@@asiamkwama4389 soma message uielewe usijibu bila kuelewa message. Nani kasema Nina shida na mwili wake..nimefurahia tu kumuona kwenye muonekano huo sijasema vibaya wala nimefurahi tu
Nimerudiliya iyi interview 3 times 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂wambiye ivi marehemua kafufuka kwa iyo nyumba ya urisi hai uzwii 😂🤣🤣SNS tunamtaka Riyama kwenye chill na Sky please 🙏🤣😂
Mashaallah!! Nakupenda saana Rihama💋💋na mumeo👌🏼
Riyama kapungua mwili anakaaa vizuri saaaana tu wamependeza jamani
Anashingo nzur
Sana
Pendeza Sana nyie
Mume wake ndio anapenda huo mwili sasa apungue kweni wee unambeba?
@@asiamkwama4389 soma message uielewe usijibu bila kuelewa message. Nani kasema Nina shida na mwili wake..nimefurahia tu kumuona kwenye muonekano huo sijasema vibaya wala nimefurahi tu
Da riyama Wewe si zawadi ya watanzania pekee Hadi Kenya pia.pambeee.....
So kweli huyu ni wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 hatunaga vitu vibovu
@Sara Paulo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌
@@sarapaulo4718 😀😀😀
@@sarapaulo4718 mmmmh jamani msiwe wachoyo kazi zingine niushabiki ndio kuwainua hajasema Riyama ni mkenya 🇹🇿🇰🇪
@@prettyaysha7892 Nkwel lkn wakenya wanatudharau sana watanzania
MashaAllah mungu aibariki ndoa yenu nakupenda sana Riama 🇰🇪🇰🇪❤❤umepungua MashaAllah shingo imekuwa ya twiga 👌
Asaalam alykum my mummy Rihama nakupenda sana , mungu akujaalie kila la kheir katika kazi. 💋💋💕💕💖❤💞💞💞👌👍👍💪
Nampenda Sana rihama nimecheka sana
Mmependeza 👍👍❤
Nampenda sana uyu Mama from Rwanda
Na mimi ni mchezaji wa filamu hapa Rwanda😘
Mm napenda riyama Aliy anavyo zungumza tu Maashaa Allah
Jmnn uyo kaka namuona km Black Panther#Chadwick Boseman#
Kweli
Jamaaan nampenda mm huyu dada😘😘 siku nikikutana nae ntazimiaa nakupendaa riyama
Maashalah mmependeza sana Allah awape afya na mapenzi motomoto
Mumependez kbs Mashallah❤❤❤
Yani mke na mume kam mtu na rafik yake had raha😁😁😁😁
Njo kawaida. Sana. Dugu
Njo kawaida. Sana. Dugu
Kweli raha
Nakuponda sanaaa dadangu!! Allah akuhefadhi Allahuma Ameen yaa rabb
Mashaallah. Mumependeza, ♥️♥️
Napenda hilo cheko lake tu 🤣🤣
Mashaa Allah. Liyama. Na mumeo.muko vizuri. Tupe vitu. Mam tume kumisi. Sana
Nimerudiliya iyi interview 3 times 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂wambiye ivi marehemua kafufuka kwa iyo nyumba ya urisi hai uzwii 😂🤣🤣SNS tunamtaka Riyama kwenye chill na Sky please 🙏🤣😂
Waooo mmependeza sasa mashallah ❤🇨🇭🇹🇿
Nakupenda sana riyama wangu Mimi kuchamba2 napagawa napenda seen hiyo yauchambaji congratulations
Mashallah 💕💕❤💝💝💗❣💜💓💞💕💕❤💖💝💖💕💞🥰💞💕💓💓❣💗sooo beautiful 😍 ❤ 💕
Mungu awaeke
Namis kuona movie zako rihama
Ongeren mume na mke pambee💕💕
MashaaAllah MashaaAllah Allah awe kheri
Nampenda Sana Riama
Mashaallah 🤲🤲
Much love from 🇰🇪ni navyo ipeipenda hii couple !
❤️❤️❤️❤️❤️nakupenda ss dada Reama 😂😂
Riyma ally umepungua umekuwa vizuri sana
Likuwa yuwaumwa
@@ShSh-my8cw masikini wee Allah ampe shiffa
@@jorgettemwajuma5428 amiin
@@jorgettemwajuma5428 amin
Kawakomesha waandish wa habari badala ya kuuliza vitu by msingi
Haswa wamezidi umbea wanakuwaga na maswali ya uzushi
Nko hapa nasubiri iyo namba ya fundi 🏃♀️🏃♀️🏃♀️wa nguo
Riyama nimtu wawatu hakuna anayakuchukiy❤❤
Maashaallaah mmependeza sana hongereni naomba mungu mdumu milele mzidishie upendo sikuzote
AMIN AMIN AMIN YA RABBY AL AMIN 🤲🤲🤲🤲
Riyama Anazidi Kupendeza na Kuonekana Mtoto ❤🤗
Aki tena hazeeki kabisa ...MASHA ALLAH
Riyama my lov kpenz chetu jomon unarud uttn mashallah allah akupe umri mrefu
Amin
Mashallah mungu awabaliki ndoa yenu mdumu mpaka kifo kiwatenganishe
Nakupenda sana umi ❣️uko sawa
From Kenya wow love her
Wewe nizawadi kweli my dear ❤️❤️❤️
Mashallah wanapenda sana
Mungu ashukuriwe. Kumbe Ryama amepona.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cauple 🤩🤩🤩❤️nawapendaga saaaaana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hhahahah nakupenda sana Riyama❤❤❤❤❤
Mmependeza sana
Riyama we si zawadi wa watanzania pekee but wakenya na uk pia yani nakupenda hatrii
Tunakupenda mommy 🥰
Capo pambe hii adi nimetaman
Dada umependeza sana tena.
Nakupenda Sanaa m'y Star
Dariama cheko lako hiloooo,nakumiss kwenye huba tu
Yaani weacha tu
Riyaama muzuri mashalllah
My riyama😍😍
Nice couple
Nakupenda bure dadangu
Allah. Awajalie kizazi chema
Amiin yarabb 🤲
Allahumma Amin Ya Rabby 🤲🤲🤲
Wazuri wenyewe ALAH AZIDI KUWADUMISHA KTK NDOA YENU.NAWAPENDA🥰🥰
riyama ake
😍😍🔥🔥🔥
Aneth,nimeiona kazi yako...Hongera sana.
Nakupenda riyama bure🥰🥰
Uko vizuri sana My dear
Aaaawwww the hi 5 👋🏾 shows how much they love each other
Penda Sana wewe
nimechek mimi jmn daa riam we noma hongera san 😍😍😍🥰🥰🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakukubali da Riyama 👌😍
True 💘. I like it
Nakupenda 2 dada angu ww jamani😘😘
Umenikoshaaa sana, wakose waulize maswala yamaana, maswala ya kazi zao, kazi kuliza maswala ya wengine
Da riyama nyie mashallah zawadi pka uku kwetu Kenya
Umetuwakilisha vzr ....man
nawapenda mmedamashiii sanaaq
Mmependezana Sana jmn penda Sana Riyama
❤❤❤❤❤❤❤💗🌷🌷
Daa riyma nakupenda buree mkubwa wangu
Ahaaaaaa!!! Mduwara na bebee akeee😂😂😂wamepeleka motoooooo.....
Nakupenda miaka yote ckuchoki , mna mapenzi kweli MUNGU AWADUMISHE
Naipenda hii couple
nawapenda jamani❤❤❤❤💞👌
Nimekuelewa
❤️💯
vizuri sana mamy
Nampendaga Riyama
Nakupedaa rihamaa mashalaah
Nampenda sana huy dada
I love you riyama
Nkupenda saanaaaa wedada kwa viji chmbo vyko
💯❤️❤️🇹🇿
Hahahaha nakupenda bureeee ❤️❤️❤️❤️❤️
Hii dada nalipenda adi naumwa🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤❤❤❤sauti sasa
Nakupenda sana liama
Ktk wasanii waliodumu kwenye upendo wa kweli Hawa watu nawapa asilimia nyingi wanajielewa kias chake
Umepungua vizuri dear
Mashaallah
😂😂😘😘😘😘😘😍😍🇰🇪
🥰🥰🥰🥰
😍😍😍
🔥🔥🔥
Mme pendeza Sana nawapenda
Nakukubali sana ndugu
Nawapenda sana
Royama kweli kbs wakulize Yako wasikiwuliz yawengine
Nakupenda sana sana we dada❤❤❤❤❤❤❤💕💞💞💕💕