Msodoki Young Killer - Exclusive Interview (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
- #MsodokiYoungKiller #ExclusiveInterview
MSODOKI YOUNG KILLER SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/msodoki...
Follow Msodoki Young Killer On Social Media:
/ youngkillermsodokii
/ ymsodokii
Channel Administered by Slide Digital
/ slidedigitaltz
Kuna line hapo killer anaulizwa "why nyimbo zako hazina views million" sasa goma Kama hili wazee wangu kwann tusilifikishe million let's support the real talent
Me nimeangalia mara 100
Hili goma balaaa na nusu 🔥
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
th-cam.com/video/lkB1u4xyoqE/w-d-xo.html
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
th-cam.com/video/0NqOA2gfHq8/w-d-xo.html
Limeisha hilo Mzee
Youngkiller kauwa kweli 🙏🙏👇👇👇🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes za msodokii weweee bila wivu
Mwenye vyeo vyake
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
th-cam.com/video/lkB1u4xyoqE/w-d-xo.html
Msodoki maxhine namuerewa xana jamaa
Nakuubal sana sema bac 2
Kama umerudia zaidi ya Mara moja kufatilia misemo humu ndani gonga like tujuane
Ngoma Kali xana
Jamn iii ngoma kaliii kwel young killer mkaliii kama umeskiliza kama mim zaidi ya mara100 gonga likee...
Young lunya freestyle session 3👏👏 ....oh kumbe ni young killer😂😂😂 bas ni carl cartel,, ths man deserve respect.
Usimfananishe young killer na young lunya ambae MDA wote ataka kunya
Makin sana brooo uko pw kinoma💪💪💪💪
Broo bigap
👊sikupingi bro😆
Jamanii naombeni mnipee like za young killer , Mimi ni fan wake toka Kenya.
Young Dee,Dogo Janja Na madogo wengine wote nawaambia hamumuwez Msodoki gonga like twende sawa
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
th-cam.com/video/lkB1u4xyoqE/w-d-xo.html
Labd rapcha kidgo anmkalibia
Halafu Lunya naye anakurupuka huko alipo anataka kushndana Young killer
@@abdulrazakikidudu1395 Rapcha Yuko vizuri sana
Sio kila young ni killer
Ma young wengne ni ma kimaaa
Km una kubalii gonga like zifike billions zaid ya viewers wa Diamond
Aangal tunaisikiliza hii ngoma mwaka 2024
This boy dropped it .. no words, from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Mh mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Akuna ngoma ya youngkiller inayonipita,,,,
Kama unalikubali Hili goma gonga like✌️🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩
UaK🇹🇿✌️
Noma sana
Young mwenye killer zake💥💥+254 tumekubali talanta yako.
Sijawai pata like ya bongo na 254 nipeni leo💥
🔥 🔥 🔥 🔥
i wish yuotube wangeweka sehem ya kulike zaid ya mara moja...hatari sana msodoki🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lyrically i have never doubted you...but now i see your getting even smarter hii ngoma international kabisaa
Milion. Imetimia 2024 member achia likes kama zote
Baba hii sikama ile trap ya leo hii iko motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥like nyingi kwa to to wamwanza
Good work Young Killer Msodoki "Ila waambie waithamini sanaa wasanii wasikufe kwa madawa na pombe" Exactly
*Nani kamskia WHOZU kama mimi like hapa chini twende zetu on trending 🤙🤙🤙*
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
th-cam.com/video/lkB1u4xyoqE/w-d-xo.html
Mana walimwengu hamnaga dogo,kupiga vibom kujazana home,kupiga mastory udaku eti jack ulipiga na ndom
Killer unajua hao viwers milion usiwaze
Omba Mungu akupe shoo ili maisha yaendelee najua one day tutafikisha hao viwers
Kavu kavu
nakubali sana broo killer,,,,,,,,I alway likes your verses,,,,may Allah bless you more and more
Hufai tena kuitwa young!ushatoka uko waachie wakina Lunya yo big killer nikka..💥
Kam we ni team killer gonga like twende sawa
Killa kama killa mnyama
Young
th-cam.com/video/-txTQrZODQs/w-d-xo.html
th-cam.com/video/SX_6Vwv_Nj8/w-d-xo.html🔥🔥🔥
Mnyosha hunyoshwa hahaaa
MSODOKI KWASASA NDO habari ya town😁🔥🔥
another level this song
#young_killer #big_up💪broo
Nakukubali adi dunia iishe coz unajuwa sio #kujaribisha
I can't stop watching this song coz is in another level 🇺🇸🇺🇻🇦🇸🔥🔥
Its lit🔥
Tm killer msodoki Tujuane kwa like
Hahahaha Huwez kuniuwa kwa kunitupa kwenye vishimo vya Omary nyembo a.k.a Ommy dimpoz nani mwingine kaelewa kama Mimi. BIG UP YOUNG KILLER
Daaahh hiki kipaji noma sana
This guy is the kaligraph of Tanzania, versatility on another level
Young killer ni rapper mkali sana apa bongo 🔥🔥🔥.gonga like twende sawa
Like hapa kama unaona Young Killer ana kipaji zaidi ya umri wake😂😂🔥🔥
Dah! Hii ngoma Broo..Naifanyia Cover juma 5 sibadirishi chochote unaniruhusu #youngKiller
Ukiona mjanja kafa jua kuna mshamba kazaliwa apo poa don't give up young killer
This boy his deserve big respect always he did good music work hard killer one day u will achieve ur aim
Yani young ni jina lakini Ana WA killer wengi🇰🇪🇰🇪msodoki
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
th-cam.com/video/0NqOA2gfHq8/w-d-xo.html
Aminia bro........👌🏾👌🏾
Mistari, yenyewe mikali
Wala sio kama ya wale
Wale ambao wanajiona wakali
Hawatoweza... Bora uwavishe nepi wakalale.....
Big up sana 👊🏾👊🏾
🔥 🔥 🔥 🔥 Hip Hop
Tunaendesha mandinga alafu hatushushi viooooo.....
Killer 🙌🙌🙌🙌
YOUNG KILLER ((KING OF NEW GENERATION RAP)) the real G.0.A.T🐐
Kali sanaa
This is the true meaning of Hip hop
This guy really knows how inafanywa
Big up, since day one hutuangushi
Tunao sikiliza hii ngoma tukiwa mwanza tujuane kwa like hapo chino👇
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
th-cam.com/video/lkB1u4xyoqE/w-d-xo.html
daah YOUNG KING Sindo Huyu bana🔥🔥
Nyimbo ambayo haichoshi kuiskiliza!!💪💪
Ma (Young) wote watatulia kwanza, no young like u killer! Waache tu wajaribu urefu wa kamba like meee
th-cam.com/video/SX_6Vwv_Nj8/w-d-xo.html🔥🔥🔥🔥
Mwamba nimekuelewa sana katika nyimbo zako zote hii ndo imekuwa am waiting for the next hit
Kama youngkiller ana juwa ku rap mpe.likes zake jamani 🙏🙏🙏
Anajua Sana
Hatareee ... Nakutambua Toka Kenya Maze Wewe Ni Mgenjee Zaidi
Kama Umeiludia Ngoma Hii zaidi ya Mala Mbili Gonga Like Twende Sawa...
Atal sana
Mimi Mara 10
Eyoo killer,, Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya support na congratulations.. nakubali Sana, u killed it
Young killer nikuwa nakuelewa ila sasa ni zaidi yani africa nzima young lunya nampa namba 1 af young killer unafata
The true meaning of young killer
Creativity is all about art, Umri wako na unayoyafanya daaah? Nitofauti Sanaa nouumaa!!
Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahaaaaa
@@nurupaul1845
Weuwee
Unstoppable force killer for life killer for living big up Sana, naomba like za msodoki apa
Killer badman msodoki the son
Iconic rapper
No one like you in hiphop music industry Bru🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 start from puch line, rhymes en creativity
Guys kwann hii tusiifikishe 1m mapema asee
This boi… 2022 mwezi wa inne tuko hapa, deep in Seattle Washington USA 🇺🇸 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Wale wasukuma wenzangu like zenu hapa..
Nipeni Like za msodoki uyu jaama namkubali asee 🔥 🔥
*Kama una mkubali Young Killer Msodoki gonga like*
Killer! we noma mshikaji wangu achana na kimwanza mwanza tulikotoka nakukubali sana since day one.unaponiuliza rapa mkali bongo baada ya magwair R.I.P bro ni Young killer msodoki.hii ngoma nshaiview zaid ya mara 100 na bado cchoki hatari sana.take 5 nigga your best one of the best.
Nakukubali sana young killer since day one! Nisha view hii ngoma mara 200
Ebwana chukua hizo 💯
The True meaning of Young killer means Young king.
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
th-cam.com/video/0NqOA2gfHq8/w-d-xo.html
Wimbo mkali,, Michano mikali,, Video Kali,, that is Youg Killer he killed it 💪💪
You kill it bro love from LILOKO MEDIA much love Sana bro Niko na wew tangu dear gambe mpaka leo 🔥 juu 🔥 hujawai kuniangusha bro new girl friend nakeshanayo umenigusa Sana hii ngoma Safi
Nilichofufah Sana mwisho waambie wathamin Sanaa wasanii wasife kwa madawa aseee true Sana
Wewe ni king wa hip hop East Africa believe me 🔥🔥
Young killer NI moja wa talented Sana artist , very very talented .... Kitu anakosa producer mwenye kuelewa young killer anataka beat gani na sio young killer anatakiwa kuflow Kwa beat hili ...director wanamuangusha Sana ... Akili ndogo ya kudirect , director wanafocus kwenye mng'ao wa video na sio muingiliano wa Nyimbo content na video ... MFNO HII....ILIANZA VZRI SANA...aaahhh...
Nitafuta brother, I'm your biggest fan @Amanindoroma
Unajua mpaka kerooo mzeee ma young wengne wakasomee✌✌🔥🔥
YOUNGKILLER KILLING THAT BEAT
Msodooooooki....thats why tuktuk yangu nimeandika youngkiller msodoki najua kichwa hiki....naombeni like zake
Nani amegundua sinaga swaga imefikisha m 1 like hapo
Sina swaga namba 2
m.th-cam.com/video/Tsxut2KnNk4/w-d-xo.html
th-cam.com/video/BNHQpH_uPj0/w-d-xo.html
Mdogo wangu hujawai nangusha aisee. Nilimpenda paka rapa akanipa oil chafu.
uyu bwana mdg anajua mziki sana
Usiende kanisnani umelewa kama disco🎵
Usingoje kipofu akupe mkono🎵😂😂😂Msodokii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubali boy
Imekaaa poa sanaaa,,,kizazi mnyamwezi #BOOOM!!!✌️
Daah we unajua hadi unaboa qmmq, naelewa sana mziki wako ma Gee...
Sio punchline ,sio flow
Sio lifestyle sio show
Sio baby sio doo
Niko fast sio slow
Nikishika maiki nakalisha tembo
This sh💪t still real in 2022… Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸tumekubali tena🙏
Habali
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ngoma kali sana
No one like young killer... Jamaa yuko creative sanaa❣️
Napcha
Everyone like *
Snaa
Youngkiller we nidunia nyingne izo punch kaka so zanchi hiii younglunya akasomeeee
th-cam.com/video/SX_6Vwv_Nj8/w-d-xo.html🔥🔥🔥🔥
KAKA YOUNG KILLER HUU NI MOTO MZEEE KUDADEKI HUJAWAHI KOSEA HATA MARA MOJA MADOGO WANATOAGA NGOMA ILA WE UNATOA NGOMA NA NUSU KAKA 🗣️
I had to bow down for this banger, Msodoki umezika maiti kwenye hili dude..... Respect brother 🔥🔥🔥🔥🔥
Eti ukiona kuna mjanja kafa juwa kuna mshamba kazaliwa duuuhh😀😀😁😁
Young best rapper 👊👊
Leo nimewaahii kabisaa imeishaa iyooo..... Like kwa young killer 🤣🤣🤣🤣 1 k like tu
Nakubali young killer
King of rap...that's how we do it men👏👏
Hii ngoma ni umeweza jiwe juu ya jiwe "kuvamia kambi ya jeshi bila pistoooh" atal san youngkiller.
so punch line, sio flow ... sio life style sio slow sio baby sio doo
Msodokiiii wa🔥🔥🔥sana n qbal mkal
👏👏👏naona Young Killer wa zaman ameanza kurejea
Huyu Dogo kwa Ideas yuko makini nadhani Akili yake ina umri mkubwa kuliko umri wake mwenyewe YOUNG GENIUS
Nomaaaaaa sana
Alie hisi anamsikia EMINEM naomba like hata 10
Kizazi Sana blood 💥💥💥💥💥
DAX
This Boi is a deed .. I meant dead one***. Forever we need you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Msodokiii💪mgongee like twende trending💪💪Madem zao wote na mudu........tukishika mic tunakalisha tembo twende sawa na young king🤗🤗🤗
Duuuuh mbona( ngoma Kali natoa lakini hazipigwi redioni)ngonga like kama huzielewi media zinazobagua wasanii
Bonge la ngoma mdogo wangu...
Ila nakushauri next time lifanyie remix... Ndani ya remix. Mchomeke Rosa Lee... Means Rosa Lee achukue nafasi ya huyo mwandishi wa habari.. mixer kuku hoji nn..m ebhanaee ita pendeza saidi... Ngoma Kali ujumbe mzito.. naamini ujumbe umewafikia....big up Sana mdogo wangu.... Please remix tunaisubiri Sana... Rosa Lee ndani ya dude...mamamae!..,🙌🙌🙌🙌🙌
Daaa umenena vyema mamae Rose Lee mbwa yule
Aise kweli
Dapro umefanya yako tena mzee baba🔥🔥🔥💪🏿🇹🇿 to the world!
Hatariiiii
Saaaanaa
Killer level nyngne
Bro keep on it
The boy is super… from America 🇺🇸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎤🙏
People should learn to appreciate 👑
Duuh 🙆🏾♂️ bonge la tallent hili nakuombea uishi miak miaaa💯💯💯
Yaan nmeangalia weee, nmesklza weeee killer mm sjutii kuwa shabiki ako never
Kama umeludia June 2024 gonga like
Shikamo young killer aseeeeee.........mbona magoma unatoa makali sana
Naisikilza kutoka Aruuuusha one, hii ngoma ni Kali kinoma sana.