Kwa kweli wachungaji wanatupoteza, kwa sasa ni maandalizi na kununua vibawa kununuliwa kama tuzo kwa wale watakariri vizuri katika uimbaji. Wachungaji wanatuelekeza wapi? Nasi tuliopofushwa fahamu tunapohubiriwa, kila kitu ni " amina". Ni lini tutazinduka usingizini? Mungu atusaidie
Kwa sasa Mimi na familia yangu tunaufurahia wokovu wa kweli,tumejua kweli na kweli imetuweka huru,aminaaaaaa barikiweni sana watumishi mnaopambana kulifundusha kanisa kweli
Asante ulinisaidia kufunguka macho kwa hili..... Mtumishi Mungu akubariki kwa hakika nilikuwa gizani ila kwa msaada wa Mungu ulinisaidia. Yesu anapaswa kuzaliwa na kuwa hai ndani ya mioyo yetu kila dakika tunsyopewa kuwa hai, na tunaadhimisha kwa utukufu wa kuunganishwa naye kila siku. Wakati adui anaitumia siku hii ya sherehe ya Krismasi kuuhadaa ulimwengu, akiwaongoza kwenye UOVU wa juu, wakristo wa kweli tunapaswa kudumisha usafi, tukishuhudia Kristo kuwa hai ndani yetu daima. Tunapoteda jambo njema lolote tunajua Yesu amezaliwa. Nuru ya Bwana Yesu ikuangazie milele mtumishi.
Mungu atuurumie sisi sonte tulisherekea Christmas munda mrefu sana tulikuwa atujuwi ukweli mimi siwezi tena kusherea Christmas umbarikiwe mtumishi wa Mungu unae panbana nakutuonesha ukweli
Ukweli pia uzima hauko ktk sikuu kols 2:16----,,kalenda ya wayahudi ni tofauti hivyo uzito ni yeye aliyezaliwa ,kalenda iliangukia mwezi wa tatu wa nne,kwa mapokeo ya Kirumj yakatofaufisha; hivyo hatuwi chini ya sherehe yoyote uko sawa! Sisi ni lmani ktk yeye aliyezaliwa, Kols 2:16.Sherehe,siku kuu ,mwandaamo wa mwezi au sabato! Tunasherehekea Yesu ndani ya mioyo yetu kila siku daima, Yoh 4:21-26.1kor 2:10-16, ni heri wewe uliyefunuliwa na wao watakaofunuliwa.Amen
Sikia we mwenye ufahamu mdogo . Hatusherehekei siku wala hatumaanish hivo unavyofikir wew. Krismas iwe tarehe 25 au tarehe yoyote sisi haitusumbui. Ktk siku hiyo ni fursa ya sis kuchapa injili kisawasawa. Piga injili mtumish achana sikukuuu
Krismas iwe ni ibada ya mashetani au nini! Sis wenye ufahamu tunachojua ni tunachapa siku hiyo had hayo mashetani yajue Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu. Barikiwa amekuwa mvivu kuhubiri Habari njema
Sisi tunachojua yesu alizaliwa sisi kama wacristo tumechagua sku ya tar 25 kwaajil ya kushelekea sku aliozaliwa yesu kana unapinga bac nawe waweza kupanga sku yakushelehekea kuzaliwa Kwa yesu sio dhambi
Sikuhii imewekwa na kanisa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa yesu " ifahamike ni kuazimisha" tuelewe hivo. kuna biblia na kanisa hiyo siku imewekwa kikanisa na ili mladi haivunji wala kuharibu taratibu kwa watu wanaomwamini mungu.Ni siku njema wapenda .
Hebu angalia historia ya krismasi ilitokana na uabudu WA sanamu Yesu akuiadhimisha kama alivyoadhimisha meza ya bwana Biblia pia imesema tusiifuate namna ya dunia hii
Amen Amen, kabisa watu ufata mkumbo nashukuru Mungu nimefaamu ukweli ,Ata ukutulipo siku ya crismas wazungu husherekea adi soko ufungwa ujuwe Sasa niya kushakia crismas
Hallelujah hallelujah MUNGU nisaidie kufahamu majira na nyakati kwa muda huu ambao umebaki.
Amen amen amen ubarikiwe sana na shukuru kwa mafundisho mazuri sana tulikuwa atufahamu haya ubarikiwe kwa kazi zuru
Kwa kweli wachungaji wanatupoteza, kwa sasa ni maandalizi na kununua vibawa kununuliwa kama tuzo kwa wale watakariri vizuri katika uimbaji. Wachungaji wanatuelekeza wapi? Nasi tuliopofushwa fahamu tunapohubiriwa, kila kitu ni " amina". Ni lini tutazinduka usingizini? Mungu atusaidie
Amen ubarikiwe mtumishi
Kwa sasa Mimi na familia yangu tunaufurahia wokovu wa kweli,tumejua kweli na kweli imetuweka huru,aminaaaaaa barikiweni sana watumishi mnaopambana kulifundusha kanisa kweli
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU.
Asante ulinisaidia kufunguka macho kwa hili..... Mtumishi Mungu akubariki kwa hakika nilikuwa gizani ila kwa msaada wa Mungu ulinisaidia.
Yesu anapaswa kuzaliwa na kuwa hai ndani ya mioyo yetu kila dakika tunsyopewa kuwa hai, na tunaadhimisha kwa utukufu wa kuunganishwa naye kila siku.
Wakati adui anaitumia siku hii ya sherehe ya Krismasi kuuhadaa ulimwengu, akiwaongoza kwenye UOVU wa juu, wakristo wa kweli tunapaswa kudumisha usafi, tukishuhudia Kristo kuwa hai ndani yetu daima. Tunapoteda jambo njema lolote tunajua Yesu amezaliwa.
Nuru ya Bwana Yesu ikuangazie milele mtumishi.
Sahihi kabisa hii
Mungu atusaidie hizi ni nyakati mbaya sana tusipo kua chini ya uongozi wa Roho mtakatifu tutachanganyikiwa kiimani nakuacha kila kitu Mungu atusaidie
Uko sahihi mpendwa wangu tunamuhitaji roho mtakatifu atuongoze
Mungu atuurumie sisi sonte tulisherekea Christmas munda mrefu sana tulikuwa atujuwi ukweli mimi siwezi tena kusherea Christmas umbarikiwe mtumishi wa Mungu unae panbana nakutuonesha ukweli
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Wambie mtumishi Mimi niliacha mingi ilioisha nàshukuru mungu
Ukweli pia uzima hauko ktk sikuu kols 2:16----,,kalenda ya wayahudi ni tofauti hivyo uzito ni yeye aliyezaliwa ,kalenda iliangukia mwezi wa tatu wa nne,kwa mapokeo ya Kirumj yakatofaufisha; hivyo hatuwi chini ya sherehe yoyote uko sawa! Sisi ni lmani ktk yeye aliyezaliwa, Kols 2:16.Sherehe,siku kuu ,mwandaamo wa mwezi au sabato! Tunasherehekea Yesu ndani ya mioyo yetu kila siku daima, Yoh 4:21-26.1kor 2:10-16, ni heri wewe uliyefunuliwa na wao watakaofunuliwa.Amen
Amina mtumishi wa mungu Kwa kutufumbua macho
Amina shalom shalom
Ameni huu ndio ukweli mtupu ni maombi yangu watakatifu wote walielewe hili.
Ni ukweli kabisa ninafurahi kusikia ukweli huu unawekwa wazi mungu atusaidie tujuwe uongo uliopo kwenye tarehe 25
AMEEN Mungu akubariki Sana,
Ameni ubarikiwe
Kweli Cassian, mimi nilishashtuka.
Wafu gue watu macho nami pia nangangana huku kenya
Amen amen ❤🎉🎉
AMINAAA
Bwatuka bwatuka mbwa poli
Amen daddy
Ukweli kabisa amen amen 🙏
Hata sikukuu ya mwaka mpya kibiblia hatujaambiwa kuadhimisha,tunaadhimisha tu,
Mutumishi ubalikiwe tumeigeuza iwe wokovu wao waliifanya kuwa ya miungu sstuigeuze iwe wokovi kwatu
Pembe mbili zilizong'olewa ni zipi? Na pembe tatu zilizong'olewa ni zipi? Hebu liangalie hilo mhubiri.
Cassiani kuna maandiko mengine HAYA hapa, wagalatia 4:8-11maandiko yanakataa
Maana mpaka masikio yanauma Kila anaye ibuka anaongea lake ni shida
wanaokataa ukweli huu nawasihi wafuatilie biblia
Sikia we mwenye ufahamu mdogo . Hatusherehekei siku wala hatumaanish hivo unavyofikir wew. Krismas iwe tarehe 25 au tarehe yoyote sisi haitusumbui. Ktk siku hiyo ni fursa ya sis kuchapa injili kisawasawa. Piga injili mtumish achana sikukuuu
Hujui na umekuwa mkali bure christmas no upumbavu kuisherehekea masks ibada ya mashetani
Hujui
Krismas iwe ni ibada ya mashetani au nini! Sis wenye ufahamu tunachojua ni tunachapa siku hiyo had hayo mashetani yajue Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu. Barikiwa amekuwa mvivu kuhubiri Habari njema
Uhamu mkubwa
Amen 🙏
Pastor je? ukiamua kushelekea kwa kukata keki ni vibaya
Ili kuonesha nini kama ni destur kukata keki soon mbaya lakn kama ni sikuku ndo unafanya basi unakosea
Unaongeaga mengi mazuri ila hapo umechemka ,siyo kila kitu tunachofanya Kiko kwenye Biblia
Kama unaamini kuwa Yesu alizaliwa kusherekea krismas si jambo baya,
Unajidanganya biblia inasema na waende kwa Sheria na ushuhuda na biblia hiyo hiyo inasema usiongeze neno wala kupuunguza
Upagani hauwi kwenye siku, bali kile unachokifanya kwenye hiyo siku.
Huwa ninakufuatilia sana, ila hapa bado kuna ufunuo wa kimungu unatakiwa uupate.
Ufunuo gani tena mtu WA mungu krismasi ni upagani, hata Yesu alituachia mfano wake tuufuate na hakuwai sherekea siku yake ya kuzaliwa
Ufunuo gan tena wa Kimungu unaotuambia kusherekea krismas?
Sisi tunachojua yesu alizaliwa sisi kama wacristo tumechagua sku ya tar 25 kwaajil ya kushelekea sku aliozaliwa yesu kana unapinga bac nawe waweza kupanga sku yakushelehekea kuzaliwa Kwa yesu sio dhambi
Ilichaguliwa na kanisa la Roma siyo chaguo la wakristo wote madhehebu mengine yaiga mkumbo tu.
Unajiprndekeza kea usicho ambiwa na Bwana mtu wa mungu
Sikuhii imewekwa na kanisa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa yesu " ifahamike ni kuazimisha" tuelewe hivo. kuna biblia na kanisa hiyo siku imewekwa kikanisa na ili mladi haivunji wala kuharibu taratibu kwa watu wanaomwamini mungu.Ni siku njema wapenda .
Hebu angalia historia ya krismasi ilitokana na uabudu WA sanamu Yesu akuiadhimisha kama alivyoadhimisha meza ya bwana Biblia pia imesema tusiifuate namna ya dunia hii
Krismas ilikuwepo kabla ya Yesu ila haikuitwa Krismas, ilikuwa na jina tofauti
@@gidongailo7174 hiyo ni uongo umedanganyika hapo aisee nionyeshe kwa Biblia ni wapi
@@gidongailo7174 tena ingekuwaje kabla ya Yesu kuzaliwa na NI siku ya kusherekea kuzaliwa kwake kama mnavyosema🤔
@@annigtonkoomehawajui tatzo watu wavivu kusoma hyo siku alizaliwa TAMUZ
Amen Amen
Amen Amen, kabisa watu ufata mkumbo nashukuru Mungu nimefaamu ukweli ,Ata ukutulipo siku ya crismas wazungu husherekea adi soko ufungwa ujuwe Sasa niya kushakia crismas
wazungu usherekea adi ma soko ufungwa Wana sherekea sikuu ya crismas ujuwe Kuna kitu kinaojificha apo Mungu atusaidie