MBARIKIWA ATANGANZA KUUZA GARI ILI APATE PESA ZA MATIBABU YAKE NA MKE WAKE. Ina km elfu 19. ML 27

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 311

  • @sharomhainessi7708
    @sharomhainessi7708 4 หลายเดือนก่อน +9

    Pole Sana Mtumishi Wa Mungu Tupe nafasi ya kuchangia Ila usiuze mali ulionunua kwa kazi ya Injili hilo nalo litapita Mtu wa Mungu Tupo tayari kuchangia kwa garama yoyote.

  • @elikimuchurchtz
    @elikimuchurchtz 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu ni mungu mtumishi mbalikiwa usiuze mali ni jaribu linapita sikiliza sauti ya mungu kupitia watu hawa wanao upendo wakukuchangia nami naomba tupe nafasi tuchangie kuonyesha upendo wa mungu kwako

  • @pastorbonifacenjiku2955
    @pastorbonifacenjiku2955 4 หลายเดือนก่อน +10

    Poleni sana watumishi wa MUNGU, tunaweza kuchangia fedha za matibabu bila kuuzwa mali

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We unawasema watumishi wa Mungu.
    Unaisema mamlaka.
    Embu uwe mkimya upigane kiroho.

  • @gracemhagama4108
    @gracemhagama4108 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Mtumishi wa Mungu. Tuna kuombea wewe na mama yetu Salome Mungu impendeze mupate matibabu ili ktk afya iliyonjema,muweze kumtumikia Mungu wetu.Amina.

  • @user-pp2wz8gg3m
    @user-pp2wz8gg3m 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ni huzuni sana baba yangu...tupe nafasi tuchange...kisha nawaalika hapa kwetu kenya kwa baba wetu Evangelist Ezekiel...Mavuweni Kenya

  • @user-co6nm5fk1g
    @user-co6nm5fk1g 4 หลายเดือนก่อน +2

    Usiogope mtumishi Mungu aliye kuita kwenye huduma atakupigania

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi.mimi naomba nikushauri jambo moja.acha kufanya mashindano ya mitandaoni.sio Kila unaloliona unaweza kushindana nalo.mengine onya kwa u pole na upendo alafu maombi ya we mengi kuliko maneno.hizo hela hela na mikiki mikiki ya kesi,mabishani hata inadhuru afya ya familia yako wewe,mkeo hata yaweza dhuru watoto.Tafuteni kuwa na amani na watu wote.ukilifanya hili utaona utakavyopunguza matatizo mengi kwa familia yako
    Pia nashauri usiuze gari,naamini una waumini wengi na wasio waumini.hao wanaweza kukuchangia fedha ya MATIBABU.
    MUNGU atutetee mtumishi.

  • @rizikikisigaye3918
    @rizikikisigaye3918 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni watumishi wa Mungu! Kwa mapito hayo. Nachojua nikwamba Iko siku mungu atawafuta machozi. Tuko tayari kuchangia kidogo tulicho nacho. Amina.

  • @LovelyChocolateBonbons-ok2ww
    @LovelyChocolateBonbons-ok2ww 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @SleepyAlpineVillage-yp2sz
    @SleepyAlpineVillage-yp2sz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa uzima wangu hujawahi kuniacha hata siku moja nakuoomba ukamponye mtumishi wako hakika umewaponya mataifa ,nakushukuru mungu wangu naamini tayari amepona kuanzia Sasa hivi ameni🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @user-cq8pj6iz3k
    @user-cq8pj6iz3k 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamie katika maisha yako pole sana mtumishi

  • @user-fe7sh8tz7l
    @user-fe7sh8tz7l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana watumishi wangu Ni vema tukuchangi

  • @DanielSafari-wm8ur
    @DanielSafari-wm8ur 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Masihi wa Bwana,Mungu yu upande wako Daima rafiki yangu ,naamin lile alilo kusudia juu yako ww na mke wako lita timia ktk jina la Yesu

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kutoa si utajiri bali moyo wa upendo na huruma mungu awswekee mkono wa uponyaji.

  • @sadockjohn2460
    @sadockjohn2460 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana mtumishe wa mungu aliye haye usiuze gari tutajangia matibab yako majalib hayana budi kutokea

  • @VIOLETNANDERA-mt8ce
    @VIOLETNANDERA-mt8ce 4 หลายเดือนก่อน +3

    mi maoni yangu ni kwamba. ungejaribu na kwa watumishi wenzako pia hasua wenye wako na uezo wakuona katika ulimwengu wa Rohoni. ungelijaribu kuenda kwa mtumishi wa MUNGU mjungaji peter karimu hapo hata ungeweza kupata mali ya Bwana huenda mtasaidika zaidi juu pia naamini kupitia maombi MUNGU atafunua shida penye Iko. hospitalini endeni ila pia jaribu njia zote juu MUNGU anaweza kosa kukufunulia tatizo lako na amfunulie mwingine. na ndani mwangu Nina Imani kuwa utasaidika utakapochukua hatua sahihi. nenda kwa waombaji wenye nguvu na Kila kitu kitakua sawa. MUNGU awabariki nyote na awaponye Amen. ila hiyo hali yako usiikimbilie tu hosi peke nenda kwa watu wa MUNGU wenye nguvu.

    • @JAMESGASPER-kj5bk
      @JAMESGASPER-kj5bk 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe unawajua watumishi wewe

  • @belinamwambeleko370
    @belinamwambeleko370 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mtumishi na mama salome. Hakika wew ni ayubu wa kiazi hiki kupitia imani yako kwa mungu wengi tunaona nuru baba mungu hajawacha 🙏

    • @rashidhassan8156
      @rashidhassan8156 4 หลายเดือนก่อน

      Mbarikiwa mdomo ndo umemponza 😅

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi Mungu, Yesu asimame nanyi wakati huu mahitaji

  • @christophermwanjoka7406
    @christophermwanjoka7406 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana....Mungu atimize kusudi lake kwenu....Mungu ni baba na itabaki hivyo milele...No matter tunapitia nyakati gani

  • @user-wy7ix7rs8q
    @user-wy7ix7rs8q 4 หลายเดือนก่อน

    Praying for you my brother my country love so much Nina imani utashinda pila kuhuza kari ya injili coz yule mungu aliye kupa maono ya kununua pato yuko Amen, karibu Kenya we need your God.

  • @NGUVUYAUKOMBOZITV
    @NGUVUYAUKOMBOZITV 4 หลายเดือนก่อน

    God bless your life!! Wewe ni Shujaa your David,your Samsoni, My Brother hakika kama nikikombe hakika umekinywea na Bado unakinywea your kamanda simama simama jitahidi simama ushindi uko upande wako. Samahani chuchangishe kwanza fedha isipo tosha ndiyo maamuzi ya chukuliwe lakini Kwa Sasa tuchange kwanza Shujaaaa your shujaaa na kuamini ushindwi kuinuka....

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 4 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana kwa hili inabidi tuungane. Nimesikia huruma sana

  • @JamesMalale-io1qj
    @JamesMalale-io1qj 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji nakuomba uendelee kusimama na mungu usije kubadilisha mawazo hao mashetani hawajui walicho kifanya lakn simama namungu nae hatokuacha kamwe

  • @user-kk7oy5hn1i
    @user-kk7oy5hn1i 4 หลายเดือนก่อน

    Iko siku Mungu atajitwalia utukufu kwa yote mnayopotia, haijalishi nikwamda gani mtapita❤❤❤

  • @richardkiula7522
    @richardkiula7522 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi wa Mungu. Pamoja na kwamba nimekuwa nikitoa baadhi ya mambo, lakini katika hili kwa kweli nakupa pole na pia badala ya kuuza gari hiyo ambayo ni nyenzo muhimu katika kufanya huduma, nashauri uruhusu tuchangie matibabu yako na ya mama mchungaji. Nakushauri usije gari. Tumekuwa tukiwachangia watanzania wengi wanaopita katika shida, nawe u mtanzania kama sisi. Mungu awaponye.

  • @tonyyohana9782
    @tonyyohana9782 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu mama utapona tuu Wenda Mungu anakupima imani barikiweni sana watumishi wa Mungu mpone mapema tumemic huduma yenu mitaan

  • @bibishemartha4378
    @bibishemartha4378 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usiuze chombo chamungu afathali tupo tayari kwa kuchanga ili utukufu wa mungu ubaki i am from congo 🇨🇩🇨🇩

  • @user-lr2nt3ip1r
    @user-lr2nt3ip1r 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi maana unayoyapitia yanatuumiza wengi na tunaguswa naamini utabaki kuwa mshindi kwa sababu hata ongea yako inaonyesha ujasir na nguvu ya kushinda .
    Amen

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mponyaji ingia ndan ya moyo kw sala Kuna sehm kma ulikosa atakuambia utubu upone mungu asipoingilia ht ukiuza nyumba haitasaidia

  • @EmiliGuguza-sw8zn
    @EmiliGuguza-sw8zn 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi nafikili mtumishi tuwekee namba ya sim ilituchangie mwenye elfu 1000/5000/10000/ili baba mkatibiwe gali uliache

    • @lilianwaflotina1288
      @lilianwaflotina1288 4 หลายเดือนก่อน

      Watanzania Wana huruma watakuchangia weka namba ya simu Mimi nitakuwa wa kwanza

  • @SafariMsafi-um1pz
    @SafariMsafi-um1pz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dotto magari uko wapi....! Changamkia tenda mzee

  • @abdallahkipekepeke2383
    @abdallahkipekepeke2383 3 หลายเดือนก่อน

    Picha mnazoweka na content haviendani, najua ni watumishi wa Mungu lakini tusitamani kuchukua sana tention za watu wanaowafuatilia i think the there is better way

  • @simonmlowe2675
    @simonmlowe2675 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mtumishi wa Mungu

  • @user-lx8qc4uh4c
    @user-lx8qc4uh4c 4 หลายเดือนก่อน

    GOD BLESS YOU MAN OF GOD

  • @joseesiara9012
    @joseesiara9012 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji, bado Mungu yupo upande wako.

  • @BoniphaceTito
    @BoniphaceTito 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi wa Mungu

  • @fredyjohn4167
    @fredyjohn4167 4 หลายเดือนก่อน

    God bless this family

  • @GodloveMwandoje
    @GodloveMwandoje 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni mtumishi kaachiwa mungu mwema

  • @alamagatasanga1805
    @alamagatasanga1805 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi wa Bwana na hili nalo litapita tunamwamini mungu

  • @user-pd5qf8qt1l
    @user-pd5qf8qt1l 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutokee Mzee akuponye pamoja na Mama kwa Jina la Yesu kirsto

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zetu watumishi wa Mungu

  • @JohnDanielMatem
    @JohnDanielMatem 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana. Mtumishi

  • @BahatiMpalanzi
    @BahatiMpalanzi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Munguatawasaidia musikatetamaa baba

  • @bulengepetite6062
    @bulengepetite6062 4 หลายเดือนก่อน

    Natowa pole sana tena sana kwa jama yote. Mungu awakubuke. ❤❤❤❤.

  • @joshuajulias8288
    @joshuajulias8288 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi wa mungu hayo Ni majaribu tu lakini usiuze gari yako Kwanza bora tukuchangie

  • @gadisanga-ee2il
    @gadisanga-ee2il 4 หลายเดือนก่อน

    Poleee. Na hujakosea saana kutangaza kuuza Gari kunamsemo huwa tunasema chako kikuokoe. Pole sana mama mbarikiwa. Kwakuumwa na kuuza Mali ilionunuliwa najua wamama huwahampendi kuuza chombochandani labda kiwe kibovu lakini kwahki kipya.

  • @gwantwajoseph5564
    @gwantwajoseph5564 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ,MUNGU tunae mwabudu akuponye pamoja na mama .

  • @daniellaizer8948
    @daniellaizer8948 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mwenzangu pole kwa pito hilo ila ushauri uruhusu kwanza atakayependa kuchangia kama isipotosha mungu atafanya njia nyingine wewe ni wa watu wewe ni wa mungu ni kweli ni afya kuwa na chako lkn ktk hili ruhusu tu watu wawe nyuma yako

  • @user-bb3dh4jt3o
    @user-bb3dh4jt3o 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu pole sana

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 4 หลายเดือนก่อน +7

    Ni Maumivu juu ya Maumivu, Sema tu MUNGU anayajua yote haya.
    MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu.Amina ❤

  • @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni
    @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mbarikiwa acha kuliza watanzania.. ivo vitu kakupa Mungu ili ufanyie kazi yake Sasa kusema unaviuza ili ukatibiwe nijambo linalooumiza sana.. Sikiliza mioyo yawengi bado inakupenda bado ipo nawewe nakuomba weka wazi matibabu yako yanaitaji kiasi gani? alafu nasisi tukuoneshe mioyo yetu kwakujitoa tulicho nacho.. Kama ikipungua basi Uza mali za Mungu nakikizidi basi mpe Mungu utukufu, sisi niwatanzania haiwezekani gari iliyofanyiwa kazi ya Mungu tena katika haki et leo ikanajisiwe.. Mbarikiwa plz tangaza unaitaji kiasi gani hakika Mungu ataenda kukushangaza! plz plz plz uwe free we sema tu alafu tuachie tukushangaze kama haujamrudia Mungu kwa machozi mtu wa Mungu.

    • @lwitikomusa1712
      @lwitikomusa1712 4 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda kaka ebu weka waz garama watanzania tupo tyr kuchangia huna baya mtumishi 📖💓🙏

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mtumishi,Majaribu yako yamefikia mwisho,Mimi naona Uchungu

  • @alexmwakisole-gl7mw
    @alexmwakisole-gl7mw 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aliyewaita atawatetea. Kazi yenu ni ukombozi wa watu wengi katika Taifa hili.

  • @IsackMwampashi-jj8wy
    @IsackMwampashi-jj8wy 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mungu akutetee yote yanapita upo mda bwana atatenda

  • @LivingKyamba
    @LivingKyamba 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Mungu afungue milango pesa zipatikane

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi wa mungu

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 4 หลายเดือนก่อน

    Twambie mtumish wa mungu tuchangie matibabu🙏🙏

  • @bensonmoris463
    @bensonmoris463 4 หลายเดือนก่อน +1

    mtumishelilie mungu awaponye achen hizo asset

  • @PriscaChachaMarwa-yp6kq
    @PriscaChachaMarwa-yp6kq 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo pamoja nawe mtumishi Mimi ningeshauri utengenese group pesa itapatikana kwa halaka Sana amini hivyo

  • @franktimoth9786
    @franktimoth9786 4 หลายเดือนก่อน

    Mbalikiwa pole sana na hayo mapito lkn mungu anajuwa hayo yote unayoyapitia na ameyaluhusu kwa makusudi yake lkn ninaimani kuna jambo zuri mungu analiandaa ktk maisha yako

  • @user-ji4ml2sk9n
    @user-ji4ml2sk9n 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Pole sana,kama ningekuwa na uwezo wa kufanya jambo kuhusu AFYA yenu YAANI pesa ya matibabu ningekushauri gari isiuzwe Baba yangu kwakuwa kazi bado inaendelea na Hilo ni jaribu tu,ila utavuka salama

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mtumishi weka namba yakuchangia,maana mimi sijawahi kukutana na wewe live,ila huwa nabarikiwa sana kwa nyimbo zako na mahubiri.
    Salome,Mungu atakupinya mimi huwa natamani wanawake wote wangekuwa kama wewe amani ingetawala katika ndoa,unahekima sana dada yangu,toa account tutachangia kwa kadili mungu atakavyo tuongoza

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 4 หลายเดือนก่อน

    Pole baba na familia Yako mungu awatetee

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sio pole,mchangieni

  • @EdaMalamsha
    @EdaMalamsha 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu.yu mwema, uponyaji utakuwa nanyi kwa vile tunaamini Mungu hakuachi

  • @godwinisengo5657
    @godwinisengo5657 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtegemee Mungu

  • @Wakwetujitu
    @Wakwetujitu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutetee mtumishi ata ayubu alipitia shida

  • @AlphonceAlphonce
    @AlphonceAlphonce 4 หลายเดือนก่อน

    Tupo tayali kuchangia. Mtumishi wa mungu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi dah

  • @user-bo3gz6lb7t
    @user-bo3gz6lb7t 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atabariki tu

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 3 หลายเดือนก่อน

    Nomba nichangie kichache mchungaji niombe no

  • @bonmwakalinga4687
    @bonmwakalinga4687 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko tayari kuchanga mtu wa mungu.

  • @user-tw4xt8xl3w
    @user-tw4xt8xl3w 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamamie

  • @hilderpatrick7783
    @hilderpatrick7783 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufanyie wepesi yeye atamuleta mnunuzi

  • @bashirbaruan3969
    @bashirbaruan3969 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ndugu yangu mungu awaponye lakini pia akuongozeni ktk njia sahihi yenye mafanikio.

  • @princejosephat8316
    @princejosephat8316 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mtumishi wa Mungu jaribu lisiktoe kwenye mpango wa Mungu...endelea kumtafta sikio lake sio zito ashindwe kusikia atawaponya kwa Jina la Yesu.

  • @iddally1021
    @iddally1021 4 หลายเดือนก่อน

    Kama Mungu aliweza kilio Cha Ezekiel na kughairi kifo,Nina amini katika jina la Bwana wa Majeshi,jina lenye nguvu jina lenye uwezo,Juu Yako Baba,utapona na mara dufu utaongezewa,Pita tu baba na kuendelea kukinywea kikombe,kikubwa Mungu unamjua na unaendeleaje kutufundisha

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkubwa sana atafanya kila njia wote mtakuwa vizuri kiafya. Naomba azidi kuwatia nguvu mchungaji na mama

  • @user-pv1hh6hc4o
    @user-pv1hh6hc4o 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢pole baba ungeweka hata namba za cmu za kutuma pesa

  • @JacksonZakayo-tt3jg
    @JacksonZakayo-tt3jg 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa mtumishi wa Mungu sema kiasi chamatibabu yako

  • @gladnessnkya1169
    @gladnessnkya1169 4 หลายเดือนก่อน

    Ni heri kukaa kimyaa kuliko. Kumtukana mtumishi wa Mungu ni mwizi 😢 shauri Yako na ole wao haya😢

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awatunze mtumishi kikombe umekunywa mtumishi kinachonpa furaha unamtumainia mungu

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 4 หลายเดือนก่อน

    Ala wakisha pona wanaanza kuhubiri waleteni wagonjwa wapate miujiza ...kwao wenyewe miujiza haifanyi kazi

  • @daudiolesironga9732
    @daudiolesironga9732 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu pitisha mchango tuchange usiuse gari

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 4 หลายเดือนก่อน

    Sinajisi ndugu yangu mungu akuponye

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 4 หลายเดือนก่อน

    Moyo wako umekuwa darasa kubwa kwangu poleni sana wazazi wangu.

  • @PIUSrafael
    @PIUSrafael 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi yote yatapita tumkumbuke ayubu

  • @marykyelu5451
    @marykyelu5451 4 หลายเดือนก่อน

    Polen sana watumishi wa mungu

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awaponye mtu Wa Mungu

  • @hilderpatrick7783
    @hilderpatrick7783 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan nasikia maumivu makali sana Mungu wetu hashindwi na jambo

  • @user-zn9qb8cn7m
    @user-zn9qb8cn7m 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awakumbuke tunawapenda,

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi je hili gari lingelikuwepo? Acha Mungu Ajashindwa Kutuma Malaika Kukupatia Pesa za Matibabu!
    Pole na Hongera Wewe ni Mshindi! Mungu Awezi Kukuacha, Ongeza Sublah za Kumngojea na Utulivu Zaidi Utapata Jibu Atakalo Kwambia! Shalom🙏🏻

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana baba

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 4 หลายเดือนก่อน

    Aliyediri kumfikisha hapa mtumishi huyu wa Mungu!! Akae mkao wa kula sina mengi

  • @LilianMoraa-no3de
    @LilianMoraa-no3de 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa pole wale wa mungu ndio wanayapitia Sana tusimwaje mungu Mimi Niko Kenya nakaribu kupiga simu haingii lakini tuzidi ma maombi ata wimbo wako WA moah unanitoa machozi nikisikiliza asante

  • @user-tb4zw9ds9d
    @user-tb4zw9ds9d 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana MUNGU atawatetea

  • @sarahsamsoncsermak4249
    @sarahsamsoncsermak4249 หลายเดือนก่อน

    Tutachangia Kaka

  • @albertwilsonalbert01
    @albertwilsonalbert01 4 หลายเดือนก่อน

    Dah, Gari bado mbichi kabisa,
    Bora tuchangie Matibabu. Baada ya hapo iendelee Kutumika Kuitangaza Injili

  • @uzimatv3464
    @uzimatv3464 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana unauzaje?