Yesu anajitosheleza, haambatanishwi na chochote. Kupitia kula wanajiunganisha na maagano wasio ya tambua. Kwa mwamposa hakuna Mungu, na wanaokimbilia hizo madhabau ni wahitaji na wenye njaa ya mwili na wala hawamtafute Yesu. DAMU YA YESU NI TOSHA. ubarikiwe mtumishi
Mhhhhh asante YESU unaetufungua wewe Baba unajitoshereza ni kwa jina lako tu tunafunguliwa Asante kutuandalia mtumishi huyu ambae amejitoa kwa ajili ya kazi hii ulimwenguni🎉🎉
Nashukuru MUNGU Kwa Ajili Yako!!!wengi Tumepona Kwa Haya Mafundisho yako!!! MUNGU azidi kukupa Afya njema!! Kwani Si rahisi kuyasema Haya! Pasipo msaada wa YESU Kristo!!
Ubarikiwe kakaangu kwa mafundisho ila kama wanavyosema dunia iko kiganjani mwa hawa watu wakuzimu na wana nguvu fulan wakimshika mtu si raisi kutoka huma maana tayari anakuwa ndani ya mikataba na pia kuwambia watu ukweli ni vigumu ataanzaje hapo watu wanahitaji Neema ya Mungu iwashukie na kuwafungua kuijua ile kweli ya Mungu
Mtumishi Cassian, NINAKUPENDA kwa mafundisho magumu haya , Yesu wetu anaweza yote, lkn mbona kweli dhoruba ni nyingi. Mafuta maji nk vinatumika mahali pengi na shuhuda za UPONYAJI zinatoka, Sasa iweje vifaa hivyo vinatoka KUZIMU na KUZIMU ni wapi ambako mungu wetu havijui, vikaachiwa vitumike na utajiri ukawepo pia. 😮
Imagine kuna nabii ako apa kenya anajiita ezekiel odero anauza maji na vitambaa kutapeli watu,,,mungu atusaidie kwa neno lake ili tujuwe awa matapeli na wako wengi
Ola.ukqeli ti siku zote ukiwa unahubr kuhusu mtu hito nae dhambi mungu anasem ufunge nakuomba wala jilani asijue kama umefunga kwann asifunge nakuomba kukomboa fikir zahao watu
tatizo amuhubiri injiri mnahubiri watu! hibiri injiri ya YESU anaokoa, hao wahubiri feki lazima wawepo ili kutimiza unabii, wafundishe waumini kwamba awa wahubiri mataperi lazima wawepo ili kuwakamilisha watakatifu na unasoma maandiko. kila siku ni kelele tu za wahubiri feki hiyo siyo injiri ya YESU. biblia inasema lihubiri neno maana utakuja wakati watu watayakataa mafundisho yenye uzima,
Sio kila mafuta ya upako ni yakuzim acha upumbav nawewe kwan mafuta yameanza leo tangu mwanzo mafuta yalikwepo na yalitumika acha kukurupuka unatafuta views kwa njia za kijinga sana Yakobo 5:14 [14]Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
Mafuta kwa jina la Bwana Na sio kupakwa mafuta ya upako Mbona andiko linajieleza Mafuta yamehalalishwa na nani Na imeandikwa wenye kupaka mafuta ni wazee wa kanisa vip hapo?
@@stevenhaule6786 kwan mwamposa anatumia mafuta kwa Jina la nani na wap biblia imesema mafuta yatumike na mzee wa kanisa tu na sio nabii au mchungaj apo mzee wa kanisa ni kama exmple naomba tafuteni makosa mengine kwa mwamposa ila juu ya kutumia mafuta apo mmefeli
Mafuta ya wazee sio hayo ya upako, haya mafuta mtumishi anayo yasema yanafanyakazi hata kwakazi zisizo sasahihi, fikilia jose kahaba anajipaka ili apate wateja yanamwagwa baa ili wauze, naomba ufikili kwa mfano tu huu niupako gani unasahihisha uovu.
Ubarikiwa mtumishi Kwa maneno matamu Mungu aniwezeshe amen
Mshukuru mungu ukimpata wakukufundisha kweli ya mungu , mtumishi mungu akupe maisha marefu utufundishe
Amen amen Baba yetu wa nbinguni tuwezeshe kusimama imara ❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤ Ameeeni asanteeee Muñgu kwa kutupa mtumishi anae ongea ukweli
Yesu anajitosheleza, haambatanishwi na chochote. Kupitia kula wanajiunganisha na maagano wasio ya tambua.
Kwa mwamposa hakuna Mungu, na wanaokimbilia hizo madhabau ni wahitaji na wenye njaa ya mwili na wala hawamtafute Yesu. DAMU YA YESU NI TOSHA.
ubarikiwe mtumishi
Utukufu kwake Yesu Christo Asante roho mtakatifu
Mungu atuhurumie,neema ya Yesu ikuzidishie mtumishi wa Mungu.
Mhhhhh asante YESU unaetufungua wewe Baba unajitoshereza ni kwa jina lako tu tunafunguliwa Asante kutuandalia mtumishi huyu ambae amejitoa kwa ajili ya kazi hii ulimwenguni🎉🎉
Umeokoa weng kutoka kwenye mikono ya matapeli namimi nikiwepo MUNGU akupe maisha malefu
Amina mtumishi wa mungu lakini ukuje kenya pia
Mtumishi naomba uniombee niweze kulijua neno la Mungu kama wewe ❤
Nashukuru MUNGU Kwa Ajili Yako!!!wengi Tumepona Kwa Haya Mafundisho yako!!! MUNGU azidi kukupa Afya njema!! Kwani Si rahisi kuyasema Haya! Pasipo msaada wa YESU Kristo!!
Asante mtumishi kwa kufungua watu macho
Ubarikiwe kakaangu kwa mafundisho ila kama wanavyosema dunia iko kiganjani mwa hawa watu wakuzimu na wana nguvu fulan wakimshika mtu si raisi kutoka huma maana tayari anakuwa ndani ya mikataba na pia kuwambia watu ukweli ni vigumu ataanzaje hapo watu wanahitaji Neema ya Mungu iwashukie na kuwafungua kuijua ile kweli ya Mungu
Amina mtumishiii
Aimeeen
Waambie kabisà mtumishi,Mimi nimepakwa mafuta miaka mingi na mafuta bila tofauti,Hadi nilipojua ukweli,kuacha dhambi ndio siri
Hallelujah
Amen papap
Ndoo maana nashukuru mungu kwa kuniletea mjumbe william Marion brahanam
Mimi siendag church naomba kwa nyumba na mungu anasikia🙏
Ni vizuri hasa kama umesukumwa na nguvu ya Imani. Lakini ni vizuri ukatafuta sehemu ambàyo Unaweza kuabudu. Kuna umuhimu pia wa kukutanika
😅😅😅😅😮❤
Mungu akusamehe
Ni Kweli Kabisa !!! Baba SEMA watu wapone!!! Wengine wanasema eti Unapiga kelele!!! Hawajui hii Siri!!!
Kondoo wangu wamepotea kila mmoja kwa njia yake, ukiwa chini ya dhambi utayataka mafuta sana ili roho wa bwana akiwa ndani yako hakuna haja ya mafuta
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Hakika Kristo akutunze kaka km mtu hana Mungu ni ngumu kukuelewa ila ukweli ni kwamba atayekukubali atajiokoa na jahan ya milele
Kwn bado kuna wa2 wanakimbizana na vitu vya upako wajajuwa siri ya damu ya yesu
Mtumishi Cassian, NINAKUPENDA kwa mafundisho magumu haya , Yesu wetu anaweza yote, lkn mbona kweli dhoruba ni nyingi. Mafuta maji nk vinatumika mahali pengi na shuhuda za UPONYAJI zinatoka, Sasa iweje vifaa hivyo vinatoka KUZIMU na KUZIMU ni wapi ambako mungu wetu havijui, vikaachiwa vitumike na utajiri ukawepo pia. 😮
Mungu anisaidie kwa kunifungua ufahamu nisijiunganishe na vitu nisivyovijua ili nisipoteze thamani yangu.
Apo sipingi ila towa lile bango sijui nila yesu kriso Ile ni picha uitowe
Amen Halleluya
Amen amen
si vizuri kumtukana mtu yeyote ila tuelimishane
Jaribu kuelewa hajatukana mtu Bali anatumia mifano ili tuelewe
Hayukani, kutukaka ni kusema pumbavu, mbwa ,mbuzi ila huyu ni jasiri wa kusema ukweli anaouamini
SEMA Baba Tupone
❤❤❤❤😂❤😂❤😂❤❤❤
Imagine kuna nabii ako apa kenya anajiita ezekiel odero anauza maji na vitambaa kutapeli watu,,,mungu atusaidie kwa neno lake ili tujuwe awa matapeli na wako wengi
ni siku za mwisho watu hawataki kumwomba Mungu wanataka rahisi
Amen
Ola.ukqeli ti siku zote ukiwa unahubr kuhusu mtu hito nae dhambi mungu anasem ufunge nakuomba wala jilani asijue kama umefunga kwann asifunge nakuomba kukomboa fikir zahao watu
Mtumishi hajafunga hapo Bali anafundisha ni mwalim km yesu alivofanya, elewa tofautisha pia
Ajabu watu hawambiwi waache dhambi Bali wanunue mafuta ya upako
tatizo amuhubiri injiri mnahubiri watu! hibiri injiri ya YESU anaokoa, hao wahubiri feki lazima wawepo ili kutimiza unabii, wafundishe waumini kwamba awa wahubiri mataperi lazima wawepo ili kuwakamilisha watakatifu na unasoma maandiko. kila siku ni kelele tu za wahubiri feki hiyo siyo injiri ya YESU. biblia inasema lihubiri neno maana utakuja wakati watu watayakataa mafundisho yenye uzima,
Kila siku kuongelea watu au mtu hito nae nikuketi katikati kwa wenye mizaaa
Muombe sana Mungu akupe hekima ya kulijua neno lake
Sio kila mafuta ya upako ni yakuzim acha upumbav nawewe kwan mafuta yameanza leo tangu mwanzo mafuta yalikwepo na yalitumika acha kukurupuka unatafuta views kwa njia za kijinga sana
Yakobo 5:14
[14]Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
We ni mpofu wa waandiko
@@RugoeLevine-j7x tupe andiko we unae jua nyie mnaenda na mkumbuko tu hamna mnacho kijua
Mafuta kwa jina la Bwana
Na sio kupakwa mafuta ya upako
Mbona andiko linajieleza
Mafuta yamehalalishwa na nani
Na imeandikwa wenye kupaka mafuta ni wazee wa kanisa vip hapo?