MTUMISHI MBARIKIWA AFUNGWA MIAKA 3 GEREZANI KWA KUENDESHA KANISA BILA KIBALI /ALIPINGA BANDARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 154

  • @user-lz2zd1ty7b
    @user-lz2zd1ty7b 9 หลายเดือนก่อน

    Hiii ni Hatari sana vyombo ambavyo vimewekwa wakfu kwa ajiri ya kutangaza kazi ya Mungu kumtumikia Mungu kuvigusa!!!

  • @JacobYusuph-ij5sl
    @JacobYusuph-ij5sl 11 หลายเดือนก่อน +3

    Shujaa na mwamba Mbarikiwa Mwakipesile,Bwana wetu Yesu Kristo awe upande wako kipenzi cha haki. Hakika umekuwa taa nimejifunza mengi tokea Kikosi kazi

  • @machaliakulima76
    @machaliakulima76 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwakipesile hufundishi injili ya MwenyeziMungu bali mafundisho ya kibinadamu

  • @felixsanga
    @felixsanga 11 หลายเดือนก่อน

    Muhammed bakari Mungu autazame moyo wako na kweli itendayo kazi nafsini mwako kumhurumia kila ateswaye kwa ajili ya haki!H.A.K.I=Hekima,Amani,Kiasi,Imani haina dini ,Ukristo au Uislam bali imo ndani ya moyo wa Mungu!Na kila aliyezaliwa na Mungu na ana roho ya Mungu nafsini mwake hupenda haki na kulia na wenye haki!Ila mwenye roho ya shetani na kuzaliwa na shetani na ni shetani hufurahia mtu ateswapo kwa lolote liwe jema au baya maana ndio sifa ya Devil,oppressor,toturer,tomentor &killer!Their coments and words shows clearly how minded are and what is contented in them!Stay blessed Bro muhammed !

  • @godlyn.k.v.yjoginda4618
    @godlyn.k.v.yjoginda4618 11 หลายเดือนก่อน +2

    M,barikiwa yupo tayari sio kufungwa tu hata kufa kwaajili ya KRISTO.hakuumbiwa roho ya hofu......

  • @user-gj4dg3xz9b
    @user-gj4dg3xz9b 11 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU alisimama na yusuph toka gerezan naamin atakushindia pia nawewe mbarikiwa umenipa Iman kubwa Sana nahuyo Imani na msimamo ndy MUNGU anao utaka mahubiri yako yameniinua Sana nipo Kenya kwasasa Ila nakufatilia Sana MUNGU atakuinua utakua salama Dunia tuna pita lazima tutende yanayo mpendeza MUNGU heri wafao katika BWANA Tangu Sasa asema roho apate kupumzika baada ya tabuzake

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kusudi la mungu litimie tumaini kuna roho huko gerezani zinahitaji uponyaji mungu na asimame na mtumishi wake kabisa tudumuktk maombi hasta nyakati hizi mungu hajawahi shindwa hatamuacha mtumishi wake ateketee

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo kesi nyuma ya pazia kuna siasa..hivo ndivo nchi zetu za Afrika tulivo nimahodari sana kutunga kesi za uwongo..na ndio maana wanao paswa kufungwa wapo uriana na wale wanao paswa kuwa huru yupo gerezan..hayo ndio mafanikio ya utawala wa shetan ulimwengun..tutafika tuu..mm ni muislam lakin Kwa ubidaamu sipendi kuona mwenzangu anazulumiwa hata kama tuko Iman tofauti..

    • @veronicaalfred235
      @veronicaalfred235 11 หลายเดือนก่อน

      Amina kaka angu uko vizuri kwa Imani uliyonayo, Mwenye Iman haangalii, hajali dhehebu la mtu, wala kabila la Mtu.

    • @husnapeterkisiri2072
      @husnapeterkisiri2072 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akusimamie

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 11 หลายเดือนก่อน +3

    Shidayako nduguyangu unaropoka mno bwana kha! Kunawakati Yesu alikaa kimya

    • @ExsaverMgala-ef5ci
      @ExsaverMgala-ef5ci 11 หลายเดือนก่อน

      ww ni dyo mubwa

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 11 หลายเดือนก่อน

      @@ExsaverMgala-ef5ci mubwa udado nu nyoho.

  • @user-uq2gm5jj1f
    @user-uq2gm5jj1f 11 หลายเดือนก่อน +1

    mchungaji wa Mungu uko vizuri wanatukana mungu anawaona

  • @ScollahYohana-nf9sb
    @ScollahYohana-nf9sb 11 หลายเดือนก่อน

    Baba najua mungu kuacha ili jambo litokee anasababu koo ninachojua kanisa la kikosi kazi cha injili ndo kanisa lile la zaman na ndo habar la dunia hata wakitwangamiza naamini haliji kutokea kanisa lolote linalotenda mema kama hili na nasema baba yangu mbalikikiwa hacha hao viongozi wawe na mioyo mingumu kama falao lakin wajuwe kwamba Mungu hatopungua kwako na kwanisa pia Mungu akutie nguvu sanaaaaa na pole kwa magumu unayopitia pote sana baba

  • @user-xz4sm7qn5l
    @user-xz4sm7qn5l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asheni mambo yenu bhan kwq hiyo hili la mbarikiwa ndo kosa kubwa kuliko? Watu wanaiba mabilion ya watanzania ,wanaua mbn wasifungwe

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ili la kufungwa siyo shida maana hata uko magerezani kuna wanaoitaji kusikia habari za Mungu mkuu. Ni bora jela anaepelekwa Mbarikiwa kuliko jela Mungu mkuu atayowapeleka wao wanaomfunga Mtumishi wa Mungu mkuu. (MUNGU MKUU ATASHULIKA NANYI HAKIKA AMTABAKI SALAMA MBELE ZA MUNGU MKUU). AMEN.

  • @user-lz2zd1ty7b
    @user-lz2zd1ty7b 9 หลายเดือนก่อน

    Hiii ni hatari sana Ngoja nione Mungu atakavolipa KISASI!!!wewe bado ni Shujaaaaa!!

  • @Veni584
    @Veni584 11 หลายเดือนก่อน +6

    Duh! Kilio cha mtoto na kufungwa juu. Mungu angalia watu wako

  • @Yunus802
    @Yunus802 11 หลายเดือนก่อน +2

    Viva Mbarikiwa, utadumu milele

  • @mariaraphael5463
    @mariaraphael5463 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde🙏🙏🙏🙏

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Akome

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o 11 หลายเดือนก่อน +2

    mungu akulinde kaka.

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu Wambingu na dunia mtetee mtumishi wako, nimaumivi makubwa sana.

  • @mjeshimlokole-us5xc
    @mjeshimlokole-us5xc 11 หลายเดือนก่อน +2

    Paulo na Sila waliwekwa gerezani, Petro aliwekwa gerezani, hivyo si ajabu mtumishi wa Mungu wa kweli kuwekwa gerezani, lakini Mungu aweza kufanya muujiza.

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuliwe Mungu Alie kuamini akaona unafaa kumfanya ajitukuze kupitia yote uliopitia yaani gereza kwa wateule au kifo nikama kiini macho tu kumbuka Daniel kwanini Simba hawakumlalua na kumla kabisa na yohana kwenye pipa la mafuta hakuungua Wala hata kisiwa Cha patimo hakikumuweza uko na Rohomtakatifu na usitoe rushwa simama na Mungu

  • @user-uq2gm5jj1f
    @user-uq2gm5jj1f 11 หลายเดือนก่อน +2

    tunaokomenti tusitukane huyu mtu wa mungu na adui wa mtu wa Mungu ni mungu mwenyewe na tuna watoto tutalaaniwa na watoto wetu mpaka kizazi Cha nne

    • @AgnesWilfred-to6tf
      @AgnesWilfred-to6tf 10 หลายเดือนก่อน

      Mi ndio nimeisha ongea bas mtumishi Gani anae jipigania Tena Kwa matus makali

  • @OccovimbaMallya
    @OccovimbaMallya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Familia ya mtumishi wangu mwakipesile hongereni sana kulishinda jaribu hilo ila kumbukeni yakwamba mungu ndo kwanza kaotesha mbegu yake kwenye kando ya mto ububujikayo maji yake kwa wakati wote mmea utazaa matunda yake kwa wakati

  • @user-zd3nd9jp2l
    @user-zd3nd9jp2l 11 หลายเดือนก่อน +2

    NI MTAWALA GANI ANAYEWEZA KUVUMILIA MANENO YAKO DHIDI YA SERIKALI, TENA KUPITIA SEHEMU UNAYOIITA TAKATIFU (MADHABAHU).

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mtu wa mbinguni

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 11 หลายเดือนก่อน

    Yesu kanene na wale wanaoonea wenzao.
    Tz inanyanyasa watu wenye haki wanasujudia majambazi na wala hongo. Mbarikiwa Mungu akutetee

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni wa haki sana.

  • @jumatamimu6841
    @jumatamimu6841 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mbarikiwa mungu yupo nawe

  • @erickwanjala8011
    @erickwanjala8011 10 หลายเดือนก่อน

    Pia angalia sana unapohubiri injili usiwatajetaje viongozi wenye wako mamlakani maana hao ni viongozi wanaweza kuwa wema ama wabaya

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Tanzania yetu ,mama Samia muangalie huyu na chicho la tatu, najua ww

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki popote ulipo Nakuombea uzima na afya njema na amani ya Mungu iwekatika moyowako

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi ni vita vya kiroho.Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu.Lakini usiogope Mungu yu pamoja nawe

  • @danielkanso
    @danielkanso 11 หลายเดือนก่อน

    Poleni na changamoto ambayo imekukumba mtumishi Mungu yupo pamoja nawe

  • @AgnesWilfred-to6tf
    @AgnesWilfred-to6tf 10 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa kuendesha kanisa Bali Kwa kutukana watumishi wenzie,anajihesabia haki kwa lipi kwani ye ni mungu

  • @user-pg5xx2sc6f
    @user-pg5xx2sc6f 11 หลายเดือนก่อน

    Yeee yani kukaa jera tu. Ilo hatutishiki labda ile ya kukatwa kichwa kama akina yohana... kidogo tunaweza fikilia ila jera yeeee tunapiga injiri huko huko

  • @user-je8hj2fv1q
    @user-je8hj2fv1q 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe hekima sana na Maarifa,nautulivu wa rohoni,

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana😭😭😭😭

  • @GeemsonErnest-cq9ey
    @GeemsonErnest-cq9ey 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akusimamie yaani AISEE akufanyie wepesi

  • @user-uq9el2zc2y
    @user-uq9el2zc2y 10 หลายเดือนก่อน

    Eeh mwenyez mungu mtetee huyu mtumish wa mungu

  • @tumainsikanda
    @tumainsikanda 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu.anataka.upeleke.injili.gerezan.mwezi.wa.kumi.na.moja.utatoka

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulinde mtumishi ila ninachoamini mimi mahakama iko kwaajili ya kuwahukumu wanyonge na kulinda maslahi ya watawala

  • @user-ft7bt7zv3c
    @user-ft7bt7zv3c 11 หลายเดือนก่อน +1

    😂mwenye haki hataangamia na kila auae kwa upanga na yeye atakufa kwa upanga Mungu akutetee mtumishi

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 11 หลายเดือนก่อน

    Mtihani

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 11 หลายเดือนก่อน +2

    Soujui ukweli lkn kwa matusi yake kutuna watumishi wa Mungu nashawishika kuhisi anavuna alichokipanda. Na kama ni hasira ya Mung, Mung amsaidie kujua. Maana Bible hata shetani anaitumia

    • @AgnesWilfred-to6tf
      @AgnesWilfred-to6tf 10 หลายเดือนก่อน

      Umeliona kumbe na wewe Hilo,kwanza huyo sio mtumishi wa mungu ni mtumishi wa matusi

    • @AgnesWilfred-to6tf
      @AgnesWilfred-to6tf 10 หลายเดือนก่อน

      Hana lolote huyo

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukome

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 11 หลายเดือนก่อน

    Huu mtihani sana aisee pole sana

  • @user-jr3xs9sb9x
    @user-jr3xs9sb9x 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema baba hakuna litakalokuwa gumu kwake,atakua mtetezi wakoo tuu

  • @RachelDaud-nf3ei
    @RachelDaud-nf3ei 11 หลายเดือนก่อน

    Uwe hodari na moyo wa ushujaa Mungu nimuaminifu atatenda Kwa haki kwakua yeye achelewi Wala awahi anajibu kwa wakati

  • @suleimanalihaji9386
    @suleimanalihaji9386 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ,Kuwa makini usoga uko huko

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole ila ulikosea kuwataja mawakala wa shetani unatakiwa kuhubiri injiri siokuwa taja hao wanao jiita manabii jee?kwanini roho wa mungu akuwa na wewe kwa hiyo shetani katumia watu wake kukuhukumu maana shetani ana hasira na sikuzake ni chache na shetani anatumia watu kuhukumu watu kupelekwa gerezani ni shetani kafanya hukumu kwa sababu walokushitaki ndo hao mafarisayo walokupeleka kwa kaisari ILA UTAJIFUNZA

  • @user-do1ut4gb1e
    @user-do1ut4gb1e 11 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi ya Mungu shida Iko wapi,Mwakipesile! Vita vya Mungu wewe huwezu.Amen

  • @user-zd3nd9jp2l
    @user-zd3nd9jp2l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo la wahubiri wengi wa nchi hii, wakishakusanya kusanya sadaka za watu na kuwa na fedha mingi, wanajiona wanaweza kufanya lolote dhidi ya mamlaka. Kama kazi yako ni kuhubiri, hubiri neno la MUNGU ili kuwakumbusha waumini wako kumjua na kumpenda MUNGU wao na zaidi sana wamruide yeye siku ya mwisho. Unapoona una nguvu za kupambana na mamlaka, ujue unajidanganya.

  • @user-ol2mp2jq5p
    @user-ol2mp2jq5p 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmhhhh!!!😊

  • @jacksonrorian9065
    @jacksonrorian9065 11 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭inaumiza sana

  • @fauziakimath7446
    @fauziakimath7446 11 หลายเดือนก่อน

    Pole.baba.Mungu.wa.Mbinguni.Ana.makusudi.na.wewe

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ni mtetezi, Amen 🙏

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani amekosea nini?

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 11 หลายเดือนก่อน +1

    Miaka mingapi mitatu mbona kidogo Sana watu kama hawa weka ndani miaka 30 jela au kifungo cha Maisha. Wamezidi kutuvuruga wazalendo wa kweli wa hili taifa

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 11 หลายเดือนก่อน

      Ila kumbuka mliwalilia Mashekh mkisema hawana makosa kumbe nao walipaswa kufungwa maisha

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 11 หลายเดือนก่อน

      Hawa wapuuzi hawana heshima hata kidogo wamejaa chuki na Utovu wa Nidhamu kwa kweli inakera mno lugha wanazo zitumua ni zakupitiliza Siwaonei hata kidogo hata Unajua

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 11 หลายเดือนก่อน

      @@jumannemsengi2195 Da sema Kweli na Hawa nao wangekaa angalau miaka 9 Eeh Ingekuwa Safi Sana

  • @MWANAHAMISIANTANDU
    @MWANAHAMISIANTANDU 11 หลายเดือนก่อน

    Why mnaingiliaga siasa

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda ukanyolewe kipara

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 11 หลายเดือนก่อน

    Dunia ya watu weusi ina shida nyingi watu weusi bwana siku zote huchonganishwa na watu wenye asili ya ngozi nyeupe ....na hufanya jambo kwa kumfurahisha mtu mweupe shida sana....tulipo pelekwa utumwani miaka ile ni mtu mweusi alipo gilibiwa na mtu mweupe mweusi akamuuza mweusi mwezao mpaka leo hatujaondoka hapo.
    .nafikiri tunatatizo kubwa la kutojitambua

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mahakama imetenda haki safi sana mahakama

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 11 หลายเดือนก่อน

    Mm muislam mkiristo wewe hutupendi vibaya haswa sisi wazanzibari lakin sio haki unachofanyiwa ila wacha porojo nchi ya amani hii uwache uchochezi bro Kama mwanao amezliwa kwel mungu atakulipia wacha maneno maneno

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu hamuachi mwenye haki mkumbuke Yusufu aliyefungwa kwa kusingiziwa baadae Mungu alimwinua na kufanya waziri mkuu katika nchi Misri hata gerezani utamtumikia Mungu

    • @mrdeniskomba6199
      @mrdeniskomba6199 11 หลายเดือนก่อน

      Jmn Yusuph unamfananisha na huyu anaetukana watumishi. Kila siku anatafuta huruma ya mwae kuuwawa. Sioni mfano wa kumlinganisha nae nashawishika kusema ni agent tu na anavuna alicho kipanda

    • @ElimpentekosteTunguuZanzibar
      @ElimpentekosteTunguuZanzibar 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@mrdeniskomba6199kweli kabisa swala la mbarikiwa ni pana sana jambo la kuwatukana watumishi wa Mungu mwalim mwakasege na pastor Abiud nakusema kuwa ni watumishi wa shetani hata mimi pia sikulifurahia kabisa nadhani hata Mungu pia hakufurahia ndiyo maana Mungu ameyaruhusu haya yamtokee hapo inatakiwa afanye toba yeye mwenyewe huko kama toba ya Yoha aliyo ifanya akiwa ndani ya tumbo la samaki

  • @FESTOJAPHET
    @FESTOJAPHET 11 หลายเดือนก่อน

    Aise huyu mchungaji ameniuma sana Wala hakusitahili kufungwa yaaani Sasa watajifunzia watu watu kama sisi awaoni kama kio chetu wanafunika Ili tusione mbele

  • @user-eb8mr6mn1s
    @user-eb8mr6mn1s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukitoka gerezani naamini utakuwa umetoautisha dini siasa na matusi

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 11 หลายเดือนก่อน

      mkono wako ulioandika dhihaka juu ya mtu huyu MUNGU aukumbuke

    • @user-ns5bw3dw6e
      @user-ns5bw3dw6e 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@FredrickKagusa-wt9bwMungu auone moyo wako juu ya ulichokusudia

  • @user-xz4sm7qn5l
    @user-xz4sm7qn5l 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ongea baba watu hawapendi kumsikia mtu anaekemea uovu wanapenda uovu uendelee duniani Mungi atakupa thawabu yako

  • @user-bw5gy2qx9j
    @user-bw5gy2qx9j 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu tuteteee zote

  • @aliali-ng4de
    @aliali-ng4de 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda jela wacha kelele

  • @user-jr7kn7sd2y
    @user-jr7kn7sd2y 11 หลายเดือนก่อน

    Ukitende kosa sheria zipo wazi kwa kila mtu,
    Mahakama zipo wazi kwa ajili ya kuendeshe kasi na kama haki hipo mahakamani,

  • @clentinangollo7859
    @clentinangollo7859 11 หลายเดือนก่อน

    Sheria zifuatwe kwa kila mwananchi ulipaswa kufuata ya kaisali anasemaje na ya Mungu apewe.

  • @user-gx4sw9kz8m
    @user-gx4sw9kz8m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dini na siasa haviteendi sambamba

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sina la kumhukumu huyu mtu wa Mungu, lakini ukweli ni kwamba vita yake inatokana na mawakala wa shetani wako serikalini wameshirikiana na shetani baba yao, sababu yake ni kwamba kuna mchawi aliyeokoka kutoka kuzimu akasimulia ktk channel fulani akasema vita ya Mch Mbarikiwa ni kwamba mbona anahubiria watu ukweli wa kuaja dhambi na kutojiremba,pia vibaka wengi na makahaba wameokoka kupitia yy kuwahubiria ukweli na wameaja kumtumikia shetani wamerudi kwa Mungu, ndiyo sababu tu inamteza huyu mtu wa Mungu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu Mtumishi ebu jaribu kusema na Mungu mkuu zaidi kuliko kusema na wanadamu. Mungu mkuu atakusimamia na kukutetea.. Amen.

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wamempendelea wangemfunga mpaka jela ibomoke

  • @simionkingamkono6994
    @simionkingamkono6994 11 หลายเดือนก่อน

    Sitakusahau katika moyo wangu

  • @gentledaudi831
    @gentledaudi831 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nalituma neno kuokoa kuponya nguvu yamungu itakutoa katka maji mengi utashinda

  • @nasaelmanya1850
    @nasaelmanya1850 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wao ndio haramu!! Wanawakuza zaidi wakifikiri wanawakomoa

  • @mchungajisecilia8029
    @mchungajisecilia8029 11 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi, usiogope,, songa mbele, hata huko gerezani pia kuna watu, hubiri injili huko huko. Wafungwa waokolewe,, usiogope baba.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 11 หลายเดือนก่อน

    Hii ni sauti ya chizi aliae toka nyikani

  • @SANJA0693
    @SANJA0693 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 kaliwa

  • @rashidmtengule3681
    @rashidmtengule3681 10 หลายเดือนก่อน

    wewe unatumiwa na kina mwambukisi kuivuluga nchi na hiyo haikubaliki nenda jela mchungaji feki weeee

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj 11 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu mtete huyu mbalikiwa mpe nguvu asivunjike moyo pindi anapokupigania wanyonge kutufundisha mambo yaliyo mema mungu hapa umebaki wewe kutoa hukum kama ni mbalikiwa ni mkosefu hukumu kama ni hakimu kaukumu tofauti na alivyo pangiwa yani kageuza kitabu hukumu tuu maana mungu utabak kuwa mungu kama kuna mikono ya watu imeusika kufanya kisicho haki mungu tutazame ,,mbalikiwa hana ubaya na mtu yeye ni mutu alie jitoa kwa ajil ya watu hakika mungu atabak kuwa mungu,,,,,

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 11 หลายเดือนก่อน +2

    Siku zote nimekuwa na wasiwasi na huyu jamaa. Unajua, mi siku hizi nashangaa kabisa! Kanisa au dini zimekuwa jukwaa la kisiasa. Na bado Yesu mwenyewe alisema. "Ya MUMGU mpe MUNGU na Kaisari mpe Kaisari." Sasa kwa nini uchanganye mambo haya! Kama unaendesha shughuli za kanisa pasi kibali kwa mujibu wa sheria ni haki uhukumiwe kifungo.

    • @mwambietv7614
      @mwambietv7614 11 หลายเดือนก่อน

      Unajua sheria wewe au unaropoka tu yakikukuta ndo utajua hujui acha kushadadia shida za watu

  • @oscarmwana1684
    @oscarmwana1684 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sheria inasema usiendeshe huduma ya kanisa bila kusajiliwa jeuri gani inakutuma kuendesha, iheshimu serikali

  • @user-kn6bd2ep8m
    @user-kn6bd2ep8m 11 หลายเดือนก่อน

    Ach mung afany kaziyak

  • @tumainmwasalwiba1294
    @tumainmwasalwiba1294 11 หลายเดือนก่อน

    Dunia ni mapito hakuna hal ya kudumu kila mmoja atatoa hesab ya matend yake

  • @user-zd3nd9jp2l
    @user-zd3nd9jp2l 11 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni maujinga ujinga yenu. Kanisa lake halihubiri wema wala kuandaa watu kumjua na kumpenda MUNGU bali uhasama baina ya watu na Serikali. Sasa ukihubiri hivyo, Serikali nayo inaongozwa na wanadamu ambao pia wana kiwango cha uvumilivu.

  • @wazirishitindi908
    @wazirishitindi908 11 หลายเดือนก่อน

    Fundisheni dini au njo kwenye siyasa tupambana

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi Mungu anamjaribu mtu?

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 11 หลายเดือนก่อน

    RAIS WETU MAMA SAMIA NAKUOMBA WAMWACHIE MBARIKIWA WA MUNGU.

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 11 หลายเดือนก่อน +1

    WALIO KUSHAURI WAMEKUDANGANYA.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoja aonje joto akitoka atakuwa na adabu na nidhamu, huwez kuwa mshenz, unawatukana wachungaj na maaskofu wenzako..,, we unajiona ndo upo sahihi unavunja sheria

  • @OltrutiNduleenyi-fi5hi
    @OltrutiNduleenyi-fi5hi 11 หลายเดือนก่อน

    Maumivu makubwa sana mchungaji pole.

  • @hoseakilusu1215
    @hoseakilusu1215 11 หลายเดือนก่อน

    ..tatizo ni kupinga uharamu. Wa ccm

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 11 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi inasheria na taratibu zake ulitaka uachiwe tuu uropoke unalotaka wewe kama nchi yako pekeyako nenda ukoo na ukitoka ukifanya tena ujinga tunakufunga tena

  • @user-tb8zb4rv6h
    @user-tb8zb4rv6h 11 หลายเดือนก่อน

    Inatainajisi sheria hiyo ya mkusanyiko

  • @janviersobhane6492
    @janviersobhane6492 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole wakati mwingine bila macho ya kiroho huwezi jua kinachoendelea,Mungu akupe wakati mzuri wa kwenda kuwahubiri jeshi la magereza mkuu wao na wafungwa wakaokoke Mungu atakuokoa na mauti watakatifu tunakuombea kila kuchwao.(lakini nitoe rai kwako unaposema wamekuulia mtoto na wanataka wakuue nadhani sio sawa) maana hamna ushahidi.Mungu pekee ndio wakukutetea usiwe na maneno yale yale kuonyesha hujawasamehe,wasamehe na kuwaombea hilo tu.

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 11 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

    • @elibarikipeter
      @elibarikipeter 10 หลายเดือนก่อน

      Shida yako akili zipo tumbon

  • @OccovimbaMallya
    @OccovimbaMallya 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwamba usiotikiswa kiongozi wa kiroho