- 29
- 26 257
PANGO MEDIA
เข้าร่วมเมื่อ 30 มี.ค. 2023
Mazinge Akingiwa Kifua na Sheikh Mtoto Swala la Kiki Mwijaku na Wenziwe-Sheikh Ramadhan
Usisahau ku subscribe channels hii
มุมมอง: 10
วีดีโอ
Walichokifanya Muajilina ya Buyuni Kigamboni Hakitasahaulika-Mwamba Kutoka Mafia Afufua Makabuli
มุมมอง 7214 วันที่ผ่านมา
Usisahau ku subscribe channels hii
Mtoto wa Miaka 9 Amlipua Harmonize na Sharifu Wake Aliyemtetea Kuenda Kanisan
มุมมอง 33หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Aliyeyaleta Mafuta Ya Upako Kwenye Uisilam Awajia Juu Masharifu Manyaunyau Huyu ni Ust Kesy Aliyeslm
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Khutba ya Ijumaa Iliyokonga Nyoyo za Watu-Umuhimu wa Kuwa na Taqwa na Hofu-Kima Temboni
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Mtifuano wa Ust Shafii na Doctor Siule Kutaka Kuhalalisha Habari zake za Majini Kupitia Mtume(s.a.w)
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Sheikh Ibrahim Mkongo Amuwakia Sheikh Nurdin Kishki Haya Maneno ni Mazito
มุมมอง 19Kหลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Zimwi na Ushenga Wake Aharibu Mambo Kinana Ashangaza Watu Jamani
มุมมอง 382 หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Mbowe na Mtoto Wakamatwa Magomeni Timbwilitimbwili la Nguvu Hali ya Jiji Latulia
มุมมอง 873 หลายเดือนก่อน
Mbowe na Mtoto Wakamatwa Magomeni Timbwilitimbwili la Nguvu Hali ya Jiji Latulia
Kija Mdogo Amwaga Pesa Maulid ya Azhar Mtoni Mtongani Sikiliza Msgindo Huu wa Maana
มุมมอง 823 หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Anaishi Kwenye Mikoko ya Baharini Maajabu Haya
มุมมอง 763 หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
CHUNGWA LALETA NONGWa-Mariam na Mbwagila
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Balaaa la Al-Madrasatul Azhal Mtoni Mtongani
มุมมอง 1483 หลายเดือนก่อน
Usisahau ku subscribe channels hii
Miamba Kutoka Katika Kisiwa cha Koma Yafanya Balaaa Mtoni Mtongani Yamuinua Sheikh Alhady Mussa
มุมมอง 3253 หลายเดือนก่อน
Miamba Kutoka Katika Kisiwa cha Koma Yafanya Balaaa Mtoni Mtongani Yamuinua Sheikh Alhady Mussa
Nitaishije Epsode 2-Mp skills Production Dr Mudy Pango
มุมมอง 6783 หลายเดือนก่อน
Nitaishije Epsode 2-Mp skills Production Dr Mudy Pango
Mchungaji Aliyesilimu na Siri za Mafuta Wanayotumia Baadhi ya Wachungaji-Kessy Ruben
มุมมอง 674 หลายเดือนก่อน
Mchungaji Aliyesilimu na Siri za Mafuta Wanayotumia Baadhi ya Wachungaji-Kessy Ruben
Apokonywa Simu Kisa Madanga-Ushauri Umemponza
มุมมอง 1K5 หลายเดือนก่อน
Apokonywa Simu Kisa Madanga-Ushauri Umemponza
Zama za Mwisho-Ustadh Hamisi(Dir Mudy Pango)
มุมมอง 3965 หลายเดือนก่อน
Zama za Mwisho-Ustadh Hamisi(Dir Mudy Pango)
NITAISHIJE-Epsod-Mp Skills Production
มุมมอง 2356 หลายเดือนก่อน
NITAISHIJE-Epsod-Mp Skills Production
Inahuzunisha Jamaa Ateswa na Hali ya Umaskin Aliokuwa Nao Dharau Anazofanyiwa na Watu Wake wa Karibu
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
Inahuzunisha Jamaa Ateswa na Hali ya Umaskin Aliokuwa Nao Dharau Anazofanyiwa na Watu Wake wa Karibu
Jamaa Ampiga Mkewe Kisa Juisi ama Kweli Ibilisi Ni Kiumbe Mbaya Sana
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
Jamaa Ampiga Mkewe Kisa Juisi ama Kweli Ibilisi Ni Kiumbe Mbaya Sana
Kuamka na Janaba Ndani ya Mwezi Ramadhani
มุมมอง 127ปีที่แล้ว
Kuamka na Janaba Ndani ya Mwezi Ramadhani
Mke Amdhalilisha Star Maarufu Mbele ya Rafiki Zake
มุมมอง 179ปีที่แล้ว
Mke Amdhalilisha Star Maarufu Mbele ya Rafiki Zake
Mvuvi Aliyemezwa na Chewa Kigamboni Dar- Hiki Hapa kisa chake full Mkasa
มุมมอง 214ปีที่แล้ว
Mvuvi Aliyemezwa na Chewa Kigamboni Dar- Hiki Hapa kisa chake full Mkasa
Wanga na waganga wametifuliwa
Kikweli shekhe achakuwatetea watu walio danganya watu kwenye hazara ya watu na wao waelimishwe mbele ya watu ili libainike kama vile uongo wao
Sasa mnaompinga huyu Maalim n wap kakocea mbona anaongea fakti tupu
Nakubal mwanang ustadh Diego
Umejitahidi mkongo
Ukweli lazima isemwe na sheikh msomi sheikh nurdiin kishki ...wengine tunyamaze
Wewe ni pumbavu tu unaejikwatua Wala usijiite shekh muimba kwaya wewe
ALlah akuhifadh shekh kishkii na hasadii
Naweza kupata? Niko nairobi
Safi kabisa
Njaa zenu zitawepeleka pabaya
Tunamuomba Allah awadhalilishe awafedheheshe matapeli na wizi wote wanaojiita mashekh hali ya kuwa mijambazi tu!!!
Da!!!! sheikh umeizalilisha bakwata kama ndo viongozi wa mkoa wapo hivi kazi ipo
Sheikh mbona unasema wanao piga picha na watoto yatima wanajionyeshaa mbona unasema mtu wa kwanza kuingia kwenye mashindanoyenu anapewa gari na unasema angalieni kwenye kamera , sheikh unatakiwa kutoahoja kutokana na sheikh firdausi. Na sio kuhamisha mada na kujiingiza kwenye migogoro binafsi.
Hahahahaha!!! Sheikh naona unajaziba watuwengi hapo awali walikua wanatoa swadaka bila mapicha ila kutokana na watu kitokia na imani wamekua wakipewa misaada kupeleka mahari wao wanapiga hizo swadaka? ndo mana watu wanataka picha ili wajue kama swadakazao zimefika na si kutaka kujionyesha
Sheikh mbona nawe hukumfata yeye badala yake umekuja kwenye mitandao?.
Nyie Walaji tuu!! unachoongea hukijui
Kishk wabomoee tuu pigania dini kwa njia ya hakh hawa matapeli achana nao
Waripuliweee tu hadharani ni mijambazi tena wapo wengi sana Tznia kumejaa matapeli!! na Allah InshaAllah awafedheheshe hphpa duniani hawana Imani wanakula haramu!!!
Kwa nini kimyakimya? Wafichwe matapeli? Usituzingue hapa??
KARNE HIZI NDIZO ALIZOSEMA MTUME S.A.W. ALITAMKA WATAKUWEPO MASHEIKH NAMANABII WANAFIKI MSIWAFUATE NIFATENI MIMI HAMTOPOTEA SASA LEO MASHEIKH WENGI MNO MAUSTAADHI WENGI WAGANGA N😮DANI YA UISLAMU WATU WANAICHEZEA QUR'AAN KWA U TAPELI WAUGANGA LEO QUR' A😢AN NIBIASHARA 6:17
Nawe kama sheikh niharamu kumlaani mtu wewe unachotakiwa lingania kwa uadilifu nahekima
Ivi wewe unasema ivyo alaf unajipinga mwenyewe mbona wewe unasema mitandaoni n'a wewe tukusheje,
Kwenu waislamu ndo mmepewa na MUNGU WENU Shetwani Hila sisi wakristo MUNGU WETU ametupa YESU KRISTO hivo kaeni na Shetwani lenu
Bila ya shaka huu mjadala unatokana na kutoelewana kati ya mashekhe hawa wawili!mada ya mezani ni uhalali wa kuwatumia viumbe wa Allah akiwemo JINNI,. Tuambieni ni halali au haramu!?
Wewe unamatatizo pia jifikirie vizuri
Kishki ana elimu lakin hana hekima na busara. Mimi nimemfatilia sana na anapenda Dunia asilimia75 . pesa za zaka na misaada ya waislam anaficha na kufanya maendeleo yake binafsi.
Matabibu wanamatatizo
Wacha hizo wewe ukweli wenu umejulikana matapeli mulo jificha katika dini
Acha mawenge wewe kama Kishki aliongea na umma huyu anaongea na kijiko? Kishki alimtaja mkewe au baba yake kwanini alimtaja na kumkebehi muislam mwenzake? Kwanza ndio unaweza kukuta akawa sheikh shoga ingawa anasingizia kupaka wanja sunna
Majini oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Subirini kidogo tutaona bakwata inavunjwa sijui mtafanya kazi gani.masheikh wa upako
Ibrahim mkongomani umeshikwa kooni, tunawafahamu vizuri mashekhe , bahati nzuri nimehudhuria kongamano lakini mmhh! ALLAH shaahid.
Waislam tupo pamoja na kishki
WEWE UNAESEMA HAPO KWA UKASOME IYO ELIMU MANA HUJUI UNACHOKIFANYA KABISAAA , MTIHAN MKUBWA SANA ,ACHA CHUKI ,ACHA DHANA,BAKWATA IPO SIKU MUTAJUA IPO SIKU MUTAJUA IPO SIKU MUTAJUA TU KWANINI ALLAH alituletea QUR,AN ,KISHA AKATULETEA MWALIMU KIPENZI MTUME MUHAMMAD ( S A W)
MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE, SHEKHE KISHIK ALLAH AKUHIFADHI DUNIAN NA AKHERA,
Hajasema hivyo acha unafiq ostadhi 😅😅😅
Shida inakuja yanayofanyi yapo hadharani wew utafanyaj ili kusaidia umma kama sy na wew kuyatoa hadharani allha akulipe shekhe wetu kishik pambana nao yatakwisha
Kishki ana'amirisha mema!! Mnataka uovu usambaye??
Shelhe wasomi tutakuelewa tu wafia dini na mbumbu hawawez kukuelewa maana wapo kimiemko tu na siyo hoja. Big up sana shekhe mim ni Mkristo lkni hoja zako ziko wazi
😂😂😂😂
Ni kweli shekh umeongea vizur angemwita tu akaongea nae Kila siku waislam wanabishana
Anwite wapi wakati wao wametoka kueleza kwenye media na sheikh kishki amemjibu kwenye media ili waumini waone na waepukane nae
Mashekh wa dar Hawa jaman
Yaani wewe unapuyañga tu, eti Kishki anauza sura.watu wengine bwana......."
i agree with you all of what you said but dont agree with u your kid to learn in christian school
Yaani hii dini ya namna hii, yenye majini? Mhhhhh
Acha izo we Nurdin ni mtu na nusu we
Masheikh wetu wa dini ya ki Islam mnafanya haya jee sisi maamuma tufanye nini?acheni kukashifiana ktk mitandao
ww tapeli kama huyoo kubwazma akili alina kaaambali na sisi
Maneno mazito sana