Hata hapa kenya tumakupata kwa njia nzuri ,injili ya kweli unayoipiga itapata pigamizi sana,napenda sana injili kama hizi zako mungu alizokubariki nazo,
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe yesu wangu nimuabuduye akulunde kusiwepo na nguvu yeyote ya adui ya kukutisha mungu akupe ulinzi kwa damu ya yesu kristo
Ubarikiwe zaidi mtumishi CASSIAN yeyeote anayeona mahubiri yako kinyume hana Mungu wa kweli ndani yake maana ni dhahiri kabisa unatumiwa na Mungu wa kweli
Nina jambo kwako mtumishi wa mungu pascal. ,ungelitafuta jina lingine ,,usiite kuna nuru gizinii ,,tafakari sana juu ya hili la kuna nuru gizani???halitosis sawa mtumishi wa mungu .
Watumishi wa Mungu, waimbaji wa nyimbo za injuli, wote hao wanahitaji MAOMBI yetu. Tusiache kuwaombea ili warejee kwenye MSINGI WA NENO LA UZIMA. Tusipende huduma zao tukasahau kuwabeba kwa MAOMBI. Wako vitani. Watu enzi za agano la kale walivyoacha kuinua mikono ya Mtumishi wa Mungu Yoshua 17:11-16 Tuwabebe watumishi wa Mungu kwa maombi wanashambuliwa mno. Wanaanza vizuri lakini kati ya safari wanakutana na mapambano makali. Ni wachache wanaofaulu kwa kujiombea maana hatuwaombei. Tuombeane Yakobo 5:16 Mungu Atutie nguvu sote. Unyakuo wa kanisa teule u karibu sana. Amen
Mungu atusamehe sana kwa hali inayoendelea kanisani na duniani kote. Katika kizazi hiki aliye na afadhali ni yule Mungu alimwandaa aghali tumboni mwa mama. Kutoka 2000 aisee wacha tu waliozaliwa kwa wingi ni majini waliovaa umbo la wanadamu. Yesu akakibatiza kizazi cha nyoka....hawana aibu, wako sawa kwa lolote wanalolifanya hawasikii kabisa. Mungu atusaidie sana. Mungu akubariki sana na azidi kukufunulia siri za mbinguni zaidi ya yote akuepushe na mipango ya maadui.
@@MGALILAYABillionaire Kunawatu wanaweka ushabiki kwenye hamna na ushabiki Mungu anakuona mtu akipotea njia ambiwe watu wanafumbia ujinga wanataka kupendwa Mungu anawaona sijui kutokusoma Biblia
Ewe mwenyezi Mungu wasaidie wachungaji wayaone haya na wapate kuyakemea pia na sisi washirika tujisimamie na kutambua tuliembeba ndani yetu yaani yesu kristo.Wakristo wa kweli huonywa mara moja tu na mabadiliko ya matendo ya kristo huanza kutokea kwao wala hawatoi lawama juu ya maonyo ya Mungu . Lakini leo inatisha nakuogofwa washirika tukionywa tumekuwa tukizozana na wachungaji hasa vijana wakiume na wakike
Nilimuomba Mungu anipe watoto wawili wawe wa jinsia yeyote nitashukuru. Mungu kajibu maombi yangu, ila kwa leo najiongelesha kua, kwa nini Mungu hakunipa watoto hawa wawe vijana. Maana nikimwangalia msichana, twatoshana, hata wengi wajua ni dadangu na kijana ndie mwanangu. Tuwatunze na kuwalea kwa malezi ya dini. Tukiwaachilia, wataharibika na watakua wanajisi wa kisayikolojia vile ninavyoona. Mungu atusaidie.
kwenye kuharibika hakuna jinsia. Jinsia yeyote inaweza kuharibika, Kikubwa ni kupata Neema ya Mungu. Yaan ile Neema kuu ya kuwalea watoto vema na pia utunzaji wa Mungu juu ya watoto kutokana na mazingira ya nje na utandawazi. Ni NEEMA ya Mungu tu inahitajika.
@@AshanaomyMwakimwagileamen mwana wa MUNGU inamaana ss wenye watoto wakike je tumlaum MUNGU? mbona wakiume wanakuwa mashoga nahao je kwaupande wakuwalea watoto nikumuomba MUNGU tu aweke ulinzi kwa watoto wetu BWANA asipoulinda mji aulindae afanya kazi bure
Mh!! Martha huyo mwee tena me nlimpenda dah kabadilika kabisa mhuuuuu dunia imeisha watoto wetu wamepotea wanavaa hizo hizo nguo ni wakati wa kumlilia MUNGU kwa ajili ya watoto dah moyo unauma tunao hao mabinti Ee MUNGU Baba tusaidie ubarikiwe baba
@@JOSEPHNKUNDA even if it's the last days.. it's good to pray and confirm from God rather than just calling God's servant kisasi cha nyoka😔 let's not grieve the holy spirit
Dunia hii inatisha nakuogofwa nguo za kulalia zimekuwa za kuvaa makanisani hasa kwa vijana wanaotumika madhabahuni na kuhudumu inatisha nakuogofwa maana baadhi ya wachungaji hawakemei 😢 😢
Tusilaumu wanawake tumlaumu shetani, anae leta maovu, kuhusu watoto jinsia, sio kweli, vijana wakike na wakiume wote wanatumiwa na shetani vijana wanavuta madawa yakulewa. Panya rord majambazi, lakini niwapongeze wanawake makanisani ndio wanao ongoza kwa wingi na niwatumishi wazuri tangi enzi za yesu, wanawake msivunjike moyo mtumikieni Mungu
Lakini nyinyi wakristo na wachungaji wenu mmewaruusu wanawake wenu waje uchi makanisani ili mfanye nao zinaa mnadai Mungu haangalii mavazi hata ukiwa uchi sawa tu
Mimi sijawahi kumpenda huyu Martha mwaipacha tangia aanze uimbaji wake,, ndani yake hakuwamo mungu alinza na ubinafsi kwa uimbaji wake na kujisifu,, kujiinua,,akawatharau maiduguri zake wa kambo,, akajiona ni yeye tuu ,,,badala ya kumsifu mungu anajisifu yeye mwenyewe 😢😢😢ole wake kuifanyia kazi ya mungu chakula cha tumbo 😢😢
Mungu akusimamie tusije anza kukuona kwenye mikutano pamoja nao.. mimi ni mmoja ya watu walio acha kwenda kanisani sababu makanisa yamekuwa ndani ya System ambayo haipendezi nafsi yangu😭😭😭Mungu naomba hii iwe sehemu ya kweli 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@@Gospel434 kupotea kivipi?Mtu mwenye anajielewa hizi Enzi heri kujiombea na kufanya mapenzi ya Mungu sadaka ununulie chokora chakula utakuwa na amani sana kuliko mtu anaye enda kanisani mimi sahii ni 4years nina amani sana
Na wakuache.ukiwaambia ukweli ni eti wanataka wakusime ili waendeleze upuzi....waambie.TELL THEM.WAKUPELEKE KWENYE UKO WANAJUA NA HAKUNA KILE WANAJUA. SEMA YOTE.
Yaan martha kiukwe nilikuwa nampenda sana ila kitu kimoja anafel mtumishi wa mungu ni taa sasa anapovaa viguo vya kuishia kwenye magoti nikwamba hana tofauti na madada poa yaani maana yake yuko sokon wapenzi kuvaa nguo fupi siyo ndiyo uzuri hapana
Mtumishi semaukweli haujamuhukumu mtu bali u afundisha jinsi wakilsto tulivyo potoka pia waimbaji walivya iga mambo yautandawazi yakidunia ambayo hayawapac wao kufanya sema tupone
Neno Ra MUNGU tunaona Akili puuza Kumbukumbu la Torati 22:5 [5]Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
Sasa kwann cover ya video yako umemuweka Martha ....kwa Martha ndio content ya hii video napeelimu ya Mungu lakin sipendi mtu asie weka cover iliyobeba uhalisia wa video yake
Ungeweka picha mbali mbali na si ya huyo dada pekeyake kama vile yeye ndio topic yako Amevaa vibaya sawa sijakataa...ila sio sawa yeye kuwa ndio Video cover yako. Waheshimu wenzio basi.
Angalia dhambi ilikuja nani alisababisha samsoni alitolewa macho nani chanzo wanawake usipokuwa na hofu ya MUNGU yani na shetani akalale kwa Yale utakayoyafanya
Kuzaliwa kwa watoto wa kike kuna uhusiano gani na shetani?je shetani anaumba mtu au Mungu ndo anaumba,je kuna mbegu zozote zinazotengenezwa kwenye maabara zinazoweza kufanyika mwanadamu?labda mimi niko nyuma ya uelewa lakini ninachojua Mungu wa mbinguni ndiye muumbaji.sula la watoto wakiume kuwa wachache halijaanza leo. Hakuna binadamu anayetengenezwa kwa chembechembe za kimaabara ila wanapandikizwa roho za uasi ili kuiangusha dunia.
@@charleszakayo2977 usinifanye mjinga nimesikiliza wala sijakurupuka kukomenti hapa,hakuna andiko linalodhibitisha kuwa kizazi cha kike cha sasa kina kinatokana na mchanganyiko wa chembechembe za kimaabara,msitulishe ujinga hapa kuna andiko Yesu alisema kizazi cha nyoka wana wa majoka na Yohana mbatizaji alilisema ila si kwamba kilizaliwa na shetani hapana kilikuwa kizazi chenye kupenda ushetani kuliko Mungu.hacha kupotosha
Unapokoment kitu uwe umemuelewa mtu ndipo umkosoe mtu amesema mabinti wengi wanawaza uchafu tu wamekuwa majent wakubwa saiz wanao tembea uchi sio wakiume
@@CLAUDMWAKALASYA hata wewe mwenyewe hujui nini unakomenti,maana ulichokiandika na ninilichokosoa ni vili tofauti,mtumishi kasema shetani amepandikiza roho ya kuzaliwa watoto wa kike ili atimize mpango wake,akasema pia waliowengi wamechanganywa na mbegu zilizotoka maabara ambazo shetani ndo kazipanda ndo maana mabinti wako uchi,na ushetani mwingi.nami nimekataa kwa comment yangu hapo juu.nakushauri wewe rudia kusikiliza na kuisoma koment yangu.
Barikiwa sanaa Mtu wa Mungu kwa kazi ya Mungu unayoifanya!🙏🏾🙏🏾
Hallelujah, Acifiwe mwokozi wa ulimwengu Bwana wetu Yesu Kristo, Neema yake ikutoshe , kutoka23;20-27 , Injili iende mbele, Shalom .
Hata hapa kenya tumakupata kwa njia nzuri ,injili ya kweli unayoipiga itapata pigamizi sana,napenda sana injili kama hizi zako mungu alizokubariki nazo,
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu ❤
Tunakusikia
Amen ubarikiwe sana kaka
Hakika hayo ni ya kweli...na watu wameondoka kwenye uwepo wa MUNGU watu wanakimbizana na utandawazi..hakika Mungu uturehemu ...
Ewe Mwenyezi Mungu tusamehe. Naomba kwa jina la Yesu, tusamehe.
Mh kweri nyimbo naifatilia ni nzuri mno
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe yesu wangu nimuabuduye akulunde kusiwepo na nguvu yeyote ya adui ya kukutisha mungu akupe ulinzi kwa damu ya yesu kristo
Ubarikiwe zaidi mtumishi CASSIAN yeyeote anayeona mahubiri yako kinyume hana Mungu wa kweli ndani yake maana ni dhahiri kabisa unatumiwa na Mungu wa kweli
Aksanti kwa nyimbo inatujenga zaidi.mungu atutendeye muujiza pamoja.
Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu,umeongea,kweri Dunia yiko mwisho,kila mtu nikutazama,mwenyewe
Nina jambo kwako mtumishi wa mungu pascal. ,ungelitafuta jina lingine ,,usiite kuna nuru gizinii ,,tafakari sana juu ya hili la kuna nuru gizani???halitosis sawa mtumishi wa mungu .
Mm nilivyoelewa ni kuwa hata ktk nyakat hiz tulizonazo ambazo ni kama Giza Bado IPO nuru yaan watu kuifahamu kweli na kukombolewa
Waimbaj wa nyakati hizi wanaangalia pesa ndiyo Mungu wao, shetani ni mungu wa Dunia hii
Watumishi wa Mungu, waimbaji wa nyimbo za injuli, wote hao wanahitaji MAOMBI yetu. Tusiache kuwaombea ili warejee kwenye MSINGI WA NENO LA UZIMA. Tusipende huduma zao tukasahau kuwabeba kwa MAOMBI. Wako vitani.
Watu enzi za agano la kale walivyoacha kuinua mikono ya Mtumishi wa Mungu
Yoshua 17:11-16
Tuwabebe watumishi wa Mungu kwa maombi wanashambuliwa mno. Wanaanza vizuri lakini kati ya safari wanakutana na mapambano makali. Ni wachache wanaofaulu kwa kujiombea maana hatuwaombei.
Tuombeane Yakobo 5:16
Mungu Atutie nguvu sote. Unyakuo wa kanisa teule u karibu sana. Amen
Mungu atusamehe sana kwa hali inayoendelea kanisani na duniani kote.
Katika kizazi hiki aliye na afadhali ni yule Mungu alimwandaa aghali tumboni mwa mama. Kutoka 2000 aisee wacha tu waliozaliwa kwa wingi ni majini waliovaa umbo la wanadamu.
Yesu akakibatiza kizazi cha nyoka....hawana aibu, wako sawa kwa lolote wanalolifanya hawasikii kabisa. Mungu atusaidie sana.
Mungu akubariki sana na azidi kukufunulia siri za mbinguni zaidi ya yote akuepushe na mipango ya maadui.
@@SamweliKayanda mathayo 7:16 mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili?......
@@MGALILAYABillionaire Nimekosea sms yangu Mtumishi wa Mungu hiyo wapi sikkusudia bali lengo langu kusema Bibila inasema mtawatambua kwa Matendo yao.
@@MGALILAYABillionaire Nimekosea sms yangu Mtumishi wa Mungu sikkusudia bali lengo langu kusema Bibila inasema mtawatambua kwa Matendo yao
@@MGALILAYABillionaire Kunawatu wanaweka ushabiki kwenye hamna na ushabiki Mungu anakuona mtu akipotea njia ambiwe watu wanafumbia ujinga wanataka kupendwa Mungu anawaona sijui kutokusoma Biblia
@@SamweliKayanda masikio wanayo hawasikii unabii wa Isaya unatimia na macho lakini hawaoni.
Duuh Martha jmn nakupenda sana naomba uache hayo mavaz jmn napenda sana nyimbo zako
Ubarikiwe mtumishi endelea kupiga injili
Hongera Sana Mtumwa wa BABA pole nikakutumie hela ya maji
🎉uvaaji wa namna hiyo ni ukahaba hata kama wajione ni wa kiroho kiasi gani,ni sawa uchi tu Ole wao kwa ujeuri wao mpyuto unakuja
MUNGU atusaidiye sana.okovu ni mali.mungu akubariki mtumishi wamungu.
Ubarikiwe pastor kw n
Wewe tumishi Mungu alibariki sana kazi i siyo wewe mwenyewe ni Mungu mwenyewe ndani yako
Ewe mwenyezi Mungu wasaidie wachungaji wayaone haya na wapate kuyakemea pia na sisi washirika tujisimamie na kutambua tuliembeba ndani yetu yaani yesu kristo.Wakristo wa kweli huonywa mara moja tu na mabadiliko ya matendo ya kristo huanza kutokea kwao wala hawatoi lawama juu ya maonyo ya Mungu . Lakini leo inatisha nakuogofwa washirika tukionywa tumekuwa tukizozana na wachungaji hasa vijana wakiume na wakike
mungu akubariki n'a akufunike kwa damu ya Yesu kristo
Mungu ataipandisha ma dhabahu yake ju, maana nikazi yake Mungu.
Tuko pamoja mtumishi mungu aendelee kukutumia kama chombo
Nilimuomba Mungu anipe watoto wawili wawe wa jinsia yeyote nitashukuru. Mungu kajibu maombi yangu, ila kwa leo najiongelesha kua, kwa nini Mungu hakunipa watoto hawa wawe vijana. Maana nikimwangalia msichana, twatoshana, hata wengi wajua ni dadangu na kijana ndie mwanangu.
Tuwatunze na kuwalea kwa malezi ya dini. Tukiwaachilia, wataharibika na watakua wanajisi wa kisayikolojia vile ninavyoona.
Mungu atusaidie.
Namwinua MUNGU aliyenipa watoto wakiume wanne wakike mmoja
kwenye kuharibika hakuna jinsia. Jinsia yeyote inaweza kuharibika, Kikubwa ni kupata Neema ya Mungu. Yaan ile Neema kuu ya kuwalea watoto vema na pia utunzaji wa Mungu juu ya watoto kutokana na mazingira ya nje na utandawazi. Ni NEEMA ya Mungu tu inahitajika.
@@AshanaomyMwakimwagileamen mwana wa MUNGU inamaana ss wenye watoto wakike je tumlaum MUNGU? mbona wakiume wanakuwa mashoga nahao je kwaupande wakuwalea watoto nikumuomba MUNGU tu aweke ulinzi kwa watoto wetu BWANA asipoulinda mji aulindae afanya kazi bure
Nenda kwa Mwamposa
@@ShukuruJema kufanya nini kwa mwamposa?
Mungu tunaomba utusaidie kwakwel dunia imekwisha tuzid kuombeana ss kwa ss ili hatimaye tuyashinde majaribu ya hii dunia
Dunia imefika,ukingoni pastor,watu wanastahili kurekebika
Ameni mtumishi bwana akubariki sana
Mtumishi mungu akubaliki na aendelee kukutia nguvu🙏🙏
Mh!! Martha huyo mwee tena me nlimpenda dah kabadilika kabisa mhuuuuu dunia imeisha watoto wetu wamepotea wanavaa hizo hizo nguo ni wakati wa kumlilia MUNGU kwa ajili ya watoto dah moyo unauma tunao hao mabinti Ee MUNGU Baba tusaidie ubarikiwe baba
Am also shocked about Martha na nilikua nampenda hata nyimbo zake woi nashangaa tu
@@happinesskwamboka1540Martha is God's chosen
These are the last days, let us be vigilant in praying
@@JOSEPHNKUNDA even if it's the last days.. it's good to pray and confirm from God rather than just calling God's servant kisasi cha nyoka😔 let's not grieve the holy spirit
@@lorenahomondi1293soma alama za nyakati, mtumishi wa MUNGU anaenda jimu🤔🤔 macho ya ROHONI yanahitajika
Mungu tusame na utupe mawono 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, lakini Kuna wa toto wa kike wacha Mungu siyo wote ambao wameshindikana.
Saidie ewe bwana yesu
Mungu sayidiya wa toto wetu wukujuwe mungu wetu
Kweli kabisa kizaz Cha sasa kimekua Cha nyoka
Ukweli usemwe tupone Yesu wangu tuokoe tunaangamia Yesu
Kweli kaka Mungu akubarik sana Mungu atuponye
Ila wanaanza kutuhubiri hakuna mbingu.
Dunia hii inatisha nakuogofwa nguo za kulalia zimekuwa za kuvaa makanisani hasa kwa vijana wanaotumika madhabahuni na kuhudumu inatisha nakuogofwa maana baadhi ya wachungaji hawakemei 😢 😢
God bless you 🙏🙏
Mungu tuhurumie sisi wanawake tuuone ufalme wa mbinguni
Umbarikiwe mutumishi Pascal cassian
Kweli kabisa Mtumishi wa MUNGU Ndiyo MAISHA halisi ya Nyakati za sasa
Amen Mtumishi.
Uenda angesema tutoke katika Giza Nuru iangaze
Nikwelii kabisaa yaaan
Watoto wa kiume wakivuta bangi na kufanya ubakaji na mauaji wanawazalisha mabinti kwa kuwadanganya,dhambi haibebi jinsia bali dhambi ni dhambi tu
Tusilaumu wanawake tumlaumu shetani, anae leta maovu, kuhusu watoto jinsia, sio kweli, vijana wakike na wakiume wote wanatumiwa na shetani vijana wanavuta madawa yakulewa. Panya rord majambazi, lakini niwapongeze wanawake makanisani ndio wanao ongoza kwa wingi na niwatumishi wazuri tangi enzi za yesu, wanawake msivunjike moyo mtumikieni Mungu
Lakini nyinyi wakristo na wachungaji wenu mmewaruusu wanawake wenu waje uchi makanisani ili mfanye nao zinaa mnadai Mungu haangalii mavazi hata ukiwa uchi sawa tu
Hakika hizi ni nyakati za mwisho macho yangu ya sitaajabu matendo ya watu waliondani ya kristo wanakengeuka
Martha ulianza vizuri na watu walikupenda na mimi nikiwepo imekuwaje¡!!!!!!!
Natamani kuja kanisani kwako japo sjui Ni wapi
Madhabahu imejaa mapicha picha na makochi na mito ya marangi rangi
Mimi sijawahi kumpenda huyu Martha mwaipacha tangia aanze uimbaji wake,, ndani yake hakuwamo mungu alinza na ubinafsi kwa uimbaji wake na kujisifu,, kujiinua,,akawatharau maiduguri zake wa kambo,, akajiona ni yeye tuu ,,,badala ya kumsifu mungu anajisifu yeye mwenyewe 😢😢😢ole wake kuifanyia kazi ya mungu chakula cha tumbo 😢😢
Mungu akusimamie tusije anza kukuona kwenye mikutano pamoja nao.. mimi ni mmoja ya watu walio acha kwenda kanisani sababu makanisa yamekuwa ndani ya System ambayo haipendezi nafsi yangu😭😭😭Mungu naomba hii iwe sehemu ya kweli 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
We uko wapi ndg
Tafuta kanisa la kiroho uende
Hakuna kabisa watu wajiombee tuu nakusaidia yatima @@PatrickMathias-cs9qc
Usipo tafuta mahali sahih utapotea
@@Gospel434 kupotea kivipi?Mtu mwenye anajielewa hizi Enzi heri kujiombea na kufanya mapenzi ya Mungu sadaka ununulie chokora chakula utakuwa na amani sana kuliko mtu anaye enda kanisani mimi sahii ni 4years nina amani sana
Amem ila Ata wa kiume ni anguko pia amem wakike kwa nn 🙄
MTUMISHI MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KAZI NJEMA SANA
NI UKWELI MTUPU
Hahahaha watoto wako hujawafundisha chakula sahihi tangu mwanzo,unalichukulia somo la chakula juju tu
Huyu n ufagio wa chuma 6.6kvews ila hawawezi like 🤣🤣🤣
Na wakuache.ukiwaambia ukweli ni eti wanataka wakusime ili waendeleze upuzi....waambie.TELL THEM.WAKUPELEKE KWENYE UKO WANAJUA NA HAKUNA KILE WANAJUA. SEMA YOTE.
Piga kelele usiache uwahubiri watu makosa yao
Amen amen 🙏🙏
Niko njiapanda. Hakuna kanisa sahihi ya sisi kwenda. Hasa upande
wa mavazi.
Mwaya...Mungu anaangalia moyo hao wanaovaa manguo makubwa ndo wachafu Kama nn
Unasema kweli hata kanisani hapafai sasahivi
Kanisani baadhi wanakuja wamevaa vi nguo vifupi kabisa
Nilipo mwona Martha Mwaipaja ameanza kuvaa vimini nikajua neno limetia kuwa mtawajua kwa matendo.
Yaan martha kiukwe nilikuwa nampenda sana ila kitu kimoja anafel mtumishi wa mungu ni taa sasa anapovaa viguo vya kuishia kwenye magoti nikwamba hana tofauti na madada poa yaani maana yake yuko sokon wapenzi kuvaa nguo fupi siyo ndiyo uzuri hapana
Asante sana 🇨🇩🇨🇩
Khaaaass😢😢😢😢😢
mtumishi hiyo picha ulioweka hapo ya watoto watatu umekosea, they're sisters, ni wana wa Nameless na Wahu raia wa nchi ya kenya..
Amen Amen
Usihukumu usije ukahukumiwa kikombe unachompimia mwenzio ndio utakachopimiwa....waombeeni watakatifu Kama nyie
Amen ameen🤝🤝🙏
Mtumishi semaukweli haujamuhukumu mtu bali u afundisha jinsi wakilsto tulivyo potoka pia waimbaji walivya iga mambo yautandawazi yakidunia ambayo hayawapac wao kufanya sema tupone
Mungu wangu😢
Tafadhali achana na Martha huyo ni mtumishi wa mungu😢
Usitetee kilicho potea acha ushabiki Mungu anakuona
Uwe Una akili ndg yangu kwann hufungui macho kwani huoni?
Neno Ra MUNGU tunaona
Akili puuza
Kumbukumbu la Torati 22:5
[5]Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
@@Gospel434 wakati bibilia iliandikwa vazi la kike na la kiume vikuwa Kama kanzu zote au sivyo. Hata kwa watati huo Kuna trousers za kike na za kiume
Wanawake wanadhani kila alieshika Biblia na anahubiri Kanisani ni WA Mungu Satan at work
Yesu akutunze Mtumishi
SASA wakiume watakufaje huku unasema hawazaliwi,?
Mungu akusaidie, sikio la ndani lifunguke 😊😊mimi mwenyewe nilikuwa sielewagi kabisa yaani 😂
Njoo
Mtumishi kushukwa ni vibaya
Kushukwa ndonini?
Au unamaanisha kusuka?
Yes, haturuhusiwi kusuka dadaa
@@Mamas-06kje kama ni za asili??
Sasa kwann cover ya video yako umemuweka Martha ....kwa Martha ndio content ya hii video napeelimu ya Mungu lakin sipendi mtu asie weka cover iliyobeba uhalisia wa video yake
Ungeweka picha mbali mbali na si ya huyo dada pekeyake kama vile yeye ndio topic yako
Amevaa vibaya sawa sijakataa...ila sio sawa yeye kuwa ndio Video cover yako. Waheshimu wenzio basi.
Kwa HIYO WANAWAKE ni kizazi Cha SHETANI?
Dahhh😢
@@kelvinjosee-u3eakili yako ndogo sana
Angalia dhambi ilikuja nani alisababisha samsoni alitolewa macho nani chanzo wanawake usipokuwa na hofu ya MUNGU yani na shetani akalale kwa Yale utakayoyafanya
Sad😢. This is false preacher 😔
Ni kweli kabisa tuwaombee sana mabinti zetu shetani anawaharibu sana.
Wanawake nikizazi cha nyoka mbona na wewe umeoa mwanamke ulimtoa wapi au mbingu gani?
Kuzaliwa kwa watoto wa kike kuna uhusiano gani na shetani?je shetani anaumba mtu au Mungu ndo anaumba,je kuna mbegu zozote zinazotengenezwa kwenye maabara zinazoweza kufanyika mwanadamu?labda mimi niko nyuma ya uelewa lakini ninachojua Mungu wa mbinguni ndiye muumbaji.sula la watoto wakiume kuwa wachache halijaanza leo. Hakuna binadamu anayetengenezwa kwa chembechembe za kimaabara ila wanapandikizwa roho za uasi ili kuiangusha dunia.
Skiliza kwanza kwa Makin ndoo upatee kuuliza anaposema jambo lazma alifafanue kwa vifungu vya NENO la mungu.
@@charleszakayo2977 usinifanye mjinga nimesikiliza wala sijakurupuka kukomenti hapa,hakuna andiko linalodhibitisha kuwa kizazi cha kike cha sasa kina kinatokana na mchanganyiko wa chembechembe za kimaabara,msitulishe ujinga hapa kuna andiko Yesu alisema kizazi cha nyoka wana wa majoka na Yohana mbatizaji alilisema ila si kwamba kilizaliwa na shetani hapana kilikuwa kizazi chenye kupenda ushetani kuliko Mungu.hacha kupotosha
Unapokoment kitu uwe umemuelewa mtu ndipo umkosoe mtu amesema mabinti wengi wanawaza uchafu tu wamekuwa majent wakubwa saiz wanao tembea uchi sio wakiume
@@CLAUDMWAKALASYA hata wewe mwenyewe hujui nini unakomenti,maana ulichokiandika na ninilichokosoa ni vili tofauti,mtumishi kasema shetani amepandikiza roho ya kuzaliwa watoto wa kike ili atimize mpango wake,akasema pia waliowengi wamechanganywa na mbegu zilizotoka maabara ambazo shetani ndo kazipanda ndo maana mabinti wako uchi,na ushetani mwingi.nami nimekataa kwa comment yangu hapo juu.nakushauri wewe rudia kusikiliza na kuisoma koment yangu.
Amina
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒕𝒖𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 ❤❤
𝒌𝒂𝒔𝒔𝒊𝒂𝒏 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒕𝒖𝒎𝒊𝒆 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒗𝒊𝒘𝒂𝒏𝒈𝒐 𝒗𝒚𝒂 𝒋𝒖𝒖 𝒔𝒂𝒏𝒂❤❤
Ameni mtumishi bwana akubariki sana
Ila wanaanza kutuhubiri hakuna mbingu.
Nikwelii kabisaa yaaan
Amina