Mahakama panakuusu tena maan hapa kwetu bongo ukisema ukweli unaonekana kama unatukan kumbe ndo kipaji chako onger sana kwa nyimb nzuri likes kama zote hapa😊
Hapa sasa tusubiri waliotajwa kwenye tuzo kupanik😂😂😂, na wakipanik tu, basi wanaipaisha hii nyimbo... kuna tuzo haijulikani aandikwe wa kike au wa kiume😂😂😂 ila dulah kwa ubunifu😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Daaah Dulla makabila mahali umezingua kwenye huu mziki DAKIKA NI KIDOGO ilitakiwa ata nusu saa 😔 Au ndo ile Watoto wa elfu 2 wanasemaga fupi tamu ndefu inakera 😂😂😂😂 , MAKABILA we usishindanishwe na mtu kwenye singeli we Ni Chriss brown wa singeli , kama ni football we ni Messi wa singeli ! 🫅🫅🫅
Bro, cjui niseme nn ila Kwa ubunifu wako wa cku zote hujawah kuzingua! Ww n More than Fire...unajua Sana kaka! Yan kiukwl nimesikiliza Ngoma yako mwanzo mwisho nakenua 2 mpaka najishtukia....Broooooo! Unajua sanaaaaaaaaa!
Singeli na taarab kwa sasa ndo mziki uliobak asili ya Tanzania....Dula peperusha bendera ..kweny hiphop kabaki roma....bongo flava wametusaliti wamekimbilia amapiano
Hii video bila pili sii kitu..!! Nimejaribu kifikiria nani angefiti sijaona kwa haraka haraka..!! Pili pokea mauwa 🎉🎉🎉 yako umeuwa sana humu..!!! ❤❤❤❤ Much love for you ..!!!!
Jaman dulla kwa ubunifu tu awakupatiiii baba
Nipeni like hata 10 tu😢
"Hii tunzo niachieni mimi tunzo ya msanii anayependa waganga"😂😂 Brother Dull bwana.
Sema uyo mdada ulio ongazanane nae katendea akiki kipengele chake. Anajua kuigiza sana
Dulla we kweli mtoa tuzo ❤❤ trending no:1 konde chini,mondi chini, zuchu chini💯🤝🤳
Tujuane tuliokuja hapa bahada ya dulla kuomba wasani wenzio watoe nyimbo ili ashuke trending😂😂😂
KUDADADEEEEEEEKIIIIIIIIIII!!!!!! wewe kweli King wa Singeli, HANDS UP!!! 🙌🙌🙌
Dullah Makabila nimekupitisha rasmi ww ndio King of Singeli
Huyu jamaa kama mchawi vile kila akitoa nyimbo lazima iwe namba1 trending youtube
Dah manganese wake fundi
Wewe uumesha sikia tunzo ya msanii anayependa waganga mumwachie bado unauliza swali kama hili 😊😊😊😊
Huyu dada hapo nyuma naomba like zake hapa 😂
Imechukua MDA mref kugundua kwamba mboso ndo mtu pekee aliechukua tuzo ya kipumbavu kuliko wote kwenye hii nyimbo
Narudia tena wewe ndio Mfalme wa singeli ndio msanii pekee mwenye ubunifu mkubwa unafnya vitu ambavyo ni ngumu kufikilika big up sna kk Dulla🙏🙏🙏👊
Hapo kwenye Konde boy kupenda makalio 🙌🏼🔥❤️😂😂nyimbo nzuri sana❣️🌹💐
Mahakama panakuusu tena maan hapa kwetu bongo ukisema ukweli unaonekana kama unatukan kumbe ndo kipaji chako onger sana kwa nyimb nzuri likes kama zote hapa😊
Makabila to the world
Huyu msanii ndio alinifanya niwe mpenzi wa singeli
Receive pure love from 254
hata sijachoka na pita huku...ushaangusha nyengine kali...nakubali love fro 254
Leo ndio nimemvulia kofia anastahiki kuitwa king of All time wa Singel
Nimeipenda
Kama umeirudia kuangalia zaidi ya mara moja gonga like
Mm nisiseme uongo 😂😂😂
Mimi nimesikiliza kwa makini hatar 😅ila haijaisha jmn
Yaaan hii motooo
th-cam.com/video/3lGHQkjt-rk/w-d-xo.htmlsi=QFkY7zlac5O1zz2L
Nmerud zaid ya mar2
Hapa sasa tusubiri waliotajwa kwenye tuzo kupanik😂😂😂, na wakipanik tu, basi wanaipaisha hii nyimbo... kuna tuzo haijulikani aandikwe wa kike au wa kiume😂😂😂 ila dulah kwa ubunifu😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Jamaa anaandika uyuu na kweli ni king of singeli🎉🎉
Aaah nyieee singeli aachiwe dullah tu 😂😂😂😂is there a way i can like more than one time 😊 mwambaaa❤❤🎉🎉🎉
Sipend singeli ila huyu jamaa ni king of singeli kweli
Sema wee jamaa ni Mbunifu sana,, na Haurudiagi Idea ikipita imepenya ngoma inayofuata unakuja kivingine tena 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Mimi nakupa TUZO ya UBUNIFU🏆🥇
Daaaaah dulla shikamoo daaaaaah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 shikamoo kaka akuna kama wewe apa Tanzania aiseeeee daaaah
Sikutegemea Singeli inaweza kufinywangwa vizuri namna hii. Umeua
Daaah Dulla makabila mahali umezingua kwenye huu mziki DAKIKA NI KIDOGO ilitakiwa ata nusu saa 😔 Au ndo ile Watoto wa elfu 2 wanasemaga fupi tamu ndefu inakera 😂😂😂😂 , MAKABILA we usishindanishwe na mtu kwenye singeli we Ni Chriss brown wa singeli , kama ni football we ni Messi wa singeli ! 🫅🫅🫅
Dulla ndio atakuwa msanii kwanza wa singeli kupata Million subscribers kama unaamini weka like
Huyu jamaa awezekani najua kuna star unasoma hii comment Ongezeni dawa na Ubunifu ila sio simple kumshusha
Umemskia mwenyewe yuakwmbia apenda waganga🤣🤣
Daah kiukweli anacreativity anamziki wapeke yake
Dula apewe heshima yake mziki wa singeli ameushikiria na ndo msanii wa singeli aliendelea na anaepanda ndege akiwa anaenda katika show zake🔥🔥🛬💥💥💥🇹🇿
Nmerudi tena n kama dulla ako na ndumba😂😂😂😂😂
Tuzo ya uvumilliv kwa fahyma umepatia baba💯❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Swadataaaaa
Yaan ni hv wasanii wa singel mtasubr sana kwa huyu mwambaaa😂 ni habar nyingine😊
Kam pita huku ivyoendaaa hiii noma zaidi
jamaa anajua ban eka like hap kam unamkuali dulla
😂👍
Usanii n kutengeneza vitu ambavyo tusio wasanii hatuezi kufikiria,,,,,,, respect Sana dullah,unakitu kikubwa mno,,naomba upate hata kitengo serikalini❤
Mzeee we ndo king of singeli tumemaliza mjadala
Nimependa body language na facial expressions za dada wetu mshika tuzo😂
Jamaa anajua sjawah kucomment Toka nizaliwe ila makabila anajua bhna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dullah. Toa mwendelezo TUZO bado nyingi sana haujazigawa.
Kabisa yaan😢😢😢😢 ameacha wengi
Bado ipo 1 trending 🔥🔥🔥
😂❤😢😢🎉😅😅 bro wewe ni m'bunifu kuliko maelezo respect kwako
Kwenye singeli huna baya mwangu ur so creative...
Pamoja sana kk
Bro, cjui niseme nn ila Kwa ubunifu wako wa cku zote hujawah kuzingua! Ww n More than Fire...unajua Sana kaka! Yan kiukwl nimesikiliza Ngoma yako mwanzo mwisho nakenua 2 mpaka najishtukia....Broooooo! Unajua sanaaaaaaaaa!
Ila nakupenda sana dullah Huna baya kwa singeli
Mboso ndani ya crown much love Peace must Conquer 🔥🔥🔥🔥🔥
Dulla we ni mfalume wa singeli ❤❤❤
Tuzo ya anae penda MAKALIO ilimuendea nani 😂 ni swali tu
Kondeboy
Lokole 2muandike mume au mke😂😂ila dula 2po na ww na wanasheria 2takutafutia😅🙌🙌ety mbosso anazaa kama paka🤣🤣
Eti tuzo ya msanii anae penda waganga niachienii mimi dadeq🤣
😂😂😂😂
Nimekuja tena Leo kwa mwanetu King 👑 of singeli👑
Yaani nimeangalia mpaka watoto wakasema Mama basi ❤❤
Nyimbo tamu alafu fupiiii😭😭😭
TOA #TUZO PART TWO🔥🔥🔥
King of singeli makabila worldwide 🌐 🙌🏾
Dulla unajua unajua tenaa😂😂😂😂😂😂......TUZO UNASTAHILI KUPEWA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ndio maana halisi YA content,from now on nimekua shabiki yko much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu jamaa akuna anaye muweza kwa singeli
Fayma ifanyie challenge hii nyimbo 😂😂❤
MM NIMEJUA NI INTERVIEW KUMBE NI WIMBO😂😂🙌🏽UPEWE TUZO KWA HII NGOMA🏆
Hahaha😊😊😊😊😊😊😊
Jini jini jini nimekuita mara tatu wewe ndio king wa singeli
Nikisikia tu dulla makabila ameachia ngoma,hata kwa bando la mkopo lazima niitafute siku hiyohiyo
Unajua sana mashair dullah hapo kwa mbosso nmejua kucheka
😂😂😂
Singeli na taarab kwa sasa ndo mziki uliobak asili ya Tanzania....Dula peperusha bendera ..kweny hiphop kabaki roma....bongo flava wametusaliti wamekimbilia amapiano
Napenda nyimbo za dulla🔥🔥🔥🔥🤚🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii video bila pili sii kitu..!! Nimejaribu kifikiria nani angefiti sijaona kwa haraka haraka..!! Pili pokea mauwa 🎉🎉🎉 yako umeuwa sana humu..!!! ❤❤❤❤ Much love for you ..!!!!
Oy huu wimbo haujaisha ongeza verse
Yani makabila nakukubali Sana wewe king of singer Yani unajua mpaka kelo 📌
Makabilaaa namkubaliii sanaaaa Kwanzaa uyuuu angesainiwa wasafiiii laaaa angetishaaa sanaaa
Huyu jamaa n mbunifu mpaka anakeraa
Dula🎉🎉 nakupend sn unawez kubun ww kijan ituz ya niachie mm nawapend waganga
Wa fans wa fayvan tujuane here 🙏🙏❤️kapewa tunzo ya kweli
Huyu ndo mwamba wa singeli nyimbo haishuki trend mpk Leo wiki ya pili kazi Safi sanaa
YES ❤
Mpka leo ipo namba 1 trending dulla chukua maua yako🌹🌹🌹
King of singeli🙌🙌🙌 big up sanaaaaa
Dulla ndo king of singeli Tanzania ila tunataka mwendelezo wa iyo nyimbo ❤❤😂
Tulopenda tuzo za lokole, gigi, na machawa tunalike hapa
Dulla ni among the best anainua mziki wa singeli chimbuko la Tanzanian ❤❤❤❤
Huyu mwamba ni creative sana 🎉🎉🎉🎉🎉
ila mganga wako siku hizi sio tapel 😂😂😂unatoa vitu vizuri na vinaendaa❤❤
😂😂nimerudia si chini ya mara tatu 🔥
big idea
video zako hazichoshi ...KING OF SINGERI
Ongera sana dogo upo vizuriii nakukubaliii sna
King of singeli, lazima utimaze zaidi ya Mara moja💪💪💪
Huyu jamaaa anacontent sanaaaa ameifanya singeli isikilizwe na kila rikaaa
Unajuaaa sanaaa dullaaa🎉🎉❤
Kwenye ubunifu hakuna wa kulinganisha
🫡🫡
Makabira ni mmoja2 tz nzima💥💥💥💥
Dulla ni balaaa sana khaaa, huyu ndo anafanya nifatilie singel
Homé boy hongera Sanaa kaka unajua singeli mpk unajua tenaa
Video queen jmn❤️❤️🔥🔥
support shabiki dulla iingie 1 trending
Mbosso mshedede kachukua ya kuzaa kama paka 😂😂 dulla bna 🙌
hehehehehehehehehheeheheh
Msenge akiotea anaotea kweli kwa mara ya kwanza naanglia video yako zaid ya mara moja big up broo
iko saf kaweza 🙌
🔥🔥🔥🔥🔥makabila unaweza kwa sana bro haswa upande wa content umeua we ndo king of singeli bro iyo tuzo chukua we
Huyu dada in Nani.anajua kuchangamsha wimbo well done 🎉🎉🎉❤❤
Muigizaj huyo kitimutimu
Aliyeludia kusikiliza kipandee cha mwanamke na nusuuu fayma tujuanee😊😊
Kaka we umeshindikana😂😂
dullahaa tisha sanaaaa💯💯💯 nipe tuzo na mm😂😂😂😂😂😂
We msenge unajua sana salute 👑👑👑👊👊👊
Muimba singeli mwenye ubunifu mkubwa sana
Huyu jamaa kwa ubunifu kawazidi mbaka baadhi ya wasanii wa hip hop
Makabila so talented tunasubiri party 2 hii nyimbo bado uendelee kutoa tunzo
Ujumbe mzur Tena ukweli mtupu umewapa tunzo zaoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dula Makontent ...you are so very creative!