Shalomu mtu wa Mungu! Najua hasa umemuuliza Mchungaji lakini nikusaidie tu kuwa tuliookoka hatutakiwi kusherehekea Chrismas kwa sababu nyingi sana, moja sio kweli kwamba Yesu Kristo alizaliwa tarehe 25 decemba, na hilo halikusherehekewa katika biblia hata Yesu mwenyewe alipokuwa yupo hata na mitume wake na sababu nyingi siwezi kuziweka hapa zote ila usiwahukumu wanaosherehekea Chrismas
Christmas ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu, ni kweli Yesu hakuzaliwa tarehe 25/12 lakini kuna siku moja katika mwaka Yesu alizaliwa. Hivyo tarehe sio issue bali tukio. Tarehe 25/12 imekujaje? Google historia ya Christmas - sherehe za kuzaliwa mungu jua wa kipagani. Wanaosherekea Christmas, na mimi nimo, wakaiweka tarehe kwa kuwa Yesu Kristo ni jua la kweli.
Ubarikiwa pastor kwa somo, tatizo lililopo ni kutokujua nabii wa uongo ni nani wengine wanafikiri kuwa nabii wa uongo ni wale wenye huduma binafsi bila kujua kuwa nabii wa uongo ni yule anaesema neno asilotumwa na MUNGU soma yeremia 28: na 29 utajua ni habari ya Anania na yeremia
Watu wa Mungu kuweni macho jisomeeni Neno la Mungu ninyi wenyewe ...tafakarini mnachosoma ...msingoje kuelezwa mambo ambayo hayapo ktk ( Biblia.) maandiko. hizi ni nyakati za hatari 2Timotheo 3....
Wachungaji na Wainjilist wengi kwa sasa wamejificha ktk ufahamu wa maa ndiko ( biblia) na kufanyia wanaoitwa washarika wao mambo mengi ya..kuwapotosha..lengo lao likiwa matoleo (pesa)
Nakupenda sana pst wangu ubarikiwe na BWANA YESU kwa somo nzuri sana kuhusu huduma hizi
Mimi nampenda pia kuna siku nilishawahi kumuota
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Somo zuri na Injili ya kweli hii.
Mungu atusaidie,Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
Amen amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana kwa mafundisho yako yenye uzima
Amen Baba yangu kuwa nabarikiwaka na maubiri yako Mungu azidi kukutumiya nyakati izi za mwicho
Amina,mafundisho yenye nguvu kubwa na Mungu na baba yetu uliye juu tusaidie sana kuyaishi hayo
Kanisa si sawa na mifumo ya dhehebu na dini Yk 2:27-28; Mt 16:13--16---Ubarikiwe!
Amina ubarikiwe sana mchungaji
Ameeen mtumishi ubarikiwe 🙏
Ukweli mtupu......barikiwa sana
Ahsante kwa fundisho umesema vyema !
Amina baba MUNGU tusaidie
Yesu kristo atusaidie sana atupe macho ya rohoni
God bless you pasta nakupata nikiwa Kenya napenda sana mahubir yako
Ameen mungu tusaidie
Injili ya MOTO🔥🔥🙏🙏
Barikiwa mwalim
Amen Mungu atusaidie
Ukweli ni ukweli tu lazima ubaki kuwa ukweli tu, Mungu akutunze na Mungu atusaidie sana
99 Piece not ya Wachungaji wanaenda Jehanamu sababu ya kutaka Pesa na Umaarufu Kanisa limepoteza Ladha nikama Makundi ya Wanyang'anyi Tuwe macho.
Amina 🙏🙏
Ubarikiwe mtumwa wa kristo Yesu nimekupata vizuri, nina swali linanichanganya kuhusu chrismasi, tuliookoka tunapaswa kusherehekea Christmas?
Shalomu mtu wa Mungu! Najua hasa umemuuliza Mchungaji lakini nikusaidie tu kuwa tuliookoka hatutakiwi kusherehekea Chrismas kwa sababu nyingi sana, moja sio kweli kwamba Yesu Kristo alizaliwa tarehe 25 decemba, na hilo halikusherehekewa katika biblia hata Yesu mwenyewe alipokuwa yupo hata na mitume wake na sababu nyingi siwezi kuziweka hapa zote ila usiwahukumu wanaosherehekea Chrismas
@@germanoburushi ubarikiwe kwa majibu
Christmas ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu, ni kweli Yesu hakuzaliwa tarehe 25/12 lakini kuna siku moja katika mwaka Yesu alizaliwa. Hivyo tarehe sio issue bali tukio. Tarehe 25/12 imekujaje? Google historia ya Christmas - sherehe za kuzaliwa mungu jua wa kipagani. Wanaosherekea Christmas, na mimi nimo, wakaiweka tarehe kwa kuwa Yesu Kristo ni jua la kweli.
Amen 🙏🙏
Ubarikiwa pastor kwa somo, tatizo lililopo ni kutokujua nabii wa uongo ni nani wengine wanafikiri kuwa nabii wa uongo ni wale wenye huduma binafsi bila kujua kuwa nabii wa uongo ni yule anaesema neno asilotumwa na MUNGU soma yeremia 28: na 29 utajua ni habari ya Anania na yeremia
Amina mtumishi
AMEN AMEN
Amennii
Aminaa
Mwenye sikio la kusikia amesikia
Watu wa Mungu kuweni macho jisomeeni Neno la Mungu ninyi wenyewe ...tafakarini mnachosoma ...msingoje kuelezwa mambo ambayo hayapo ktk ( Biblia.) maandiko. hizi ni nyakati za hatari 2Timotheo 3....
Wachungaji na Wainjilist wengi kwa sasa wamejificha ktk ufahamu wa maa ndiko ( biblia) na kufanyia wanaoitwa washarika wao mambo mengi ya..kuwapotosha..lengo lao likiwa matoleo (pesa)
Amina
amen
Izo taa zitoe mch hatsherekei sisi wateule wa Munchies kweli
Amiina
Amen mtumishi wa MUNGU aturehemu maana siku hizi zamwisho nihatari sana
Amina baba 🙏🧎
Mch andaa mwendelezo juu ya makanisa ya kiroho lakin yamepotoka
Kweli naamin huu ni wakati wako. Mungu awe nawe kwa nguvu zake akulinde na kukutetea.
Mchungaj hizo taaa ulizoweka unasheherekea Christmas au wewe hujui hio sherehe orgin yake ni upagan
Taa zinahusiano Gani na ufalme wa mbinguni?
@@AnatoliEvarist-kf7wcHili SoMo nilamda kidogp
Sikiliza injili siotaa
Amina
AMEN
Amina
Amina