Mke wa Nabii Kiboko ya Wachawi ampigia magoti Rais Samia ‘Nisaidie kunirushia mume wangu’

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 617

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kwani si umfuate mumeo huko congo jamani kwani lazima muishi tz ? Hiyo misaada congo pia wanaihitaji akatoe tuu

  • @Vivimediatz
    @Vivimediatz 2 หลายเดือนก่อน +38

    Mwanamke atawaacha wazazi wake nakumfata mmewe kwani alijui ilo??? Kwani congo sikunawaumini au

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน +6

      SI aende huko huko

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@dianajohnson7268😂😂😂

    • @deboramushi5924
      @deboramushi5924 2 หลายเดือนก่อน +3

      Tanzania kuna pesa ndo maana mke wake Anamuombea mume wake msamahaa

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 2 หลายเดือนก่อน +4

      Acha uongo soma biblia vinzuri kwenye biblia ilisema mume ataacha wazazi wake nakuabatana na mkewe bali sio mke

    • @ismailsanga3233
      @ismailsanga3233 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wakafungue kanisa congo

  • @SalimaMohamed-j4q
    @SalimaMohamed-j4q หลายเดือนก่อน

    Pole sana my dear sister ...tumeumia sote....kukubwa tunamuombea mtumishi wa mungu mungu amtunze

    • @makhadmmanga5076
      @makhadmmanga5076 หลายเดือนก่อน

      we mtumishi wa mungu unamjua ww shame on u

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 หลายเดือนก่อน +4

    Siyo tatizo kashidwa kuhubiri utakatifuu ndiyo maana yamemkuta usifanye mchezo na Msalaba wa Yesu Kristo wa Nazareth

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 2 หลายเดือนก่อน +29

    Huyu ndio mke bora kwenye ndoa na maisha

    • @HansChuma
      @HansChuma 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pumbavu anapigania ugaliwake apo ww unasema mke bora acha UONGO.....

    • @GraceKazi-z8d
      @GraceKazi-z8d 2 หลายเดือนก่อน

      Angekuwa mke angeenda nae kongo! Huyo ni mchepuko tu

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 2 หลายเดือนก่อน

      ​@GraceKazi-z8d hehehehe..

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pengine wa halali yupo Congo, aliachwa huko. Pengine pia aliona ili mambo yake yamnyokee akazaa na huyu!

    • @scholamwasi
      @scholamwasi 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@kinjekitilew basi mchukue ww km mke Bora😏

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 หลายเดือนก่อน +29

    Sa c umfuate tu uko kwao,kwan CONGO ni mbali we vp

    • @hopechidera
      @hopechidera 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wanapenda waishi Tanzania we vp😂

    • @MussaJabiri-w9j
      @MussaJabiri-w9j 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂kwan huk akun wakristo​@@hopechidera

    • @hopechidera
      @hopechidera 2 หลายเดือนก่อน

      @@MussaJabiri-w9j wapo bali ni kama wanaipenda Tanzania sana,ukimsikiliza vizuri...

    • @Benny318m
      @Benny318m 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wakristo wa Tanzania ni waoga wakiambiwa mama yako ni mchawi anakuloga na kesho unatolewa kafara wanaamini na wanatoa pesa zote tofauti na kongo

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน

      💯 💯

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mh kwa coments hizi hata mama anatizama mitandao hatakubali best wahi kongo

  • @jinnahmgido315
    @jinnahmgido315 2 หลายเดือนก่อน +24

    watoto sio tija nenda congo hakuna msaada

    • @SakinaMaovu
      @SakinaMaovu 2 หลายเดือนก่อน

      KOMA CONGO WW 🇨🇩

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 หลายเดือนก่อน

      Eti sii uende Congo? Mkaleee watoto

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 2 หลายเดือนก่อน +27

    Hapa tanzania ulikua mnakula Pesa Na mumeo Za mchongo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio maana anamlilia ili watapeli watu .Akachume kwao Tanzania sio dampo au shamba la Bibi. Usitupigie kelele mfuate kwao.

  • @VMGAfrica
    @VMGAfrica 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa Muhamie Congo Sasa #Tunakuomba Na Sisi

  • @AmaniNasoni
    @AmaniNasoni 2 หลายเดือนก่อน +36

    Ech yetu ina Amani pia ina taratibu zake unapo vunja sheria inamana sheria inafwata utaratibu wake mmeo kavunja taratibu za kisheria ngoja atumikie adhabu mama wanao kubali ana na mm like za kutosha

    • @AbisaiMwambene-fo9pt
      @AbisaiMwambene-fo9pt 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda congo kwani mme wako amefariki?

    • @ErickLyimo-p9b
      @ErickLyimo-p9b 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ushambaaa wewe alafu we n mwanaume sijategemea kuona kama mwanaume unaweza coment ushamba kongo wanaiishi wanyama au watu

    • @ErickLyimo-p9b
      @ErickLyimo-p9b 2 หลายเดือนก่อน

      Iyo ni vita ya kidin

    • @NeemaGwandu
      @NeemaGwandu 2 หลายเดือนก่อน

      Afatecongo mkewake

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน +10

    Rudi Congo haraka Sana ukaendelee kuiba huko na Mme wako.Umeolewa na mkongo Nenda ukweni.Nyie matapeli wakubwa 😢😢mna mabilioni mengi sana .hiyo hela ya wizi irudi Nenda Kongor uliko olewa Wewe unakaribisha matapeli.Nendeni Leap Kongo

    • @GracePlatinum
      @GracePlatinum หลายเดือนก่อน

      😅

    • @GracePlatinum
      @GracePlatinum หลายเดือนก่อน

      Nenda ukweni Congo mwanangu 😂😂😂,,

    • @GracePlatinum
      @GracePlatinum หลายเดือนก่อน

      Si umfuate congo ukwen dada,,, au wanakufukuza😅,, sis tuna watumishi wa kutosha,, acha tu akahudumie wacongoman wenzie😅😅

    • @kombab1112
      @kombab1112 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia nimeshangaa kuona mwanamke anamuombea mumewe kurudishwa nchini....inaleta mawazo kidogo...kwanini arudi kwanini asiende na familia yake kwao! Au kwavile wameona kwa njia zao ambazo si njema zinaweza kuwork Tanzania tu!

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 2 หลายเดือนก่อน +34

    Alee watoto kwa pesa za kutapeli wanawake walio na shida

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 2 หลายเดือนก่อน +3

      SI ndio apo jmn 😂😂

    • @sutsa-g9o
      @sutsa-g9o 2 หลายเดือนก่อน +3

      yaani ww ungekuwa karibu ningekutia kofi. mbwaa ww rudisheni hela za watu

    • @aishamtangi7272
      @aishamtangi7272 2 หลายเดือนก่อน +3

      We mwanamke ww mmetapeli sana watu umekula haramu mmewako siumfawate Kongo mshenzii ww

    • @aishamtangi7272
      @aishamtangi7272 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mwisho wa ubaya ni aibu matapeli nyie tafuteni maisha eti baba bora huna haya ww

    • @moseskulola6913
      @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo Sasa wa Tanzania musimusamehe ule ibilisi... Hata kidogo.. Watu Wana muzihaki Mungu kila siku.... Kwanini uyu Dada asige mukataza mume wake. Asimuzihaki Mungu. Ule ibilisi shetani atawa weka pabaya.. Sote wenye zambi ila sio ku mu chezea Mungu kivile...

  • @MagidaFafa
    @MagidaFafa 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kwaiyo mnaomba razi ili muendelee kututapeli tokeni apa

  • @KibamnyamaMussa
    @KibamnyamaMussa หลายเดือนก่อน

    Pole dada kipenz

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pole dear umeongea vizuri

  • @tumainipauli4020
    @tumainipauli4020 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani ni Ma samia akurudishie amemchukua au ni mnamharibia nchi

  • @josephbugumba8068
    @josephbugumba8068 หลายเดือนก่อน

    Mtegemee Mungu

  • @SukariYao-j9w
    @SukariYao-j9w 2 หลายเดือนก่อน

    God bless

  • @MgishaFerd
    @MgishaFerd 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nenda huko huko Congo mkaishi si yupo kwao.Hapa bongo ni tapeli tuu kwani Congo hawezi kufungua kanisa.

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tapeli abaki kwao na ewe mfuate mwenzio huko mkalee watoto wenu kwan watu hawaishi watu huko? Haya timua vumbi mfuate bwanako

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mnamwonea kiboko kisa mkongo mbona kina mwamposa amumfungii

  • @teffesharon1014
    @teffesharon1014 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu mmoja atese mamia😢kuwa na huruma na wengine

  • @HawaOman
    @HawaOman หลายเดือนก่อน

    Mama turudishe mtumishe wa mungu wachawii wanatukomesha sasa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shida mahubiri yake hana upako wa Mungu Munguhazihakiwi

  • @stephennjamaras7987
    @stephennjamaras7987 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nguvu Yake Ipi Hiyo Utapeli Sio

  • @SesiliaMbaza
    @SesiliaMbaza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mpendwa tuombe pamoja.hakuna jambo gumu mbele za mungu.

    • @thomnasari
      @thomnasari 2 หลายเดือนก่อน

      Acha unafikiki huo Mungu gani unamsemea wewe

    • @namsifualfred5214
      @namsifualfred5214 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu uyo shetani anamjua Mungu angetakiwa afungweee

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mke wa kiboko ya wachawi Hunatumaini tofauti na mama Ama kweli nyinyi ni matapeli kumbe mpo kwaajili kupiga hela ma sio kuelekeza roho za watu kwa Mungu...hamstahi hata kidogo

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba.akawasaidie wacongo sisi hatumtaki kabisa yani dada wewe nenda mkafanye hiyo michogo na.mume wako.congo

  • @IGANASCOSMAS
    @IGANASCOSMAS หลายเดือนก่อน

    Naipenda Tanzania. Nchi ya Amani.

  • @KelvinSimango
    @KelvinSimango 2 หลายเดือนก่อน

    Ila watanzania na wakristo wanakosea kumlaumu, kwasababu kuna waganga kuna mafrimasoni wengi na hata upande wa pili kuamini kabisa mambo ya waganga leo hii wakristo hamjivunii mungu wenu kisa wachungaji wanapata hela. Mungu wenu si ananguvu za kumshinda shetani au watu mna amini shetani ndio ana nguvu kuliko kumtemea mungu.

  • @enocklambo5530
    @enocklambo5530 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anaheshimu kwa kuhimiza kuua watu....hana adabu hyo mumeo

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mume wako hakusaidia mtu bali alikuwa anawaibia, mfuate congo sio mbali na akafungue kanisa congo!

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ushaur wangu mama mtumish mfungue huduma kongo🎉

  • @gloriadaniel3827
    @gloriadaniel3827 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hivi huyu anafikiri mpaka anafukuzwa Nchini Serikali haijajiridhisha?. Hii Nchi iko makini. Wakongo walivyo wasanii utakuta ana mke huko kwao.

  • @godsonprosper6657
    @godsonprosper6657 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ww ni wa mchongo kama alikuwa mumeo mbona hukuondoka nae?

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hili pia usikute ni dili tu

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 2 หลายเดือนก่อน +12

    Jamani tangu lini binadamu akawategemeo na kimbilio🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii nchi si ya.kuchezea ukiona wamekukalia.kimya ujue umeeleweka.kama.ueleweki utaiina Tz nchi yngu chungu...hii nchi uichezei hakika

  • @alexndihokubwayo8010
    @alexndihokubwayo8010 2 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni wizi namimi ali niibia laki500 kupitiya muzee wangu

  • @AmriSabiti
    @AmriSabiti 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aise wa Congo tuna zalilika kwa ajili ya hili Kafiri hili

  • @EzekielMwishehe
    @EzekielMwishehe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Binafsi naona umfuate muwe wako huko aliko pole pia kwa kuona kuwa bila yeye huwezi kuishi, nasiamini kwa umri wako usijue kosa la mumeo, hakuwatendea haki watanzania. Naipongeza Serikali kwa kulifungia Kanisa hili (pia sijajua kama kafukuzwa najua imefungiwa huduma yake mbovu Mama mfuate Mumeo

  • @ElizaWilliam-z6y
    @ElizaWilliam-z6y 2 หลายเดือนก่อน

    Hata Yusuph aliuzwa utumwani ili aende kuwa waziri huko misri kwa hiyo hata kongo kuna maisha hivyo ameitwa kutumika huko hivyo ni vyema mkaenda kufanya huduma huko kongo zamu yako kwenda kuishi huko ndipo tutajua kama kweli aliitwa

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali Inakuangalia kwa muda mrefu Sana Mbwembe na Kujimwambafai wanakuona

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi huyu mwamba nampenda anavyoua wuachawi, lkn aje aishi kwa utaratibu uliowekwa, na asifungue kanisa afungue kilinge cha uganga, laiti angejiita mganga tangu mwanzo wala asingefukkuzwa, kosa lake ni kujiita mchungaji, kuwasainisha watu fomu ya pesa za huduma, kusema wanaopeleka pesa kwake na kulalamika ni maskini tajiri halalamiki, kusema yeye habari za kuwaambia watu kwenda mbinguni hazijui yeye anajua kuua wachawi, hapa nilimpenda, ninachoomba arudi afungue kilinge wala hataguswa, na gharama ipungue maana hakuna anayempenda mchawi aishi aise, wachawi wanaturudisha sana nyuma kimaendeleo

  • @VictoriaKajembe-m1m
    @VictoriaKajembe-m1m 2 หลายเดือนก่อน +15

    Wew hukuwa mke Bora kwanin ulimuacha mumeo aipoteshe jamii lakin pia dada tuchukulie angelufa?? Maisha yasingeendelea kuwa independent acha kumtegemea mwanaume pia hakua mtii wala mnyenyekevu alikuwa anawaharas sana watu

    • @kulwakahabi654
      @kulwakahabi654 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amfuate mume wake Congo,kwani huko hakuna waumini?

    • @bnbhurbert6969
      @bnbhurbert6969 2 หลายเดือนก่อน

      Unaposema mume wako hajawahi kutenda kosa lolote inamaana serikali haina akili mpk wamfungie??? Kuanzisha kanisa na watu kukufata kukusikiliza haimaanishi hao watu hawana kazi ya kufanya au hawajaona makanisa mengine alijisahau sana ...na wew umeshaolewa mfate mumeo congo mkaanzishe huduma huko Mungu mnaemuabudu atawasaidia

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu angekuwa mke Bora angehakikisha hautoki nje ya mstari

  • @HildaKivie-p8b
    @HildaKivie-p8b 2 หลายเดือนก่อน

    Congo Kuna mke mkubwa anaogopa kwenda

  • @RashidHamad-ro8sd
    @RashidHamad-ro8sd 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asirejeswe tena muhuni sana yule jamaa mshenz tu

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kumbe unajua sio mtanzania ??? Usituchoshe si umfate huko huko kwani ndio kwao

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mama ana kaz muhimu sana yakujenga nchi mpumbavu mkubwa wewe
    Nenda ukagongwe huko huko kongo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mi billionaire
    Acha kuongea uongo.Rsisi hana muda Na matapeli 😢😢

    • @ShabanMainde
      @ShabanMainde 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 we acha tuu

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 2 หลายเดือนก่อน +15

    Amtumainii mwanadamu amelaaniwa.

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 หลายเดือนก่อน +5

    Unamuomba mama ako mzazi au mama samia😂😂

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 2 หลายเดือนก่อน

      @@ThomasMmary-r7w 😂😂😂😂😂😂ni kweli atueleweshe 😂😂😂

    • @JohnTitho
      @JohnTitho หลายเดือนก่อน

      For which purposes..Muombe Yehova ..ndio kimbilio letu sote..🙏🙏

  • @uniquemaringo4287
    @uniquemaringo4287 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nenda CONGO.
    KWANI WEWE NDO UMEOA AU UMEOLEWA

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @issackleonard6721
    @issackleonard6721 2 หลายเดือนก่อน +3

    If anyone breaks the law and expects Samia to intervene, we might as well not have laws in this country. If you break the law, you need to face the consequences.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mfuate kwao wewe umeolewa au wewe umeoa ?unalilia kukamua watanzania fedha zao.Mke huolewa akaenda kwa mume kafjngue kanisa Kongo.

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hachana Na Rais Rais Ans mambo mengi ya kufanya Nenda kwenye Sehemu ya Uamiaji Afuate vigezo

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน +2

    Usijali kuna wengine ambao waume zao wapo ulaya lakini wanalea watoto huku Tz. Ambatana na mumei umfate congo.kwani congo kuna shida gani hata mwenye nchi yake hapataki?

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 2 หลายเดือนก่อน +2

    Si afuate huko congo wameshaona huku ndio kwa kufanyia utapeli

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada lakini usikate tamaa. Ukiolewa ujue unatoka kwa wazazi wako na unahamia ukoo mwingine. Kama mumeo ni wa nchi nyingine ina masna ulikuwa tayari kuishi nchi nyingine kwa umuhimu , mila na desturi. Nakushairi mfuate mumeo huko kwao na maisha ni popote na wewe umeolewa..

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 2 หลายเดือนก่อน +8

    Daah! Wewe dada si umfuate kwao

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 2 หลายเดือนก่อน

      Ghorofa lake wamuachie nani

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน +2

    Gisi alivion kuwa ame ogeha tu hazitoke moyoni uyu Dada Ana juwa vizuri kama mume wake shetani tu alivion ageha tu anaona haibu ya Dani Dani... SAsa mungu muna muchukulia poa

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama nakushauri mfuate mumeo DRC kwani ni lazima mumeo afanyie huduma yake Tanzania?

    • @siandowo5654
      @siandowo5654 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 หลายเดือนก่อน +19

    Naona unajidhalilisha tu maana jua hata unaetuambia hzo hbr tunaakili timam kabisa yaan ww uwe mkewe harafu akuache sio kwel

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mfate mumeo Congo na km kanisa muanzishe huko Tz hatumtaki ni mshenzi

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo ndiyo inaitwa hekima ongera sana mama

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 2 หลายเดือนก่อน +2

    Si angekubeba kwenda congo kwanini akuache aende peke yake Kama anakupenda angekubeba

  • @magesamachota1553
    @magesamachota1553 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mfate mume kogogo kwani wewe ndie urie owa mfate taperi mwezio samia anawependa watazania sio wakongo mataperi

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda Congo

  • @aishamtangi7272
    @aishamtangi7272 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hujaona hata aibu kuongea kweli huna aibu ww

  • @MorsadHamisi-nz4rd
    @MorsadHamisi-nz4rd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asiludi apa tusha sema

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini msiende kufungua kanisa huko kwenu congo

  • @StewadKizenganya-sk6sg
    @StewadKizenganya-sk6sg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tutokeeni utapeli ,pelekenu utapeli kongo ,KUNASIKU WATAWAPA WANAUME MKONGO AFU WASEME NI UPAKO WABWANA KWAMBA KAWATIBU NGUVU ZAKIUME KWAKUPEWA MKONGO

  • @dionykm4976
    @dionykm4976 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda Congo mkalee watoto

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kafungueni kanisa kwenu congo

  • @AthumaniMsangi-f4i
    @AthumaniMsangi-f4i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah😂😂😂 hapa sasa ndio naikubali ile kauli ya kuwa bongo patamu ama TZ ni inchi ya amani dada nenda Lubumbashi mkale makaka na vilulu haina haja ya kuliiiiiiaaaa😢😢😢 kamatia treni mpaka Ndola Zambia shuka tutakupa lifti mpk kasumbalesa tutakuonyesha vibasi vya kuelekea huko sheeeemeji!!! Mrudie mwanaaaa!!

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nenda Congo si umeolewa huko...tangu lini mwanamme akamfuata mke..huwa wanawake ndio tunawafuata wanaume nenda Congo na watoto wako.

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 2 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu msikivu tumwombe Mungu nimwema.

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nawewe dada wenzako wakiolewa wanaondoka makwao wanaenda kwa wanaume wao ulipoona mumeo kafurushwa kwenda kwao nawewe ilibidi ufungashe vitu vyako uende huko huko huko kwa mumeo sasa unaolewa wakati mwingine mnatuletea mashemeji mashokolo mageni wanatuletea tahatuki mtaani mm ushauri wangu Fanya utaratibu unatakiwa kisheria wewe ndio umfumfuate huko huko wewe ndo unatakiwa ukaishi kwa wakweo

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน +5

    Msimsumbue mama, yaan mama amrudishe mtu anaeibia watu hera na anaelaumiwa mama kwa ugumu wa maisha ? Ebu acha kumsumbua mama bwana, mfate huko huko congo kwani kule kuna nini ?

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 SI amfate mumewe kwao, Mme wake hataki kukaa kwao anan,sng,ania uku😂​@@YustoMlay-cv4zb

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 หลายเดือนก่อน

    Mtihani

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tuseme aliowa anaishi kwa wakwe amengangana hataki kukupeleka kwao😂😂

    • @FelistsShayo
      @FelistsShayo 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa dada huyu ameoa au ameolewa? Mbona anang'ang'ania mumewe arudishwe Tanzania?

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 หลายเดือนก่อน

    Congo hakuna pesa tz ndio kwenye pesa ndio mana wanapalilia hao

  • @MoniKiwele
    @MoniKiwele หลายเดือนก่อน

    Kwanza wew mwanamk utakuwa mchawi

  • @SarahEdithchambo
    @SarahEdithchambo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Siungeenda kuishi nae huko nawewe inchi Yao watakupokea fungueni kanisa huko kwao upande wa mumewako

  • @meryamabdullah2081
    @meryamabdullah2081 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa nn usiende kuishi na mumeo congo

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nenda congo😂💔

  • @jasminimussa6214
    @jasminimussa6214 2 หลายเดือนก่อน

    Ningekua mimi ningemfuata mume wangu Congo kwa kweli au ndiyo lazima tuishi Tz utasema yupo segerea magereza.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

    Km kweli anakupenda afanye kila njia umfuate huko congo
    Sio huku maana ndo kwao

  • @jinnahmgido315
    @jinnahmgido315 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kama kweli unampenda mume mbona alipokua anachukua pesa za watu hukumuonya jipange

    • @MwamvuaKing
      @MwamvuaKing 2 หลายเดือนก่อน

      Safi

    • @mlamytz
      @mlamytz 2 หลายเดือนก่อน

      Pengne hajui

    • @mlamytz
      @mlamytz 2 หลายเดือนก่อน

      Wamsamehe tu bana

  • @nkundechindwa9654
    @nkundechindwa9654 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mfuate Congo wewe dependant kwake kwa nn ung'ang'ane kuishi naye hapa

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 2 หลายเดือนก่อน +14

    Haya makanisa ya kilokole ya watu binafsi ni tatizo sana...

    • @MrA24G
      @MrA24G 2 หลายเดือนก่อน

      Inabidi yaanze kuwa regulated

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 2 หลายเดือนก่อน

    We mpare unatutia haibu kwa kweli kwenda kuhangaika na wa Congo umetutia haibu

  • @JenethFrank
    @JenethFrank 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo umekubali kuolewa na mtu asie mtanzania ili aje kutapeli na kutokufuata taratibu na kufanya uchonganishi makanisani?. Mwanamke akiolewa anaenda kuishi kwa mumewe sasa cha kufanya ww ndio umfate mumeo Kongo. Na kama ulimuoa umlete Tanzania kutapeli imekula kwako. Mama yetu ana huruma na watoto wake.

  • @x7hia
    @x7hia 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatuwataki Tanzania wewe na huyo mchawi mwenzio ondokeni nendeni kwenu Congo

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 หลายเดือนก่อน +2

    jina la kiboko ya wachawi unalionea aibu kulitaja mtaje tu mumeo😂😂😂

  • @matildamkubulo1140
    @matildamkubulo1140 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi mwanamke mwenzio nilikuja ofisini kwa mme wako kwa shida kama unayoililia sasa hivi,nilhitaji niwe na mme wangu,kwakuwa nilitoa pesa pungufu ya laki 5,alinifukuza kama mbwa ofisini kwake mbele za watu,inauma sana,yaani asirudi kabisa

    • @FelistsShayo
      @FelistsShayo 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu make wake anajaribu kusema nini! Na yeye anatakiwa ashitakiwe

  • @aidanmaganga7051
    @aidanmaganga7051 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe sio hata Mtanzania??asa anarudi kufanya nn

  • @daudimartin4286
    @daudimartin4286 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda Kongo tumechoka kuibiwa Tanzania kunahera zabure hakuna kurudi tena

  • @aman.weusUS
    @aman.weusUS 2 หลายเดือนก่อน

    Unamshukuru samia kwa lipi?