Magoli yote ni mazuri ila for me goal la kwanza na Azam la fei ni bora kuliko hilo la pili lakn pia goli la Stephane na Simba ni goli bora zaidi lilipaswa kuwepo
Hongera sana Team nzima ya YANGA TV Ushauri wangu! Goli la MORRISON dhidi ya Mbeya city mngeliweka Liwe namba 2! Pia Tunaomba mtuwekee na magoli 10 bora ya CAF confederation cup Tafadhali 🙏
Mko vizuri msihuuu ila ujao mtapata tabu sana
Njoo utoe ushuhuda wako
Mwamba fiston mayele 🤣🔥
Viongozi wangu fanyen mfanyavyo huyu kocha wa viungo mwenye nywele nyingi msimuache nawaomben 👋👋👋👋
Lobatinyo
Ashaachwa
@@frankmasanja4447❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hilo goli la bangala si Bora mungeweka la Aziz ki alilowafunga simba ,,
Kweli
Waache makolo wateseke😊😊😊😊😊😊
All goals are the best ones ila pia goli la aziz ki vs simba lilipaswa kuwepo pia. But all in all ni magori mazuri yote uchaguzi mzuri 🔰🔥🙌
Be v can ki
Ila nabi ntamkumbuka saana kwakweli Yani kaniumiza saana kuondoka
Bado unamkumbuka?
Jaman nilkuw nataman kuon goli la Aziz ki.alilo wafung nakolo la faulo.
Daima mbele
Amazing,
Ni raha/ubora ulio sahihi,magoli MURUA,Wananchiiiiiii ktk moto wa tiper hauzimiki
Aziz Ki vs Azam ndio lilipaswa kuwa goli bora zaidi
goli la fei toto ji bora sana👍👍👍👍
Asante aziz ki
beautiful goals
Wa kwanza leo mimi
Aziz ki 🙌🙌
Magoli yote ni mazuri ila for me goal la kwanza na Azam la fei ni bora kuliko hilo la pili lakn pia goli la Stephane na Simba ni goli bora zaidi lilipaswa kuwepo
Allaah Akbar
yaan if we have to be honest goal la stephan aziz ki vs azam was supposed to be the first or second.
Hatar
Duuuuh ikiwezekana arudishwe
Hilo goli la Bangala lina ubora gan?
Big team
Wekeni yote ya Mayele pekee
Yanga bingwa mkandaji nyumbani na ugenini
🔥🔥💚💛🔰💪
Ayele the king apewe maua yake
Toweni jezi mapema za msimu ujao
Tunzoo za caf lini jamani mwenye kujua anijuze
Fiston mayele😂
Hongera sana Team nzima ya YANGA TV
Ushauri wangu! Goli la MORRISON dhidi ya Mbeya city mngeliweka Liwe namba 2!
Pia Tunaomba mtuwekee na magoli 10 bora ya CAF confederation cup
Tafadhali 🙏
Nitamkumbuka nabi
Yesse
Mm hata tukikosa ligi lakini caf tufike fainali fresh tuuu ila sio tutoke caf inaumaaa hiyoooooo
Yangayamoto
Haya ni magori ya yanga na sio magori bora ya ligi nzima maana hapa hakuna gori la bareke wala kibu na yanga wala la sako na singida
Yanga ya magoli
Thank you🎉😂❤
Nabi kila la kheri bb
Kwangu mm goli namba mbili ni Aziz Ki VS Azam
Inauma hy
Nawatakia main mwema
Nilitamani kuliona goli la BIG BRAIN DEFFENDER THE SHARK DICKSON JOB
Unazani
Duuuuuh uy kibabage
Aziz k vs mtubwa sugar
Kochaa waviungoo tuuu
Yanga Tv
Igo nation
Hii Yanga msim ujao Bora ipelekwe EPL
Goli la Azizk ki dhidi ya Simba lingekuwepo
K😊
Ata mimi natamani k uona goli la azz k alipo wafuga makolo
Msimuache kocha wa viungo
GOLI LA AZIZI KI DHIDI YA SIMBA LIPO WAPI?
Camera haiko sawa
Ile faulo ya Azizi Ki aliowapiga makolo mmeichukuliaje
Naby tunakumiss san
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂