SIMULIZI YA KUSISIMUA YA MZUNGU ALIEKIMBIA UINGEREZA KUFUATA PENZI KIMBIJI, NI MUIMBAJI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2021
- Leo nakukutanisha na na Victoria David na Mumewe ambapo wanatusimulia simulizi ya maisha yao mpaka walipokutana na Mumewe, na Mumewe anatusimulia ilikuaje akaacha kuishi England na kuhamia Tanzania
I used to work with Dave at our university in Phnom Penh, Cambodia - you couldn't ask for a nicer person to work with, and call a great friend, alongside his wife Vicky and their son Dylan. All of us at the University of Puthisastra are delighted to see Dave and his family contributing to Tanzanian life and culture so positively. We always knew Dave could never stand still - he's always working, living life to the full and loving every minute of it! His love of music is immense.
Cambodia's loss has been Tanzania's gain :-)
Asante kwa taarifa
huyu ni yule dada wa kitumbua alikua akitoa makala ya mahusiano kitambo wanaomjua likes🤗🤗🤗🤗🤗
Kabisa niyeye
Namfaham pia victory David (dada wa kitumbua)
Dada wa kitumbua jaman
Dada wa kitumbua
Namkumbuka mpaka akawa anazungumzia jinsi ua kufika kileleni 🤣🤣nampenda sana
Waoo dada wa kitumbua original, nimefurahi sana kusikia kuwa now upo Tanzania natamani kuwaona ninyi watu jamani!!!!
I remember the day I meet this couple in Cambodia Phnom Penh street 172 restaurant ya wa congo Victoria do you remember?! I miss you guys nafurahi umerudi nyumbani karibu nyumbani
Ukitoka nje ya TZ ndio utajua hii nchi ni nzuri sana asikwambie mtu bonge la nchi ila uwongzi mbovu sana
Ni kweli, kuna muda nilisafiri nje ya nchi hapo ndo nikajua Tanzania ni nchi nzuri sana!, Mungu kaibarki kwa namna yake!.
Nchi yetu ni mzuri na yenye sifa ambazo zinachafuliwa na viongozi wetu,marehemu alijaribu kuiweka vizuri lkn watu wachache wachafuzi walishapotosha yale yote mazuri aliyoyafanya, baadhi ya viongozi wa nchi hii ni wabovu saaana.
Kwelii serikari ndio ovyo
Limshangazi Fulani hivii,,,nzuri mnoo na uzuri zaidi Fuso imefunikwa turubai lakini mzigo nyuma unaonekana,,,kama anakalia Hamira!!💞💞😇😇
😂🤣🤣🤣🙌🙌
Ha ha ha ha
So proud to have a such woman 👩
She is so beautiful this woman
Namkumbuka huyu dada story yake nilisikiliza kwenye you tube yake mda mrefu sanaaa.Hongera sanaa dada
Mie pia
Tanzania yetu nzuri sana kiukweli, ni paradise
Kuzuri umeona view ya Kimbiji?!
Tanzania is beautiful and it is also a paradise
Hongera mpare mwenzangu mwenyezi mungu awabariki safi sana
Beautiful couple, huyu dada mpare ana confidence sana, just love her
Millard Ayo mnawapenda sana ❤️your fan from Canada 🇨🇦
Good thing our sister you did , continue to handle proper that our shemeji . And make sure you follow things that present in our culture ie follow our culture.
Victoria nimekujaaaa It was nice to have Ayo Tv kimbiji....... Nakupenda Baby by S David inapatikana BOOMPLAY sikiliza na uburudike
TH-cam hamjaiweka
Kumbe umesha hamia tz ....karibu sana huJatuwekea kwenye Chanel yetu ya dada wa kitumbua.
dada wa kitumbua origional
@@lavieestbelle3263 hii ilikuwa kwa ajili ya Ayo Tv Dear....Mimi naweka kazi za Shemeji yenu sawa zikiisha zote zitakuwa TH-cam.... Nawapenda
Kimbiji hipo kigamboni?
Daaah dada Vick Mungu akubariki sana long time my dareda vtc babati nyunguu Leo nakuona hukuuu Aya dada umepambana
asjali shemeji yetu....akaze tu tutampa kmpny maana hakuna tena wasanii wanao weza tunga mashairi.wapo tuu kazi kununu magari badala ya mziki
Jamani dada wa kitumbua nimekumiss kweli kumbe upo tz.saiv maashaallaah mungu akupe maisha marefu
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈🙏👈🙏👈👈 kuutazama naamini utaupendaaa*
Safi sana dada ake never give up ipo ck wtaelewa nin unachokifanya
Asante mdogo wangu.....
Asante dada vick nimejifunza kitu ubarikiwe sana
He earned a beautiful woman out of his colour and perceived richness
Hongera kwa investment na future nzuri ya mtoto wene Dylen💪Naplan kuanza Holidays nitakuwa Zanzibar ila pia ningependa kutembelea beach yenu naomba maelekezo
so LOVELY....
Namkumbuka huyu Dada wa KITUMBUA, alikuwa na RASTA Naona Sasa amebadili style ya nywele zake.
Dada wa Kitumbua....kitabu chako toa tena au endeleza ulipoishia....kazi iendelee....
Nice
Woooooh nishawah kufika kimbiji kuzur mnoooo maashallah
nyama za Africa ni tamu zina joto joto na zimoto na sio baridi
Watu wanakuaga serious sana kweny mapenzi
ndio vizur
Waandishi wengine mnafeli wapi mbona hujamuuliza kama wanawatoto?
Wana mtoto mmoja Kijana
Wanao wawili kwa Sasa , wa kwanza Dellan mwingine nimemsahau
@@prettynesspastory3111 mmmh mmoja bhanaaaaa chumvi za nini😁
@@rukkysayid6613 Malik wewe jamani😂😂sio chumvi video ya mwisho aliyowekag u tube channel yake alisema mwenyewe kuwa wamepata mtoto wa pili uliza kwingine utaambiwa ninachokwambia
@@prettynesspastory3111 🤣🤣🤣ni mmoja tu yule yule kijana wake
Hawa ujana wao wautumia huko uzee ndio wanamalizia kwetu
Kabisa kazeeka anatafuta pa kujipenyeza abebishwe na domo lake kama sukuna
@@rukiaiddyyahaya9506 kumbe nyinyi maishi ya wazungu huku ulaya hamuyajuw hata kidogo ni hiv wazungu wanawaza kutafuta hela kwanza ndo maana umesikia akisema maishi yake yote amekuwa akifanya kaz huku ulaya kuna watu wakitoka nyumban sa9 usiku wanarud nyumban sa3 ya usiku huku watu wako bize na kutafuta hela kuliko jambo lolote hapa dunian wazungu mambo ya mapenz hawayawaz sana kama ss waafrika mpaka tukiachana tunakosa radha ya chakula ikiwemo kuwaza kujiuwa huku ukitaka kutiana nijambo dogo sana huku hawaolew ovyo ovyo wala hawaowan ovyo ovyo na wala hawazai ovyo ovyo wanawake wanatumia uzaz wa mpango tangu siku ya kwanza waliwaza kutolewa bikira kisa hawapend kuzaa watoto kama hawajafanikiwa kimaisha rukia karibu kwetu Brisbane Queensland Australia
@@rukiaiddyyahaya9506 🤣🤣🤣🤣🤣
@@rukiaiddyyahaya9506 na ss tunajiona tumepataa tukipata mzee anatafutia pakumalizikia🤣
@@rubenprince8990 jmn ss huko kazini kwetu tunatembelewa na wazungu sana vijana na anakwambia ana mume na mtoto inamaana mumewe mzeee??? Ukiniambia hawazai hovyo sawa lkn wanakuwa na wake au wachumba vizuri sana
Victoria a k a Dada wa kitumbua alikuwa na You tube yako kitambo sana sijakuona jamani kumbe umehamia Tz.
Ndio Niko Tanzania Sasa.....karibu kimbiji
Ukiwa nje nchi unagundua thanani ya kuishi nje ya mji lkn km hukusafir unaona nje ya mji ni mbali hakuna mpango
sana kaka mimi nimekupenda huko kimbiji sijui nitapataje eneo
Mashallah
Inapendeza is
Vee kumbe umeludi bongo 👏👏👏
Dada Vicky, mbona kipindi cha kitumbua sikioni tena?
♥️♥️
Very beatiful women lucky man
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm watu weupe sijui nawaonaje 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ Napita tu
Mi ndo siwaelew kbsa
Dada ludisha basi kile kipindi chako binafsi nilijifunza mengi kwenye kipindi chako
Mi nimesikia tu nakupendo nakupendo
👍
Mhhhhh ķwa mtindo huo utajaza habari mpaka watachoka kusikia maana kila nyumba ina historia
Poleni
1. NYIMBO (songs) - PLURAL (wingi)
I. e NYIMBO hizi , NYINBO hizo
2. WIMBO (song)- SINGULAR (moja)
I. e WIMBO huu , WIMBO huo
Ni makosa kusema NYIMBO HIYO, NYIMBO HII .. ... Badala ya HIZO, HIZI
Hakika,
Mnaolewa na wazee sababu ya hela tuu
Safi sana
Mpare ana akili Sana huyu.
Asante Sana.....
Safi Sana dada" hujajikweza Sana kwenye uzungu.kama vile wengine mpaka ujidai kukisahau kiswahili
Anajitambua
Jamani Victoria wetu dada wa kitumbua nimefurahi kukusikia tena vipi mtoto jamani MMungu akubariki sana awape maisha marefu yenye furaha
Wanae
Well done David mtunze dada yetu👍
Ananitunza mno..... asante
@@Dylangamer762 Usijari dear maisha ni maisha tu bora kuheshimiana umri ni number tu
😂Napenda venye anasema tafdhali
Wazee ndio wanakuja kupenda TZ lakini vijana Kama kina Justine biber hakuna haaaa! ni Kama yale mahindi zee yanayosumbua sisi kina dada messenger yanapiga sim hatari lakini vijana kama shahrakhan na mithun hawapigi
Hivi kwnn huwa ni wazee tu😢😢😢
Wametulia hawana mikiki sana
Umeona eee
@@noxlosingida2369 ooh sawa.ila mm wazee sijui nawaonaje
Kwa sababu wameshamaliza Mambo mengi.....wanakuwa hawana parapara na sisi wanawake wengine tuna Damu ya kupendwa na Wazee tu...yaani hatuwezi kuchomoa
@@estermathias8354 Kuna muda unaweza ukawaona kama baba wakwe...Kuna muda.....wazeee.....Kuna muda Wazee Babu na Kuna muda Baby.....au Mtoto.....Ila Ukipenda ndio utajua unawaonaje
Good
kila la heri Vicky & David
Hiyo coras katunga frola
Hakuna kitu huku UK, kazi na stress zisizoisha, ukizeeka mwili haufai.
Jonas uko nchi gani, nikweli. Mimi pia naona
@@tifundinzeberi1379 Atherstone, United Kingdoms
@@jonaspatrick2871 Karibu Ujeruman stress mwanzo mwisho
@@tifundinzeberi1379 Thanks but no thanks, nikitoka UK home no more Europe.
@@jonaspatrick2871 mimi pia aisee
British old man
Many of them like young Africa teen to mareage
My next destination Portugal, ndo huko tunataka twende kuishi,after 🇺🇸. Na hipo karibu na africa pia.Ambapo tutakuwa tunakuja kwetu Mbutu beach kigambon
Safi Sana sie tutaenda kutembea tu... Nyumbani kumenogaaaa
Karibu kimbiji Dear
@@Dylangamer762,hipo kigamboni??
Pazuri sana akuna kulipa tax uko watu wanamajumba mie pia
@@allthingdranabeauty ,Sijawahi kwenda lakin mr yeye mpenda adventure kote alikotembea alipende sana Portugal, alisema culture wise kutatufaa,na madhari pia mazuri na since ni Europe itatufaa kwa watoto kuweza maliza shule huko ,medical pia nzuri na ni safe,lakin tunaconsinder nxt yr kwenda vacation mimi nikapacheck before kuhamia.
❤❤❤
Dada keshatoka kimaisha asaidie na wengne t tena apo maan maisha aya yanapanda na kushuka ajiwekeze kbsa na istoshe apa ni ugenini t mda wote wote unaondka
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Ongera 😲
😮
Kumbe umeludi tnz dada wa kitumbua
Wana semaga mwana mke Hana dini wala kabila mzee aji andae kumwagwa
Acha mawazo hasi.
Okloovy
Mwanamke anampenda Sana Mzungu Ila mwanaume Kama ajali vile
Si kweli
Dada wa kitumbua kumbe umerudi bongo 😂😂😂
Dada wa kitumbua
Nipo Dada mwenye Kitumbua Originalee
Masikini asingekata tamaa bwa shemeji
Hawa wamefulia tena wamefulia mno
Jambo jambo mzungu
Doh
Dada wa kitumbua jmn😍😍😍
😅😅😅tafdhaaali , mashallah
😂😂😂😂😂😂😂😂
Limeshazeeka ilo babu
dada wa kitumbua
Sauti ya uyu dada Kama Irene uwoya
Madem wakiswahili wakipata wanaume wakizungu uwa wanalinga wanaona wamepata wazungu wenye wanaolingia babu zao wakiondoka wanaacha
Nami najitahidi kutafuta hela wasije kunikimbia hawa watoto wanilee
Waoo nakupendo, nakupendo sana baby,
Hahaha
Umesikia akiimba wimbo wenyewe dear?! Au umesoma hiyo translation hapo?!
🤣😂🤣 mbona nakupendo🤣
Wajina naomb na ss tukatafut mzung beach napend sn yn wazung
@@ruuh5149 hahahha aiii mume bana kama riziki nyingine mungu akipanga tutapata ila kama hakupanga tutachukua wazungu ambao hawana tabia njema tunaishia kuteseka
@@rukiaiddyyahaya9506 kbx yn
Mzungu mzee
Ndio dear....nimempenda na Uzee wake
Sababu ya 💰
@@mussaisaac hela zenyewe Hana dear..... Tunapambana tu...hivyo hivyo
Miaka stini na nane ni mdogo sana
😳😳😳😱🤣🤣😂
Bado sanaa yaani
Hata.akiwa na miaka 1000 haijalushi bora kuelewana.
Victoria nilifuatilia historia yako hadi mwisho
Mpale tena apo ni pesa mbele.
Kama kawa
Dada wa kitumbua Dylan yuko wapi ?
Je wamebahatika kupata watot?
Yes wanamtoto mmoja wakiume
Yes
kwani hamumjui huyu dada alikua anaitwa dada wa kitumbua anatoa makala TH-cam ya mahusiano
@@zuleikhakhamis3303Mie nimemkumbuka aisee,saafi sana amerudi nyumbani
Tena mtoto wao mzuriiii
Ha haaaaaa et hatuend na mda ni kweli...,mtz akikuambia atakuja saa sita esabu ni sa nane au tisa.....kuna padri huku kwetu ni mzungu yan alishateseka mnoo
Huku harusi tunawahi ukumbini lakini maharusi wanachelewa
Kwakweli ni kansa ktk akili zetu na sijui kama huo utamaduni utaisha.
Hiiiii vix
Mzungu amekula pensheni kwetu
Najiuliza hela anazo kweli
Ndiyo maana wabongo mahusiano yao yanayumbayumba sababu hapo siliasi na kusikiliza moyo wako, mnawaza tuu pesa na ngono,mtaangaika kila siku nawaambia,
Diamond akae mkao wa kula
Dada wakitumbua mbona auonekani? Kumbe shemeji kahamia bongo?😂😂😂
Watoto wenu wako wapi
Huyo ni mzee kama anapesa kula bado hajakata kamba kama hana pay timua huyo choko
Hana pesa kabisaa namjua tangu wanakutana 😂😂 ila usimwite choko
@@graceramadan5583 muache bwana ameamua kutukana.....afurahishe nafsi
Kaka kuwa na heshim km ana pesa si amempend mwenyw jmn unawez mpata mweny pesa na usipat mapenz ya kwl alfu sy vzr kumtukan mtu haipendez
Yaani wanaume wengine wana makasiriko,ndiyo maana wadada wanawakimbia kwenda kuolewa na hao mnawaona wazee,sababu hamjitambui,mtu humjui unamwita choko,wewe ungekuwa na pesa usingeongea huu ujinga,mnafikiri pesa ni kila kitu eeeh
We unazo choko wewe
Huyu dada ana bahati sababu mimi naishi huku majuu na huku wazungu wanapenda wanawake wa kiafrica ambao wenye rangi ya shombe shombe
Happy uko nchi gani tuongee
@@tifundinzeberi1379 nipo denmark
@@happynelson1136 karibu Ujeruman
@@tifundinzeberi1379 asante
Diamond platnumz anakuja Denmark tarehe 4 mwezi wa saba
Wadada wa kibongo ao kafuatia Hela tu apo hana jengne chzea wanawake ww