ZEMBWELA: ALIVYOBANANISHWA KUTOA MCHANGO BAADA YA KUWAKIMBIA WASAFI LADIES
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
SUPER COMEDIAN ZEMBWELA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa kwel Dida kasema, Wasafi ni dream team! Kuna raha sana
Kuna raha sana
yani hadi raha nimecheka mpaka basi , mzee babu anafurahisha sana. Alafu mko vizuri kweli. Raha kama kweli mnapenda hivo. Naomba yarabi mzidi kupenda hivyo hivyo. Ameen yarabi alameen. Na dada Dida tunamuombeya kila la kheiri naye kwenye safari yake ya ndoa, Ameen.
Nawapenda sana Wasafi.
Kusema ukweli zembela unanifurahisha sana
Maskini Brother Zembwela yamemkuta "KAJIKUTA KAINGIA CHA KIKE BILA KUTEGEMEA"🤣🤣
🤣😂🤣😂zembwela kaingia Cha kike
Ahadi ni deni mloahidi mtimize na mlobaki mjipange kwani kibao kata kipo njiani cha kamati kuu kinakuja 😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Naam,😂😂 Ndiyo atoe huyooo Zembwela maana leo Asubuhi walikuwa na Maulid kitenge wanafanya mazoezi ya step 😂 na wimbo juu wakaimba haiyaya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea 😂😂😂sasa mtafuteni na mwenzake Maulid kitenge aloimba naye Asubuhi 😂😂
Kha ukifanya kazi wasafi ni sawa kama unafanyakazi benk
Hakika
Kamati ya michango ipo vizuri tungekuwa kwenye kodi ya pato la taifa wanakusanya hivyo inchi ingekuwa tajiri sana😆😆😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 sana yaan tungewakrbia wazungu
😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁
Ilopato la taifa linakusaidia nn? Sema Pato la familia yako
Dida Mungu amsaidie akakae kwenye ndoa sasa maana wenzie siyo kwa kuhenyeka hko😂😂😂😂 asje akaachika akatangaza ndoa nyingne tena🤣🤣🤣🤣🤣 zembwela atahama wasafi aisee
Mm naomba akiachika tuu wapite na kigoma zaid ya hch
nimecheka kama mazuri wallah
Zembwela kapatikana watu hawataki mchezo ni kusachiwa kwa kwenda mbele.
Mm macho yg yapo kwenye uchundu wa mwanaidi tuu kumbe hanalo
Daa! inafurahisha ila zembwela he is a comedy one so hizo ni style tu, wish you all da best dida
🤣🤣🤣🤣eti dida awe wa mwisho kuolewa kwenye hii compu🤣🤣🤞wcb 4 life
Hahahaha wasafi ladies noma
WANAWAKE BWNA!!! BILA KUJALI KUWA JUZ TU APO ILKUA SIKU YA WABABA,, WAMEMUA KUMCHOMOA MWANAUME MWENZETU!!...ANYWAY MUNGU ATAKUPILIA BROH ZEMBWERA😆😆😆
😀😀😀😀 zembwelaa we ni comedian kwakweli
Nimecheka Sana ,Zembwela alivyotaka kutimua mbio😄😄😄😄😄
Atoeee huyoooooooo
Aibu kwani lazima eeeee Jamani hii mambo ya kiswahili kwani lazima mliman City kwa pesa zakulazimishana.
Nice
Hela sio poa 😊
Waaah 😂😂 Dida awe wa mwisho kuolewa kwenye kampuni hii ya wasafi zembwela ww umenichekesha
Jamani
Chakupigiwa simu kuahidi milioni kujitia misifa mtandaoni.......tupe chetu 😂😂😂😂
Na wew utakuwa huna huruma u
Yaan apa bola ukutane na TRA KULIKO hii kamati
Yan mim nasemaje harusi zote tungekuwa tunafanya hivi watu wasinguwa wanahaidi😀😀😀
Mashallah pambe kwetu
Rahaaa
Yule Aliyah ajisikia sana namuona
Muuuuuuh! Michango ya mpaka kupekuana hivyo bila hiali!!!🙉🙉🙉
Damn
Na wapiga ngoma wanakazi uuuuwiii.....hahahaaa
Tena kazi kweli
Wasafi bwana nawapenda tu yaani
zembwela tunaomba contract number kuna tukio tunaomba uliongelee
Tuna taarifa tunataka tukufikishie tunafanyaje
Zemwelaa una zalilikaaaa 😂
Kapatikana Leo 😂😂😂
Mbona kanuna mrudishien ela zake😄🤪🙄
Mpaka mumvue hiyo short?
😂😂😂🤣zembwela mbavu sina
Kwakweli nimejichekea vituko vyako Zembwela khaaa 😂😂😂😂
Hatareee
Babu umekamatishwa daaah hawa viumbe hatar
💎💎💎
Aho
DADEKI Zembwela kabanwa kwenye kona hahaaa
Hii kiboko nimecheka balaaa
Kick za kikuuuuum........ma mbegese Yan Kama utopolo vile
Nendeni kwa Auntie jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅 mumemuweza
Jmn kiroboto 😭😭😭😭mungu akusamee makosa yako uko ulipo
Kumbe zembwela mrefu aisee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Zembwela bhana
Ahahaha 😃😃😃👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
S
Zembwela unanichekesha kama kunguru
Iyo hela imemfanya zembwela aumie saana
😂😂😂l love tanzania
😅😅😅
Kwahali hii lazima utoe mchango kamati upo moto
Hapa TRA kuna jambo la kujifunza
Daini mapema maana Dida hatabiliki mnaweza kusikia Dida kaachika
🙄
😃😃😃
Kimeumana uku 😂😂😂😂
Lakini dida mumewe ana hela,
Duuuuh..mpaka kudhalilishana Ivo...!!! Khaaa kusachiana kabisa...ingekua Mimi ungekula Kofi.. ndoa zenyewe za Kukaa miezi 2, kKwaherii!!
🤣🤣🤣🤣🤣 we nomaa
Utani na ucheshi tu,hiyo ndo maana ya team work
Zembwela 😄😄😄😄
Duh mwaweza vunja ndo za watu
Kabisaaa mkewe zembwela akiona hivyo mume wake anashikwa shikwa na wanawake hovyo hovyo 😏 😏
@@jenifajuma5395 Wallah haipendeze mijitu inasifa za ajabu
@@mwanahamis5487 🤣🤣🤣🤣
Zembwela dah 😂😂😂
Kamati ya roho mbaya
Y
Beka kama beka
Hahahaha kusachiwa mbona
Imemtoka bila kutegemeaa
Hahaha. Daa hapo lazma mchango utoe
Mnatufanya wajinga hiyo mipango tu na mnajua hiyo hela itarudi kwenye views you tube dah🤔🤔
😁😁😁zembwela bwn
Bahili huyo
Wanawake kwa pochi
Hahaa zembwela nimecheka
Hahahaaa kweli babu kakamatwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤
Siombaya
Asachiwa kama mwizi
Au zembwela alikua teee
Hahaha
Hahahaha zembwela anavituko
Anatowa mtu apaa
😂😂😂😂😂😂😂Kazi ipo
Zimbwela bakhili
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣zembwelaaaa
Hahahahaaaaaaaa zembwela
Burudani
Hakuna ujinga
Mutamvua suruali mumewamtu
Zembwela 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆