CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 197

  • @FridaMwaihojo
    @FridaMwaihojo 19 วันที่ผ่านมา +24

    Ila Mungu ni mvumilivu jamani! Wacha ahusike mwenyewe kuwakomboa watu wake, Mimi ninamshukuru sana Mungu kwa zawadi nzuri ya wokovu alionipa

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 20 วันที่ผ่านมา +17

    Asante mtumishi kwa kutufunulia mambo makubwa ambayo tulikuwa hatuyajui'
    Ila tu naomba niwe mwanafunzi wako please 🙏 😢 😭 nakuomba maana Yesu wako ni wa kwel na Amina.

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 19 วันที่ผ่านมา +12

    Bwana wa majeshi aendelee kukulinda mtumishi Paschal Cassian unatusaidia sana sisi vijana katika nyakati hizi za mwisho. 🇨🇩

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k 13 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe ni Mtumishi wa Mungu aliye hai Mungu wa Ibarahimu,Isack,Yakobo na Bwana wetu Yesu Kristo...Nimekukubali sana Mungu akubariki sana na kukulinda.

  • @toshaecha7313
    @toshaecha7313 20 วันที่ผ่านมา +99

    Watu ambao tupo pamoja katika safari ya kwenda mbinguni basi tupia like yako kwenye comment yangu❤

    • @pastorlazarosamwelkilala5795
      @pastorlazarosamwelkilala5795 19 วันที่ผ่านมา

      Wanao enda mbinguni naona ni 31 tu jamani au wa safiri wa mbinguni wana puuzia

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 17 วันที่ผ่านมา

      @@pastorlazarosamwelkilala5795 asa ivi wapo 60 afta 2days kwel jaman!!?

    • @MeshackChimesela
      @MeshackChimesela 13 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @DavidRivuzimana-i8o
      @DavidRivuzimana-i8o 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@pastorlazarosamwelkilala5795😊😊😊😊😊😊😊

  • @Anandezi
    @Anandezi 19 วันที่ผ่านมา +5

    Baraka za bwana utajirisha na wala hazichangamani na mateso. Mungu atabariki kazi za mikono yetu kwa jina la yesu amina

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 20 วันที่ผ่านมา +41

    Acha ni baki masikini tu umaharufu wangu nitaupata mbinguni

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nikweli kabisa
    utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 19 วันที่ผ่านมา +8

    Wacha tu nikafulie watu na kulima vibarua, na niwe na amani, Mungu abaki kua Mungu maishani mwanangu 🇰🇪.

  • @bellingtonlyimo6467
    @bellingtonlyimo6467 16 วันที่ผ่านมา +1

    Paschal Cassian Mungu wetu azidi kukulinda na kukutangulia katika Huduma hii. Mara nyingi sisi wakristo tunababaishwa sana na fahari na anasa za maisha ya duniani. Ni heri sana kumtanguliza Mungu katika mambo yote. Tuna maisha mafupi hapa duniani na ni vyema sana kulitimiza kusudi la Mungu unapokuwa hai duniani na kulinda usafi wa mioyo yetu kwa gharama yoyote. UFALME WA MUNGU NI BORA KULIKO CHOCHOTE UNACHOWEZA KUPATA KATIKA ULIMWENGU HUU

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 19 วันที่ผ่านมา +5

    Mtumishi wa kristo mim mfuasi wako,, naomba unisaidie lile andiko ambalo yesu aliulilia mji wa yerusalemu 🙏na Mungu akubariki

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 19 วันที่ผ่านมา

      Siku hizi kila kitu una search unapata tu

    • @zaramuneer3257
      @zaramuneer3257 19 วันที่ผ่านมา

      @@bahatimshali2731 saw

    • @zaramuneer3257
      @zaramuneer3257 19 วันที่ผ่านมา

      @@bahatimshali2731 nielekeze Nika search wapi

    • @rastheunique
      @rastheunique 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂unamaanisha jamaa bado yupo dunia ya kale sana ee😂​@@bahatimshali2731

  • @RichardJohn-v4q
    @RichardJohn-v4q วันที่ผ่านมา

    mtumishi Mungu azidi kukupa ujasiri wa kuzidi kusema kweli kufunua yote ya gizani

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 16 วันที่ผ่านมา +2

    Leo mtumishi umeongea vzr sana tena kwa upole,,,nimekuelewa🎉

  • @GabyDanger
    @GabyDanger 17 วันที่ผ่านมา +1

    Pascal cassian ..penda sana maubir yako yenye mafundisho pia nyimbo zako.❤❤❤

  • @RachelMlunza
    @RachelMlunza 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mtiini mungu mpingeni shetana naye atawakimbiaaa. mungu tusaidie😢😢

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 5 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi Wa Mungu Mungu Azidi Kukupigania Kwa Kazi Njema Mungu Akutetee

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 19 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani mimi nampenda Yesu

  • @NeemaElisante-zd2dt
    @NeemaElisante-zd2dt 19 วันที่ผ่านมา +28

    Halafu unakuta mtu mzima na kichwa chake kama bungo anacheza miziki Yao listen guys those people whatever they sing they are praising ibilisi

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 18 วันที่ผ่านมา +1

      Wabishiii kuelewa wakiambiwa

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 17 วันที่ผ่านมา +2

      Kuna waimbajii wainjili pia mashoga, wachawi, wazinzi, walevi nk. Usije ukadhani njimbo za injili zinaimbwa na watakatifu pekee, never. Utakatifu ni juhudi ya mtu yeyote ya kumtafuta Mungu katika usafi wa mwili na roho. Haihusiani na kuomba au muziki.

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 17 วันที่ผ่านมา

      @@moseshaule586 kwa Iyo unavyoongea ivyo Kwamba watu nisawa wasikilize nyimbo za kidunia???WApo nihilistic wenye mafuta na wana mtukuza MUNGU WA kweli wa Mbinguni

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 16 วันที่ผ่านมา

      @LucyKapinga-fg4dk ubaya haukai kwenye nyimbo bali unakaa kwenye aina ya ujumbe unaoimbwa. Kama mtu anaimba kuhamasisha uzinzi,ushoga na uovu kwa ujumla, hiyo ni mbaya. Biblia inasema "msidanganyike mazungumzo mabaya huharibu tabia njema." Lakini uovu wa mtu au maisha yake ya dhambi hayaezi kukuharibia utakatifu wako isipokuwa ujumbe anaokupa. Secular wanaimba nyimbo nzuri za kuelimisha jamii hata kama yeye ni freemason,mchawi, anaabudu sanamu hiyo wewe haikuhusu. Matajiri wengi wanamadhabahu za kafara kwa ajili ya maduka yao, magari, meli, ndege ambazo sisi tumazipanda bila kujua. Kwa hiyo tusinunue kwenye maduka yao, ndege na magari yao tusipande. Simba na Yanga wana madhabahu za kichawi kwa hiyo tuache kushabikia mpira. Mabenki na kwenye majeshi kote na majengo ya serikali wamezindika kwa hiyo tusiguse. Kwa ujumla dunia yote hii imejaa uchovu usioneneka.

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 11 วันที่ผ่านมา

    Aminaaaaaaaa Leo mb zangu zimeendea hakiiii asante kwa ushauri

  • @MgazzaMwakibete-j8l
    @MgazzaMwakibete-j8l 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe pamoja nawe siku zote katika huduma yako mtumishi ❤🎉

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 19 วันที่ผ่านมา +7

    MIMI UWA SISHANGAI MTU AKININYIMA RIFTI KWENYE GARI YAKE 😂😂😂😂😂

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 16 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli Mungu atusaidie maana niliona maono mbinu kama hizi zitatumika sana niliona wanapanga mpango wakumaliza taifa

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 17 วันที่ผ่านมา +3

    Nakuelewa sana babaa nipo nawe wala sitoweza kukupinga

  • @Millieykitawa9652
    @Millieykitawa9652 17 วันที่ผ่านมา +3

    Eeeh Mungu tusaidie jamani.dunia yaelekea wapi 😢😢

  • @magdalenamynusic5831
    @magdalenamynusic5831 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu baba Asante kwa maisha uliyonipa , familia yenye upendo, mtoto mzuri na ridhiki nayopata Asante Asante baba

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 19 วันที่ผ่านมา +15

    Shetani yupo kazini na wanawe waliomkubali. Wacha nisadiki kwa kile nilizawadiwa na Mungu. Nisipende utajiri nikamkosea Mungu.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mtumishi mungu akubaliki ktk maisha haya tupo kwenye dunia ngumu Sanaa eee mwenyezi mungu utufanyie wepesi ktk kila Jambo ili tukutumikie amen 🙏

  • @DainesDanie
    @DainesDanie 5 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana mtumishi unafundisha kile kitu nakielew

  • @JudyShamallahz
    @JudyShamallahz 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu niondolee tamaa ya vitu za ulimwengu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 19 วันที่ผ่านมา +4

    Pastor Cassian hongera Sana kufundisha, kwani shuhuda zako ni kama za mchj Amaiel KATEKELA wa Geita ! Sawa na Hawa wengine unaowataja ambao na wamegubikwa na mengi, utajiri na shetani imaarufu na Mali nyingi na FEZA ZA KUTISHA. jz Michael Jackson uuuwui. Mungu aliwajua na kafara za ajabu. 😊😊😊😊

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 18 วันที่ผ่านมา

      Wote ni Wainjilisti kazi yao kukemea

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 19 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu wetu ni mwema hufunua yaloyo gizani maana tulokua tunajua wamefanikiwa juhudi za kufanya kazi kumbe vimetokea huko Mungu tusaidie

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 19 วันที่ผ่านมา +6

    Heeeeee We MUNGU wa mbinguni wahurumie watoto wetu katika dunia hii mbona mambo yanazidi kuwa magumu MUNGU nisaidie nisitamani vitu kwa watu maana sijui kavipataje

  • @FridaMwaihojo
    @FridaMwaihojo 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze sana Mtumishi wa Mungu ili ufunuliwe mengi na tuzidi kujifunza na kuukataa uovu

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 17 วันที่ผ่านมา +2

    Shetani km alimwendea Yesu at the point amefunga cku 40
    Akamwambia nisujudie nikupe vyote mimi ni nani nisijaribiwe...huu umasikini nitadunda nao tu in Jesus Name

  • @ivongailo4600
    @ivongailo4600 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atusaidie ubarikiwe mtumishi pasko kasian

  • @babbrabartoo3991
    @babbrabartoo3991 19 วันที่ผ่านมา +8

    Heri yule aliye na mungu... Kwa maana Kuna amani

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 12 วันที่ผ่านมา +1

    mungu atusaidie sana

  • @LylianeBauma
    @LylianeBauma 19 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢😢😢😢😢huzini sana dunia iyi ipo mwisho wake

  • @LawiLeo
    @LawiLeo 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna kitakacho sitilika mbele za Mungu,ametujulia yaliyo ya giza tukapate kujua

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 17 วันที่ผ่านมา

    Jamani turidhike na cha Mungu anachotupa, tumtafute Mungu sana jamaniii na tuombe tobą na Rehema ,, Mungu ni mzuri amen

  • @BwiseBonnet
    @BwiseBonnet 19 วันที่ผ่านมา +2

    Wakristo wengi wametupiwa pepo wa uvivu kutokuomba Mungu mana Luka 18:1 tuombe kila siku bila kukata tamaa. Na siri ya mafanikio ndo hii sio sehemu nyingine ni kwa Yesu Kristo wetu. Mathayo 6:33 [ Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa].
    Yaani ukielewa andiko hili utamuona Mungu kwenye maisha yako yaani kuishi maisha matakatifu kisha bingu zitafunguliwa kwa lolote utakalo omba kwa jina la Yesu Kristo.
    Mtumishi Mungu usichoke mana siku zimeisha, kupenda fedha kuliko Mungu, manabii wa uongo, watu kutafuta amani lkn hawaipati. Mungu akubariki kwa usisimamaji wako.

  • @theknowledgevault4600
    @theknowledgevault4600 14 วันที่ผ่านมา

    All true,preach brother. Tuhustle legit ,huku nje ni noma. Tuepuke Illuminati.

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 19 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wamrudie mungu Tu kwasababu mambo yanayo tendeka duniani ni huzuni San 😢

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 18 วันที่ผ่านมา +8

    Ndo maana kajitangaza hivi majuz kuwa anataka awe tajiri Dunia nzima kumbe Kwa kufanyiwa ushenz huo!!!
    Nilikuw na vi nyimbo vyake kwenye flash yangu mime-delete kbs!

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 19 วันที่ผ่านมา

    Amen kaka Mungu akubarik

  • @PatientGastonkawaya
    @PatientGastonkawaya 19 วันที่ผ่านมา

    Aaah dunia nikweli inakwisha 😂😂😂mutumishi mungu akulinde naekubariki ❤❤🎉

  • @norahelima1776
    @norahelima1776 18 วันที่ผ่านมา +2

    Heri masharti ya mungu mwepesi...ya shetani magumu tena yatisha...hayana amani kabisa.

  • @eliamwamatandala
    @eliamwamatandala 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aendere kutumia mtumishi

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mtumishi Cassian!

  • @EliaKimaro-h6k
    @EliaKimaro-h6k 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema nakula nashiba bora nibaki na umasikin wangu Mungu niepushe na tamaa ya mari za wa2 barikiwa sanaa mtumishi

    • @williamgervas8431
      @williamgervas8431 19 วันที่ผ่านมา +1

      sio Jesuis ni jesuit

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono 19 วันที่ผ่านมา +1

      Nikweli kabisa ndugu yangu

  • @JustiniDavidi
    @JustiniDavidi 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki mtumish maan unazidi kunifungua ufahamu na akili njema

  • @daudimahenge4384
    @daudimahenge4384 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie mnaoomba comments acheni kabsa huo Ni utoto wa kiroho ,na pia ni tabia ya kidunia kutafuta like sisi nikumtia moyo tuu mtumwa huyu hata wengine wazid funua giza pia namashaka nàwewe unaeomba like Kama hujaokoka like hazisaidii bora ungesambaza ujumbe huu maelfu waokolewe kuliko kutimia muda wko kutafuta like za watu sijatukana mtu hapa nakupa shauri tuu kama nmekosea nisamehe

  • @USHINDIMANENO
    @USHINDIMANENO 18 วันที่ผ่านมา

    Daah kwakweli YESU nimwema kwetu SAANA nawatu kweli YESU AWASAIDIE

  • @irenekabata5189
    @irenekabata5189 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu wangu 😢😢😢mambo ya kuogovya jamani😢😢

  • @kefamsafiri1028
    @kefamsafiri1028 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli kbs mtumishi wa Bwana hakika wewe ni kiboko yao maana hauogopi chochote Mungu azidi kukupa nguvu zaidi iLi Uwe unatujuza Ukweli

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 19 วันที่ผ่านมา +9

    Mchungaji mambo mengine wanadamu wanayataka wao make wanaona baraka za Mungu haziwatoshi shetani hawafati Ila wao ndo wanao mfata kwahiyo Acha wavune matunda yao

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 19 วันที่ผ่านมา +1

    Safari ya mbinguni ni Utakatifu jifunge mkanda kutimiza mapenzi ya Kristo Yesu Amen
    🙏🙏🙏

  • @KbcBiblechurch
    @KbcBiblechurch 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye macho haambiwi tazama palapanda inalia mda wowote

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 17 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nakubali sana wachane hao mashoga safi sana pamoja sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 19 วันที่ผ่านมา +6

    Mkatae shetani na mambo yake yote😅😅😅❤❤❤❤😊😊😊😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😢😂

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuku linda kwaku zidi kuwaambia watu ukweli mtumishi

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 19 วันที่ผ่านมา +2

    Haaa! Kwa hiyo anawapanga kitandani wakisubiri zamu hee! basi minguvu ya hatari hawamwogopi? Aanatisha😢😢😢😢

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 18 วันที่ผ่านมา +1

    Katumikishwa na shetani mwisho Mungu kayaweka wazi ndiyo hayo anateseka jela shetani kishamkimbia kabaki peke yake anamcheka hiyo ndiyo kazi ya shetani.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 19 วันที่ผ่านมา +5

    Huyo inavyoonekana kakiuka mashalti ndio maana wanamkaanga vilivyo maana haiwezekani ndani malekani ufanye maovu na kuwafanyia wengina miaka zaidi ya 30 usikamatwe inavyoonekana hiyo ni cheni na huyo ana wakubwa wake wanaofanya uchafu kuliko huyo p did na wapo wafuasi wake wanaoendeleza huo uovu kwa wafuasi wao hiyo ndio michezo ya ibada za kishetani na wengi wanajiunga kwa sababu ya tamaa za mali

  • @SifaelGreyson
    @SifaelGreyson 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nakuelewa sana casian

  • @DANIELYOHANA-x9n
    @DANIELYOHANA-x9n 8 วันที่ผ่านมา

    Balikiwa sana mtumishi

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi nakukubali. Uje mwanza.

  • @AbelMwanawima
    @AbelMwanawima 19 วันที่ผ่านมา +1

    Shukuran mwinjilisti kwa kuendelea kutufunulia yanayoendelea ulimwenguni....mungu akubariki Ameen

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu ni wa thamani kuliko malijani na vitu vyote wavitamanivyo wanadam.

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 11 วันที่ผ่านมา

    Samahani mtumish, naomba kuuliza Naona TANGAZO la kuchangia huduma hii, Sasa nilikuwa naulizia ni huduma Gani hiyo ya kuchangia

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 19 วันที่ผ่านมา +3

    Huo ni ukweli Mtupu na sio wasanii tu,hata mtaani mimi pia nilikua na rafiki yangu alinunu gari benzi ghafla tu.Akawa anavaa nguo za gharama sana tukiwa na miaka 21.baada ya Muda akamchukua rafiki yangu Mwingine nae baada ya wiki mbili akanunua gari kali na nguo za gharama mimi nilitamani sana nikawa nawaomba dili,Lakini mama sikumoja alinionya kwamba ameota vibaya juu ya marafiki zangu hao wawili nilidharau nikajua ni miemko yake ya kirokole,Yaliyo nikuta mwaka 2018 siwezi sahau,Niliponea chupu kifo nikajua adi mikesha ya kanisani.yaani ukizaliwa kwenye familia za kirokole ukijiingiza katika ushetani auchukui round wanakuua,sababu kuna vitu utakataa kufanya tu arafu utachukulia masihara kumbe kule akuna masihara.

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 18 วันที่ผ่านมา

      Napia wanajua utakuja kuwa geuka tyuu Na Alie okoka ni Mama yako Rohoni Uwii akiombaa Anabarikiwa mno na uzao wake unakombolewa kaa alaka na kwa mlokole wakimkamata wanamuua

    • @zawadihassan4061
      @zawadihassan4061 17 วันที่ผ่านมา +1

      Waterless ni nyakati za mwisho, shika sana neno la Mungu.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 19 วันที่ผ่านมา +4

    Lusifa yukokazini akivuna mazaoyake anashindana naMuumbawake hukuakivinjari huku nakule kwa rahazote zakupata wafuasi .

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 19 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ hukosei kirahisi

  • @LukasNdaji
    @LukasNdaji 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 19 วันที่ผ่านมา +1

    Papa na pdd sawa sawa

  • @LovelyChocolateBonbons-ok2ww
    @LovelyChocolateBonbons-ok2ww 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu unisainde 😢😢😢😢

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 14 วันที่ผ่านมา

    Ukiingia mkataba na shetani atakupa chochote unachotaka lakini hawezi kukuacha salama katika huwo mkataba wewe utafanya kazi yake kwa kujiumiza na kuwaumiza wengine na kuwashawishi wengine ili lengo lake shetani limie kutaka kujifananisha na Mungu na kuwaangamiza wana wa Mungu, na ukishinda mkataba wake atakuomba umfanyie jingine ukisuasua yaani siyo kukataa kwamoja kwamoja ataona unataka kumbadilikia na anakupa zoezi gumu ili ushindwe na wakati utakapochoshwa na amri zake atatafuta nji ya kukuchafuwa au atatafuta njia ya kukuuwa na kujenga sanam lako katika uwalisia watu watakuona umekufa lakini anasehemu yake ya kukuhifadhi na cheo chako anapewa mtu mwengine . Na uwo ni ukweli Mungu yote hayo anayajuwa na nguvu anayo ya kumzuia mtu yeyote afiche hiyo siri ndiyo mwanadamu anasikilizwa sana na Mungu,shetani na malaika waliyo kalibu na mungu , Mungu amempa mamraka mwanadamu kufunya kwa kusahau sio kwa kukusudia RIZIKA NA HARI ULIYO NAYO ACHANA NA MIKATABA YA KUJIUMIZA NA KUWAUMIZA WENGINE SISI BADO TUNA JAKI YA KUISHI NA TUTAISHI MILELE.

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 18 วันที่ผ่านมา

    Anaitwa Tekashi69

  • @0689TAG
    @0689TAG 18 วันที่ผ่านมา

    Ukweli kabisa mtumish wa BWANA
    Leo kuna kijana amenionesha meseji ya nafiki yake wa karibu kabisa anavyomshawishi ili ajiunge fremason apate milioni 2 kila siku nikaumia sana tena sana na wengine ni wachungaji kabisa kanionesha

  • @AMOSMALELE
    @AMOSMALELE 19 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo pidid ndeye wakala wakuzumu lakini yote Tisa MUNGU ndiye kila kitu

  • @NOELKISONGA
    @NOELKISONGA 19 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmh haya bhana

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mmm jamani kweli kazi ngumu

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 15 วันที่ผ่านมา

    Kukutana nijambo jingine na mashart yake nijambo jingine.haimanish kila alie kutana nae kmpididi vidhan.waop also wapidd wale walio kaa ktk njia yake.wengine nikukutana kiheshma kibiashara kikaz hivo.

  • @faqueabudo161
    @faqueabudo161 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu😢😢😢🇲🇿

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 19 วันที่ผ่านมา

    Aminaa Mutumishi wa Mungu

  • @mashindanotv
    @mashindanotv 16 วันที่ผ่านมา

    Ila unapenda kiki wewe daa

  • @ismailkitundira1976
    @ismailkitundira1976 17 วันที่ผ่านมา

    Hata ao ma pastor wasiku izi wengi wao waovu kuliko ayo ya p didi aache ku potesha watu

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 19 วันที่ผ่านมา +1

    Shetani atakupa mafanikio lakini lazima akulipue maana shetani hawai kuwa na akili timamu

  • @maxmiletz4563
    @maxmiletz4563 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amina amina

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 15 วันที่ผ่านมา

    Mtihani mkubwa mweee

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu nae kumsaidia mtu ni ngumu sana! Mtu anapambana lkn wapi! ndio maana watu wanapitia milango mingine

    • @RehemaTogwa
      @RehemaTogwa 11 วันที่ผ่านมา

      Lazima akujaribu kwanza ndo akupe Sasa uvumilivu hatuna wakufikia kipimo chake kiimani

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 19 วันที่ผ่านมา +1

    Papa kahalalisha wanaume waowane mbona hili wakristo hamuongei

    • @mariyammariyam-y3u
      @mariyammariyam-y3u 17 วันที่ผ่านมา

      Hilo Jambo kashalifundisha fuatilia vizul utaiona

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 15 วันที่ผ่านมา

    Andij Vizuri..

  • @kavirajanine4893
    @kavirajanine4893 15 วันที่ผ่านมา

    Sisi tunafanya kazi us mbone
    Hatuna pesa hizo kumbe
    Viumbe wengine wana mambo
    Yawo ya binafsi ole wenu
    Nahizo mali zalaana

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 9 วันที่ผ่านมา

    Sahii wanasema walilasimiswa uogo

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hata jina tu linajieleza kwamba n lakipepo pididi

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 19 วันที่ผ่านมา

    Pdd kelele mbona nyie kanisani wanawake wakoi uchii wanaume mmvaa vizur eti mungu haangalii mavazi

  • @salomeSamali
    @salomeSamali 19 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia imekwisha 😢

  • @fredgonga
    @fredgonga 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan mijamaa mingine na ndevu zao nyingi kabisa wanafanya ufsika huo duh! Bora nife

  • @SarahMwakindu
    @SarahMwakindu วันที่ผ่านมา

    EEE Jani mungu aisamehe Tanzania jamani maana hiyogathabu ya mungu hakuna atakae ikwepa kwawote wanafanya mambo yakishetan