Vita ya Fiston Mayele, Henock Inonga kuelekea Derby ya Kariakoo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • VITA YA INONGA vs MAYELE: Tunakumbushana tu tena sio kwa ubaya na hapa inatazamwa ‘vita’ ya wachezaji wawili raia wa DR Congo, beki wa Simba SC, Henock Inonga na mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambao kesho Jumapili kwenye #DerbyYaKariakoo huenda ‘wakamenyana’ haswa kulinda heshma za timu zao.
    #KariakooDerby #WataniWaJadi #NiSualaLaMudaTu #VinaMudaBasi #SimbaVsYanga #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #SisiNiSoka #AzamTVMaxApp #AzamSportsUpdates #10DaimaDamdam

ความคิดเห็น • 9

  • @Bestshopping.
    @Bestshopping. ปีที่แล้ว +1

    Inongaaa🔥🔥🔥😊😊😊

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo ปีที่แล้ว +1

    mayele peleeee💛💚💛💚💛💚

  • @nyasawide-tv2838
    @nyasawide-tv2838 ปีที่แล้ว +1

    Mayele yupo fiti mnooo msimu huu

  • @zanhosuleiman211
    @zanhosuleiman211 ปีที่แล้ว

    Wapili 🤣🤣🤣😂

  • @nawivanhadj1819
    @nawivanhadj1819 ปีที่แล้ว

    Pele tena

  • @tamutv3561
    @tamutv3561 ปีที่แล้ว

    Hujapngelea mechi ya kigoma we ni yanga fala wewe azamu mmejaza wana yanga wasenge nyinyi

  • @Delksadik
    @Delksadik ปีที่แล้ว

    Mbona ujaongelea mechi ya kigoma
    Ww ni yanga nyoko ww

  • @zeanasalum6800
    @zeanasalum6800 ปีที่แล้ว

    Wewe mwana yanga nyoko wewe

  • @abdallahdullah953
    @abdallahdullah953 ปีที่แล้ว

    Nimuda tu