vl
    @EmmyKanjanja-qi1vl ปีที่แล้ว +4

    Hongera shujaa wa Mungu,waambie ukweli,lakini hata wao watakufa,

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mutumishi wa Bwana, kamwe Mungu hatokuacha peke yako. Wanaweza wakakuzuru kimwili ila hawawezi wakakuuwa kiroho. From Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸 .

  • @sarahjames2287
    @sarahjames2287 ปีที่แล้ว +1

    Pole mtumishi mwachie Mungu atawashughulikia. vita hivi si vyako ni vya bwana

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hajawahi kushindwa,tunakuombea sana mtumishi,vyeo vya muda tuu vinawasumbua

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 ปีที่แล้ว +3

    Neema ya Mungu ikulinde baba vita ni kubwa sana lakini yeye alienzisha kazi mioyoni mwetu ndio atakae imaliza🙏

  • @user-yv8ww7lg1x
    @user-yv8ww7lg1x ปีที่แล้ว +8

    Mungu u pamoja nawe mtumish wa Bwana

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 ปีที่แล้ว +7

    Mungu yuko nawe mch Mbarikiwa

  • @georgepeter2055
    @georgepeter2055 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ambariki sana, ni kiongozi wadini ambae hana ushirika na mashetani

  • @user-pd1kk3xd4u
    @user-pd1kk3xd4u ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mtumishi ni kwasaabu Magufuli alikupendana unapenda haki ndio maana wanataka kukuumiza, hata magufuli kifo chake nadhani ilikua n hila tu za hawa wanaotutawala sasa

  • @helbertsoneka2008
    @helbertsoneka2008 ปีที่แล้ว +8

    daaah kama ukweli ndo upo hivi basi serikali ina wajibu wa kuangalia kwa jicho la tatu

  • @danielhoya5917
    @danielhoya5917 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Mungu ni mhukumu wa haki,angalia taabu na bidii ya mjoli wako,uje uhukumu Bwana kwa mkono wako,Usinyamaza Bwana kwa watu wako na Taifa lako Yesu.

  • @RaymondZindah-ow7wr
    @RaymondZindah-ow7wr ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi tuko nyuma yako na tutakufa na wewe.Mungu awe nawe na azidi kukupa maono na ujasiri. Huyu mkuu was usalama wa taifa inabidi tumuombee laana ya kifo tu.

  • @hilarylaurian7896
    @hilarylaurian7896 ปีที่แล้ว

    Pole sana mtumishi wa Mungu. Mwenyezi Mungu akulinde na waovu na zaidi akutie nguvu. Naamini BWANA atafanya njia

  • @neemarabani
    @neemarabani ปีที่แล้ว +2

    Amina wateule tunapitia dhiki lakini tusife moyo Wala tusikate tamaa .Yesu wetu anarudi.

  • @aswilekibona9861
    @aswilekibona9861 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwa barikiwa zaidi

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว +4

    Heri mtu atakaeteswa na kuonewa hata kuuwawa apate kupumzika baada ya taabu zake.

  • @julliennegakwaya5975
    @julliennegakwaya5975 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuteteye Mutumishi wa Mungu 😢

  • @AderaMwakilima-dh9sy
    @AderaMwakilima-dh9sy ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu baba Dunia hii uyu mkulugenzi atalipya

  • @conkfabrimendaking7093
    @conkfabrimendaking7093 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe na Mungu alie juu mbinguni sawa-sawa na lilivyo jina lako

  • @titonsimbazi5532
    @titonsimbazi5532 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU ni mkuu MUNGU ndo mwenye mamlaka ya mwisho. Mungu yu pamoja nawe. Watashuudia mapigo ya MUNGU hawatakuja waamini watabaki wamekodoa macho.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mtumishi wa mungu, mungu ni mkubwa na atasimama nawe.

    • @Zaburi-
      @Zaburi- ปีที่แล้ว +2

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @bartolomeuhenrique1574
    @bartolomeuhenrique1574 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu,baba misukusuko unayopitia,,,mbele Iko njia.apo baba unafungua njia hili waliyo nyuma Yako,na watakao kuja watapita raisi tu,ila ww tabu na ziki na mateso yanakusubili,pole inaniuma abli ya mtoto

  • @majaliwakibwama9634
    @majaliwakibwama9634 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mkristo nisienda kanisani ila I will protect you,
    MUNGU baba ulie mbinguni naomba uokoe nchi yangu, nchi inaongozwa na mashetani

  • @stevennjalika-in1fo
    @stevennjalika-in1fo ปีที่แล้ว +2

    Mmm ......
    Mungu , tunauwakika sana hata kwa maumivu makali. Ila mkono wa mungu uwe juu ya baba

  • @annetvuseletse4509
    @annetvuseletse4509 ปีที่แล้ว +2

    Mungu achelewi wala kukawia atakuja kwa wakati wake

  • @isayaamulike
    @isayaamulike ปีที่แล้ว +2

    Freedom is coming😢😢😢

  • @moseskita4251
    @moseskita4251 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu, Hao wanaokutesa Mungu anawaona,ipi siku watajuta.

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akushindie mtumishi naamini haki aifi inaishi na ikilazimishwa ife amani utoweka.

  • @edmundmmuniedmund1623
    @edmundmmuniedmund1623 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwaminifu mtumishi..Nadhani Usalama wa taifa ulikuwa enzi hizo kwa sasa ni usalama wa watu wa juu na kula.. si mda mrefu Mungu ataanza kushughulika nao!

  • @peterwanyonyi2445
    @peterwanyonyi2445 ปีที่แล้ว

    Mjungaji Baba wa mbinguni awe nawe akulinde ni wanyonyi from mombasa kenya

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว +3

    Kwenye CORONA Huyu Baba Alitutetea sana Wa Africa japo Serikali Ilikubali Kutuuza kwa Wazungu kwa Chanjo zilizo jaa hila na uozo..sasa Naona Mnamfinya ili Asitutetee

  • @SalamaRashidi-bb4fe
    @SalamaRashidi-bb4fe ปีที่แล้ว +2

    Ukweli Mtupu mungu atawahukumu

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว +1

    Hongelasana mutumishi mungu atakupigania tunakufatiliasana pamoja namabo unayofanyiwa

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +2

    Sitaki hata kuona mbarikiwa akilia ivi ,wanadamu ninyi wabaya sana 😢😢😢😢😢

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDanny ปีที่แล้ว +1

    Haya maumivu yana mwisho wake . Bwana Yuaja na malipo . Sherehe ya waovu ni ya kitambo kidogo. Mkurugenzi wa usalama wa taifa aliyeua na analindwa Mungu Atakuja kulipa

  • @user-go6ht5vv8r
    @user-go6ht5vv8r ปีที่แล้ว +3

    Mungu wetu ni mkuu sana sana

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 ปีที่แล้ว +2

    Wenye haki watawalapo watu hufurahia na Waovu watawalapo watu huugua.

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa mtumishi aliimba nyimbo moja kuhusu JPM kwamba umejitoa kwa taifa hili lkn watu watakuuwa wapenda hila

  • @WILLIAMSINGANO-qn2yh
    @WILLIAMSINGANO-qn2yh ปีที่แล้ว

    Pole sana mchungaji kiongozi. Watumishi wengi hawakumkana Yesu nasi hatuta mkana kamwe.

  • @cuthbertsebastian9626
    @cuthbertsebastian9626 ปีที่แล้ว +11

    Maana ya ibada ni kifo tu; kama ukiogopa kifo bado mtu hawezi kutimiza kigezo cha ibada halisi ambayo inampendeza Mola Yesu kristo, akina Stephano, Yohana mbatizaji, na mitume wote wa kweli hawakupendwa na Dunia maana watu wa njia hii si wa ulimwengu huu; Katika ufunuo Yohana aliona nafsi za waliouawa zikilia mbele za Mungu zikisema Ee Mola ziwapi malipo ya kuuawa kwetu malaika akasema bado kitambo kidogo mpaka hesabu ya wajoli wa Mungu itakapotimia watakapo uawa sawasawa na wao. wokovu lazima kuulinda mpaka mwisho. Mbarikiwa wewe nikioo kwa jamii ya sasa, pia isaya53:5-

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 ปีที่แล้ว +5

    Serekali ni wauwaji asilima m%100

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie kwenye magumu haya IPO siku Mungu atafanya jambo kubwa zidi ya wabaya

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m ปีที่แล้ว +3

    Watanzania nchi yetu isije ingaingizwa pambaya naona watu wana hasira kila mahali

  • @yamungumbarikiwamwakipesil401
    @yamungumbarikiwamwakipesil401 ปีที่แล้ว +2

    Huwa nafikilia sana viongozi tuliowaajili sisi wamepata nafasi nakutugeuka maana tulitarajia watendao haki na kutokuleta hasara kwa jamii na taifa Zima, nimejiulza Sana KUPITIA wanavyomhangaisha mtumishi wa Mungu atendae haki na kusaidia maerufu ya watu wakaacha kuwalaza watu tongo macho(wizi) na namna mbalimbali Ila humtesa pasipo kuthamini kazi anayoifanya kusaidia serikali na jamii, ndo huwa nafika hapo nakujiulza HIVI kweli hawa ni viongozi tuliowaajili au ?? Napokuta nimehisika kuwachagua ndo hata hamu ya kuishi huisha kabisa na huwa nawazaga kufanya ibada zenye uwezo wa kulipa kisasi Kama wakili wa Mungu, ni vyema Sana ukajua avaaye Kwenda vitani asijisifu Kama avuaye akitoka vitani, (1 wafalme 20:11

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 ปีที่แล้ว +1

    mungu ingilia kati kiukweli juuu yawatu hawa niaibu sana sana kukaliwa nawaovu nawanafanya chochote wanachotaka baba mbalikiwa endelea kutuvusha katika nyakati hizi japo mungu kama vile haoni ila nahakika mungu ataona

  • @methodiutou7278
    @methodiutou7278 ปีที่แล้ว +2

    Siku za mwisho zinakaribia! Ole wao wasimamao katika njia isiyo ya haki!

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 ปีที่แล้ว +1

    Sauti yamtu aliaye nyikani mtumisi wamungu usiogope mungu Yuko Pamoja nawe🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi Wa Mungu Mungu Atakujibu Mtumishi Mungu Yupo Pamoja Nawe.Amesha Kusikia

  • @user-ro7rf6yw3q
    @user-ro7rf6yw3q ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana kiongoz unafaa ata kugombea urais❤❤

    • @user-ro7rf6yw3q
      @user-ro7rf6yw3q ปีที่แล้ว

      Sio kugombea2 kupewa madalak yoyot ambay yakuwaongoza raia na mali zao

  • @user-ct3sm1pd8z
    @user-ct3sm1pd8z 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi MUNGU yupo pamoja nawew uko iliko

  • @user-pb8pk3eb2w
    @user-pb8pk3eb2w ปีที่แล้ว +1

    Amina baba mungu akutetee

  • @molineadema4872
    @molineadema4872 ปีที่แล้ว +1

    Chuma kweli kweli endelea kupiga mwendo mtumishi wa Mungu

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mtumishi wa mungu

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 ปีที่แล้ว +1

    Hadi roho inaniuma pole sana MTUMISHI wa mwokozi

  • @moseskilangi4989
    @moseskilangi4989 ปีที่แล้ว +3

    Very sad😢😢😢

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ni kwann wanasiasa hawamjuhi Mungu na Wala hawana hofu ya Mungu.

    • @HabilyTech
      @HabilyTech ปีที่แล้ว

      Dhamiri zao zilisha kufa ni wana wa majoka

  • @ruthysarakikya1813
    @ruthysarakikya1813 ปีที่แล้ว +6

    Hakika jasho la Mtumishi wa Mungu huyu litakuwa laana kwenye nchi hii endapo hamtaacha kumtesa kwa ajili ya Haki yake, Yeyote aliyehusika na kumtesa Mtumishi huyu jaman chondechonde awe makini na kizazi chake#Paulo anasema hamuwezi kupiga teke mchokoo.🙏🙏🙏.

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn ปีที่แล้ว +1

    HUWEZI SHINDANA NA NGUVU ZA MUNGU NA MKONO WA MUNGU MWENYE NGUVU NA UKABAKI SALAMA,AMINA.
    HAKI Na Itaendelea kuhubiriwa katika kutènda wema na mema Tu.
    NYEUPE ITABAKI KUWA NYEUPE NA ITAEÑDELEAGA TU KUWA NYEUPU TU SIKU ZOTE.
    NA
    NYEKUNDU ITABAKI KUWA NYEKUNDU NA ITAENDELEAGA TU KUWA NYEKUNDU TU SIKU ZOTE.
    LEO Mtamkataa MUNGU Anaehubiriwa kila Siku kuwa watu Tujifunzè na kujiibidiisha katika HAKI YOTE ya kutenda MEMA TU Siku zote za maisha yetu ya hapa Duniani .
    ILA TUKUMBUKE MOJA TU,PAMOJA NA JEURI ZETU JEURI ZETU TUNAZOJIDANGANYA NAZO; TUTAKUFA TU SOTE,HAKUNA AMBAE HATAKUFA.
    NA NDO ITAJULIKANA NA KUJULIKANA TENA NA TENA KATI YA WEMA NA UOVU NI KIPI BORA?.!..
    MUOVU NA MPENDA MAOVU; Wanatakiwa/Anatakiwa kumuogopa Na kumueshimu Anaejiibidiisha katika HAKI Na WEMA Tu Siku Zote Za maisha Yake.
    UOVU Nà MÀOVU ni lazimà Uendelee kukemewa kwa NGUVU zote na huko nďo kumtangaza MUNGU Alie Juu ya vyote Amina.
    Mwenye HÀKI Atàendelee KUEPO kwa MKONO WA MUNGU TU, Na si Vinginevyo,Amina.
    MUNGU Ndo mwenye Mamlaka Źote za Duniani Na Mbinguni,Amina.
    Hii Dunia Ni ya MUNGU na sote ni wa MUNGU hakuna haja ya kuanźa kutishiana Jinsi ya kuishi hapà Duniani, kwakuwa wote ni wa MUNGU,Amina.
    Na
    Kilà mmoja wetu Anaishi hapa Duniani kwa mpango wa MUNGU.
    Na
    Kama kuna mtu awaye Yeyotè Anaèsema FLANI/JAMII FLANI/KUN FLANI, Wanaishi kwa kuwa mimi ndo Naamua waishi au Nimeamua waishi Na Ajitokeze ili Ahiambii Dunia, ili MBINGU Na ARDHI VIJUE.
    MUNGU YUPO JUU YA VYOTE, Amina.

  • @user-im9my8wk2d
    @user-im9my8wk2d ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuepushie mashetani aya

  • @mch.deosinkala3120
    @mch.deosinkala3120 ปีที่แล้ว +1

    Umeeleweka Baba Mbarikiwa....Bwana atakuthibitisha tuuu na hautakufa

  • @NellyIsack-lk4gz
    @NellyIsack-lk4gz 9 หลายเดือนก่อน

    Tumika bb hata yesu hakufanya kosa lolote lkn aliteswa kwa ajili yetu ss wenye dhambi mungu anamakusudi na maisha yako endelea kumtumikia mungu nahuko gerezani kuna viumbe wahitaji lnjili bb yangu achana na mawkala wa shetani nisawa na kumpiga chura wanakusogeza ikulu ya mbinguni ushuzunike

  • @frenkfarm
    @frenkfarm ปีที่แล้ว

    asila ya mungu itawaka juuuu ya watu wake ila matumaini yangu kabisa mungu kakuchangua we uwe shujaaaa wetu baba mbalikiwa endelea kutupingania maan paka kufikia hatua iyo si jambo ndogo mi naamini nimungu e shujaaaa endelea kusonga mbelee 💪

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 ปีที่แล้ว +1

    God with you

  • @neemarabani
    @neemarabani ปีที่แล้ว +1

    Mungu Yuko nawe songa mbele Mutumishi wa Mungu. Mungu ni Mungu hata Kama hatajibu Kama tulivyo omba

  • @belinamwambeleko370
    @belinamwambeleko370 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu baba

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +2

    Kwamaombi yetu MUNGU atalipa unayemtumikia ananguvu utashinda mti wenye matunda hupigwa mawe angekuwa magufuli muafaka ungefika liausihofu MUNGU yupo

  • @aristidesvedasto7855
    @aristidesvedasto7855 ปีที่แล้ว +1

    Wambie baba nakukubali sana

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwa Mungu Yuko pamoja na wewe kamwe hatakuacha

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว +14

    RAISI SAMIA Wala haoni haya Mauwaji yeye yuko Bize KUSAINI Mikataba Ya KUUZA Mali za TANGANYIKA..Hakika LAANA haita waacha..😢😢😢😢

    • @makamekhamis871
      @makamekhamis871 ปีที่แล้ว

      Chuki tu. Mavi weee.

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว +1

      @@makamekhamis871 Watu wa TANGANYIKA Mnawauwa na Mali zao Mnawapa waarabu sawa twende mbele.hayo Mavi Yatajulikana tu,Maana tumeishakuwa Yatima tangu Raisi MAGUFURI Mtanganyika Mtetezi wa wanyonge .Afe

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo ปีที่แล้ว +1

      Nadhani huyu atakuwa ndo bossi wa yote yanayoendelea, kwasababu kama sivyo, angeingilia kati.

    • @BabaBalingasi-hp6gd
      @BabaBalingasi-hp6gd ปีที่แล้ว

      @@makamekhamis871 manyoko zako. Peleka ushoga Zanzibar

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde ปีที่แล้ว

    Mungu atakuwa upande wako mtumishi wa Mungu tunakuombea.

  • @aengelukalula7036
    @aengelukalula7036 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUTIYE NGUVU BABA 🙇‍♀️😭😭🙏🏿🧎‍♀️

  • @chrizostomangelo8140
    @chrizostomangelo8140 ปีที่แล้ว +1

    dar aiseee hakika nimejisikia vby sana ila wapambanaji tuko pamoja nawewe Mtumishi.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +1

    Enyi serikali Mungu hafananishwi na cheo Wala pesa ole ole ole ole asema bwana

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb ปีที่แล้ว +1

    Pole mch

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 ปีที่แล้ว +3

    Allah atakulinda wewe pamoja na wapenda haki wengine

    • @PastorsTz
      @PastorsTz ปีที่แล้ว

      Muislam kweli kweli.

  • @user-ng8fx4hc8x
    @user-ng8fx4hc8x 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika itengenezeni njia ya bwana yanyoosheni mapito❤ yake

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hatakuacha mpaka makusudi yake yatimie juu yako

  • @tihobestltd8582
    @tihobestltd8582 ปีที่แล้ว +2

    Mtumwa wa Bwana, achana na kundelea kufuatilia usajiri wa kanisa hapa duniani Usajiri huo haupeleki Mbinguni. Bali pambana kusajiriwa Mbinguni Endelea kuvipiga vita vizuri kwa wema. Dunia inachosha sana:

    • @agnesbutale5358
      @agnesbutale5358 ปีที่แล้ว

      Sasaiv shida sio usajiri Ndugu yangu Kuna kitu kingine tofati kabisa na usajiri.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 ปีที่แล้ว +1

      ​@@agnesbutale5358sasa hivi ni nini jamani,wamwache huyu baba

    • @JonesKagisa
      @JonesKagisa ปีที่แล้ว

      Nyinyi munayemsumbu mbarikiwa niwaulize mungu baba alituumba Ili tufanye Nini je si kumwabudu unawezaje kumuzuia mtu asihabudu aliyetuumba wakati wewe unajiita mkiristo au mwisramu? Nyinyi tuliowaweka kwenye usajili makanisa kazi yenu ni kuelekeza taratibu Wala hamuna mamlaka kumuzuia mtu asihabudu kufanya hivyo ni kushindana muumba nashauri mahakama kutenda haki Kwa huyu mchungaji Kwani nimwenye haki na mungu baba anapenda watu kama Hawa yeye ndiye chanzo Cha haki naomba busara zitumike kumaliza jambo hili kama ambavyo busara imekuwa ikitumika kumaliza mambo mengine

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว

    God will be with na utashinda 🙏🙏🙏

  • @christineaimtonga9872
    @christineaimtonga9872 10 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa mungu mungu atawaubuwa wote

  • @methewmlyuka1935
    @methewmlyuka1935 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wamejipa uungu hiyo dhambi itawatafuna sio muda Mungu mwenye haki atajibu

  • @user-or8ow5vr7m
    @user-or8ow5vr7m ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU wetu bariki mwendo wa mbarikiwa ikikupendeza yatosha uliyo ruhusu ya mpate

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +1

    Kweli wenijajusi wambinguni

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k ปีที่แล้ว +1

    Usi ogope wanao ua Mwili Bali ogopeni wanao ua Mwili na Roho

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishiiiii duuuu

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 ปีที่แล้ว +1

    AKIFA MTU KWA AJIRI YA HILI,, BASI TUTAONA NCHI INASEMAJE

  • @elijiusdaniel9817
    @elijiusdaniel9817 ปีที่แล้ว +2

    Kwa maumivu ya baba yangu hawa manyampala na mashetani hawa watalipwa.