Kinacho nishangaza ni kwamba siku hizi watu wanaheshimu mazishi kuliko Muumba, wanavaa vizuri matangani lakini kwa muumba wao wanamkujia kama makahaba. Mungu aliachilia kibali juu ya hawa waimbaji wakakubali jinsi walivyo lakini walivyofanikiwa mwilini wamemsahau Mungu, hawana heshima ya Mungu !! Ole wao! Wote wanaosema Mungu haangalii mwili, watalia na kusaga meno. Lazima tuwe na adabu njema mbele za watu na Mbele za Mungu kupitia mavazi. Mwonekano wetu umpendeze Mungu. Asante sana kwa upendo mkuu ulionao kwetu zote kuturekebisha hili tuweze kufika mbinguni. Ubarikiwe sana mtumishi na uinuliwe zaidi.
Mungu akupiganie mtumishi natambua makemeo haya wengi wao wayachukia na kukuwazia mabaya Hilo mtumishi usiogope mungu aliyekua pamoja na musa ndiye atakaye kuwa pamoja nawewe mungu akubariki na akuongezee ujasili,,,,,Isaya 54:17
U barikiwe mtumishi kwa maonyo juu ya wanaojichanganya na matendo ya giza, namna hiyo ya mwimbaji huo sio ukiroho Bali kukosa kumjua vizuri Mungu, siyo tu waimbaji hat waumini yaani watu wanao mwabudu Mungu wengi wao nidhamu wamepoteza. paza sauti usiache uwaambie kosa lao.....
Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri ya kufichua maovu Mtumishi wa Mungu aliye hai wengi wanaujua ukweli ila wanauficha kwa kuangalia maslahi yakimwili tu
Cassian wamejiunga freemasoni waimbaji wengi sana nia.zao ilikuwa kuomba wapate pesa sasa shetani kawakuta kona kawapa.hela ko hawawezi kuimba.kiMungu wanaimba kishetani ma'ana wameshika hela za shetani.injli ni jukumu.sio kAzi ni jukumu.tusipende kuombaomba hela tufanye kAzi tunaofanya.kazi ya Mungu
Mwashindwe na wamuachilie Pastor kwa jina la Yesu kristo, na Mungu awapinge upofu na mumuachilie Mtumishi ya mungu, Someni Biblia vizuri na musishike mapastor kuwa peleka gerezani hiyo sio haki lkn hasira y mungu itawaka juu yenu, muachilieni mtumishi wa Mungu akafanye kazi y Bwana
Mungu akubariki kaka...tunaomba kufahamu kinachoendelea mtumushi ..Mm Binafsi natamani kufahamu kinachoendelea baada yale yaliyotokea Ili tuendelee kufanya kwaajili ya Bwana wetu alietuokoa YESU KRISTO
Duh! Hao Sasa ni waimbaji wa shetanî kabisaa nàona pesa zimewapa wazimu mpaka wamesahau kusudi ni lipi, Mana wametoka kwenye kampeni ya kumkusanyia mungu kondoo wameingia kwenye kampeni za upalaya kwaajili ya kumsazia shetanî,
Kuna kukemea halafu kuna kuhukumu. Bwana Cassian kajigeuza mwenye haki, mhukumubwa wenye dhambi. Kuhukumu sio kazi yako, brother. Wewe wakemee na kuwarejesha kundini kondoo walipotea. Huwezi kumrekebisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa.
Mtumishi wa Mungu Mimi ulinishangaza pale uliposema Kuna Mtumishi Anatoanga kafala na ulisema Alisha wai kutoka kafala, ukasema na hivi karibu karibuni Atatoa kafara na kweli baada kupita siku Chache kikatokea kifo Cha Mtumishi wake nikabaki kukushangaa Mtumishi wa Mungu na nikaanza kukwamini umenishangaza na Mungu Anakuonyesha KIKAMILIFU na Mungu Azidi kukutumia Mtumishi
Mtumishi casian mahubiri yako Yana nguvu sana . Mimi naitwa josephy mwila katitika biblia nimesoma sehemu Moja hivi inahusu juu ya mwanamke kukaaa kichwa wazi natamani somo hili liwafikie watu wa Mungu hususani wanawake maana kama hilineno nineno la Mungu inamaanisha kwamba asilimia 100 ya wanawake 98 hawatauona utukufu wa Mungu
Waimbaji au makanisa ya leo hawataki kusikia ukweli wa Mungu wanataka injili laini ukikemea wanaouchukia ukweli mbingu ni ya Mungu Baba mtakatifu haingii mtu onyo ile njia ni nyembamba endeleeni kujipamba
Anastacia ni wetu tena wa kabila langu. Lqkini siwezi kubali anachokifanya pesa ,umaarufu,kiburi ,vimewatawala..Mungu tusaidie , Mtumishi wa Mungu gonga wao kabisa wabadilike wengine tuinajifunza kutoka kwao
Nakumbuka ilikuwa tarehe 29/7/2024, nilipewa maono!! Nikaambiwa hivi, mama wa makahaba kule kuzimu anafurahi kwasababu anajipatia wafuasi wengi kila siku, na wafuasi wake wengi anawatoa ndani ya kanisa. Yaani anapatia ndani ya kanisa. Huyu mama wa makahaba alikuwa mwanamke mwekundu, afu ana nguo za pinki, yaani gauni ya pinki. Afu ametengeneza kichwa chake vizuri mirangi mekunduuu vidoleni!!! Yaani alikuwa kahaba kweli kwasababu nguo zake zilikuwa zimembana sana!!! Akawa anafurahi huku akinyoosha mikono yake juu!!! Nikaambiwa hivi, ombea kanisa kila siku. Tangia siku hiyo nikaanza kuombea kanisa hadi leo hii. Na kweli mama wa makahaba kwenye Biblia iko katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 17:5. Amen. Wanawake mtakwisha wote kama hamtaki kukubali njia ya wokovu.
Kinacho nishangaza ni kwamba siku hizi watu wanaheshimu mazishi kuliko Muumba, wanavaa vizuri matangani lakini kwa muumba wao wanamkujia kama makahaba. Mungu aliachilia kibali juu ya hawa waimbaji wakakubali jinsi walivyo lakini walivyofanikiwa mwilini wamemsahau Mungu, hawana heshima ya Mungu !!
Ole wao! Wote wanaosema Mungu haangalii mwili, watalia na kusaga meno. Lazima tuwe na adabu njema mbele za watu na Mbele za Mungu kupitia mavazi. Mwonekano wetu umpendeze Mungu.
Asante sana kwa upendo mkuu ulionao kwetu zote kuturekebisha hili tuweze kufika mbinguni.
Ubarikiwe sana mtumishi na uinuliwe zaidi.
@@MGALILAYABillionaire Tuko ukingoni, haya yote hayana budi kuwepo ila yanapaswa kukemewa mpaka ule mwisho utakapokuja
@KayagwaElisha ndio hivyo tuzidi kuomba Mungu atuepushe na uasi tusimame kikamilifu.
🇺🇬 alafu tumezaliwa tukawakuta ni waimbaji bado tu ,,,,,,,
Mungu anisaidie nizidi kubadirika nirithi mbingu jaman 😢😢
@@EsterMajaliwa-u3b 😘
MUNGU akulinde maladufu mtumwa wa kristo. Asante sana
Paza sauti usinyamanze mtumishi..Mungu nyuko nawe
Mungu akupiganie mtumishi natambua makemeo haya wengi wao wayachukia na kukuwazia mabaya Hilo mtumishi usiogope mungu aliyekua pamoja na musa ndiye atakaye kuwa pamoja nawewe mungu akubariki na akuongezee ujasili,,,,,Isaya 54:17
Hicho kiatu anatakiwa akivue.Barikiwa Sana mtumishi
U barikiwe mtumishi kwa maonyo juu ya wanaojichanganya na matendo ya giza, namna hiyo ya mwimbaji huo sio ukiroho Bali kukosa kumjua vizuri Mungu, siyo tu waimbaji hat waumini yaani watu wanao mwabudu Mungu wengi wao nidhamu wamepoteza.
paza sauti usiache uwaambie kosa lao.....
Ubarikiwe mch. Mungu aendelee kukupa kitu ili kuwaponya watu
Papa sauti mtumishi wa Mungu sema kabisaa
Ubarikiwe Mtumishi Kwa kulitimiza NENO. Kalipia,kemea 100%. YESU KRISTO AKUTUNZE ZAIDI.
Watching from kenya, good teachings
Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri ya kufichua maovu Mtumishi wa Mungu aliye hai wengi wanaujua ukweli ila wanauficha kwa kuangalia maslahi yakimwili tu
Moyo wangu unalishuhudia sana ukihubiliwa kupitia madhabahu hii Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤❤❤
Amen mtumishi MUNGU aturehemusanamahana hatujuwitulitendalo
Mungu akubariki mtumishi 🙏
Unafanya kazi nzuri mtumishi wa Mungu. Mungu akuepushe na maadui wako
Hizi ni nyakati za hatari watu walio anza KAZI ya mungu vizuri wamesha mezwa na anasa za dunia
HV we umekamilika sana EE hunaga dhambi mwenzetu
Cha ukweli kuimbia mungu bila heshima hio hata aikubalii kabisa kumbukumbu 22--5
Cassian wamejiunga freemasoni waimbaji wengi sana nia.zao ilikuwa kuomba wapate pesa sasa shetani kawakuta kona kawapa.hela ko hawawezi kuimba.kiMungu wanaimba kishetani ma'ana wameshika hela za shetani.injli ni jukumu.sio kAzi ni jukumu.tusipende kuombaomba hela tufanye kAzi tunaofanya.kazi ya Mungu
Amen mungu akubariki sana baba kwa mahubiri mazuri
❤matengenezo ya kanisa ndio sasa, YESU YU MALANGONI mwenye sikio na asikie
🙌🏻kweli kabisa Mtumishi wa Mungu
Mwashindwe na wamuachilie Pastor kwa jina la Yesu kristo, na Mungu awapinge upofu na mumuachilie Mtumishi ya mungu, Someni Biblia vizuri na musishike mapastor kuwa peleka gerezani hiyo sio haki lkn hasira y mungu itawaka juu yenu, muachilieni mtumishi wa Mungu akafanye kazi y Bwana
❤wewe ndo unae ona upanga unaokuja kuangamiza ulimwengu ubalikiwe sana😢😢😢
Sema baba tupone🙏🙏
ENDELEA MTUMISHI HATA WAJE NA MAANDIKO KUTETEA UOVU HUU ILA UJUMBE UTAKUA UMEFIKA BLESSED
Nikuulize wewe hauna maovu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Ameen baba Mungu akutie nguvu mana ni kaz ulyo itiwa ifanye bila kuchoka wal kukatshwa tamaa,mathayo5:11,mana ip taj baada ya kaz
Pastor mungu akubariki sana kw kutufungua macho y kiroho, Mtumishi usichoke kupinga kelele,saut inalia nyikani tengenexeni njia zenu, n Bwana Apite
Totally agree with you 💯 sure ✅✅✅ man of God,,,,,may be with you always by the blood of Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏
Mungu akubariki kaka...tunaomba kufahamu kinachoendelea mtumushi ..Mm Binafsi natamani kufahamu kinachoendelea baada yale yaliyotokea Ili tuendelee kufanya kwaajili ya Bwana wetu alietuokoa YESU KRISTO
Ubalikiwe mtumishi Mungu akubalik
Ubarikiwe sana mwinjilist maan wat wamejisahau
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mtumishi sema kweli mwenye kukasilika na akuchukie sawa wanatuharibia Injili hawa watu
Nikweli kabisa pascal kiukweli MUNGU akujalie ufike mbali katika dunia
❤❤❤❤❤❤❤kaka MUNGU aendelee kuku pigania
Very true man of God be blessed May God protect you
❤❤❤dunia imefika mwichoni
Mungu akutunze
Paza sauti Mtumishi Atakayechukia achukie tu ,Injili lazima isemwe
Innalillah wainna ilayh rajiun. Hawamuogopi aliemuumba, Biblia inakemea sana, watu wavae vizur lakin wanafata matamanio yao
Ni vigum sana mwanamke kustahimili mafanikio,, wapo lakini sio wengi.
Nakubaliana nawewe Sana mtumishi wa mungu. L'été vitu vunjavunja vunjavunja hiyo miamba ya uovu kabisa, amen.
Mtume Kasiani Mungu amekupa Neema hiyo pasua na kunyosha njia iliyopinda Shalom nakupenda mno!
Kweli kabisa apasue turekebishe
Saiv makanisa mengi sana ukisema kwa habar ya mavazi unaonekana mbaya tena mshamba Mungu atusaidie sana
Mungu akupe maisha marefu
❤❤Muñgu akubariki Mtumishi wa Mungu
Nakubali sana mhubiru
Mtumishi pascal Nakuunga mkono, ni umalaya mkubwa.
Nakupenda sana MUNGU AKUTUNZE SANA
Duh! Hao Sasa ni waimbaji wa shetanî kabisaa nàona pesa zimewapa wazimu mpaka wamesahau kusudi ni lipi, Mana wametoka kwenye kampeni ya kumkusanyia mungu kondoo wameingia kwenye kampeni za upalaya kwaajili ya kumsazia shetanî,
umzungumza Ukweli mtumishi wa Mungu
Kuna kukemea halafu kuna kuhukumu. Bwana Cassian kajigeuza mwenye haki, mhukumubwa wenye dhambi. Kuhukumu sio kazi yako, brother. Wewe wakemee na kuwarejesha kundini kondoo walipotea. Huwezi kumrekebisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa.
Wewe jamaa utakuwa mshirika wa ibada za mashetani unateteaje ujinga wa mchana kweupe
Amekashifu nini hapo?
Biblia inamtaja kahaba mlevi fisadi muongo wazi wazi
Sasa amemkashifu nini hapo?
Baadhi ya wanawake wamechanganyikiwa
labda na wewe ni kama Anastasia😢😢 shame on you acha kulalamika kwavitu vichafu😢
Sema sema baba maan usiposem hakun wakusma
Anna stasia Badilika Mungu akuponye
Moja ya wainjlisti Bora Tanzania
Aky nampenda sana Anastasia ila hii video ilinipa maswali aky 😢
Nihuzuni MUNGU atuhulumie🙏🙏 😢😢
Kweli kabisa ubarikiwe sana mtumishi wa Jehovah
Mungu tusemehe sisi watoto wake 😢 😢
Karipia ,onya kwa nguvu zote thawabu Yako ipo inaandaliwa
We si umuhubir Mungu kwann unawahukum watu we kama nan aisee
Huyu nae alianza kuvaa hivi lini ...mungu wangu
😂😂😂 ni hatari na mimi nimeshangaaa kabisa
Mtumishi wa Mungu Mimi ulinishangaza pale uliposema Kuna Mtumishi Anatoanga kafala na ulisema Alisha wai kutoka kafala, ukasema na hivi karibu karibuni Atatoa kafara na kweli baada kupita siku Chache kikatokea kifo Cha Mtumishi wake nikabaki kukushangaa Mtumishi wa Mungu na nikaanza kukwamini umenishangaza na Mungu Anakuonyesha KIKAMILIFU na Mungu Azidi kukutumia Mtumishi
Watu wamefika mbali Sana. Ni aibu hata kuwatazama. Kuna haja waimbaji wajitathimini kwakweli
Kiatu Kivue alianza kuvaa hivi lini😢juzi tuu alikuwa anachangiwa jamani
Avae hivi akienda na mume wake date....
Kanisani ajisitiri jamani
Ni kweli kabisa waambiye uyo niumalaya atakaye kuchukiya ya nii anamuchukiya yule aliye kutuma
Mtumishi casian mahubiri yako Yana nguvu sana . Mimi naitwa josephy mwila katitika biblia nimesoma sehemu Moja hivi inahusu juu ya mwanamke kukaaa kichwa wazi natamani somo hili liwafikie watu wa Mungu hususani wanawake maana kama hilineno nineno la Mungu inamaanisha kwamba asilimia 100 ya wanawake 98 hawatauona utukufu wa Mungu
Kweli, hilo neno liko pale kwenye 1Wakorintho:11:1.......
Ukweli Ina uma sema yote mtumishi wa mungu Ameeen
Duuuh Kuna kitu hakiko sawa
Anastasia Mukabwa naye kwenye chama yumo tayari kaungana na rafiki zake akina Rose Muhando
Umenena vyema kabisa mtumishi
Duuuuuu😂 mtumishi wa Mungu siyo kwa ubaya anastazia jirebishe mbona umepotoka mtumishi wa Mungu kaongea kweli kabisa
Hiki chenye kinawakulanga mimi kisijsribu kuniona maana kama huyu amefika hapa sio bure. Thare is something behind
Wimbo anao uimba , na vile alivyo vaa; analitukanisha jina la Bwana wa majeshi.
Kabisa 😂😂😂😂😂
Kila siku waimba wanarka juu hawana lolote,, wanato ujumbe tofauti na wao walivyo,,,😂😂😂
Waimbaji au makanisa ya leo hawataki kusikia ukweli wa Mungu wanataka injili laini ukikemea wanaouchukia ukweli mbingu ni ya Mungu Baba mtakatifu haingii mtu onyo ile njia ni nyembamba endeleeni kujipamba
Wueh kweli njia ya mbinguni ni ngumu
Anastacia ni wetu tena wa kabila langu. Lqkini siwezi kubali anachokifanya pesa ,umaarufu,kiburi ,vimewatawala..Mungu tusaidie , Mtumishi wa Mungu gonga wao kabisa wabadilike wengine tuinajifunza kutoka kwao
Maajabu
Shika sana ulichonacho wakati umekaribia sana, haya hayana budi kutokea.
Jina la mtu liandikwe vizuri sasa . Tumashidwa kukuelewa kwa hapo
Nasikia maumivu moyon mwangu ivi nn kimetukuta jaman
Watumishi wanaofaa kuwa mfano mwema kwa waumini, ila sivyo, wanatenda kinyume
Mungu atusaidie
Nakumbuka ilikuwa tarehe 29/7/2024, nilipewa maono!! Nikaambiwa hivi, mama wa makahaba kule kuzimu anafurahi kwasababu anajipatia wafuasi wengi kila siku, na wafuasi wake wengi anawatoa ndani ya kanisa. Yaani anapatia ndani ya kanisa. Huyu mama wa makahaba alikuwa mwanamke mwekundu, afu ana nguo za pinki, yaani gauni ya pinki. Afu ametengeneza kichwa chake vizuri mirangi mekunduuu vidoleni!!! Yaani alikuwa kahaba kweli kwasababu nguo zake zilikuwa zimembana sana!!! Akawa anafurahi huku akinyoosha mikono yake juu!!! Nikaambiwa hivi, ombea kanisa kila siku. Tangia siku hiyo nikaanza kuombea kanisa hadi leo hii. Na kweli mama wa makahaba kwenye Biblia iko katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 17:5. Amen. Wanawake mtakwisha wote kama hamtaki kukubali njia ya wokovu.
Natamani sana siku Moja ulihubili hili ili liwafikie duniani kote
Sema tupone mtu wa mungu
Kabisa
😂😂 wape vidonge vyao mtumishi
Ee Mungu ila too much jamani hivi wanamdhihaki Mungu kiasi hiki. Ok
Na eti ni kioo cha jamii😢
Huyo sio mukabwqanastazia bali ni lipepo
Sema tupone baba
Mje ktk uislaam njia ambayo Haina hayo maajabu
Wewe yesu ndio kweli na uzima usijidanganye bila yesu ni bure
Jamani waimbaji mnatupeleka wapi.
MUNGU uturehemu mana hofu yako haipo kabisa kwa wale wanaojiita wacha Mungu
Kaka tell them the truth
Safi