TB JOSHUA NIMEMKUTA YUPO KUZIMU na niliongea nae./ TB Joshua is in hell I have talked him

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 224

  • @emmanuelmateru2190
    @emmanuelmateru2190 ปีที่แล้ว +5

    Nilikua nakufwatilia sana, ila kwa uzushi huu, eti umemwona Tb Joshua kuzimu!!!! Huna tofauti na zumaridi wewe.

  • @brownmtofole
    @brownmtofole ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Acha porojo,TB Joshua aliihubiri injili ya wokovu duniani kote na watu kwa maelfu walimjua Mungu na kuokoka..!aliwahubiria maskini habari njema na kuwapa misaada mingi.Alionyesha imagine inayotenda kazi ya kuwaponya wale wote walioonewa na ibilisi,alijishusha na kunyenyekea mbele za Mungu,kamwe hakujisifia kama ufanyavyo ww.Hatuoni kazi za Mungu unazofanya za kumzidi TB Joshua aliyehubiri duniani kote,ww hata Msumbiji hapo hujafika

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 ปีที่แล้ว +17

    Ikiwa Yesu aliitwa mkuu wa pepo, sishangai kusikia unamwita T. B. Joshua nabii wa Uongo. Lakini mimi naamini bila shaka yoyote kwamba T. B. Joshua alikuwa ni nabii wa kweli wa Mungu aliye hai. Nabii wa uongo hawezi kufundisha watu wautafute kwanza ufalme wa Mungu, hawezi kuwafundisha watu jinsi ya kuishinda dhambi/kuishi maisha matakatifu, hawezi kuhubiri upendo, msamaha, n. k.
    T. B. Joshua licha mema mengi aliyo yatenda enzi za uhai wake, alikuwa ni mtu anamcha Mungu sana, aliwapenda watu wote bila kujali taifa lao, dini yao, itikadi yao and so on. Tena alihubiri na kufundisha haya yote niliyo eleza hapo juu.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว +4

      KUNA MWEZIO ALISEMA GERDEV NI NABII WA MUNGU KWA SABABU ANAGAWA PESA ANASAIDIA WATU.
      sio kwamba ameambiwa na Mungu .. Yeye ameona kwa sababu anasaidia. Na wewe ona hivyohivyo
      Video inamaelezo ya kujitosheleza
      Wewe kama unatazama kwamtazamo wako wa kifikra.. Sawa.

    • @edsonkumenya5626
      @edsonkumenya5626 ปีที่แล้ว +4

      @@unyakuotv.1391 Moja ya ya tabia mama za nabii wa uongo/shetani mwenyewe ni;
      hawezi kukemea dhambi wala kuwafundisha watu waache dhambi. Hii ni njia rahisi ya kuwatambua manabii/watumishi wa uongo...!

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว +1

      udhibitisho wako unautoa wapi.
      KAKOBE MBONA ANAKEMEA DHAMBI NA NI WA UONGO. Kwani hujamsikia zumaridi anasema nae kaenda mbinguni. Kakutana na yesu wa tongalen

    • @cellinamuro6872
      @cellinamuro6872 ปีที่แล้ว

      Wewe ni muongo na baba wa huo uongo usitulishe matango pori shetani wewe huna haya Wala humuogopi Mungu uanataka sadaka za watu kuzimu inapima nguvu ama kweli umekamatwa Kwa maneno ya kimya chako Mbingu ndio inapima wewe ni kibaka wa Lucifer kwendaaaaaaaa

    • @edsonkumenya5626
      @edsonkumenya5626 ปีที่แล้ว +3

      @@unyakuotv.1391 Bro kama kweli wewe unamtumikia Mungu wa kweli, acha kuwa attack watumishi Mungu, wewe lihubiri neno la Mungu, na kwa neno hilo watu wataijua kweli na kweli hiyo itawaweka huru.

  • @acosta2603
    @acosta2603 ปีที่แล้ว +8

    Duh sasa unaelekea kubaya ndg, mi sijui sasa unamtumikia Mungu yupi! Kuwa makini sana maana Mungu wa kweli yupo endelea kudanganya

    • @ntulisuzan897
      @ntulisuzan897 ปีที่แล้ว +1

      Hamna Kitu hapo😂

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      Pepo Hilo

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

      Fuatilia ushuhuda wa KENZO na ASTON MBAYA

    • @RedentaMahessa
      @RedentaMahessa 5 หลายเดือนก่อน

      Yupo sahihi. Akuwa mtumishi wa kweli.

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

      Yeye mtumish kweli

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 ปีที่แล้ว +3

    Umeonana naye katika mwili gani ni huu wa nyama au mwili wa kiroho maana huwezi kuonana na mtu kiroho ukiwa na mwili huu wa nyama acha kutudanganya.

  • @yudamwakatobe338
    @yudamwakatobe338 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu kama una mashaka na ujumbe wake au ushuhuda wake ingia kwenye maombi mulize Roho Mtakatifu mara mbili au mara tatu yeye ni mkweli atakuambia kwani yeye ndiye msaidizi ambaye Bwana Yesu alituachia hapa duniani. Lakini soon kutukana watumishi wa Mungu Kwa maana huyu Nabii TB Joshua watumishi wengi wameshuhudia wamemwona kuzimu basi na wewe ingia kwenye maombi mwulize Mungu na kama ni ukweli atakuambia na kama ni uwongo hivyo hivyo.

  • @lightouma477
    @lightouma477 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli MUNGU akusamehe sanaaaaa

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 ปีที่แล้ว +4

    Watu mnajisumbua juu ya wengine ila tusijisahau. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe... Kila mtu ana kiporo kinamsubiri

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว +5

    Kazaa wa Toto wa Giza wengi huku duniani ,mwingine alisema ,Kila anaye ingia kwenye sinagogi la tb Joshua una wekwa alama,na wengine aliwaona jehanamu,mwingine alisema alimuona ana Pete nyeusi kidoleni mwake ktk ulimwengu wa roho ,,

    • @WilliamNamende-pc9ku
      @WilliamNamende-pc9ku ปีที่แล้ว +2

      Huyu nabii hata Mimi MUNGU aliniambia mwaka 2021aliniomyesha jinsi anavyofanya katika huduma yake nakuwa hakuwa na nguvu ya MUNGU

  • @tujajackson8142
    @tujajackson8142 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ulionyeshwa mapepo wewe Mungu sio wa hivyo. Jichunguze sana

  • @flavianchamuriho7519
    @flavianchamuriho7519 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hujioni kuwa wewe ndo uko kuzimu Tb Joshua ameenda kwa baba Mbinguni kupumzika baada ya kazi njema ya bwana Mungu aliye hai

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

      Mbingu ya kwako?

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 ปีที่แล้ว +1

    Kinachosumbua watu wengi hata kufikia mahali kama hapa,ni kukosa NENO LA MUNGU mioyoni!!

  • @isayamwasile3103
    @isayamwasile3103 ปีที่แล้ว +1

    Umeona maluweluwe,Mapichapicha ,kama Mfalme Sauli avyoomba mzimu wa Samwely,kumbe uongo mtupu,Wewe ulifuata Nini huko Kuzimu

  • @nicodemusmaelo3442
    @nicodemusmaelo3442 ปีที่แล้ว +8

    Kwani nawe ulikua umefata Nini huko🤔🤔

    • @charlesmbunda6759
      @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @rashidhassan8156
      @rashidhassan8156 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gideonkayala3913
      @gideonkayala3913 10 หลายเดือนก่อน

      Kaka huyu nabii simuelewi kabsa yaaan kumsema nabii TB Joshua hapo yeye nadhani ni nabii wa uwongo mmh yeye alifuta nn kuzimu Muongo kabsa kabsa

  • @Deogreciousfilberty
    @Deogreciousfilberty ปีที่แล้ว +1

    List ya manabii unaijua wewe acha unafiki, shetani amekuonyesha sio Mungu,

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umekuja na ufunuo wa kuzimu wewe pia na wale wale unakuja na mambo tofauti sana

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nakupenda sana kwa sababu una stori nyingi sana na zonte ni nzuri usiache kutupa stori nyingine kesho ya Bushiri wa Malawi

  • @peteremmanuel111
    @peteremmanuel111 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mwenyewe ni muongo unatupanga tu kwa kupigania tumbo lako😂😂😂😂

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว +2

      Uongo wake nn?

    • @adriannebatakanwa6904
      @adriannebatakanwa6904 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha watu hujibu bila break. Hawajui hukumu yake. Anajibu hivo amemuuliza Mungu au anajibu tu?

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna mtu anayemwamini Kristo Yesu atakwenda Kuzimu NEVER EVER.

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      Huyo Ni begi la shetani.Anaongea upuuzi.

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

      Kamfuatilie mtu anaitwa ASTON MBAYA toka Congo nae kasema Tb Joshua alikuwa kuzimu, kuna mwingine nae anaitwa Enzo, Yaani wapo wengi sana.

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      @@ivanf.lekule5618 Ukisikia MTU anasema kaenda KUZIMU huyo Ni Mali ya shetani,huko ndiko kwao,wanayajua ya KUZIMU,jamaa zake Ni hao waliyo KUZIMU.Waliyo wa MBINGUNI watatuletea habari za MBINGUNI aliko KRISTO. Hao Ni mipumbavu.

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

      @@maswamills3161 nenda Promover tv kuna shuhuda nyingi. Kila mtu kapewa kipawa chake. Sio kila mtu Mungu atampeleka mbinguni na kuzimu. 🙏🙏

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

      @@maswamills3161 Biblia takatifu unatuasa tuwafundishe watu kuhusu kuzimu na mbinguni. Kuzimu ipo

  • @EliaFrank-i7e
    @EliaFrank-i7e หลายเดือนก่อน

    TB JOSHUA hawez kwenda mbinguni hata siku. Wana wa Mungu hawaendi katika ulimwengu wa Roho wanaenda katika ulimwengu wa kimwili. Hawajui hata shetani anaponya lakin kiroho haponyi. Ulimwengu wa kiroho narudia Tena TB Joshua anaingoja jehanam

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 ปีที่แล้ว +1

    Luka 19:23 kuzimu ni sehemu ya mateso na sio sehemu ya kugawa vyeo,kama yeye yupo kuzimu sisi haitusaidii kitu,soma ujumbe wako,marko 16:15~16 iyo sio kazi uliyo tumwa na kristo

  • @estherjustine8251
    @estherjustine8251 ปีที่แล้ว

    Wewe km ni Mtumishi hubiri neno la Mungu achana na kusemasema watumishi wengine
    Unafahamu kuwa km mtu anayo maarifa ya Roho wa Mungu hata kwa muonekano wako hauonyeshi km unaweza kuvuviwa na Mungu, acha uongo baba, katafitie tumbo lako chakula kwa njia nyingine usipotoshe watu
    Acha Uzumaridi baba.....

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA ปีที่แล้ว

      HUO SIO UZUMARIDI BALI KUMKOSA YESU .HUYU HANA YESU AKIWA NA YESU ATASEMA KWELI .NJE YA YESU NI LAZIMA UWE MWONGO NA BABA WA UONGO NI SHETANI

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 ปีที่แล้ว

    Wewe sio wa Mungu ni wa kuzimu wenzio tunahubiri yesu hatuhubiri kuzimu.tajiri na Lazaro kuzimu kuna shimo kubwa walioko huku hawaendi huko TB josbua alikufa peaceful acha hiyo utalipa gharama kubwa sana

  • @harrisonhendry4582
    @harrisonhendry4582 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda shuhuda ila kwaushuda huu umetudanganya

  • @Monica1Mona1
    @Monica1Mona1 ปีที่แล้ว

    Hapana umetudanganya sasa,nilikuwa nakuamini lakini sasa ivi ninawasiwasi nawewe.T.B.Joshua ni Nabii Mkuu wa MUNGU

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว

    Maono na maufunuo na maunabii... Kuweni makini watu wa Mungu!!!!

  • @joshuaezekiel8257
    @joshuaezekiel8257 4 หลายเดือนก่อน

    Acha upuzi kutuma ujinga kwenye mtandao Huyu Mungu munaye mtania hipo siku mtajuta hushua wako wakijinga unatuma kwenye mtandao Mungu akuhurumie kijana sina uwakika kama ukotimamu kiakili

  • @peteremmanuel111
    @peteremmanuel111 ปีที่แล้ว +3

    Izo nguvu zako nenda muhimbili mkawaponye wagonjwa sio kuja kwenye media na kudanganya watu ipo siku mtakuja mzalilike na muumbuke kama brazil walivyo mtania mungu wakaadhibiwa na nyinyi ipo siku izo dhihaka zenu mtakuja kula adhabu ikawe fundisho kwako mpaka kizazi chako

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 ปีที่แล้ว

      Mungu hajaribiwi hivyo ndugu yangu, hata BWANA Yesu hakwenda hospitali bali waliomwita yaani waliomhitaji ndiyo aliwaombea, zingatia hilo sana

  • @ej4409
    @ej4409 ปีที่แล้ว +1

    MWAKA JANA ULITO UNABII KWAMBA MWAKASEGE, AMEMALIZA MUDA WAKE ATAKUFA, PIA ULISEMA HATA GWAJIMA NA MWINGINE MMOJA. LAKINI ULIDANGANYA KWASABABU UNABII WAKO HAUKUTIMIA. WATUJMISHI HAO HAWAKUFA, SO MIMI NAPATA SHIDA KUAMNI KILA UNALOTUELEZA.

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 ปีที่แล้ว +1

    Kwa,hiyo wewe ndo wa kweli😂we mganga wa kienyeji hutakaa wala huwezi kumfikia T.B.Joshua wewe,yule ni mtoto wa Yesu kindaki ndaki,wewe ni mtoto wa mizimu ya kwenu.kwa taarifa kidogo kwanza wewe lugha ya,kiingereza,hujui!! So huwezi na,hujawahi kumuelewa,TBJ.halafu Yesu walimwita anatoa pepo kwa uwezo wa belzebul mkuu wa mapepo.Yesu akawajibu kama mi natoa pepo kwa uwezo wa belzebule na nyie ambao ni wa giza mnatoa kwa uwezo upi.giza haliwezi kutoa giza.ndo mana Yesu alikuwa anaua mapepo,na TBJoshua ndicho alichokuwa akifanya.nafkiri sasa utajiona wewe ni wa upande gani,ila kwa haraka wewe ni wa upande wa,belzebul kazi alizofanya TBJ wewe huwezi na wala hutakaaa ukaweza,mpaka unaenda kaburini.wanaokufuata ni kuja kusikiliza,mizimu,yako.

  • @UwepoTv
    @UwepoTv ปีที่แล้ว +6

    Hakika Mungu amefunua yaliyojificha nyuma ya huyu TB J na alisaidia wengi kuwaingiza kupata nguvu za kishetani na kuwa wahubiri ..mimi nasubiria list ya awamu ya pili manavii na watumishi wa uongo Barikiwa Nabii

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi หลายเดือนก่อน

    Kumbe na wewe ni wahuko,hakuna aliyeenda kuzimu na kurudi isipokuwa Yesu nae alienda kwa kusudi ya kumnyanganya shetani funguo na kuwatoa wale waliokuwa huko!

  • @edwardsamwel5084
    @edwardsamwel5084 ปีที่แล้ว +5

    Tusaidie pia kuhusu kanisa safina arusha

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +2

      Jifunzeni kumtafuta mungu ninyi wenyewe, pazia la hekalu limepaduka,ukimtumaini mtu hujii malengo yake kwenye kile anachokisimamia plz mtafute mungu wewe mwenyewe

    • @ej4409
      @ej4409 ปีที่แล้ว

      @@rosemuhandoofficial5676 Hapo uko sawa kabisa dada Rose

    • @subirachristopher1984
      @subirachristopher1984 ปีที่แล้ว

      hakuna mtumish ambae Haambiw ni wa kuzim. ht yeye watu wanaoneshwa kuwa ni mchawi.
      jamaaani!!!

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 ปีที่แล้ว

    Wasiosoma neno ndo waumini wako,TBJ katufundisha kusoma neno bible mzee soma ukoingozwa,na,roho mtakatifu huna neno unaongea tu hisia huna neno huna Yesu,huna Mungu,huna Roho mtakatifu,pumba

  • @godfreyngajilo3795
    @godfreyngajilo3795 ปีที่แล้ว +1

    Kanisa pentekoste limetekwa na shetani, matahira wanaopaswa kupelekwa mirembe ndo wanakuwa wachungaji,

    • @mosesdouglas7902
      @mosesdouglas7902 ปีที่แล้ว

      Sio kutekwa tuu ,Bali imekua kiwanda cha shetani kuzalisha vitenda kazi vya ushetani ,😢😢😢May God have mercy on us 🙏

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii ปีที่แล้ว

    Yani watu wa hivi wamenisumbua sana ni Moja ya mchawi ni wewe wewe una yesu Gani ili tukuamini

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Mimi sijawahi ona mwafrica kaonyeshwa mambo ya sayansi mtanisaidia ni kwa nini wazungu wao wapo wanaoteshwa vitu vya technology Sisi walaaa.

  • @EmilianaInnocent-yv4pm
    @EmilianaInnocent-yv4pm 7 หลายเดือนก่อน

    Pia nafatiliaga sana manabii shuhuda hata za nchi mbalili mbali vingi ni ukweli naamin ktka kila kitu unachosema yesu akutinze

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 ปีที่แล้ว

    Sikiliza shuhuda za waliokuwa ma satanist, utaelewa sifa zao. Sharti mojawapo ni lazima kutoa sana ili kusababisha confusion na kuvuta watu. Usipokuwa mtoaji kwa hela anazokufanikishia shetani, anakuua. Kwa nini kutoa sana? Ili kusambaza roho chafu zilizomo ndani yao na kupitia manuizo mabaya. Jitahidi kusoma Neno la Mungu zaidi na kumkaribia Baba wa Mbinguni Atakufunulia. Hana Upendeleo.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA ปีที่แล้ว

      Wataka kuniambia Ibrahimu alivyomtoa Isaka kuwa sadaka alikuwa ana agano na Shetani?????? Kwa hiyo tusiwe watoaji Kwa Mungu kwa kuwajali wenye Uhitaji???? Shida ipo kwenye Ufahamu wako !

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว +1

    UKWELi,kiuhalisia TB Joshua hakuwA mtumishi wA Mungu Alie Hai,hii nimeifanyia utafiti mkubwa kwani mwanzoni na Mimi nilikuwa Nina mkubali kama mtumishi wA Mungu,maana hata watoto wake wA Kiroho akina suguye n,k ukiangalia huduma zao za kuomba kucha na nywele ni mambo ya kipepo,

    • @Dd-mu4fj
      @Dd-mu4fj ปีที่แล้ว

      Ila Tbj hajawahi kutaka kucha na nywele

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 6 หลายเดือนก่อน

    Inaonekana hata biblia huijui vizuri .vizuri.Kuzimu sio sehemu ya kutalii.Anayekwenda kuzimu hatoki huko mpaka wakati wa ufufuo wa pili ambapo Yesu atakuwa ameketi kwenye Kiti Kikubwa Cha Hukumu kuwahukumu wote ambao watakwenda Kuzimu

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 ปีที่แล้ว

    Tunakujua wee ni wakuzimu kwaiyo lazima mjuane

  • @annak6738
    @annak6738 ปีที่แล้ว

    Mimi nakushauri mtafute Mungu maadam anapatikana,wewe Injili yako ni kuwasema Watumishi Wa Mungu, whether yuko kuzimu au Mbinguni tengeneza maisha yako na Mungu, Mungu mwenyewe atakuja kuchekecha Pumba na Ngano.Nafikiri hii Channel yako ni kwa ajili ya kuwasema Watumishi wa Mungu.Hubiri Injili ya Toba watu Waokoke. Wewe kila wakati ni kujihesabia haki.Ungetuambia Malaika wa Mungu Alikuja akakupeleka Kuzimu tungeamini kidogo,mara tena Ndege ya Kuzimu ndio uliipanda mmh!! Inaonekana na wewe ni wa Kuzimu.Hubiri Injili ya kuwaleta watu kwa Yesu Kristo Siku zimekwisha Yesu Kristo Anakuja Kuchukua Kanisa lake haraka mno!!

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 ปีที่แล้ว

    Miujiza feki,nabii kama hizi tuna zipima kwa KWELI YA NENO LA MUNGU!!

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 ปีที่แล้ว

    Huyu kweli hama,undugu na yulw tapel mwingine zamarid hawa wehu wote hawa wapelekwe mirembe

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii ปีที่แล้ว

    Sasa yesu alifanya makubwa sana hapa duniani wewe kama mwana wa Nuru uweza wa kristo kwako uko wapi matendo makuu na neno la Mungu kwako liko wapi

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa siyo MZIMA!!!
    ila inawezekana hajitambui

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 ปีที่แล้ว

    Jamani siku hizi ni za mwisho.kwani akiwa kuzimu shida iko wapi ole wako kuzimu ulifuata nini huo ni uongo TB Josbua yuko mbinguni na tutamkuta kwanini Mungu akuelezee tu joshua .tena tubu acha kutoa shuhuda za kuvunja moyo Yesu bado anahubiriwa na watu wanaokoka

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 หลายเดือนก่อน

    Watanzania mbona hamna uoga kama anasema uongo inawahusu nini si mmuache na Mungu wake je kama ni kweli mtasemaje mbele ya Mungu!!?

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa nabii wa ukweli vipi ULISEMA MWAKASEGE ATAKUFA MWEZI WA SABA MBONA BADO YUPO??

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @EmilianaInnocent-yv4pm
    @EmilianaInnocent-yv4pm 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi cjui niseme nn ila mtumishi kila unacho ongea kuna na baadh ya watumishi mnaongea vinafanana mm nacho amini ww ni mtumishi wa kweli kabsa na nabii hawez kuheshimika nyumban kwake usiache kuombea taifa letu yesu akutie nguvu na ujasiri

  • @EsauBakari
    @EsauBakari ปีที่แล้ว

    hizi shuhuda ni zifatiria sana uwe mtu umesoma sana biblia unaerewa ma andiko matakatifu Ra sivyo utapotea razima unapo sikiriza uzipime katika ma andiko maana wapo ware wanao SEMA ukweri na wanao Tunga Kwa njia ya uongo anao SEMA utakupereka kwenye ma andiko

  • @kimsi682
    @kimsi682 ปีที่แล้ว

    Umedhibitisha vile Aston Adam Mbaya alisema. Lakini, niaje ulimbembwa kule na denge za kuzimu?? Yaani UFOs vile naelewa?? inakuaje mtu wa Mungu, anasafirishwa na ufos? Hapa nachanganyikiwa! Kwanini sio malaika wa Mungu akupeleke huko? Pili, huyu T.B Joshua alikupa taadhari za watu hapa duniani?

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 ปีที่แล้ว

    Wengi mtaumia na kuhukumiwa kwa uvivu wa kumhakikisha Mungu kwa kile nabii alichosema. Mi binafsi TBJ akiwa hai alipambana na mimi katika roho kuninyang'anya nyota. Sasa kama wewe ni mkristo vuguvugu haya mambo si rahisi kwako. Rudi magotini muulize Mungu nawe akueleze ukweli kuliko kutweza unabii. "Usimguse masihi wa Bwana". Je Musa hakuwa na kigugumizi? Ulitaka Mungu Akuchague wewe? Mungu huchagua kutumia vinyonge aviaibishe vyenye nguvu!!

  • @josephatjoseph1755
    @josephatjoseph1755 9 หลายเดือนก่อน

    Aisee wameumbuka huko tb joshua anatanganzwa mambo yake kila sehem

  • @ministerbarakaeliakim4359
    @ministerbarakaeliakim4359 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa MUNGU yoyote hawezi kumsema mwingine na siku zote Mtumishi wa MUNGU anaesemwa sana vibaya huyo ni GENERAL KWENYE UFALME WA MUNGU... I love TB joshua he changed my life sasahv mm ni evanglist because of this man TB Joshua❣️❣️

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 หลายเดือนก่อน

    Bbc nao si wamesema hayo ninyi watanzania wenzangu kama mtu anasema uongo si mmuache wa nini huyo!!

  • @lukaerinest8004
    @lukaerinest8004 ปีที่แล้ว +2

    Kuna clipu ya devidi richard akihojiwa na mwandishi kuhusu tb joshua alisema yuko mbinguni

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว +3

      Kabla ya kifo au baada.
      Maana ukishakuwa wa uongo utatetea uongo

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs ปีที่แล้ว +2

    Sishangai kwani ww mtu wa tatu kusikia juu ya TB JOSHUA yuko kuzimu

  • @woltermbowe2728
    @woltermbowe2728 5 หลายเดือนก่อน

    wapendwa katika bwana,huyu MTU anashida

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe una mapepo ,peleka Ushetani wako KUZIMU kwa JINA LA YESU. Utakuwa msukule siyo bure

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 ปีที่แล้ว

    Mbona Mimi sijawahi sikia hiyo listi ya manabii wa uongo na nimefuatilia Sana mahubiri yako eeh Nabii wa MUNGU , Ubarikiwe kwa kazi nzuri mahubiri yako yamenichenga kwelikweli

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว

      Andika manabii wa uongo
      Tafuta Itakuja utaiona imeandikwa. 6-manabii wa uongo . ni namba 6

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Fj8fLG1CtQM/w-d-xo.html

    • @jorambranchofmud6299
      @jorambranchofmud6299 ปีที่แล้ว

      @@unyakuotv.1391 asande

    • @peteremmanuel111
      @peteremmanuel111 ปีที่แล้ว +1

      Clip 6:30 eti niliona viumbe ambavyo sivielewi alafu ukawataja eti mapepo hao bado unacheo kidogo sana kwenye kutengeneza story za uongo na hiyo ni madhara ya kukimbia umande mnakuja kuchota watu akili na story zenu za kutunga zilizo jaa uwongo ambao hata mtoto wa darasa la 3 akitulia anaweza akakuumbua ushauri tafuta biashara ufanye dini itakuzaririsha na hao unaowaponda unaweza sababisha vita au uchochezi wa kidini ambao ni hatari kwa maslai ya jamii na nihatari kwa kulitetea tumbo lako

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว +1

      @@peteremmanuel111 havieleweki maumbile siyo asili

  • @teresaigoki3872
    @teresaigoki3872 ปีที่แล้ว

    Tutakujua Kwa vitendo vyako sio Kwa maneno matupu!
    Mimi naamini ninayoyaona

  • @josephinemwamgiga4578
    @josephinemwamgiga4578 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mara ya kwanza nathubutu kutamka na kwa uhakika pasipo shaka nimeamini wewe na unamtumikia shetani. Na kuanzia Leo ni mwisho wa kufungua hii channel ya upotoshaji.

  • @gracethomas4621
    @gracethomas4621 ปีที่แล้ว

    Mpinga Kristo wewe tena ni pepo wa kuzimu fyooooo😈😈😈😈

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wakipata hayo maombi yao wafunge wamuulize kama kweli it's from God

  • @propKibali
    @propKibali 9 วันที่ผ่านมา

    UJUMBE wako uko sahihi, hilo halipingiki, ila unavuta saaana!

  • @maryshirima3198
    @maryshirima3198 ปีที่แล้ว +2

    Ninakubaliana nawewe kabisa uyo mzee alinijia live ulimwengu waroho nikawa najiuliza anacheo gani huko kuzim

    • @HappyJohn-w1z
      @HappyJohn-w1z 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 ปีที่แล้ว

    Maandiko yanasema kuwa nitakuonyesha Mambo makubwa na magumu ushiyoyajua

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 ปีที่แล้ว

    @gracethomas. Apigwe nani?

  • @joycegideon8224
    @joycegideon8224 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe umekosa Cha kusema kuwa makini

  • @ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr
    @ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr 7 หลายเดือนก่อน

    Lkn tb joshua nimesikia shuhuda kama 4 wamnamshuhudia kua ni wauongo

  • @jacksonmchami930
    @jacksonmchami930 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio wa uongo.hivi baba Yako WA KIROHO nani?

  • @rebecakigutu
    @rebecakigutu ปีที่แล้ว +2

    mbona ata ushuuda wa kenzo unaelezea ? kuhusu tibi joshua ... nenda chanell ya promover tv utausikia ushuuda wa kenzo ni mjaphani

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว

      Amesemaje tunaomba link

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs ปีที่แล้ว

      @@unyakuotv.1391 Kenzo alisema amewahi kufika kwa TB JOSHUA akaona ktk ulimwengu wa roho namna mapepo walivyokuwa wakiwaingia watu mle kanisani badala ya kuwatoka hata channel ya peniel eternal ilieleza jambo hili

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe muongo dar mpaka leo tuko poa acha uongo kuhusu tb Joshua kwanza humjui hujawahi kumsikiliza maana hata english hujui 😂😂

  • @leahwambui5608
    @leahwambui5608 ปีที่แล้ว

    😂😂😂kuzimu ukaeda naukarudi

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz ปีที่แล้ว

    Umesema ukweli t b Joshua Yuko kuzimu hao wanaopinga wako pamoja nae

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 ปีที่แล้ว

    Asante 🙏 🙏 🙏

  • @harunamdende
    @harunamdende 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmm,, 😂😂😂

  • @revocatuspaschal4391
    @revocatuspaschal4391 ปีที่แล้ว

    Unatafuta comment acha ujinga una laana kubwa kumsemea vibaya mt.Wa Mungu.We ni kichaa

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 ปีที่แล้ว

    No comment

  • @germamassawe6968
    @germamassawe6968 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe ulifata nini kuzimu! Na unajisema wazi eti ulichukuliwa na ndege za kuzimu😅😅😅😅, watu wanaochukuliwa na Yesu kuonyeshwa kuzimu wanaletewa malaika na sio ndege za luzimu! Uongo mwingine bana mjipange kabla hamjatuletea, maana siku hizi tumewashtukia.......

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +1

    Nawe ni wakuzimu...

  • @KinQuan-dx7kr
    @KinQuan-dx7kr ปีที่แล้ว

    Mbona huyu mtumishi amepigwa vita sana..Tumeambiwa utawajua kwa matendo yao. Kama wewe hukumfuatilia TB Joshua kwa karibu basi unaweza ukadanganywa..

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 ปีที่แล้ว

    Mangapi uliyatabiri yakatimia na yapi bado

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz ปีที่แล้ว

    MPUMBAFU TENA MFUTA MEZA WA SHETANI WEWE, MWACHE MTUMUSHI WA MUNGU APUMZIKE.. HUNA LOLOTE

  • @erickmisesi303
    @erickmisesi303 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mimi na his I wewe ndio na big wa uongo...ata simu lini zako ni kama za kufungua. ..hakuna flow

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว

    Mafunuo na maunabii ya huyu bwana!?!😂😂

  • @gracethomas4621
    @gracethomas4621 ปีที่แล้ว

    Huyo Mungu unayemtaja ni Miungu yako ya kuzimu nyooooo😈

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 4 หลายเดือนก่อน

    Tengeneza yako hiyo kua kuzimu haitusaudii tupe neno acha umbeaaa wewe uzushi

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 ปีที่แล้ว

    Mwamba we ulikuwa umefata nini huko kuzimu manabii wa leo ni kama comedy.hapa umetupiga chenga la macho.

  • @oredidunia120
    @oredidunia120 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Nini MAWAZO YENU Muna yafanya KUWA ndo mungu KASEMA ?
    HIVI amuogopi MUNGU
    Hakuna MTU kambiwa na Mungu Hapo Ila Ni MAWAZO TU ya watu

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  ปีที่แล้ว +1

      Lete ulichoambiwa na Mungu Sasa

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 ปีที่แล้ว

      Ulizungumza na TB Joshua Kwa lugha Gani?

    • @peteremmanuel111
      @peteremmanuel111 ปีที่แล้ว

      Mpigania tumbo huyo

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว

      @@peteremmanuel111 Na wewe kalipiganie la kwako

  • @hajimnzava1972
    @hajimnzava1972 หลายเดือนก่อน

    Hatawewe ni nabii wauongo,achakuhukumu watu weninani?

  • @KinQuan-dx7kr
    @KinQuan-dx7kr ปีที่แล้ว

    Hii nguvu ya watu kuharibia watumishi wengine jina huwa wanatoa wapi..shetani hutaka kuwakoroga watu wasitambue watumishi wa kweli na wa uongo ili wapotee. Spirit of deception is at work be careful

  • @xcaliber8300
    @xcaliber8300 ปีที่แล้ว

    Chama moja na zumaridi daaadadeki

  • @rodahjuma6920
    @rodahjuma6920 ปีที่แล้ว

    Wacha tumwajie mungu aukumu wenye kutenda maovo Sisi hatuna

  • @olivarimselle6392
    @olivarimselle6392 14 วันที่ผ่านมา

    Alipokuwa duniani mlimnena kuwa mtumishi wa Mungu wa kweli
    Ameondoka mnamnena vibaya
    Nyie fakes prophet nyie .ole wenu

  • @AsifiweChaula
    @AsifiweChaula 9 หลายเดือนก่อน

    We ulienda kufanyanini huko kuzimu? Mbona wakati yupo hai hamkuthubutu kumsema? Hata wewe ya wezekana ni ajenti wa lusifa

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh huyu sindo alisema meakasege atakufa mwaka Jana??? Mmmmmmh Mungu atuwezeshe kupambanua Hawa watu looool sasa ulikuwa unapimwa ili utumike wapi mtumishi! Alafu km TB Joshua anapima huko kuzima kwann nguvu zako azipime yeye?? Lkn pia kwann hakuna malaika aliyekuwa ana kuguide????