Asante Bwana Yesu kristo kwa ajili ya fundisho hili. Hakika changamoto zenye nilikuwa nikipitia kwa kusoma bibilia, kwa Sasa zimetatuliwa. Eee mwenyenzi mungu ahitaji neema yako . Roho wa mungu nisaidie. Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu .
Hongera mwl kwa kutupa namna ya kusoma Biblia Ila naomba niongezee kidogo kwamba mtu anaweza kusoma na akaimaliza lkn je anavielewa vizuri au anasoma km gazeti?Biblia ni jina lilitolewa na watu wakiwa na maana mksajiko wa vitabu lkn ndani yake hakuna neno Biblia. Biblia sio kitabu Cha wakristo ila ni kitabu Cha Sheria au katiba ya Ufalme kWh msomaji aelewe hilo kwamba anasoma katiba ya nchi ya Ufalme wa mbinguni.kwakuwa ni katiba ya Ufalme anayeweza kutafsiri ni yeye aliyetunga Sheria hizo nae Mfalme Elohim.wengi wanatafsiri kidemokrasi na ndio wanasababisha kuongezea kwa madhehebu kutokana na uwelewa wao.Kwh mwl utoe darasa kwanza wajue ndio baadae utoe namna na mbinu ya kusoma
Nimesikiliza Mtumishi mpk mwisho ila nilichokuwa nakueleza kuwa Biblia ni kitabu Cha Sheria au ni katiba ya ufalme.ujue kuwa Kuna tofauti ya katiba ya kidemokrasi na kifalme.Sasa hii katiba watu wengi wametafsiri kidemokrasi kwa maana inapoteza na kusababisha madhehebu mengi yenye kutofautiana malengo ila kubwa la kukueleza dini na madhehebu yote sio mpango wa serikali ya mbinguni yaani Mfalme Elohim.Mfalme Yesu alileta Ufalme sio dini wa madhehebu hivi vimeanzishwa na watu duniani lkn sio mpango wa Ufalme wa mbinguni
Mimi nimesoma kuanzia Mwanzo mpaka Mithali ila kila nikitaka kuendelea kuna Sauti inaniambia nianze tena kusoma Mwanzo kila nikitaka kuendelea sauti inaniambia anzaaa upya. Kwahiyo nimeanza
Babangu mimi niko na bidii sana ya kusoma biblia ila shida yangu ni kuelewa na havikai kichwani yani ninasoma nika taarifa ya abari inaniuma sana 😭😭hata sijui kwa hapo unaweza kuni saidiaje mimi Babangu
Asante Bwana Yesu kristo kwa ajili ya fundisho hili. Hakika changamoto zenye nilikuwa nikipitia kwa kusoma bibilia, kwa Sasa zimetatuliwa. Eee mwenyenzi mungu ahitaji neema yako . Roho wa mungu nisaidie. Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu .
MUNGU akubariki kwa somo zuri, amen.
AMEN Amen Asante mtumishi Mungu akubariki sana.
Amen Baba somo nzuri sana
AMEN MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi mtumishi
Ameen
Amen mtumishi wa Mungu 🙏
Asante sana mtumishi nmejifunza kitu
Ameen
Amen Amen aki mtumishi umenisaidia sana na kunipa mwongozo wa kusoma neno
Ameen ameeen
Ameeeeeen and Ameeeeeen mtumishi wa MUNGU, nimejiza akikaa
Ameen
Barikiwa sana mtumishi kwa kweli umenisaidia sana kujibu maswali yangu.Bwana Yesu anisadie ktk kuliishi NENO.
Amen mtumishi,leo umenipa mwongozo ulio mzuri ,sana ,wakusoma biblia, Asante sama 🙏
Ameen ameeen
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa mafundisho ya usomaji wa biblia🎉🎉
Asante kwa somo hili ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ameen ameeen
Ubarikiwe sana,mafundisho yako yananibariki sana
Ameen ameeen
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi hili somo limekuja wakati sahihi sana ambao nmekua na kiu kubwa ya kusoma biblia🙏
Ameen ameeen
👏👏👏👏
Hallelujah... Naomba Mungu anipe nguvu ya kulisoma neno lake Kila siku
AMEN BE BLESSED PASTOR
Ameen
🙏🙏🙏Shukran sana mtumishi wa mungu
Ameen
Amen Amen Barikiwa sana, Bwana atuwezeshe
Ameen, asante Mungu kukutumia.
Amen mungu azidi kukubariki kwa neno hili
Ameen
Akisanti kwa ma fudisho, mungu ani saidiye kukuwa na Neema ya kusema biblia sababu ni apa shetani ana ni piganisha sana
Ameen
Ubarikiwe sana kwa hili somo mtumishi, naahidi kurudi na ushuhuda wa hiki ulichofundisha
Ameen ameeen
amen mtumishi wa mungu
Asante sana! Mungu akubariki sana nimejifunza!
Ameen ameeen
Amina ubarikiwe mtumishi
Ameen
Amen , na mushukuru Mungu anipe nguvu ya kusoma bible nia kuielewa vizuri
Ameen ameeen
Ameeen ahsante Mtumish wa Mungu
🙏🙏🙏
Mtumishi ubalikiwe sana nilikuwa natangatanga kwenye kusoma biblia umenifungua sana ufahamu wangu
Amen naomba Mungu anipe nguvu ya kulisoma na kuliishi neno lako
Neno lake ni taa ya miguu yangu
Ameen ameeen
Ameen
Amen🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana Mtumishi
Ameen
Sauti Iko chini sana
Sawasawa tutalifanyia kazi
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe
Ameen ameeen
Jamani mimi naisoma ni mara ya 2 sasa Ila bado sielewi Mtumishi
Barikiwa mtumishi
Ameen
Mungu Akubariki mtumishi
Ameen
Mtumishi ubarikiwe Huwa una ni Bariki na mafindisho yako sana Niko mombasa
Ameen ameeen
Sijui n Mimi Tu ila sauti iko chini Sana mtumishi
Sawasawa. Tutalifanyia kazi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Nilikuwa nime stuck sana Kwenye kusoma biblia Yangu.
Ameen ameeen
Namshukuru Mungu,nimesoma mimemalixa,sasa hivi ndo niko nasoma mara ya pili.
BARIKIWA SANA MCHUNGAJI KWA KULETA FUNDISHO HILI
Ameen ameeen
Naomba mungu anipe nguvu ya kusoma limekua tamanio la mwoyo wangu
Asante mtumishi mungu akubariki sana
Amen Amen Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ameen
@vumiliawambula Ameen
Amen amen 🙏🙏
🙏🙏🙏
MUNGU akubaliki mtumishi hili somo limekuja wakati sahihi nilikuwa naangaika sana sinsi yakusoma biblia, lakini kupitia somo hili nimeelewa🙏🙏.
Ameen ameeen
Asantii kwa somo hili
Ameen ameeen
Amen 🙏🏻
Amen 🙏
🙏🙏🙏
Amen 🙏🏽
Halleluyah amen ❤
Ameen
Ameen ameen
🙏🙏🙏
Mtumishi mi naomba unitumie huo mpanglio wa vitabu vifupi
Amen
🙏🙏🙏
Ameeen
🙏🙏🙏
AMEN
🙏🙏🙏
AMEN AMEN
🙏🙏
MUNGU BABA NAOMBA UNIWESHESHE KUSOMA BIBLE NA KUWEZA KUIELEWA VIZURI NAOMBA UNIKUMBUKE BABANGU🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen ameeen
AMEEN
🙏🙏🙏
Amen ameen
🙏🙏🙏
Hongera mwl kwa kutupa namna ya kusoma Biblia Ila naomba niongezee kidogo kwamba mtu anaweza kusoma na akaimaliza lkn je anavielewa vizuri au anasoma km gazeti?Biblia ni jina lilitolewa na watu wakiwa na maana mksajiko wa vitabu lkn ndani yake hakuna neno Biblia.
Biblia sio kitabu Cha wakristo ila ni kitabu Cha Sheria au katiba ya Ufalme kWh msomaji aelewe hilo kwamba anasoma katiba ya nchi ya Ufalme wa mbinguni.kwakuwa ni katiba ya Ufalme anayeweza kutafsiri ni yeye aliyetunga Sheria hizo nae Mfalme Elohim.wengi wanatafsiri kidemokrasi na ndio wanasababisha kuongezea kwa madhehebu kutokana na uwelewa wao.Kwh mwl utoe darasa kwanza wajue ndio baadae utoe namna na mbinu ya kusoma
Umesikiliza hili somo mpaka mwisho?
Nimesikiliza Mtumishi mpk mwisho ila nilichokuwa nakueleza kuwa Biblia ni kitabu Cha Sheria au ni katiba ya ufalme.ujue kuwa Kuna tofauti ya katiba ya kidemokrasi na kifalme.Sasa hii katiba watu wengi wametafsiri kidemokrasi kwa maana inapoteza na kusababisha madhehebu mengi yenye kutofautiana malengo ila kubwa la kukueleza dini na madhehebu yote sio mpango wa serikali ya mbinguni yaani Mfalme Elohim.Mfalme Yesu alileta Ufalme sio dini wa madhehebu hivi vimeanzishwa na watu duniani lkn sio mpango wa Ufalme wa mbinguni
Mimi nimesoma kuanzia Mwanzo mpaka Mithali ila kila nikitaka kuendelea kuna Sauti inaniambia nianze tena kusoma Mwanzo kila nikitaka kuendelea sauti inaniambia anzaaa upya.
Kwahiyo nimeanza
Babangu mimi niko na bidii sana ya kusoma biblia ila shida yangu ni kuelewa na havikai kichwani yani ninasoma nika taarifa ya abari inaniuma sana 😭😭hata sijui kwa hapo unaweza kuni saidiaje mimi Babangu
Nimefundisha katika hili somo namna ya kushinda hili. Sikiliza mpaka mwisho
Mungu akubariki sana umenifunza sana kumjua mungu
Ameen ameeen
Amen
🙏🙏🙏
Amen