SITAISAHAU MSUMBIJI:MAUAJI/ALICHOMWA VISU/MELI YA UJERUMANI/NAKAMATWA/BAHARI INATISHA...PART 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Huu ni mkasa wa baharia wa kitanzania aliyezamia meli katika taifa la Afrika kusini, na kuelekea katika ,mataifa ya ulaya, haikuwa kazi rahisi, ni safari ndefu iliyojumlisha maumivu, na makovu yasiyosahaulika.
    karibu katika kisa hiki, utazame mahojiano haya na baharia TONGORANGA katika kipindi hiki cha MBANGA
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #mbanga #dupamdupange #baharia

ความคิดเห็น • 27

  • @dar24media
    @dar24media  3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama una simulizi au mkasa wasiliana nasi kwa namba #0653127761

    • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
      @mahabaclassictwentyseven27mjeu 2 หลายเดือนก่อน

      Mbanga naipenda San ila siku hizi story zimekuwa nyingi tofaut na kipindi ch nyuma

  • @mohamedabdalla5302
    @mohamedabdalla5302 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa Ana Story Nzuri Lakini Hajuwi Kuiyeleza Kabisa Baharia Mwega Anajua Sana

  • @helpers10
    @helpers10 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nyamaza basi uhojiwe. Maneno meeeengi kama chiriku!

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji ingia kwenye mada acha maneno mengi

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbanga🙌

  • @HamzaUhuru-gp8jd
    @HamzaUhuru-gp8jd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbanga on air

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno ni mengi kuliko story brother dupa jaribu kumuweka jamaa kwenye reli ili story ieleweke

  • @mushimalik7354
    @mushimalik7354 3 หลายเดือนก่อน

    Keep going man

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa sio story teller

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbanga hujamuhoji Vizur alipanda meli akiwa wapi na ilikuwaje

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 วันที่ผ่านมา

    Maneno mingi mno

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna tofauti kati ya simulizi na maongezi,,,,,hakuna simulizi hapo,,,simulizi lazima iwe na mpangilio wa matukio.....

  • @talentstv3949
    @talentstv3949 2 หลายเดือนก่อน

    Manano mengi

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 3 หลายเดือนก่อน

    Mpe hi mwanetu tongo master...ngaphila malume?

  • @rasdee7474
    @rasdee7474 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzushi story hii anaunga unga

  • @user-lq9zq9yv6z
    @user-lq9zq9yv6z 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona alezi mkasa wenyewe Mimi sijamuelewa ata kidogo

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 หลายเดือนก่อน

    Kaburu kuna wazungu wote wa Duniani wanaishi vzr Wana mabishara ma hotel

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa pamparira nyingi story haieleweki jamaaa mshamba wa camera.

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mb nimezipoteza kijinga kusikiliza ujinga huu wa leo

  • @ngido255
    @ngido255 3 หลายเดือนก่อน

    Aah hapa hakuna msimuliaj hii story itaisha siku 3 tu Yan anahadithia safar ya TZ to south kwa dk 2 duh

  • @BenedictMhina-tq2vl
    @BenedictMhina-tq2vl 2 หลายเดือนก่อน

    Dupa ulikuwa Kimya sana Mwamba

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 3 หลายเดือนก่อน

    Nyampila Unjaani mfowethu

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 3 หลายเดือนก่อน

    Dupa mdupangaaaaaaaa amsha hamshaaa

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye we mshamba 2 hajui hata kwelezea

    • @martinsimba4366
      @martinsimba4366 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna muda ukiona kitu hukielewi ni vizuri kuacha vipite sio kukoment ujinga watu wanawekeza muda na fedha mbona wewe mjanja hata kuandika tatizo

    • @ommie_nyzer
      @ommie_nyzer 3 หลายเดือนก่อน

      We kama sio shabiki wa hizi stori tuachie uchoko .. kama huelewei enda unapoelewaga maku ww