Sheikh Ibrahim Mkongo Amuwakia Sheikh Nurdin Kishki Haya Maneno ni Mazito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx หลายเดือนก่อน +11

    Kishik Allaah Akuhufadhi biidhini llaah Amiin

  • @nurusaeed4554
    @nurusaeed4554 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amlinde shekh wetu kishk

  • @mikonomisafi9344
    @mikonomisafi9344 หลายเดือนก่อน +14

    Dini Imejaa wahuni wengi sana siku hizi, Allah atujaalie Mwisho mwema

  • @Kimtaaonline
    @Kimtaaonline หลายเดือนก่อน +5

    Kwa mujibu wa maongezi ya huyu sheikh nmegundua mambo kadhaa....
    1. Ana chuki moyoni dhidi ya sheikh
    Nurdin Kishki
    2.Anakaa n mtu mmbea sana
    kwasababu anaumizwa sana na
    Mafanikio ya kishki..
    3.Tamaa sana na wivu uliokithiri...
    Anapambana sana kumchafua
    muislam mwenzake
    4.Anatembelea upepo wa Kishki kujipigia
    promo ya bure yy na hao masheikh
    wenzake walianzisha mashindano ya
    Quran....
    5. Haoni haya wala hajui vibaya
    maskini...
    Nb:Naitwa ALI aka KAKABRAZA kutoka
    Mombasa Kenya...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Na Sheikh Nurdin Kishk mola amjalie maisha marefu na amuepeshe na watu wabaya kama hawa masheikh wanaoendekeza njaa zaidi ya ukweli😢😢😢

  • @salimomalah6985
    @salimomalah6985 หลายเดือนก่อน +4

    UKITAKA KUJUA HILO HALIWEZEKANI NIKWAMBA HATA WEWE UNAE ZUMGUMZA UNGEMUITA SHEIKH INJE YA CAMERA , KWA MAANA HATA WEWE WAHITAJI CAMERA KUMJIBU SHEIKH. SASA WAKOSOA KOSA KWA KOSA, KISHA WAONGEA MENGINE INJE YA HAYA KUMAANISHA ULIKUA NAMAMBO NDANI YA KIFUA

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 29 วันที่ผ่านมา

      Kamaa tadinu tudaani

  • @rehemaabdallah9370
    @rehemaabdallah9370 หลายเดือนก่อน +10

    Shekh kishk Allah akujalie umri mrefu wenye faida na wewe uendelee kutupa vya haki .

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 หลายเดือนก่อน

      Hivi unamjua ama wamuonaona tu kwenye tv au mitaani.
      Uliza walioishi nae au wanaomfahamu kwa undani.
      Nyamazeni tu kalianzisha mwenyewe atalimaliza mwenyewe

    • @Awatee
      @Awatee หลายเดือนก่อน

      ​@@shawwalmsati3405weye unae mjua hebu tuweleze au ni chuki tuu

    • @rahmaally5128
      @rahmaally5128 27 วันที่ผ่านมา

      Amiin

    • @rahmaally5128
      @rahmaally5128 27 วันที่ผ่านมา

      Amiin

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld หลายเดือนก่อน +4

    Subhanallah yani 😢😢😢😢😢muachee husda shaikh kishk Allah iko pamoja nawe cha uzidii kuona maaduwii zako ndo hawoo

  • @FarhiyaNassor-hz8il
    @FarhiyaNassor-hz8il หลายเดือนก่อน +1

    Udugu si kufanana Udagu ni kufaana heshima tukipeana Daima tutapendana salaam tukipeana mapenzi huzidiyana
    Ukitaka kuyajuwa zaidi mulize mama
    Lolote lenye kher lazima liwe na mitihani kufaulu au kufeli ni kipimo cha imani Ndugu ktk Imani Tumuombe mungu atupe subra na Atuhifadhi kwa sote Atujalie tuwe miongoni mwa wachamungu Allah humma Amin Inshallah kwa sote 🤗🤗🤗

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. หลายเดือนก่อน +10

    Uislam umejaaa unafiki sana hasa mashekh watanzania Nyie wakina mkongo kibalini kweli Sharifu kakosea pumbavu nyinyi

    • @OmarJuma-c1p
      @OmarJuma-c1p หลายเดือนก่อน

      Pumbavu nani

    • @Matalatala267.
      @Matalatala267. หลายเดือนก่อน +1

      @OmarJuma-c1p huyo shekh Mkongo anaye mtukana Kishki

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@Matalatala267.Kamtukana wap

  • @graduationtv3072
    @graduationtv3072 หลายเดือนก่อน +2

    Shelhe wasomi tutakuelewa tu wafia dini na mbumbu hawawez kukuelewa maana wapo kimiemko tu na siyo hoja. Big up sana shekhe mim ni Mkristo lkni hoja zako ziko wazi

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 หลายเดือนก่อน +2

    Allah amlipe kishki mashallah

  • @KHALFAN-m4o
    @KHALFAN-m4o หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh kishki tunampenda na kwa uwezo na kiasi allah alivyomjaalia mambo yake kua makubwa, basi hata mumseme vip wallah siskii watu kumsema wala kumchukia kishk

  • @jumayusuphuTV
    @jumayusuphuTV หลายเดือนก่อน +1

    Waislam tupo pamoja na kishki

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 หลายเดือนก่อน +6

    Nayeye Sharif mbona wewe humwambii akatowa misukule kimya kimya??? Mbona ywatoa mbele ya vombo va habar

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @hamadibujafar2228
    @hamadibujafar2228 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe unajuwa kuwa MWALIMU ndo maana ametumia mimbar kufundisha acheni ujanja ujanja ktk dini

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 หลายเดือนก่อน +19

    Sheikh Nurdn Alizungmza na umma hajazungumza na mtu. Wacha hasad.

    • @bilalhassan2109
      @bilalhassan2109 หลายเดือนก่อน

      You need to be attentive before you comment this is serious issue stop being funatic. What he is saying makes sense . you need logic

    • @mohamedyeslam5194
      @mohamedyeslam5194 หลายเดือนก่อน

      Hao wote njaa tupu,shida sheikh kishki akisema ukweli wanampiga vita

    • @Mamiisalehe
      @Mamiisalehe หลายเดือนก่อน

      @@bilalhassan2109chawa ww kma huna lakuzungumza tuliaa haki ipo wap hapoo mckilize vzur sheikh kishki tatua changamoto kwa quruan na sunna.

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 หลายเดือนก่อน +1

      Usitetee ujinga. KISHKI huwa anakosea sana lkn kwa kuwa hamumjui huwa mwamtetea.
      Mambo ya hivi muacheni apambane mwenyewe

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 หลายเดือนก่อน

      Nia yako ni nzuri lkn umempa sifa siyo yake.
      Hana taaluma ya kuhifadhi Quran. Hana vigezo vya kitaalamu vinavyothibitisha kuwa kahifadhi quran

  • @AsuraHamisi
    @AsuraHamisi หลายเดือนก่อน +2

    Asalam alaikum umelenga sehemu husika Yaan nilikua naumia sana bora umesema ukweli Yaani ume fafanua Allah akuhifadhi

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf หลายเดือนก่อน

    ALlah akuhifadh shekh kishkii na hasadii

  • @MwanakhamisLumbili-x8g
    @MwanakhamisLumbili-x8g หลายเดือนก่อน +1

    Ànzisha shule yako uone changamoto zake

  • @abdulndali6141
    @abdulndali6141 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe unajiita sheikh na kiongozi wa bakwata halafu mtoto wako unampeleka shule ya kanisa wakati shule za bakwata zipo. Innalillahi wainna ilayhi raajiuun

    • @MishiPapalan
      @MishiPapalan หลายเดือนก่อน

      Hawo bakwata hawana mpago wowote shekhe tunayomtegema kisheki tu

    • @RobertRahab
      @RobertRahab หลายเดือนก่อน

      Hao bakwata wenyewe hamna kitu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 29 วันที่ผ่านมา

      Utlubul ilmu walau bisswwin mtume wakt anacma haya china kulikuwa na waislamu acha upimbi soma dini acha kupelekwa

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 หลายเดือนก่อน +5

    Eti sheikh anajisjfu mwana we yuko shule ya kanisa. Sasa anatufundsha nini huyu doo shida sana.

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi หลายเดือนก่อน

      Kwani huyu shekheee

    • @aminamohd8941
      @aminamohd8941 หลายเดือนก่อน

      Hapo kwenye shule ni kweli wanaomiliki shule waziite za taasisi zao kwani shule nyingi hazina tabia za kiislam ila wako kimaslahi zaidi ile ni nembo tu ya Islamic bure

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt หลายเดือนก่อน +5

    Allah akujalie afya njema sheh kishk na akuepushe na husda na mabaya yote

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 หลายเดือนก่อน

      Hamumjui au mnamapenzi yaliyopitiliza kwake.
      Haya yaliyosemwa na huyu Jamaa, waulizeni ndugu zake kishki wanaomjua ndugu yao kuliko nyinyi muone kama watapinga maelezo haya.
      Bora muutazame tu mchezo msubiri utaishaje.

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 หลายเดือนก่อน

    Subhana alha

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q หลายเดือนก่อน

    Ibrahim mkongomani umeshikwa kooni, tunawafahamu vizuri mashekhe , bahati nzuri nimehudhuria kongamano lakini mmhh! ALLAH shaahid.

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน +1

    KISHKI YUKO SAHIHI UNAVYOONA HUYO SHARIFU FIRDAUS YUKO SAHIHI NA ANAYOYAFANYA YA KUDHALILISHA UISLAM NA KUZUNGUMZA MASWALA YA UCHAWI KUPITIA DINI HAPO NI KWELI

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw หลายเดือนก่อน +1

    Shelkh kishik Allah yupo atakuifadha

  • @mussamnndewa1783
    @mussamnndewa1783 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wapumbavu walisha wai kufukuzwa msikiti wa mbauda
    Hawa wanadua kuanzia sh 10,000 adi 1000 😅😅😅😅

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      Duh dua ya 1000ikoje

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli shekh umeongea vizur angemwita tu akaongea nae Kila siku waislam wanabishana

    • @mkude
      @mkude หลายเดือนก่อน

      Anwite wapi wakati wao wametoka kueleza kwenye media na sheikh kishki amemjibu kwenye media ili waumini waone na waepukane nae

  • @AbubakarMugeni
    @AbubakarMugeni หลายเดือนก่อน

    Allah akudjalie heri vieux nanga nzambe apambula biso

  • @KamchapeKachara
    @KamchapeKachara หลายเดือนก่อน

    Umejitahidi mkongo

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q หลายเดือนก่อน +1

    Huna lolote ukweli anao kishki ,tumemuelewa hakuna kutetea shirk kwan ni dhambi kubwa ambayo Allah akamlrta Muhammad saw kwa kukemea dhambi hiyo .Ameeleweka sana kshk na tutaendelea kumuelewa kwa klip ileile,wewe ni njaa tu lkn dini yetu ni safi haitaki makorokoro kama anavyoleta huyu feki sharif

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unatetea bathwil tushakuona mbona hao vijana hawakufanya kimyakimya

  • @obaonlinetv1651
    @obaonlinetv1651 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa we ni shekhe? Hujui hata neno ujinga maana yake, ujinga ni kutokujua jambo na sio tusi. Innah lilahi wainailaihi rajiun rajiun

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx หลายเดือนก่อน

      Wewe ukiitwa mjinga washerekea haifai kutumia kauli chafu kwa mtu hata kama wamuona mjinga ndio maana ya khekima.

  • @SaidiPala
    @SaidiPala หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kusema Kuna baadh ya kinamama hapo kakosea nini.hakumaanisha wote wewe nae hujielewi

  • @AishaMbega-mg9fo
    @AishaMbega-mg9fo หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ulikuwa na yako siyo mambo ya sharifu mmmh hiyo ni fitna na chuki binafsi kwa kishki

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน

    Kwa nini mnampiga mawe KISHKI Mbona mnawivu kakosea nini kusema ukweli amekuwambaya mbona lile genge la matapeli hamuwasemi kwani huyo Firdaus yupo pekeyake si anamashekh wake ulitaka shekh KISHKI akasemee wapi mbona wewe hukusema na uliona wanakosea wacha hizo bana Allah hapendi mambo hayo

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +3

    Azungumzenao. Pembeni kwaniwao uchawiwao waliusema pembeni je nawale wafuasi wake.watajuaje kama wanaongopewa ww nae ujielewi nyamaza kimya kakojoe ukalale usubili shehe kishik akusomeshe

    • @DeBoy-oy2jg
      @DeBoy-oy2jg หลายเดือนก่อน +3

      Mbona mawaidha hawayatoi kimya kimya,wanasimama kwenye mimbar au mbele za umma ,alafu leo eti sharif aitwe aambiwe kimya kimya,alafu nani atakaejuwa kama sharif amekosea ?

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa ​@@DeBoy-oy2jg

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 หลายเดือนก่อน +1

    Usilete porojo hata ww shekh kishki Yuko sawa yy alikemea na alipokema masharifi feki watu wakaanza kujishuku na mashekh wengine wajatokeza wazi wazi kumtetea aliejiita sharifu mbona hukemei hilo

  • @haibatanbaksh9241
    @haibatanbaksh9241 หลายเดือนก่อน +1

    Poleee

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu หลายเดือนก่อน

    WEWE UNAESEMA HAPO KWA UKASOME IYO ELIMU MANA HUJUI UNACHOKIFANYA KABISAAA , MTIHAN MKUBWA SANA ,ACHA CHUKI ,ACHA DHANA,BAKWATA IPO SIKU MUTAJUA IPO SIKU MUTAJUA IPO SIKU MUTAJUA TU KWANINI ALLAH alituletea QUR,AN ,KISHA AKATULETEA MWALIMU KIPENZI MTUME MUHAMMAD ( S A W)

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 หลายเดือนก่อน +2

    WEWE pia nihaohao tu

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna dini ya kimyakimya mzee ,dini lazma kukemea na kufundisha hadharani ili waislam wajue km hili jambo halifai au hili linaposha ni shirki acheni sasa ndugu yng hamna dini ya faragha watu kuambizana chumbani

    • @Faraji-n6l
      @Faraji-n6l หลายเดือนก่อน

      Duuuuuuuh

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Kishki amefanya wapumbavu wengi kujitokeza. Sasa ndio tutawajua masheikh wa kweli na wapumbavu wababaishaji.
    Ndio maana imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu.

  • @Hashimhassan-t4f
    @Hashimhassan-t4f หลายเดือนก่อน +1

    Acha uhuni

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe หลายเดือนก่อน +1

    Dunia imeisha ukiona watu wanatetea upuuzi tena kupitia vitabu vitukufu kwisha cc hakuna kilichobaki tusubiri siku ya hesabu .

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kabla ujafik mbali nielezee kwan kuhusu kauri yako ya kifo cha mende apo ikoje shekh maan kishki ni mwanaumwe unaposema atakufa kifo cha mende unamaanisha atafilwa si ndio sasa shekh wewe izo ni busara gani za kishenzi izo

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Huyu baradhuli mkongo kumbe ndio wale wale.
    Masufi hata mkiumia ukweli utasemwa hatuwezi kuufumbia macho upumbavu wenu.
    NB: imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu.

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr หลายเดือนก่อน

    Mwanaume unajishuku wakat shekh hakutaja mtu nyie ndo wanafk wa zama hizi kama yule ibn salul wa enz za mtume Muhammad (saw)

  • @SaadaAlsheibani
    @SaadaAlsheibani หลายเดือนก่อน +3

    Ovyooo sasa hapa umekuja kusema nini cha msingi basi chuki na husda mujue hili mungu akimpandisha mtu cheo au darja hakuna wa kumshusha ovyoo

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Hakika 🤝 🤝 🤝 🤝

    • @libandaonline5358
      @libandaonline5358 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda kaoge hedhi yako mambo haya ya wanaume Acha kushoboka usicho kijuwa

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      @libandaonline5358 Ukweli husemwa Hawamuwezi Shekh Kishki

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Mkongo nae pia ni Mpigaji tunakujua vzr na Huyo Dogo Fridaus sisi tunamjua vzr ulikuwa unazungukanae ktk misikiti mbali mbali yeye akiwa nje anauza CD Zako kwahiyo Lazima umkingie kifua Kifaranga wako Tapeli

    • @libandaonline5358
      @libandaonline5358 หลายเดือนก่อน

      Zungumza point Acha kubwabwaja ,,Acha ushabiki kwenye dini

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 หลายเดือนก่อน

      @@libandaonline5358 point ndo hiyo mcheni Allah acheni janja janja kwenye Dini ya Allah

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน

    Tunamuomba Allah awadhalilishe awafedheheshe matapeli na wizi wote wanaojiita mashekh hali ya kuwa mijambazi tu!!!

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 หลายเดือนก่อน

    Ssa ww mwenyewe mnafik km kisa mashindano ya Quran si na naww umfate?

  • @Mzeempoto
    @Mzeempoto หลายเดือนก่อน +1

    ww tapeli kama huyoo kubwazma akili alina kaaambali na sisi

  • @PeterAdam-nw7lf
    @PeterAdam-nw7lf หลายเดือนก่อน +4

    Shekhe sawa sawa alisho kifanya kwa sababu wale matapel na wanawadhalilisha wamama wa kislamu

    • @rizikilukali1558
      @rizikilukali1558 หลายเดือนก่อน

      Wanawadhalilisha kivipi shekh embu tusaidie

    • @saidabdurahman7936
      @saidabdurahman7936 หลายเดือนก่อน

      ​@@rizikilukali1558
      We hujui 😅😅
      upo Dunia gan mzee

    • @Awatee
      @Awatee หลายเดือนก่อน

      ​@@rizikilukali1558sasa vile kugaragara mbele ya camera mwanamke ni kumdhalilisha mitandaoni

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน

    Waripuliweee tu hadharani ni mijambazi tena wapo wengi sana Tznia kumejaa matapeli!! na Allah InshaAllah awafedheheshe hphpa duniani hawana Imani wanakula haramu!!!

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @abubashir3475
    @abubashir3475 หลายเดือนก่อน

    Matatizo yenu mnaojiita mashekhe mambo yenu yakishakhswiya mwayapeleka Kwa jamii mcheni Allah

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly หลายเดือนก่อน

    Jealous people never win! Wewe na hao matepeli wako kwa mzee Kagame mnafungwa vibaya

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 หลายเดือนก่อน +1

    Mkongoman na wew ni miongon mwa wanaotapeli wanawake kwaiy hatushangai kuchukia kwako

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana หลายเดือนก่อน

    Nyinyiote niwenye visokorokwinyu acenihasad

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa bida tablih unataka kumvujia heshima sheikh wa sunna kweli ivi ww unahuhakika gani kama akumuitisha wala amemuitisha yule sharifu

  • @MwanakhamisLumbili-x8g
    @MwanakhamisLumbili-x8g หลายเดือนก่อน

    Hiyo roho mbaya

  • @Zafarmohamedy
    @Zafarmohamedy หลายเดือนก่อน +2

    Mjinga sio tusi sheikh

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 หลายเดือนก่อน

    Umejuaje kua amefanya haya ili kujionesha kua kishki ni muumini, au unajua yaliojificha ndani y moyo, na je neno mjinga ni tusi

  • @FarhiyaNassor-hz8il
    @FarhiyaNassor-hz8il หลายเดือนก่อน

    Yarabbi tusamehe tulipo kosea utuelekeze panapo stahiki ktk njia za kher kwa sote hakuna mkamilifu duniani Allah akihifadhi kwa sot Inshallah

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx หลายเดือนก่อน

    Mashekh wa dar Hawa jaman

  • @Mumewangu
    @Mumewangu หลายเดือนก่อน

    Kishki ana elimu lakin hana hekima na busara. Mimi nimemfatilia sana na anapenda Dunia asilimia75 . pesa za zaka na misaada ya waislam anaficha na kufanya maendeleo yake binafsi.

  • @kambalembwekimughisa6095
    @kambalembwekimughisa6095 หลายเดือนก่อน

    14:29 umeshauri lakini umeingilia maisha binafsi ya kishki

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 หลายเดือนก่อน

    Acheni uhuni tafadhali Kishki hajakosea njia mnazotumia ktk tiba hazifai

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu หลายเดือนก่อน

    MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE, SHEKHE KISHIK ALLAH AKUHIFADHI DUNIAN NA AKHERA,

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid หลายเดือนก่อน +1

    Sis tumemuelewa kishik anachokiongea kmetuingia akil san wey nahs unaongea ushabk tu nawal ata kdg atukuelew

  • @fatmasuleimanhamad
    @fatmasuleimanhamad หลายเดือนก่อน

    Eti huyu Sheikh ndo amekuja kama msuluhishi. Sisi tumerogwa na nani?

  • @lototoreali7638
    @lototoreali7638 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazito sana

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe na ww ni mjinga ktk wajinga

  • @omari-vo7dy
    @omari-vo7dy หลายเดือนก่อน

    Ukweli lazima isemwe na sheikh msomi sheikh nurdiin kishki ...wengine tunyamaze

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh หลายเดือนก่อน

    Hapa Wawepo Ahlul sunna(mashafi, mahanafi, malik,nk) na Ibadhi inakuwa hakuna vurugu kwasabab wameishi miaka mingi bila kukwaruzana lakini Mawahabi toka kuja wao watu wote wanamakosa mpaka wamevuka mipaka wanasema wote hao ni makafiri

  • @MuniraRashid-c7o
    @MuniraRashid-c7o หลายเดือนก่อน +1

    Tapeli wa kicongo

  • @KisimaniTimbersupplier
    @KisimaniTimbersupplier หลายเดือนก่อน

    Sheikh kishki tupo sahihi na ameweka dhahir kwa kubainisha urongo na ukweli.
    Misingi ya kiislamu isiharibiwe na mambo ya urongo . Wewe pia mbona hukuweka kikao kuwaita wote ( shura ) ili uwaunganishe waislamu

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa hivi nasaha za kumfuata zimekuwa ngumu ni kumradi kwenye membali tu

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y หลายเดือนก่อน +2

    Mm nnachokiona ww pia umekosea ilitakiwa umfate shekhe kishk na unamsihi umueleze umekosea lakin na ww unakuja mtandaoni unaanza kumchamba mm naona umemchamba mara mambo yamashindano yamekujaje hapo hata ww pia ulikuwa na lako moyon ndio umepata sababu yakumdhalilisha huna ulichikifanya ndio kwanza umekuja kuchochea kuni moto uzidi kuwaka,,,, ila mungu anayaona mnayofanya na mtakuja kuulizwa umetumia vipi nafasi yako hapa duniani na mtaadhibiwa naomba mungu atujaalie mwisho mwema

  • @sudiksulaiman4730
    @sudiksulaiman4730 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana sheikh. Kwakweliniaibusana masheikh kukosoana mitandaoni nailhali ajuzi wakiwanajabo wanapasha kuitakikao [madjilsul'ulama] inaonekana nikutafuta ma views

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly หลายเดือนก่อน

    Huna Haya kutetea matapeli kweli? Shame on you

  • @SalamaMustafa-q5h
    @SalamaMustafa-q5h หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe sheikh wasema nn apo ati mwanao asoma shule ya kanisa najifunza nini kwa shule ya kanisa

  • @Hashimhassan-t4f
    @Hashimhassan-t4f หลายเดือนก่อน +1

    Someni dini

  • @allyslim7774
    @allyslim7774 หลายเดือนก่อน +2

    Ujielewi wewe nawe nawe

  • @sahabatwalbu9586
    @sahabatwalbu9586 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera umetumia hekima kubwa kuzungumza maashaallah

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np หลายเดือนก่อน

      Acha ujing unajuwa hekim nend kasikiliz shafii sio huyu

    • @AminaMrisho-g9e
      @AminaMrisho-g9e หลายเดือนก่อน

      Ameelezea anachokijua yeye Basi imetosha she na mwingine tutamsikiliza

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 16 วันที่ผ่านมา

      @@Niget-us1np wewe ni mpumbavu hiko kichwa chako umejaza mavi unayapa mabega mzigo usio na faida

  • @RahmaMohamed-bi4ro
    @RahmaMohamed-bi4ro หลายเดือนก่อน

    Shida inakuja yanayofanyi yapo hadharani wew utafanyaj ili kusaidia umma kama sy na wew kuyatoa hadharani allha akulipe shekhe wetu kishik pambana nao yatakwisha

  • @abuubabamzazi
    @abuubabamzazi หลายเดือนก่อน

    Sheikhe kishki yupo sawq

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 หลายเดือนก่อน

    Ww unava zungumza unaonekan unachuki binafsi

  • @SaidinaKhamisi
    @SaidinaKhamisi หลายเดือนก่อน

    Mh... Nawew 'ndio unazidi kuugawa ummah... waislamu wengi hawajasoma elimu zao nikusikiliza mawaidha ya masheikh sasa mkiwa mnachafuana hivyo.ni tatizo maana nafasi zinatofautiana sana ..hemb turudini kwa mwenyezi Mungu kwa kuombana misamaha na kuziondoa hizi video tatanishi..mana kiukweli kila mtu nyuma ya pazia anasiri zake.. Allah akiamua azifunuwe bas huenda wengine wakahama miji yao kutokana na aibu

  • @dred_boy
    @dred_boy หลายเดือนก่อน

    Simama na haki wacha hawaaa

  • @adenmohamedwarsame5580
    @adenmohamedwarsame5580 หลายเดือนก่อน

    i agree with you all of what you said but dont agree with u your kid to learn in christian school

  • @SabraBazi
    @SabraBazi หลายเดือนก่อน +3

    Mtaanguka nyie kifo cha mende kwa ujinga sasa naamini mungunkwa nn hajatushushia sisi weusi dini wajinga niwengi hadi mashehe 😢😢😢

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Unanipa raha Ukhti sabra😂😂😂😂😂Tuko pamoja

  • @OmarySima-r5l
    @OmarySima-r5l หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe unapuyañga tu, eti Kishki anauza sura.watu wengine bwana......."

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 หลายเดือนก่อน

    Kuna baadhi ya hoja za msingi umeongea ila kuna husda inakusumbua Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

  • @princematumbo
    @princematumbo หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh kumbe mpumbavu tu hivi?!anaongea ujinga na ushenzi mf

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan หลายเดือนก่อน

    Wajinga kweli hao kimama kwani hawamoni kama huyo mganga tapeli halafu wanauzalilisha uisilamu

  • @DohadrivingAcademy-lo1yy
    @DohadrivingAcademy-lo1yy หลายเดือนก่อน

    Tz mumezidi drama katika dini

  • @hawaaathman-rs8oy
    @hawaaathman-rs8oy หลายเดือนก่อน

    Masheikh wetu musilumbane nimaskitiko makubwa dini yetu haiko hivyo munavyo Fanya ,

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 หลายเดือนก่อน

    Haki na Batali inajulikana kwaiyo Sasa kaz kwetu Allah atufanyie wepec na kuijua Haki