BABA LEVO uso kwa uso na ALIKIBA/ ashindwa kujizuia Ampigia MAGOTI/Mfalme hana Tatizo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 165

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 ปีที่แล้ว +33

    Kiba daaah 🙌🙌 hajali Wala nn simple hatariii duuuh huyu jamaa🙌🙌

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 ปีที่แล้ว +3

    Aky baba levo Hana chills jamani hajui kudanganya that's why I love him 💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zachaliamachibola8291
    @zachaliamachibola8291 2 ปีที่แล้ว +55

    King ni maji usipoyanywa utayaoga 👑👑👑🌍🌍🌍king kiba kutoka 🇹🇿🇹🇿

  • @believers254
    @believers254 2 ปีที่แล้ว +22

    I love Babalevo, uchawa na akili, sio uchawa na uadui😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 ปีที่แล้ว +18

    I really love this man😍😘❤

  • @bablee0016
    @bablee0016 2 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣...Jamaa anjua for real akiogea utacheka tu..Be levo 🔥🔥

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 ปีที่แล้ว +34

    Kiba hana mabo Mengi mwenyewe

  • @aliyakub4766
    @aliyakub4766 2 ปีที่แล้ว +12

    I really like this man 😂😂😂😂😂😂

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 ปีที่แล้ว +16

    Unafki is the way of life bongo...

  • @josengumbi4029
    @josengumbi4029 2 ปีที่แล้ว +2

    Anapangua tu hajawahi feli daa nampenda Sana hy chawa.🤣🤣🤣🤣

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 ปีที่แล้ว +10

    Baba levo na mwijaku wanaweza kukuweka matatani kwa ujinga wao eti wanatania

  • @furahasarakikya3223
    @furahasarakikya3223 2 ปีที่แล้ว +14

    Alikiba 🥰😍😍😍😘🥰😍😘😘🥰😍😍😍😍😍

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +7

    Pasua kichwaaa😂😂😂😂
    Kibaaaa🥰🥰🥰🥰🥰

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +6

    Baba level anajuwa unafiki nikama mwana siyasa wa Rwanda Rutsagu

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 ปีที่แล้ว +5

    DAAAAAAH!😂HAWA WATU TOKA KIGOMA NI HATARI SANA.

  • @samorajapheth
    @samorajapheth ปีที่แล้ว +1

    King KIBA 🎵 ni jambo jema kwako

  • @jonesiha6919
    @jonesiha6919 2 ปีที่แล้ว +17

    King Kiba Rules!

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 ปีที่แล้ว +1

    Popooo mbili zavuka mto🤣🤣sasa zimevuka

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba Levi anamchora tu huyu.Mzee mwenzie.....anajua kiba ameshachoka mbio za DIAMOND haziwezi tena.

    • @kifarumabulo
      @kifarumabulo 2 ปีที่แล้ว +2

      Unaonekana mwanaume wa dar

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 2 ปีที่แล้ว +2

      Sina Shaka @shizashungu Wewe Ni Shoga

    • @kifarumabulo
      @kifarumabulo 2 ปีที่แล้ว +1

      @@NellyWaKidato kabisa

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 2 ปีที่แล้ว

      Chiza waonekana wewe ni Chawa bubu,chawa ambae hujitokezi live

    • @janethkawishe9368
      @janethkawishe9368 2 ปีที่แล้ว

      Hehe pole sana

  • @aash4145
    @aash4145 2 ปีที่แล้ว

    Jiolee mzungu, waswahil wanatabuuu

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว +5

    Hili lijamaa nalikubali sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✅

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +16

    Baba levo nimnafki jmn

  • @excellentizacalvajal297
    @excellentizacalvajal297 2 ปีที่แล้ว

    Hata mm napenda this guy

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahha total inakua 3m baba levooo

  • @Twigamnyama1
    @Twigamnyama1 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba levo ft mfunga geti🤣🤣🤣🤣

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanyee ngoma kali aisee!!😁

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      Nibonge la ngoma

  • @annamarybenjamin5754
    @annamarybenjamin5754 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba levo ni mtambo 😂😂😂😂😂😂😂🙌

    • @wittybene288
      @wittybene288 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa mtambo na nusu

  • @chucknose
    @chucknose 2 ปีที่แล้ว

    Eee AWA mareporter wanaweza kukulisha Mike Joo ee🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂be classic banaa learn from kenya

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 ปีที่แล้ว

      What Kenya can teach Tanzania on online journalism? Your toddlers to us, do you have even channel with more than 5 million subscribers?

    • @chucknose
      @chucknose 2 ปีที่แล้ว

      @@mcback4384 sasaaa unataka tuanze kubishana ......hehee Tanzania alittle village in Kenya ....

  • @nassirabdul210
    @nassirabdul210 2 ปีที่แล้ว +1

    Love sana baba levoooo🎉

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila baba levoo kwakweliii huwezi msikilizaa usicheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 Eti Ukisikia Popo mbili za Vuka mto 😂😂

  • @peterelisha1958
    @peterelisha1958 2 ปีที่แล้ว

    Mkandamizaj alie zeeka😁😁

  • @franktoneskorosov.4217
    @franktoneskorosov.4217 2 ปีที่แล้ว +1

    Chawa mkuu wa diamond..

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +4

    Uyo mkono anavyo ishikiliya 😒 mungu umuepushe king kiba wetu na kishirikina🙏🇨🇩🇨🇩

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 2 ปีที่แล้ว

    Kuna that why haliwez kosa hilo neno katika maongezi ya blevo

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 2 ปีที่แล้ว +15

    BabaLevo unampigia magoti kiba...

    • @SamirBSam
      @SamirBSam 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂🤣🤣🤣na bado

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +2

      Baba levo hana kinyongo na mtu ila ukimdis mond umeisha

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 2 ปีที่แล้ว +5

    Khaa baba levo mnafiki san wajifny unampend kiba wakati chawa .

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo Unaon hayo na ushabiki wako ila wenyewe wanajuana na Wana maisha nje ya sanaa

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanirajabu5453 inakuuma umbwa wew

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 ปีที่แล้ว

      @@lucylucy3678 inawezekana mikawa mbwa ila nakuelekeza wewe mbwa mwenzangu kuwa Kuna maisha nje ya Sanaa ishi umo makasiliko yatakuuwa kenge wa kijani unaependa chuki kinuka mkojo mmoja wewe 😢 nyooo

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanirajabu5453 paka wew unatetea ujing ndio chawa mnafiki san han utofaut kama wew .

  • @fatmandege9768
    @fatmandege9768 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo anaupendo kweli

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 ปีที่แล้ว

    Ala baba leo ni hayawani🤣🤣🤣

  • @husseingp5806
    @husseingp5806 2 ปีที่แล้ว

    Hili baba levo asa halina akil linaongea tu 😂😂

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 2 ปีที่แล้ว +3

    Baba levo mshenzi sana

  • @melvinkanje70
    @melvinkanje70 2 ปีที่แล้ว

    Noma sana huyu jamaa😁😁😁

  • @espoirsadiki6622
    @espoirsadiki6622 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo baba levo anakuwaka fujo saan

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 2 ปีที่แล้ว +5

    Kiba Yuko juuuu

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo ili uwe adui wake mdiss Diamond

  • @dogotwaanails_mafunzo
    @dogotwaanails_mafunzo 2 ปีที่แล้ว +4

    Noma

  • @rosegodlove1956
    @rosegodlove1956 2 ปีที่แล้ว +4

    Nyie huyu baba hana siri na uso wake mzito kama uji wa ulezi yaan nimecheka hii interview balaaaa 😂😂😂

  • @mukaluwe7857
    @mukaluwe7857 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali Baba Levo

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 2 ปีที่แล้ว

    Leo acha tu na mm niungane na wale wanaosemaga Baba Levo ni chawa pro max 😆😆😆😆😆

  • @ernestofrerelembus3316
    @ernestofrerelembus3316 2 ปีที่แล้ว +10

    That enough 😂😂😂

  • @khalidissahovic5302
    @khalidissahovic5302 2 ปีที่แล้ว

    Unamdai 1.7 umemuengeza 1.3 = 3
    Unatuambia umechangia 4

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimasanja mkandamizaji PFK😀😀😀😀

  • @angelkavishe5240
    @angelkavishe5240 2 ปีที่แล้ว +1

    Ety ataoa mzungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 2 ปีที่แล้ว +4

    Kiba hanaga makuu kbc

  • @shaabanhmajid1923
    @shaabanhmajid1923 2 ปีที่แล้ว

    Hivi nani hua anatokwa na machozi kama mm kwa kuchekeshwa na hili jamaa😂

  • @alicechambaladainty6851
    @alicechambaladainty6851 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂namkubal sanaaaa

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo fisadii😄😅😅😅🤣

  • @Gody360
    @Gody360 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio mbaya

  • @MrRizwan1978
    @MrRizwan1978 2 ปีที่แล้ว +1

    Amevuta vitu vingi au😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aishahassani34
    @aishahassani34 2 ปีที่แล้ว

    Et mim nitaoa mzungu🤣🤣🤣🤣 baba levo bana majibu yake yananifrahishaga

  • @shabanikamamba2143
    @shabanikamamba2143 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo Dada kakoma

  • @inesfaustinochamanangacham6057
    @inesfaustinochamanangacham6057 2 ปีที่แล้ว

    Popo zimevuka mto😀😀

  • @34wolfman74
    @34wolfman74 2 ปีที่แล้ว +6

    Utetewe na ulipwe umechanganyikiwaa🤣

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaaa ukinywa nini mbona kufunguka mengi aaaaaaaaa

  • @silvestersanga3583
    @silvestersanga3583 2 ปีที่แล้ว +4

    Anamlixhaga had matunda baba leo weweeee

  • @thomsjosse9140
    @thomsjosse9140 2 ปีที่แล้ว

    jaman adi huruma asee ukikosa hela adi waandish wanaleta dharau na izo maiki

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 2 ปีที่แล้ว

    Harmonize kasepa na kijiji😁😁😁

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 ปีที่แล้ว +1

    Chawa tu huyo🤣

  • @mpoletzd7168
    @mpoletzd7168 2 ปีที่แล้ว +1

    Chawaaaa😂😂😂

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 2 ปีที่แล้ว

    That enough 😛😛😛😛😛

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว

    Kaa nyinyi Waja Hembu mpumzisheni huyo binti,

  • @augustinompuju7603
    @augustinompuju7603 2 ปีที่แล้ว

    Milioni moja laki7 ukijumlisha milioni moja laki3 unapata milioni4 haha🤣🤣 tumepigwa nakitu kizito

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 ปีที่แล้ว

    Baba Levo uko juuu

  • @g-spack
    @g-spack 2 ปีที่แล้ว +4

    This is what happens when u have money u sign them and chew them same time money gets u any girl, he said it diamond and zuchu wako pamoja u know how game goes

  • @alfylegit9573
    @alfylegit9573 2 ปีที่แล้ว +2

    All in all😂😂😂😂😂😂

  • @shabanijafari4731
    @shabanijafari4731 2 ปีที่แล้ว +2

    Blue chawa

  • @barakaemmanuel9268
    @barakaemmanuel9268 2 ปีที่แล้ว +2

    ALLYKIBA ni Chunvi

  • @tecksondannymeshake6149
    @tecksondannymeshake6149 2 ปีที่แล้ว +2

    Njo mwazo tayarisha sahani niku wekeye

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 2 ปีที่แล้ว +2

    Harmonise Uko juuu

  • @aswilaidi7426
    @aswilaidi7426 2 ปีที่แล้ว +1

    Kib 😍🙏🙏

  • @aash4145
    @aash4145 2 ปีที่แล้ว

    Baba levoooo😂😂😂😂

  • @kingbrown523
    @kingbrown523 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa kucheza na akili za watu

    • @thyentertainmenttv2560
      @thyentertainmenttv2560 2 ปีที่แล้ว

      Ckua na mpango wa ku comment ap ila b.levo shenz sana 😂😂😂😂🙌🙌

  • @aswilaidi7426
    @aswilaidi7426 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo ban,😁😁

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 ปีที่แล้ว +3

    Uyo hapendagi nazoea wewe mshobokee unavoweza unazani uyo domo😂😂

  • @alexpocha7488
    @alexpocha7488 2 ปีที่แล้ว +2

    That enough!🤣🤣🤣

  • @yohannkomolamwakye3467
    @yohannkomolamwakye3467 2 ปีที่แล้ว

    daaaa baba levo balaaaa

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 2 ปีที่แล้ว

    Cawa cawa kweli kabisa

  • @shakilsillah7497
    @shakilsillah7497 2 ปีที่แล้ว

    You mean that suit is worth 700k 😂😂,ops! I think its 4k Kenyan shillings.

  • @artbinamu474
    @artbinamu474 2 ปีที่แล้ว +3

    That enough🤣🤣🤣🤣🤣

  • @potencyndembezi2701
    @potencyndembezi2701 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo kichwa balaa🤣🤣

  • @el-chicosfootballdevelopme7411
    @el-chicosfootballdevelopme7411 2 ปีที่แล้ว

    Chawa hajui hesabu. " F " kabisa

  • @mzambulisella
    @mzambulisella ปีที่แล้ว

    king

  • @mrskitete7302
    @mrskitete7302 2 ปีที่แล้ว

    Azam vitasa live

  • @lariogerard3305
    @lariogerard3305 2 ปีที่แล้ว

    Babá levo ajielewi

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 2 ปีที่แล้ว

    Babalevo mwalimu wake wa hisabu alikuwa nani? Milioni na laki saba anamdai na milioni 1 na laki 3 kachangia jumla milioni 4?🤨😏😏

  • @frankkikambako9281
    @frankkikambako9281 2 ปีที่แล้ว

    Hapa fundi manyumba ndio anapomzidi Mwenzie yeye ni chawa then at the same time ni panya anauma na kupuliza ..
    Anatumia akili kidogo kuliko Mwijaku

    • @richhaule9264
      @richhaule9264 2 ปีที่แล้ว

      Kwan mwijaku humuonag na diamond 🙄🙄🙄

  • @mwalamikipata674
    @mwalamikipata674 2 ปีที่แล้ว

    Promax chawa

  • @kisandujnr0946
    @kisandujnr0946 2 ปีที่แล้ว

    that enough 😜

  • @franklinseth3149
    @franklinseth3149 2 ปีที่แล้ว

    Na huo ujinga mzungu itamtoa wapi

  • @shukumwazyele1517
    @shukumwazyele1517 2 ปีที่แล้ว

    Turahia maisha milele