UTACHEKA! CHID BENZI AKIMZINGUA YOUNG LUNYA - "WEWE UNAPIGA KELELE, YOUNG KILLER ANANONG'ONA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • UTACHEKA! CHID BENZI AKIMZINGUA YOUNG LUNYA - "WEWE UNAPIGA KELELE, YOUNG KILLER ANANONG'ONA"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 85

  • @modyjey5525
    @modyjey5525 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂chidi ni chizi sanaaa

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 ปีที่แล้ว +8

    Chid anawakomeshaaaaa presentar

  • @RithaPhellan-qw3uh
    @RithaPhellan-qw3uh ปีที่แล้ว +4

    Chid amempa maua yake young lunya kuwa ni mkali kuliko madogo wengine,ila kaiongea kiutu uzima kuwa atokee mwingine apige kelele kumzidi lunyamila....
    Kumuelewa Chid weka pembeni maisha ya madawa na scandal zingine alizopitia hapo kitambo

    • @tabomusic3625
      @tabomusic3625 ปีที่แล้ว

      Umeiweka sawa sana sintoComment tena

    • @vangraphixvan8320
      @vangraphixvan8320 ปีที่แล้ว

      Unajua kumuelewa chid kama navyomuelewa mm chid kumuelewa uache kutumia akili ndogo

  • @GodfreyMbuya
    @GodfreyMbuya ปีที่แล้ว +4

    Imani yangu brother chid benz kila jambo na wakati wake

  • @blackerblacker-kl7tm
    @blackerblacker-kl7tm ปีที่แล้ว +4

    Chid anajuwa sana yani kawachana kweli madogo

  • @Miss_Philips
    @Miss_Philips ปีที่แล้ว +7

    Chid anafurahia yeye siku kama hizi za wasafi festival inakuwa siku zake za maokoto tu 😂

  • @geofreymaneno5370
    @geofreymaneno5370 ปีที่แล้ว +2

    Siku Chidy mpaka amtakanie mtu mama ake wapigane ngumi ndio mtajua kuwa kichwa chake sio kizima mtakoma kumpa enterview

  • @clintztravellah3237
    @clintztravellah3237 ปีที่แล้ว +2

    Chidi Amemtoa Lunya mchezoni

  • @RashidiAyubu-m6l
    @RashidiAyubu-m6l ปีที่แล้ว +3

    Chid midawa ijamtoka akili zake zimeruka uyoo

  • @officialdinaize
    @officialdinaize ปีที่แล้ว +2

    Nikweli wengi hawatoelewa lunya anapiga kelele

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 16 วันที่ผ่านมา

    #Luny sio mwan rp ni pumbu to

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 ปีที่แล้ว +4

    Refresh

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 ปีที่แล้ว +1

    Lunya Rashid na Chid Rashid

  • @ZahaPrince-iv9gf
    @ZahaPrince-iv9gf ปีที่แล้ว +3

    Weweeeeeeh

  • @fidelemupilinda2677
    @fidelemupilinda2677 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli ni jambo maana sana, asant benz

  • @lusatomugabe-pj4on
    @lusatomugabe-pj4on ปีที่แล้ว +2

    Acheni uongo Mbuzi ni Polo G peke yake

  • @Chidibeenz-wf3jt
    @Chidibeenz-wf3jt ปีที่แล้ว +2

    Hivi haiwezekani watu kutoongelea Ulevi? Hata tusiwe na vibe..mnapatia sana

    • @GodfreyMbuya
      @GodfreyMbuya ปีที่แล้ว

      Fanya yako brother miaka 💯

  • @magambojuma55
    @magambojuma55 ปีที่แล้ว

    Atakayeza kupiga kelele Ili mbuzi aonekane ananong'ona ni Fid Q tu

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 ปีที่แล้ว +1

    eti uyu anapiga kelele😅

  • @MwaisaMtumbad-h4d
    @MwaisaMtumbad-h4d ปีที่แล้ว

    Hahaha km una akili utamuelewa chid ana maana gani ndio maana aakasena kuna makelele na kunong'ona

  • @Nigaboy-p4s
    @Nigaboy-p4s ปีที่แล้ว

    Anapiga kelele kwelikweli uyo mtt na Chidi ni msema kweli,,

  • @DavolineKilassa
    @DavolineKilassa ปีที่แล้ว

    Mje na songea wadau ni wengi sna hku wasafi festival

  • @kuamino
    @kuamino ปีที่แล้ว

    Lunya ni mjanja mjanja sana

  • @Jrhythms.
    @Jrhythms. ปีที่แล้ว

    Kwa Mwenda-wazimu kumeingia Mlevi 😁

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว +6

    Nambieni Killer kapata tuzo mbona mwenzake kapata?😂😂😂

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 ปีที่แล้ว +3

      Labdaaa mzik ulikuwaaa ujaanzaa kufatiliaaa alichukuaaa tatu tuzo za kili

    • @omarabdulaziz3786
      @omarabdulaziz3786 ปีที่แล้ว

      Killer anayo tunzo labda we si mfuatiliaji

    • @khalifa_mkakile
      @khalifa_mkakile ปีที่แล้ว

      Pia unapaswa kujua kuna wakali wengi duniani hawana tuzo kwa bongo tu hapa mfano Mr Blue hana tuzo

    • @amouryoscar5905
      @amouryoscar5905 ปีที่แล้ว +1

      Killer amebeba tuzo 3

    • @bizzlejoh3466
      @bizzlejoh3466 ปีที่แล้ว

      Wazee mnasema jamaa ayupo sawa wakati anatumia akili kubwa kuwazidi wengine semeni tuu hamna uwezo wa kumuelewa uyu jamaa

  • @frankSimle-gx1jv
    @frankSimle-gx1jv 8 หลายเดือนก่อน

    Young lunyamila👏👏👏👏👏

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 ปีที่แล้ว

    HUYU JAMAA BWANA MLEVI 😅😅😅

  • @hosenimohamed-mx7pd
    @hosenimohamed-mx7pd ปีที่แล้ว +4

    Madogo wanamuogopa sana chid

  • @happylimo5766
    @happylimo5766 ปีที่แล้ว

    Mmmh ila hili

  • @Gody360
    @Gody360 ปีที่แล้ว +1

    Yangkunyaaa

  • @kingfisher101
    @kingfisher101 ปีที่แล้ว

    Espekshari 😂

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 ปีที่แล้ว +41

    Interview imeingiliwa na mlevi anaejiona kila cku yeye anajuw wakat mda wake kaumalizia kwenye madawa, hana utani anamchukia young lunya, me nitasimama na lunya mpka kufa, TEAM LUNYA TUNAOMBA LIKE

    • @mhiyaoswedi4499
      @mhiyaoswedi4499 ปีที่แล้ว +12

      Achakupaniki mzee hao ni watani punguza mihemko

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy ปีที่แล้ว +4

      Khaaaa wew unaakili wewe?wakati mwengine kabla ya kuongea jaraibu kujitafakari kbl ujaongea,hao watu nk watani ttzo lenu mnapenda san kuchukulia vitu person,unaboaaaa

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 ปีที่แล้ว +4

      Kuma la mamako ww unadhani uyu km msenge

    • @ditrickfrances7488
      @ditrickfrances7488 ปีที่แล้ว +5

      simama na familia yako

    • @Smartofficial96
      @Smartofficial96 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ched noma lunya hamna kitu

  • @frolianmkumba2604
    @frolianmkumba2604 ปีที่แล้ว

    Chidi kaongea kweli

  • @leonardaugustino4072
    @leonardaugustino4072 ปีที่แล้ว +6

    Chidi niliamini utabadilika baada yakutoka soba lakini nikama vile ulishajikatia tamaa sasa hata sisi mashabiki zako unatukatisha tamaa na kutufanya tuamini kwamba ndo maisha uliyochagua kwa sas

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 ปีที่แล้ว

      Achana na yalopita focus na yasasa babu sonaona chuma karudi now

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 ปีที่แล้ว

      Tunakubali kazi zake sio ishu binafsi

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 ปีที่แล้ว

      @@michaelthobias9967 ungeelewa nilichongelea basi usinge replied upumbu km huo fuck bando lako la mkopo wewe

  • @lajo.
    @lajo. ปีที่แล้ว +3

    Expesaly!! 😮
    Especially

  • @jumanjialphonce2914
    @jumanjialphonce2914 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂uyu Raila wetu

  • @KingloveNyakamwe-sm5dr
    @KingloveNyakamwe-sm5dr ปีที่แล้ว

    MBUZ 1

  • @erickclassic8017
    @erickclassic8017 ปีที่แล้ว

    duuuh hii atar

  • @mr.content266
    @mr.content266 ปีที่แล้ว

    umeishusha 26 kuwa smart chid.

  • @robbysartproductioncompany5306
    @robbysartproductioncompany5306 ปีที่แล้ว +3

    huyu chid akili zake haziko sawa bado analopokaga sana angeachana na bangi seriously lakin kwa hii style huyu bado haja settle kabisa ni walu walu anaweza ongea chochote popote

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 ปีที่แล้ว

    Chid❤😊

  • @Gody360
    @Gody360 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @meshacksamson1008
    @meshacksamson1008 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kashadata

  • @meshacksamson1008
    @meshacksamson1008 ปีที่แล้ว

    3:00 😂